Kwa nini fuvu la Mkwawa limehifadhiwa hadi sasa

  Рет қаралды 12,097

DW Kiswahili

DW Kiswahili

5 жыл бұрын

Aliyamaliza maisha yake akiwa na miaka 43 tu lakini akitambuliwa kuwa shujaa mkubwa aliyesimama na kupambana dhidi ya watawala wa kigeni. Huyu ndiye Mtwa Mkwava Mkwavinyika Ndevivalagosi Simkali Seligamba, ama Chifu Mkwawa.

Пікірлер: 12
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Asante wahehe mashujaa
@agneomasonda2462
@agneomasonda2462 5 жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe
@Kiswahili
@Kiswahili 5 жыл бұрын
Ahsante na wewe Masonda kwa kutazama. Natumai umejifunza kitu.
@gretagonga2966
@gretagonga2966 4 жыл бұрын
Aliyejinyonga nani sasa?
@nicksonthevet
@nicksonthevet 4 жыл бұрын
Munyalutanana Mukwavinyika
@victormwailenge3713
@victormwailenge3713 5 жыл бұрын
mbona hatuoni hilo fuvu
@Kiswahili
@Kiswahili 5 жыл бұрын
Angalia vidio mpaka mwisho utaliona.
@ramazubery8396
@ramazubery8396 5 жыл бұрын
ckweli risasi historia inasema aliwasha motomkubwa kishaakaingia ktk moto nasifayamoto ikibaki mifupa huwa ina kreck au kuvunjikavunjika kwahiyo swala la risasi sio.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Acha kubisha ukweli wewe, acha wivu, baba wa babu yangu alikuwa Askari wa Mkwawa, alitueleza Mkwawa alijishuti na Gobole, tatizo watanzania tunaoneana wivu
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 Жыл бұрын
Hiyo historia uliisoma wapi wewe? Mbona mie niliyoisoma form 3 haisemi kuhusu moto?
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 жыл бұрын
munyalutanana
Simulizi ya historia ya shujaa wakihehe chief Mkwawa
40:45
ITV Tanzania
Рет қаралды 5 М.
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 50 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 118 МЛН
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 9 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
DW Kiswahili | MAONI: Maandamano ya Gen Z Kenya | DW Kiswahili
40:20
Nyumba za makasha Kenya
6:01
DW Kiswahili
Рет қаралды 146
KIDUO CHA KIHEHE / WANYALU KAMWENEEE
3:41
Alama Online TV
Рет қаралды 99 М.
#maandamanokenya | Wasiwasi wa kutekwa waandamanaji Kenya
2:38
Abdulwahid Sykes raido tangazo2.wmv
1:15
Mohamed Said
Рет қаралды 1,2 М.
Urusi na Ukraine wanavyokimbilia Afrika. Kunani?
3:56
DW Kiswahili
Рет қаралды 1 М.
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 50 МЛН