KWAME NKRUMAH: Rais Aliyeoa Mke Asiyemjua Kuiunganisha AFRIKA!

  Рет қаралды 414,146

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

KWAME NKRUMAH: Rais Aliyeoa Mke Asiyemjua Kuiunganisha AFRIKA!
Kwame Nkrumah aliipenda Afrika kwa dhati, akapinduliwa kwa hila! Aliamini Afrika ni moja, akaapa kuiunganisha, mabeberu yakampa za chembe na kisha kushangilia.
Yakaua uchumi wa Kokoa, vyuma vikakaza nchini, nchi ikajaa wasema ovyo, Nkrumah akajaribu kuwanyamazisha kwa rungu akanyamaza yeye.
#KWAMENKRUMAH
www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID:
goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 247
@hakinaukwelingo2154
@hakinaukwelingo2154 4 жыл бұрын
RIP Kwame Nkrumah your dreams are still valid and it will come to happen
@wazirehalima4566
@wazirehalima4566 5 жыл бұрын
I LOVE AFRICA ,AM Proud to be African 🇰🇪
@dominicmzunda7188
@dominicmzunda7188 5 жыл бұрын
I love u Africa
@lamecksamsoni7356
@lamecksamsoni7356 4 жыл бұрын
Msimuliaji popote ulipo chukua soda kwa bili yangu....respect xan
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
kabisa 👍
@alexanderson1805
@alexanderson1805 5 жыл бұрын
Napenda Sana hizi historia tuliziacha shule ya msingi!
@dastanmboyaduu8540
@dastanmboyaduu8540 5 жыл бұрын
Alexander son . .
@jeremiahsamwel4948
@jeremiahsamwel4948 5 жыл бұрын
Njoo nationalism form 4
@edwingwesso129
@edwingwesso129 5 жыл бұрын
Tulizichukia tukiwa wadogo tumpezpenda tukiwa wakubwa
@fistonniyonkuru10
@fistonniyonkuru10 5 жыл бұрын
Asant saaan bro
@munyumunyama8365
@munyumunyama8365 5 жыл бұрын
Wa kwanza kukoment wadau. ..like zenu please
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 5 жыл бұрын
Brother uko vizur sanaa kwenye hz story big up.
@TNNDOVLOG
@TNNDOVLOG 5 жыл бұрын
This is what African states should be pure teaching in History classes
@paxbukeyeneza2093
@paxbukeyeneza2093 5 жыл бұрын
natowa shukrani sana kwa vipindi vyenu
@wamburajoseph7433
@wamburajoseph7433 5 жыл бұрын
Asante kwa history
@mwangimagnet3564
@mwangimagnet3564 5 жыл бұрын
Loves your programme
@randalsonsaab8643
@randalsonsaab8643 4 жыл бұрын
Great work you are doing guys..Keep it up!
@kalalamathias8113
@kalalamathias8113 5 жыл бұрын
Asante sana ,
@danieltunga7025
@danieltunga7025 5 жыл бұрын
Tunaweza pata icho kitabu cha BEAUTIFUL ONES ARE NOT YET BORN
@rashidmpozayo7004
@rashidmpozayo7004 4 жыл бұрын
Kinapatikana mtandaoni
@amevuai8724
@amevuai8724 5 жыл бұрын
Bara la africa lingekuwa moja na kuwa na upendo basi tungekuwa mbali sana kimaendeleo.
@abdulisinga1597
@abdulisinga1597 5 жыл бұрын
Sasa Africa yapo mabara mangapi kama cio moja?
@hassanipuntina3149
@hassanipuntina3149 5 жыл бұрын
Alikuwa mpambanaji sana" hawa ndiyo viongozi sahihi kuitawala Africa
@sekivonsalva7697
@sekivonsalva7697 5 жыл бұрын
Dah umenkumbusha mbali sana "The beautyful ones are not yet born"
@masumbukotwaha1894
@masumbukotwaha1894 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂daa nimecheka sana leo kilamipango aliyo panga ilidunda indo africa bwana 😘😘😘😘
@zawadyjuma2303
@zawadyjuma2303 5 жыл бұрын
Masumbuko Twaha o
@georgematahimba5242
@georgematahimba5242 4 жыл бұрын
Sauti nzuri kama ya Jacob Tesha
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamaa utangazaji wake unafuhisha ile mbaya
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
Jamani napenda sana sauti ya haraka haraka Yaani unanifurahisha sana kwa jinsi ya utamu wa utangazaji wako😘👍😍💯❤️💕💞🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@dagwimaster9916
@dagwimaster9916 5 жыл бұрын
nakubali sana mwamba
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 5 жыл бұрын
Noumaahhhhh bongeee mojaa LA Story noumaahhhhh cnaaaaa aiseehhhhhhhh
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 5 жыл бұрын
Umetulia sana bro, simulizi nzuri, unajua pangilia maneno safi sana.
@trezlegeorge647
@trezlegeorge647 5 жыл бұрын
Appreciate that bro,,kitambo sana hizi stori# back to Africa movement
@kessyemmanuely7705
@kessyemmanuely7705 5 жыл бұрын
Daa nomaa sanaa
@jonasizack6712
@jonasizack6712 5 жыл бұрын
Brother unajua Sana
@inocentmarandu3323
@inocentmarandu3323 5 жыл бұрын
Hongera sana kwakazi nzuri
@mohabatkhanmalak1161
@mohabatkhanmalak1161 4 жыл бұрын
I would say you are the best orator and history channel on KZbin. Assente sana.
@hemedmgomi4450
@hemedmgomi4450 5 жыл бұрын
Nakubali kazi zako kaka
@Shoaibkhan-vn6zt
@Shoaibkhan-vn6zt 4 жыл бұрын
Really good channel with your ideas ❤️🇹🇿💯🌍🔥🦁👑
@munyumunyama8365
@munyumunyama8365 5 жыл бұрын
Historia nzur sana kk...big up msimulizi
@luganochelwa2707
@luganochelwa2707 5 жыл бұрын
Ila hii kitu aisee, naitazama kama Tanzania 🇹🇿 ya sasa. Maana kila anachokifanya ni kama mjomba hivi.
@kokudo8389
@kokudo8389 5 жыл бұрын
😁😁😁😁✔
@michaeleustach8742
@michaeleustach8742 5 жыл бұрын
Hhhhhhhha
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 5 жыл бұрын
Yeah..!
@maggiesamanda879
@maggiesamanda879 5 жыл бұрын
yaani Hawa hero were smart fighting day and night sahii serikali zote wanakaribisha Hawa wazungu sooner or later watatubadilika
@salumuwanani8496
@salumuwanani8496 5 жыл бұрын
Kaka nimekubali historia yko napenda nijifunze zaidi
@eventelias3566
@eventelias3566 5 жыл бұрын
Mungu awalaze pema peponi wote walioipigania Africa.
@hamisndengaso1627
@hamisndengaso1627 5 жыл бұрын
Nakukubari sana jamaa
@nassoroshabany3395
@nassoroshabany3395 4 жыл бұрын
Hongera sana kwa kazi yako nzur
@erickmhagama4320
@erickmhagama4320 2 жыл бұрын
Kwameh was being a clever man.
@joachimmanyika8934
@joachimmanyika8934 5 жыл бұрын
Me napenda historia zako na mm mfatiliaji
@abujuhaifah7461
@abujuhaifah7461 5 жыл бұрын
Rais wa kweli
@othmankondo8347
@othmankondo8347 5 жыл бұрын
Huyu Kwamwe Nkurumah ni Mjomba Magu mtupu.
@patrisamisalimu9903
@patrisamisalimu9903 5 жыл бұрын
Othman Kondo nimechek san
@emmanuelmsali4860
@emmanuelmsali4860 4 жыл бұрын
Kwelii yani mulemule yan magu
@agneskigeme1197
@agneskigeme1197 5 жыл бұрын
Napenda history hizi sana.sikuzote ukiwa mukweli nitatizo
@charitekato6283
@charitekato6283 5 жыл бұрын
Wanadamu hawana shukrani
@rodicostantino7278
@rodicostantino7278 5 жыл бұрын
UHl
@ngangamalugu6543
@ngangamalugu6543 4 жыл бұрын
You're real lion of Africa
@ibuddamas7834
@ibuddamas7834 4 жыл бұрын
Ntafurahi sana Kwa historia Za Nchi Na viongoz I wake
@seifupupu2580
@seifupupu2580 5 жыл бұрын
Napenda sana Narration yako uko vizuri stay blessed
@samwelchacha7168
@samwelchacha7168 5 жыл бұрын
big up broo
@kapondamsita476
@kapondamsita476 4 жыл бұрын
Mungu ibariki Africa
@nyawiramwangi1007
@nyawiramwangi1007 5 жыл бұрын
Asante sana kwa kutuelimisha
@boniphace1
@boniphace1 5 жыл бұрын
Bonge la story teller. Hongera sana
@yelemiakameta6033
@yelemiakameta6033 4 жыл бұрын
Weninoma kak mungu akubariki
@kokudo8389
@kokudo8389 5 жыл бұрын
Kwani kijiji kisichokua na maji, umeme, dawa ni kijiji 😁😁
@imanirodriguez1626
@imanirodriguez1626 5 жыл бұрын
Ur the best
@danielarapmoi3041
@danielarapmoi3041 Жыл бұрын
nko hapa after kaligraph Jones na harmonize
@edwardgwaspika4943
@edwardgwaspika4943 5 жыл бұрын
Dah! Inaumiza sana ila hapo kwenye kuoa nimejifunza kitu kikubwa Fulani... !
@daudijuma9093
@daudijuma9093 5 жыл бұрын
Kipi hicho Edward!?
@djatm1319
@djatm1319 5 жыл бұрын
Mimi ni mpenda historia sana hapa Kenya
@mwangimagnet3564
@mwangimagnet3564 5 жыл бұрын
Thanks
@shungushula4340
@shungushula4340 5 жыл бұрын
magufuli oyee mwalimu nyerere aliona mbali na alijua kua mdaulikua bado.wakatiuo kwa sasa mda umefika maguruli ana maliza mchezo
@evansm8802
@evansm8802 5 жыл бұрын
Very good reporter.kudos
@Slimkadex
@Slimkadex 5 жыл бұрын
mwqnangu mm naikubali vocal yako tu.
@magessamagessa5502
@magessamagessa5502 5 жыл бұрын
Nimekuwelewa sana wasiokuelewa wahawana shukurani
@godlistenlucas8213
@godlistenlucas8213 5 жыл бұрын
Kuna wakati maneno ya msimulizi yanakuwa mengi kuliko habari yenyewe
@saidindaro5858
@saidindaro5858 5 жыл бұрын
Napenda sana unavyoelzea
@cyprianernest6057
@cyprianernest6057 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua kusimulia vizuri...
@nyawawawanyawawa935
@nyawawawanyawawa935 5 жыл бұрын
Ni kama Tz ya leo yenye vibaraka upupu, wanao tumika kutuhujumu ilihali wakijinadi ni Watu sahihi kabisa wakienda mbali zaidi kwa kujipigia chepeo kuwa eti ni Wakombozi🙆‍♀️🙆‍♀️ Mungu tuepushe na watu hawa washindwe walegeee
@jordanfromyt2861
@jordanfromyt2861 5 жыл бұрын
Wait a minutes did anybody heard Lissu and who??????? Hahaha, Lol 😂 😂 😝 😆
@wisekingtony6370
@wisekingtony6370 5 жыл бұрын
......ingi😃
@official_sokoinesimba
@official_sokoinesimba 3 жыл бұрын
Lissu again 2025 Tanzania
@humphreyndiga1791
@humphreyndiga1791 4 жыл бұрын
Really very educative channel, but wapenda kuwaonea wakenya
@princengombaniza4080
@princengombaniza4080 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Eti lisu na masilingi walivyobishana kule nje
@kidutasuleiman255
@kidutasuleiman255 5 жыл бұрын
Pick something from this story
@gracejohns6108
@gracejohns6108 4 жыл бұрын
Historia hizi ni nzuri..
@hawaahawaa4808
@hawaahawaa4808 5 жыл бұрын
Nimeshakuwa mteja wa hizi stor.
@ahmedyally8943
@ahmedyally8943 4 жыл бұрын
Hv Yale mahistoria ya wazungu tunayasoma sana kuliko za kwetu,tunakwama wapi???
@barakamungure830
@barakamungure830 4 жыл бұрын
dar story nzur xana kaka saut nzur sana
@chrisantgeorge3677
@chrisantgeorge3677 5 жыл бұрын
Kwasasa lisu ndo anatumiwa na mabeberu mpaka anathubutu kusema ujinga
@abdulrazzaqchou3004
@abdulrazzaqchou3004 3 жыл бұрын
I Love you Afrique 🇧🇮
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 5 жыл бұрын
Tunahitaji viongozi kama Nkwame, hakika alikuwa mzalendo kwa Africa.
@elishaodembo3608
@elishaodembo3608 4 жыл бұрын
A true African hero
@nkwabitz233
@nkwabitz233 5 жыл бұрын
asanteee sana kk
@ahmedmahmudu1046
@ahmedmahmudu1046 5 жыл бұрын
baada ya kufatilia story za maraisi na viongozi wengine wa Africa kwa muda mrefu nimegundua kuwa sisi Africans ni matajiri sanaa but tatizo kuwa ni uwoga na ukosefu wa akili kwetu
@paulwebb7242
@paulwebb7242 5 жыл бұрын
Nimekuelewa kaka,ni ukweli usiopingika khs viongoz weng wa kiafrika hasa wale wa mwanzonia kabisa kina LUmumba,Azikiwe nk weng wao waliuwawa kwani hawakutaka ukoloni mambo leo
@richadfunka7281
@richadfunka7281 5 жыл бұрын
Huyu jamaa Yuk vizur
@renatusnjiku1503
@renatusnjiku1503 5 жыл бұрын
Nimekupenda na kupitia hapa umenisaidia kuijua history practically
@aishajuma712
@aishajuma712 5 жыл бұрын
Nimeipenda hii historia
@nassoromwiru1869
@nassoromwiru1869 5 жыл бұрын
Ukweri jamaa unatisha sanakwakutufungulia historian nimependa sana
@beritinkibalisa5450
@beritinkibalisa5450 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana broooo
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 5 жыл бұрын
Wah niilisoma GHC primo aki sema kuchapwa na mwalimu bele ya kusahau.mmmh poor me
@rajabmwachia6508
@rajabmwachia6508 5 жыл бұрын
Hawasomi GHC Tena🤣🤣social studies
@danielmbalwa9307
@danielmbalwa9307 5 жыл бұрын
Story nzurii sanaa
@Chillverse1312
@Chillverse1312 5 жыл бұрын
Kama Lissu na Masilingi 😅😅😅
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 5 жыл бұрын
Ananias edger unabonge la sauti.we ni samadu hassan jr.nakuombea ufike mbali
@lukagulagekidehele4937
@lukagulagekidehele4937 5 жыл бұрын
Kwa hilo waafrika tunayo laana ambayo alieturoga alikufa kabla hajazaliwa, Tunayo haki kuitwa wagalatia.
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 5 жыл бұрын
Afrika ina nguvu watu wake hawana ila wanaweza kujifunza
@arafatyhussein
@arafatyhussein 6 ай бұрын
Alipiga ung'engee😂😂😂 3:46
@fredcharles3238
@fredcharles3238 3 жыл бұрын
Hata hapa tunamshabikia makufuli lkn akirudisha mfumo wa chama kimoja naivi hapatani na hao anaowaita mabeberu yaani kulinduliwa haita pita wiki mbili
@meshackgeorge6646
@meshackgeorge6646 5 жыл бұрын
edgar unakipaji cha story saut yako inavutia sana uko good
@davemwangi8805
@davemwangi8805 5 жыл бұрын
Very good commentaries and also very informative. I'm already hooked
@ahmednuhu2386
@ahmednuhu2386 5 жыл бұрын
hapa na muona magu copy right.......hapa ndio najua kwanini kila harakat za magu zinapingwa
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 5 жыл бұрын
Sauti hii ni kipaji toka umitashunta .... Inavutia kusikiliza mpaka mwisho
@bahatisamwel1147
@bahatisamwel1147 5 жыл бұрын
Wewe msimilizi, hii ni shule inayotembea inaelewesha kuliko shule nyngne yyt Duniani
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 5 жыл бұрын
Nzuri Sana Tufanyie Full Hitoria Ya Jomo Kenyatta Wa Kenya...Na full Story Ya Nelson Mandela Like Your Wrk NduguMtangazaji.
@mudrickrashid6899
@mudrickrashid6899 2 жыл бұрын
nice
@fredmankaingu4172
@fredmankaingu4172 5 жыл бұрын
Mbone sauti ya Millard....lakini simulizi poa sana
@globaltv_online
@globaltv_online 5 жыл бұрын
Sikiliza vizuri.
@aminamussa5122
@aminamussa5122 4 жыл бұрын
Walidhania ndege ni baskeli 🤣 I'm weak
@giftlwae953
@giftlwae953 3 ай бұрын
Watu wapo hila wakijitokeza wanaliwa kichwa. Kizazi chetu nikizazi kinachohurudisha ukoloni uluokataliwa namababa zetu.
@neemaemmanuel6850
@neemaemmanuel6850 5 жыл бұрын
Daaaah,
FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia
13:34
HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa  KIFO Kwa WEMA Wake!
22:09
Global TV Online
Рет қаралды 590 М.
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Napenda Hii Sehemu ya Kauli ya Mwalimu Julius Nyerere.
1:37
DMM Visual Channel
Рет қаралды 88 М.
HISTORIA YA  KWAME NKRUMAH KUZALIWA HADI KUFA
12:16
SYLASS TV ONLINE
Рет қаралды 4,5 М.
NANI ALIMUUA RAIS KARUME?
6:35
IBM CHANNEL
Рет қаралды 22 М.
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
MUGABE: Rais Aliyepania Kuwakomesha WAZUNGU Wakakoma Watu Wake!
13:34
Global TV Online
Рет қаралды 527 М.
MFAHAMU Rais GADDAFI_Ananias Edgar &  Denis Mpagaze
27:25
Maisha Na Jamii Tv
Рет қаралды 205 М.