Fuatilia Mwanzo TV Plus SUBSCRIBE KZbin Channel yetu Follow us on X, Facebook and Instagram
Пікірлер: 43
@ramadhanmahongole929319 күн бұрын
Mpeni mwambukusi urais wa TLS yule ni mtetezi wa wanyonge
@user-zu8ou2oe4c19 күн бұрын
Safi sana kibatala umeonyesha ukomavu na hakika ww ni wakili bora tanzania lisaidieni taifa nyie mnao jua sheria
@user-pf2qk8fz9o19 күн бұрын
Safi saaana wakili msomi kwa darasa huru 😊😊 Asante sana
@kakawataifa675219 күн бұрын
Atakayempigia kura mwabukusi atabarikiwa mpaka ashangae
@user-fw6dp9iy4i17 күн бұрын
Msikubali kuwa mandondocha na idara za chama like kama chama cha cwt wafanyakazi and allies
@ceciliamagalabajimmy439119 күн бұрын
Safi sana wakili msomi.❤❤❤
@user-gy5gu1mn4x19 күн бұрын
Mabukusi oyeeeeee
@mlangotv846519 күн бұрын
Safi sana Wakili, nyie ndio wa kuokoa hili taifa, tunawategemea sana, nyie ni watu muhimu
@user-fx3xj3on5j19 күн бұрын
Mawakili hebu mpeni huyo mwamba hiyo nafasi , naamini watawala watajifinza kusimamia sheria. Sio kuzitunga kisha kuzivunja.
@user-ii7yw9ng5d19 күн бұрын
Hii ni ushahidi tosha kuwa mifumo yote inayounda serikali haiaminiki!
@user-cz4pu9py5s19 күн бұрын
Super kibatala.myonge mnyongeni kwa haki sio kwa kumwonea
@user-fx3xj3on5j19 күн бұрын
Yaani Kibatala , nakupa big up , msikubali kuwekewa kiongozi asiyetokana na maamuzi ya mawakili wote.
@SundaySteven-bz4yq19 күн бұрын
Kama mtu anasifa mwacheni ashindwe Kwa kura siyo kumuwekea vikwazo mwabukusi tuko vizuri
@janethpallangyo385519 күн бұрын
Kibatala❤❤❤❤❤❤
@patrinraura139719 күн бұрын
Mhe Wakili Kibatala Kwa.sisi watu chini tulio wengi Nyie ndiyo jicho letu kwenye kutafsiri ya Haki kwa kuwa ni Wataalamu kisheria na ndiyo mhimili wa haki kisheria kwa Umma Kinachotokea kumwengua Mhe Wakili Mwabukusi kinaweka doa na mnatuacha njia panda
@generosennko834319 күн бұрын
As a very important institution, Your reputation and integrity is at stake. All eyes are on you now. Tumieni busara zetu zote kupunguza au kuondoa tofauti zenu. Ninyi ni nuru na taa ktk taifa. Twawaombea heri
@simonnaivasha639319 күн бұрын
Hongera wakili msomi, taasisi nyigi nchi hii zimelezwa kwa ruzuku ya serikali ,hata mawkili hawajapona pengine wakili Mwambukusi na Fattuma Karume.
@anosiata824219 күн бұрын
Safi sana kibatala umeongea point
@ibrahimkibira994319 күн бұрын
Safi sana this our country 😢 😞
@froma373211 күн бұрын
Anasema wao ndio Muhimu halafu hao hao ndio wanapindisha Sheria kwa Masilahi yao Fatuma Karume Alifungiwa na kufanyiwa kila na kuvamiwa Mulikuwa Kimya BORE KABISA
@AthumanDauda19 күн бұрын
Akili kubwa sana
@foibennjeje773019 күн бұрын
Kibatala hongera kwa kulitambua hili
@boaziamos122419 күн бұрын
Hvi kwa hali hyo kweli kama una haki na huna pesa unaweza kusinda kesho mahakamani
@tumainimwaifunga388419 күн бұрын
Safi
@King_Of_Everything18 күн бұрын
✌️👍👊.
@user-nm8ym6iq7n8 күн бұрын
Piter kibatala, piter madereka, mwabukusi, nani mkali kwenye kesi akisimamia kesi huchomoki ??
@midventmax19 күн бұрын
Kunywa soda kwa mangi baba nitalipa
@fredyfile62319 күн бұрын
Ss kama srkl inapindua huu uchaguzi mdogo hivi wamawakili sembuse huu unaokuja wa nchi nzimaaa hahaahahha shem sana.
@user-ii7yw9ng5d19 күн бұрын
Nadhani Dola inapenyeza watu wa kuulinda udhaifu Kila "field of aspect",tutayaona mengi muda ukifika!
YAANI TLS IMEHARIBIWA SANA NA WATALA WA SERIKALI HII. TLS SASA HAINA RAIS
@WigesaNyerere19 күн бұрын
Achukue tu,ili tujue mbichi na mbivu za bandari na wamasai sheria inasemaje,maana nanukuu mijitu ina kengeuka tu.
@user-jj7qv7kh2s19 күн бұрын
Ipo siku msiomkubali mwabukusi ipo siku mtakuja kumuona akiwa mkubwa kwenye hili Taifa, Hata kama mtadanganywa lakini usipompigia wewe Watanzania wasiofaidi keki ya Taifa hili tutajiunga nae. Na ipo siku Mwabukusi tutamfanya kuwa mkubwa ndani ya Taifa hili.
@samsonsimon313819 күн бұрын
Hii sio taarifa kamili ni ujinga tu
@bibletv981819 күн бұрын
Mbona unamtetea huku unampigia mtu kampeni?
@RevocatusMchau-mp2mg19 күн бұрын
Umemsikiliza vizuri?
@harunamtiko11719 күн бұрын
Kama usingempgia kura 😂😂 mh mwabukusi ni jembe bhn tutakufa nae.