Barikiwa sana Mhe Pinda - Namimi wakati wa Mungu ukifika, natamani kuwa na kituo/centre ya watoto wenye uhitaji. Blessed to Bless
@kulwar.sosovele46994 жыл бұрын
Hongera baba
@alfredlupogo38355 жыл бұрын
Nimefurahi mno mh Pinda kuwajali wahitaji, Mungu yu pamoja nawe, usiache kusaidia wahitaji hiyo ndio dini ya kweli, Ubarikiwe sana
@ashamwamba90883 жыл бұрын
Hutu.mzeee.kimyakama.maji.mtunginii
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Wote wenye uwezo wangekuwa kama wewe nafikiri tungeliwapunguza wahitaji mtaani kama si kuwamaliza kabisa, Mungu akubariki mkuu!!!
@edwardgwaspika49435 жыл бұрын
So thoughtful.. Mungu akubariki sana mh. Former PM.
@ThomasKapela-ro5yn6 ай бұрын
Yeah... i like vitu vyako mkuu vizuri sana munguu akubariki sana huwe na moyo huo huo kiongoz wangu
@gosbertrwezahura36455 жыл бұрын
Ubarikiwe sana tena sana mheshimiwa Pinda. Huko ndo kuwa mtu wa watu. Aiseee we ni mtakatifu anayeishi maana huo ndo upendo usio na ubinafsi ambao Mwenyezi Mungu anatuhimiza tuishi. Dini ya kweli na isiyo na itilafu mbele ya Mungu ni kuwasaidia yatima na wajane na kujilinda na dunia pasipo mawaa. Asante sana Mzee Pinda.
@manyanyapeter46405 жыл бұрын
Mh mungu akuzidishi na pia akupe maisha malefu
@hamadali50623 жыл бұрын
Mzee pinda kazi nzuri Sana uliyofanya mungu akupe kila la kheri
@mathiaszakaria70524 жыл бұрын
Dahhhhh moyo uliouonesha uwe fundisho kwa wengine,Mungu akubarik sana mheshimiwa Pinda
@sheryphamwenevalley61244 жыл бұрын
Leo nimekupenda bure Muheshimiwa Pinda dah kumbe mlezi mzuri ubarikiwe kwa upendo wako ❤❤
@aminaibrahim41483 жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzi dishie imani akupe maisha marefu
@SNKANTO3 жыл бұрын
Mungu akujaalie afya njema na maisha marefu yenyekila namna ya amani na ridhki kwawiingi baba.
@gibsonntamamilo4904 жыл бұрын
Kawa haya anayofanya kwa hawa wanadamu wenzetu kwanini Mungu asimpiganie. Ubarikiwe sana Baba.
@rafikiwildlife42633 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mhe Picga, Wewe ni mzazi wa kweli
@mako3315 жыл бұрын
Safi sana mkuu, when your blessed bless others
@gloryjutta78883 жыл бұрын
Hongera muheshimiwa Pinda Mungu akuongezee
@raphaelsamwel26404 жыл бұрын
Hupendi makuu mh.Pinda! Mungu akujalie!!
@taifaonlinetv.36703 жыл бұрын
Kumbe baba ndivyo ulivyo, asee Mungu akubariki sana
@marthamasue40094 жыл бұрын
Hongera sana mzee Pinda. Mungu akutunze baba
@celestinerashidi39754 жыл бұрын
Hongera baba Pinda. Wewe ni mwalimu maana maisha yako na matendo yako ni darasa.
@erodeshayo86725 жыл бұрын
Mung azidi kukupa moyo huwo huwo Wazir wetu
@badenbensoni75164 жыл бұрын
Aisee hizi ndo habari njema. Sio kila siku corona. Mungu akupe thawabu
@mwajabuyusuph39453 жыл бұрын
Masha Allah
@emanuelshishe56953 жыл бұрын
kazuriiii safi Sana💞
@piusnagawantu84753 жыл бұрын
HONGERA PINDA. MUNGU AKUBARIKI KWA HURUMA YAKO NA UPENDO KWA WATOTO MASIKINI. UBARIKIWE SANA.
@musokedios81623 жыл бұрын
Wow what a good character Mungu akubariki sana Mtumishi
@susanejd77754 жыл бұрын
Ndio mana Mwenyeezi Mungu anambarikia. Uzidi kubarikiwa muheshimiwa pinda
@mgsproduction16795 жыл бұрын
Shukran mweshimiwa
@ednamanji3 жыл бұрын
Heri wenye moyo Safi maana Watamuon a Mungu . God sees your heart he will deliver you 🙏🙏🙏🙏
@lilianmungure83743 жыл бұрын
Amina,huo ndio utumishi,Mungu akutunze
@yusufally68535 жыл бұрын
Mungu ni mwema ck zote.amiiina
@paulomalas72593 жыл бұрын
Asante baba umejiwekea hazina kwa mungu
@yusufally68535 жыл бұрын
Mashallah wallah ALLAH atakulipa baba angu inshallah
@eppiemodest3 жыл бұрын
Watoaji na wasaidizi wako ila hii ya Mheshimiwa Pinda ni zaidi. Sijawahi kuwaza kama dunia hii ya ubinafsi wako watu wa aina yako. Mungu akupe maisha marefu sana tena ya heri duniani hadi mbinguni kwa Mungu Baba.
@shamsahassan25865 жыл бұрын
jaza yako iko kwa allah inshallh
@tatujuma42613 жыл бұрын
Inshaalah Mwenyezi Mungu akusimamie hapohapo ili usije badilika maana unaifanya kazi ya kuwajali viumbe wake na pia akujaze pale panapopungua ktk kuwahudumia
Daah! Hongera sana mzee Pinda kwa huo utumishi wa Mungu uliotukuka! Hiyo ndo dini ya kweli mbele za Mungu kulingana na biblia! Hakika thawabu yako utaikuta Mbinguni!!
@mandyfitnesstv67385 жыл бұрын
Safi sana Mr Pinda.
@clementiddi62443 жыл бұрын
Mungu akuzidishie waziri
@nehemiaisakwisa86044 жыл бұрын
Mungu akubariki Mzee wetu Pinda tunaomba uyo George Bush aitwe Magufuli maana ilo ni jina zuri zaidi kwa ustawi wa nchi yetu
@anuaryally61774 жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukuzidishia amiina
@albertchamafwa66095 жыл бұрын
Mungu akubariki mzee
@shafiqmohd14913 жыл бұрын
Hongera sna kwa ulezi mzuri jitahd
@pakashume7253 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mzee wetu
@alexsimiyu85824 жыл бұрын
That's so nice of you bwana Prime Minister, may you be blessed
@zekewilson13713 жыл бұрын
Sorry to be so off topic but does someone know of a tool to log back into an Instagram account? I was stupid forgot the login password. I appreciate any tips you can give me
@rehemafungo50424 жыл бұрын
Mungu akujalie maisha
@florarog5483 жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba
@shalomizrael6673 жыл бұрын
Mungu akubariki baba
@rahmazahor43334 жыл бұрын
Ka Gorge Bush........ Ha ha ha kazuri mashallah
@micamathew25953 жыл бұрын
Bwana Yesu akubariki jmn mzee wetu.
@kimsis71295 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mzee
@felixmagulu61425 жыл бұрын
Hongera sana mzee wetu, Hilo unalolifanya la kuwalea watoto watoto wanaotoka katika familia zisizojiweza hakika umejiwekea hazina kubwa sana kwa Mungu, Mungu azidi kukufungulia milango ya Baraka.
@paschalmasalu69425 жыл бұрын
Mzee wa watu hongera!
@ausonjustinian54943 жыл бұрын
We binti asnt kwa hbr hizi njema. Waandishi chukueni mfn huu. Sio kua mnatuletea hbr za uzush na uchonfanishi.
@siweyemwakasala3164 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki baba
@doreenmukandara65084 жыл бұрын
MUNGU azid kuwa bariki.familia yote ya Pinda.kwakweli wanapenda sana kusaidia kamili hasa watoto.
@meijejames85995 жыл бұрын
Uko vizuri mzee
@aginiweyessayakyando98555 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mzee Pinda
@doiniciamallya84695 жыл бұрын
Mungu akubariki mzee pinda
@hamadimwasa18895 жыл бұрын
Uko vizuri mkuu sanaaa napenda nimependa sio kuekeza duniani hapo mwenyezi mungu nae umemfurahisha sio kwetu
@ibel4lf4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mheshimiwa
@ahmadakishingo19355 жыл бұрын
Ww ni wakipekee hongera mstahafu
@melkizedeckmassawe5704 жыл бұрын
Mwenye enzi Mungu akubariki baba
@ashuramhando52854 жыл бұрын
Dah muh/ Mungu atakulipia una moyo wakipekee kumbe TZ Ina viongoz wengi wenye roho zahuruma
@rogatiusscarion7265 жыл бұрын
Real public figure
@khadijanjama87213 жыл бұрын
Hongera baba
@dastansimpanzye55584 жыл бұрын
Mungu akubariki mzee pinda
@zwinaalhabsi6643 жыл бұрын
Vizuri sana mheshimiwa
@nurudaniford3333 жыл бұрын
Jaman nimmemkumukaa sanaa huyu baba🥰🥰🥰🥰
@bugabyarugaba37715 жыл бұрын
Huyu ni raia mwema
@basilisamsaka84693 жыл бұрын
Madume!(kama 6)nimefurahi
@amanimwamluku26123 жыл бұрын
Nimeipenda mzee ongerasana
@magejuliani52935 жыл бұрын
Mimejifunza kitu kwako
@orestpaul42734 жыл бұрын
Mungu azidi kukulida baba, akuzidishie kwa moyo wako wa upendo.
@sharifjuma12204 жыл бұрын
Hongera sana
@hassanmkwama99005 жыл бұрын
Mungu akujaalie moyo huo kwa binadamu wenzako
@johnkyara20165 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu mpaka uko mbiguni
@manyanyapeter46404 жыл бұрын
Mh mungu akupe zaidi yahapo ulipo barikiwa sana
@josephmwinuka39823 жыл бұрын
Mungu akubariki kwamoyo wa upendo mtoto wa mkulima
@cyrilmmasi50703 жыл бұрын
Amiin
@allykigatta75643 жыл бұрын
Mungu atakulipa baba..
@jumaigoti86384 жыл бұрын
Uko sawa mzee
@jbjb96285 жыл бұрын
MUNGU akubariki muheshimiwa
@reginaldsukums18125 жыл бұрын
Hongera Sana Mkuu Mungu azidi kukubariki
@ndeshimasao26484 жыл бұрын
Kristu nimeisoma leo nimewiwa kujibu Hongera sana Kweli wewe ni baba Mungu akufunike nambawa sale Dhawabu yako iko Mbinguni
@yonazimpombe11603 жыл бұрын
Wanaotaka uongozi tanzania tujifunze kwa mzee pinda
@lennykiganga47633 жыл бұрын
Mungu alubaliki kwakwl
@feisalissa30095 жыл бұрын
Hongera pinda
@witnessmbogora39663 жыл бұрын
Kweli TANZANIAtumejaliwa lulu za viongozi🙏
@innocentjohn40405 жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba yangu huo ndiyo ukatoliki
@husseinkarim67454 жыл бұрын
Ndio maana mungu amekujalia mambo mazuri.
@saumuhassan63653 жыл бұрын
Sikuizi uko wapi mrembo Cathe?
@manasepetrok16074 жыл бұрын
Safi kwani hutaki tena nyasifa nyingine mzee
@shayopaterini86784 жыл бұрын
Duuuu hongera kwa moyo huo
@judithcha-mushala88523 жыл бұрын
Mzee ulituacha vibaya na DESI ulifungia pesa zetu wanyonge mpaka leo huko kimya hatusikii kesi iliishia wapi? Mh magufuli amefariki sijui nani hatatutetea😭😭
@josephinekicheleri8603 жыл бұрын
MUNGU AKUBALIKI HII NI AKIBANYAKO.1nyakati 29:...3...5
@johnjohn50324 жыл бұрын
Dah kwa kiongoz Kama huyu ni faraja kwel nimemfrahia San kwa kubeba msalaba huo mungu akubark San mh pinda
@amaniswa55234 жыл бұрын
Hakika Mungu ataubarki uzao wako milele mheshimiwa.
@happinessmartini26883 жыл бұрын
Mmoja namjuwa alikuja kufanya treeing Zanzibar ocean