MKUTANO WAWAKA MOTO BAADA YA KAULI NZITO KUTOKA CHADEMA MANENO MAKALI YASIYOVUMILIKA

  Рет қаралды 12,549

Yuhai media

Yuhai media

9 күн бұрын

MKUTANO WAWAKA MOTO BAADA YA KAULI NZITO KUTOKA CHADEMA MANENO MAKALI YASIYOVUMILIKA

Пікірлер: 34
@leokamil6284
@leokamil6284 7 күн бұрын
Waambieni hao waamke wafunge macho Watanzania tuamke usingizini.
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 Күн бұрын
🎉🎉🎉
@kassidpandu866
@kassidpandu866 7 күн бұрын
ukisema wachaga ukisema wakristo ni sawa Tu
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 6 күн бұрын
wape vidonge vyao kadogooo ingawa kuna wapuuzi wanaokubeza lakini usiogope
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 6 күн бұрын
✌️
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 6 күн бұрын
UNAKATA VIUNO BARABARA MBOVU 😢
@danielphilipo9088
@danielphilipo9088 7 күн бұрын
Mimi napita tu
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 күн бұрын
Huna lolote! Njaa tu hiyo!😅😅😅
@user-gx9jr5le2f
@user-gx9jr5le2f 7 күн бұрын
Kwani uongo ona sasa mlivyo na akili mbovu nyie ndio mmechoka
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 күн бұрын
Nyumba watu wanajijengea wenyewe sasa unataka ccm iwajengee hata kipindi cha Nwalimu Nyerere hakuwajengea watu nyumb
@leokamil6284
@leokamil6284 7 күн бұрын
Majibu yako yanaonyesha ukosaji wa elimu ulionao .
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 5 күн бұрын
Huna akili tu tafakari nyoko wewe. Ccm imewafanya wasiweze kuinuka
@leokamil6284
@leokamil6284 5 күн бұрын
@@margarethpolepole7438 Usifananishe kipindi cha Mwalimu na hizi nyakati za wabinafsi wachumia matumbo hawajali maendeleo ya nchi wanajijali wenyewe na kujilimbikizia mimali ya ufisadi.Kipindi cha Baba wa Taifa Viongozi walikuwa na Uzalendo waliipenda Tanzania kulikuwa na upendo umoja mshikamano. Hakukuwa na ubinafsi maisha yalikuwa ya furaha sana. Baada ya vita na Uganda ndio nchi iliterereka sana na pale alipoanza Siasa ya Ujamaa na kubinafsisha makampuni viwanda na mahospitali tukalegalega ndio ikawa mara hivi mara vile mpaka leo ndio tumedidimia tumerudi nyuma mno viwanda hakuna Mashamba ya ngano basutu yamekufa ya mkonge Tanga kwisha Alizeti kwisha viwanda vya sukari vinahemea uzalishaji mdogo yaani tafrani tu .
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 күн бұрын
Kwa hiyo nyie mnaahidi kuwajengea watanzania wote nyumba bora kwa hela zako au kwa kodi zetu? Akili za kuambiwa changanya na za kwako!😂😂😂😂😂
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 7 күн бұрын
Umasikini uliyoko tanzania watu tunaishi maisha magumu Kodi juu tozo zinaongezwa kimyakimya vitu vyote vimepanda Bei miundombinu mibovu maji na umeme shida hayo yote yamesababishwa na ccm . Rasilimali zetu ziko mikononi mwa wageni kwa mikataba ya hovyo ndio maana kila kukicha wanakopa maana hawawezi kutumia rasilimali za nchi kwa kuwa wamewapa wageni na wao wananufaika na familia zao wanaishi nyumba nzuri waktoto zao wanasoma shule za gharama wanatembelea v8 halafu ww unaleta hoja mrenda hapa
@LamsonMalenga
@LamsonMalenga 5 күн бұрын
Pumbu we iv umepita ata standard one
@Gelenya-ne2ip
@Gelenya-ne2ip 7 күн бұрын
Huna lolote wewe!
@youssefsanje8743
@youssefsanje8743 7 күн бұрын
Chama cha mbowe na mke wake
@leokamil6284
@leokamil6284 7 күн бұрын
Kwa hiyo wanachama ni watoto wao tumia akili wewe
@rogersiddy
@rogersiddy 7 күн бұрын
​@@leokamil6284Akili yake box kbs hajielewi kbs hana hoja msajili asingesajili Chama cha familia Chadema Chama cha wananchi
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 7 күн бұрын
Nawewe anzisha chako ukisambaze nchi nzima.
@georgesteven5185
@georgesteven5185 7 күн бұрын
Shoga ww Huna akili
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 7 күн бұрын
Acha upumbavu Mimi mnyakyusa Mimi sio mchaga lakini naipenda chadema sugu mchaga heche mchaga pambalu mchaga pumbavu wewe
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 6 күн бұрын
Ndg yangu hicho ni Chama cha Wachaga Wewe na Uislam wako wanakucholaa tuuu.
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 5 күн бұрын
Wewe chawa acha akili za ukoloni!
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 4 күн бұрын
Wewe chawa,uchawa na udini vimekujaa kichwani! N
@user-lt1nr4tk9r
@user-lt1nr4tk9r 4 күн бұрын
Mim n mbondei lakin nakupenda chadema acha uwongo
@mwllughanosanga960
@mwllughanosanga960 4 күн бұрын
Wachaga wana chama kumbe! kwa mujibu wa sheria za nchi gani?
@AthumanDauda
@AthumanDauda 4 күн бұрын
Wangelikua wachaga wanachama Chao nais kasikazin nzima chadema ingerikua ishachukua viti vyote Hivyo kumbk chadema nichama Cha siasa
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 61 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 541 М.
Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI
22:07
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 47 М.