Mimi hizi design ya vilemba roho yangu ilizikataa kabisa. Namtukuza Bwana kwa hilo. Hallelujah
@byusaajumapili67509 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji hatamimi nilitamani kununuwa lakini moyo hulikuwa ukikataa bwana yesu Kristo azidi kukubariki
@aderanderwa76238 ай бұрын
NYAKATI ZA MWISHO HIZI TUTASIKIA MENGI NA KUONA MENGI TUJITAKASE TUJIOSHE YESU KRISTO YUKO MALANGONI SHALOOM
@Rashid-vm1fk9 ай бұрын
Amina Mungu nimwema, hakuna Neno lililositirika ambalo halitafunuliwa,Wala lililofichwa ambalo halitajulikana.Yesu tusaidie
@MagdalenaMatiko2 ай бұрын
Jamani wakristo tuvae mavazi ya masister kumbe wako sawa
@maryandason18159 ай бұрын
Asantii pastor.. blessed..bado tunaendlea kusubir maono mengi mengi zaidi ya mbinguni.
@philipmbaabu68328 ай бұрын
Asante kwa kuleta huduma Nairobi. Fanya upesi kumleta Nabii Aston. Tunamhitaji sana humu.
@geitandelwa2999 ай бұрын
Ameni nimechoma vyote mm mwenyewe nilisomewa neno kuhusu kuvaa vitambaa vya ajabu nilichoma vile vya mashanga aaaa ww mchungaji MUNGU AKUBARIKI SANA
@Nenolamaarifa9 ай бұрын
Mwenye kusikia asikie,
@Rashid-vm1fk9 ай бұрын
Mi naona vitambaa vyote vya design kama hizo havifai hata vile vya watoto pia maana vingine unakuta vinatupembe tuwili,mm sibarikiwi na vitambaa hivyo kabisa tokea zamani.
@lindakapongo84218 ай бұрын
acha matusi
@JOHNERICK-HC79 ай бұрын
Sasa muchungaji waweza elezea kitambaa gani kizuri ama jinsi gani ya kufunga kitambaa
@byusaajumapili67509 ай бұрын
Na ahimidiwe bwana kwakufunuliya asante sana kwa kutuonya
@everlinekemunto2679 ай бұрын
Amen,Mimi sipendi hizi vitambaa kabisaa,pia Leo nimeona wahindi walifanya kafara ndio wanakata nywele zao,Sisi nasi wafirika tunakumbia kusonga nazo,sitawahi songa nywele zangu
@julianawanjala64959 ай бұрын
Bwana atusaidie sanaa
@magdalenapeter61069 ай бұрын
Aisee ni kweli kabisaaa mtumishi.Asante kwa kutufungua Yesu atusaidie jmn hii dunia ya siku za mwisho ina mengi mnoo
@user-mk6if8xs3s9 ай бұрын
Asante Mtumishi Mungu abariki kazi yake zaidi
@akothchristine47529 ай бұрын
Amen God bless you so so much watching from Saudi Arabia
@judyokumu84399 ай бұрын
Amen, asante kwa ujumbe na mafundisho mazuri sana, ubarikiwe 🤲
@janethmwihumbo12899 ай бұрын
Amina Amina mtumishi tunashkr kwa kutuelewesha Mungu akubariki
@ifakisetumbaboy37499 ай бұрын
Ubarikiwe Zaidi Mtumishi
@sophiamakani61339 ай бұрын
Asante sana mutumishi wa Mungu kwa ufahamisho,,Mungu akubariki.
@nicksonraymond44108 ай бұрын
Moyoni skukipenda mtumishi,Mungu akubariki
@fidealuena42258 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu. Naomba mawasiliano ya kanisa Takatifu Kwa gongo la mboto. Au maelekezo tafadhali, nipate kujiunga nao
@shuhudazakweli34068 ай бұрын
+255742853901
@quintavitalis9269 ай бұрын
Namtukuza Mungu kwa Roho mtakatifu ,
@Sarahsaid26487 ай бұрын
Ubarikwe sana mtumishi😢😢
@lindakapongo84218 ай бұрын
yaani magazine yako yana kuwazisha mambo mabaya ombea magazine yako
@felesianyangasi9 ай бұрын
Amen. Asante kwa ujumbe ila nakusihi utuonyeshe mifano zaidi tuweze kuepuka mitego ya my shetani
@lucywilson58759 ай бұрын
Mimi nilinunua kofia kama hiyo lakini cha ajabu ilinishinda kabisa, kila nikivaa kichwa kinashika joto la ajabu yaani sikuweza hata kukaa nacho dk 5. kichwa kiliwasha na joto kali, namshukuru Mungu sana kwa hilo , nafunga tu kilemba kinanitosha nakupendeza ibadani
@magdalenamziray46229 ай бұрын
Amen
@marymwapiya12749 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@joelboy34605 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@owikesibonike9 ай бұрын
Amen. Ubarikiwe mtumishi
@christianmulunga55048 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji🙏
@Sarahsaid26487 ай бұрын
Mchungaji vipi nikivaa kabisaa kama ushungi ni vibaya mbele za Mungu maan nasikia rohoni kuvaa hivyo
@amisakiza15389 ай бұрын
Mungu tupemacho yakuona mitego yashetani. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Chosenbrian-nf9gb4 ай бұрын
Rogger that
@happinessnicodemo9 ай бұрын
Amina mtumishi Mwenyezi MUNGU atufunulie hili tuweze kuepukana nalo 😭🙏🧎
@tulisamwel418 ай бұрын
Asante mchungaji kwa hayo mafunuo. Nilikuwa napenda kuvaa kanisani bila kujua madhara yake. Nimejifunza sasa kuwa makini na hizi kofia.
@julianawairimu8019 ай бұрын
Thanks alot man of God.
@neemakimario84459 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa mafunuo hayo
@MaryMziray9 ай бұрын
Amina mchungaji Bwana akubariki
@leahenockmrina53819 ай бұрын
BWANA uturehemu Shalom Shalom
@dickson18209 ай бұрын
Amen, ubarikiwe.
@evelynekomba72169 ай бұрын
Dah, hapa nilipo nimekivaa cha kuzungurusha, asante kwa mafunuo
@shuhudazakweli34069 ай бұрын
Hahaha
@user-sf5gp5oi5k7 ай бұрын
Ooh God tusaidie
@vailethmwandeko44528 ай бұрын
Amen,, God bless you
@basilisamsaka84695 ай бұрын
Jamn sasa kila kitu shetani anakitumia rasta shetani vilemba shetani
@edithamdemu3969 ай бұрын
Mimi nilinunua mkoba lakini kila nikibeba nikawa nakosa amani siku moja rohomtakatifu akanifunulia nimepiga picha ya huo mkoba napenda na wengine wajue naweza kuwaonyesha Siri hiyo
@Nenolamaarifa9 ай бұрын
Hao mbuzi walikuwa wanapiga kelele ila ujumbe umefika
@glorymziray19159 ай бұрын
Hiyo nikweli kabisaaa
@mike96198 ай бұрын
Great
@Nenolamaarifa9 ай бұрын
Amina
@hildandeda33489 ай бұрын
May Lord have mercy on us 😢
@valenakomba92189 ай бұрын
We mpuuuxi sanaaa. Huyo roho mtakatifu alikufikia saa ngapi?. Katafuteni kazi za kufanya mwacheni Mungu na roho mtakatifu wapimziki.
@yohanasanga33719 ай бұрын
ameen
@rofinkitali37659 ай бұрын
Anaharibu biashara za wanzio.
@preciousmunuo1429 ай бұрын
Eeh haya mambo jamani
@marcelinekahawara83049 ай бұрын
Asante sana
@annastaziakimaro30429 ай бұрын
Asante Sana mchungaji
@RehemaMtono9 ай бұрын
Aminaa
@Nenolamaarifa9 ай бұрын
Revelation and testimony Church of God
@preciousmunuo1429 ай бұрын
Eeh mbona tutakuwa kama wazee sasa
@user-mb6ob5fx3l9 ай бұрын
Anina muchungaji
@dankir99218 ай бұрын
jambo Is there a book written by Aston Mbaya i need to buy from Kenya
@user-fm5md9xn5g9 ай бұрын
Nataka kuona comment za magent wa shetani watakomenti vipi
@byusaajumapili67509 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji hatamimi nilitamani kununuwa lakini moyo hulikuwa ukikataa bwana yesu Kristo azidi kukubariki