Kujitamkia Maneno Mazuri | Mifano Na Faida Zake

  Рет қаралды 3,993

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@feisalakbar4759
@feisalakbar4759 8 ай бұрын
Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla
@FurahaMasha-q2o
@FurahaMasha-q2o 11 ай бұрын
Mimi husema Alhamdulillah kwa neema zote ninazo zifahamu na nisizo zifahamu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
Maa sha Allah... enhee sasa huku kwetu ni umuhimu wa adhkari zote za asubuhi na jioni. Dumu nazo mara kwa mara, ni bora zaidi.
@rajabuopalian8342
@rajabuopalian8342 11 ай бұрын
Maneno yanaathari kubwa sana katika maisha yetu Ndomana sisi waisilamu mtume wetu reheme na amani zimshukie amekataza mzazi kumwita mtoto wake majina mabaya , Sababu ukiangalia mungu anajibu kutokana wewe unavyosema idhan ukisema yalio mazur yakitawala kichwa chako ndio yanaokuja kutokea mara nyingi na hivyo hivyo mabaya. Na mababu zetu walisema maneno yanaumba
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
Naam... nguvu ya maneno! Ni nguvu kubwa inayopuuziwa na wengi bila kufahamu
@saidilabu279
@saidilabu279 11 ай бұрын
I can do anything I want I never give up Am smart/genius Am champion n.k
@mrlazaro123-f7t
@mrlazaro123-f7t 11 ай бұрын
MIMI HUWA NAJIAMBIA KUWA IPO SIKU NITAKUWA MTOA MISAADA MZURI KWA WASIOJIWEZA, JAPO HUWA SIJIAMBII KILA SIKU
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
Pia ni muhimu kusema katika wakati uliopo, yaani sema, "Mimi ni mtu wa kusaidia wanyonge" au "Ninatoa misaada kwa watu" usiseme nitakuwa au nitatoa misaada siku moja... usiweke katika wakati ujao. Fikiria kama tayari uko hivyo unavyotaka halafu jiambie kwa sauti kila siku mara nyingi,
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 11 ай бұрын
​@@successpathnetworkeach 1 teach 1. Uko sahihi kabisa Mwlm. "The future is now" .
@Elizabeth-i9z
@Elizabeth-i9z 4 ай бұрын
Ninauwezo wa kufanikiwa katka kazi yangu na ninanguvu ya kufkia malengo na kubadili maisha yangu najiamni na ninauwezo wa kushinda ninauwezo wa kujifunza kwa kila frusa na kufanikiwa ni baaz ya yale ninayojiambia
@ibad-rrahmanmuslim1862
@ibad-rrahmanmuslim1862 11 ай бұрын
Kwel bro nilichogundua haya maneno unavyokua na kawaida ya kuyaongea kila siku yanatengeneza iman fulan unajikuta yanatoka kwenye maneno yanahamia kwenye vitendo big up sana
@mustaphanyakaka6432
@mustaphanyakaka6432 11 ай бұрын
Nina jielewa , Nina juhudi , ninafanya bila kusita sita , ninajithamini , Nina shinda kwenye Kila Jambo , Mimi Ni mtu wa tofauti , Niko vizuri .
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
Safi sana kaka...
@leonidafatson882
@leonidafatson882 11 ай бұрын
Ninajipenda Nina uwezo wa kufanya chochote Ninajitahidi kila siku Ninajiheshimu Ninashukuru kwa kila nilichonacho Mimi ni mshindi Mimi ni mtu mkuu💪
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
Naam namna hiyo!...
@Moyoheart7
@Moyoheart7 11 ай бұрын
MashAllah brother great video. Listening to you so that i can be fluent in my swahili when i give my youth stress management in the high schools here in kenya. Would like to connect to you thru e mail. I have gone to workshops in usa 3 times and india etc i like the way you flow with your words in swahili learning the talk with you. JazakAllah 🎉
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
It's my pleasure Al akhy, please check the description for contacts. Karibu sana
@KulwaJames-n2x
@KulwaJames-n2x 11 ай бұрын
Kwel ni jambo jema sana
@DominicKioko-wz7vs
@DominicKioko-wz7vs 7 ай бұрын
Nitawai fanikiwa
@fhugghi4109
@fhugghi4109 11 ай бұрын
Nashukur kwa elimu yako my brother 🙏Allah akuhifadhi 🤲
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
Amiin...karibu sana
@yasminsalim291
@yasminsalim291 11 ай бұрын
Mimi Ni Mtu Bora Mimi Ni Mtu Muhimu kwa Nafasi Yangu Mimi Ni wa Thamani Najisameh Makosa Yangu Mwemyewe Na Muumba Anisameh Nilio mkosea Nina uwezo wa Kufanya Chochote Nitafika Mbali Natakiwa Kuwa mtu Bora zaidi Ya Hapa Sitakiwi Kukata Tamaa Kwani nina Nguvu Ya Kufanya Chochote kwanini Nikatishwe Tamaa Hapana Nakataa Nina Imani One Day Kila Nalo Lipanga Litakuwa Na nitaimiliki Dunia Kwa Sababu Kila Kitu Kinawezekana Kwa uwezo wa Mungu Natakiwa Kuwa Uniq Kwa Kila Kitu kwa Sababu Mungu Katupa Uniq kwa Kila Mmoja Kwa Nafasi Yake Mungu nisaidie: Ukimaliza Kujiambia Ivyo Inuka Nenda Kacheape Kazi Fikra zako ziwe ni Kama Ramani ya Maisha Yako Heshim Pesa Muombe Mungu Sana Tunza Afya Yako Then Songa 😇😇
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
Asante sana kwa mchango wako... Kubwa zaidi hapa ni kuliweka hili somo katika vitendo
@YASINIIDRISA
@YASINIIDRISA 11 ай бұрын
For me naopenda kujiambia UNAEZA FANYA JAMBO LOLOTE
@ShabanOnesmo
@ShabanOnesmo 11 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh bro wewe ni mwamba sana
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
Waalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh... shukrani kaka!
@AllySelemani-q8i
@AllySelemani-q8i 11 ай бұрын
Naitwa ally sela nipo chalinze mama npendga kujiambia inawezkana nahata ikitokea nimefeli kwani mm sio wkwanza n nitpambana tu
@josiahnzila141
@josiahnzila141 4 ай бұрын
KUPITIA BIASHARA YANGU NINAKUWA NA WINGI WA UTAJIRI WA VINGI😤
IJUE SIRI KUU YA MAFANIKIO
11:50
Success Path Network
Рет қаралды 31 М.
MWANAUME ANAPASWA KUWA HIVI
29:39
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 115 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 125 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 18 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,7 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Ifahamu Nguvu Ya Maneno Na Athari Zake
8:28
Success Path Network
Рет қаралды 2,4 М.
Jinsi Ya Kubadili Mtazamo Na Mawazo Mabaya
12:18
Success Path Network
Рет қаралды 4,7 М.
UBONGO WA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
13:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 72 М.
MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE
29:50
Success Path Network
Рет қаралды 53 М.
JINSI KUFANIKIWA SEHEMU UNAPOPIGWA VITA
14:33
Success Path Network
Рет қаралды 6 М.
JINSI YA KUFANYA AKILI YAKO IWE MSAADA KWAKO | Ezden Jumanne
7:31
Success Path Network
Рет қаралды 12 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 70 М.
UNAWEZAJE KUONGOZA BILA KUTUMIA CHEO AU NAFASI - JOELNANAUKA
1:06:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 43 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 125 МЛН