"Mnataka tudhibiti Makanisa, mbona Baa zimezagaa kila kichochoro hamlalamiki?" - Askofu GWAJIMA

  Рет қаралды 176,246

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 216
@lukasemmanuel4614
@lukasemmanuel4614 3 жыл бұрын
Hii ni nzuri sana katika imani
@Salvation_GospelCC
@Salvation_GospelCC 6 жыл бұрын
Thanks Bishop Gwajima, maneno yako yamejaa ufahamu na hekima kubwa.
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 жыл бұрын
Very well said mchungaji gwajima we both need sehemu za kuabudiaaa katika maeneo husika kuwe na balanced
@lingtonadamson344
@lingtonadamson344 6 жыл бұрын
Askofu Gwajima Mungu akubariki sana. Tunakupendaaaa ww kweli Ni Mtumishi wa Kristo. Endelea kuismamia kweli.
@mtegaya2118
@mtegaya2118 6 жыл бұрын
Yaani unaujasiri sana na umejibu hoja kwa utulivu sana,nimeanza kukuelewa askofu Gwajima
@adonisoden2054
@adonisoden2054 6 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa kutupa watanzania rais huyu mzur na genius and a real Patriot... We all love him and pray for him always
@williamemanuel9564
@williamemanuel9564 6 жыл бұрын
Amen,, Askofu Gwajima Namuelewagwa sana.
@ericamwakyokile1889
@ericamwakyokile1889 6 жыл бұрын
Inashangaza sana kuona mchungaji Limo anaomba madhehebu yapungue.kumbuka huko ulaya makanisa yanageuzwa kuwa misikiti. kweli mchungaji Gwajima uko sawa.
@imma4real576
@imma4real576 6 жыл бұрын
Askofu gwajima ni mtu mhimu sanaaaa na huko kwajiri kuhubiri amani ya Nchi yetu jamani ona point zake 3 alizo fikisha kwa Rais magufuri. Zote ni nzr sana hongera gwajima
@nginamugwe8093
@nginamugwe8093 6 жыл бұрын
Askofu Gwajima hekima umepewa na Mungu zidi kubarikiwa
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 6 жыл бұрын
Ni wachache sana wenye dhati ya mioyo yao wanaoweza kukubali ukweli huu..Tunapaswa kuwa fair Hongera Bishop Gwajima.
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 6 жыл бұрын
Silaha ya Bwana,UBARIKIWE!!
@Pastorlenhardkyamba
@Pastorlenhardkyamba 5 жыл бұрын
dadddddy Bishop. Gwajima you always talk POINTS
@sangainelekasi495
@sangainelekasi495 6 жыл бұрын
kiukweli gwajima umeongea hongera sana
@frankmakori1481
@frankmakori1481 6 жыл бұрын
Hiii Ndio Tanzania ya Ndoto Zangu Mungu Akubariki Sana Muh: Rais Wetu Maombi yangu naona Mungu akiyajibu
@dawillygene
@dawillygene 6 жыл бұрын
Nakupenda Gwajima na namshukuru Rais kwa hekima zake.
@princesinko4073
@princesinko4073 6 жыл бұрын
Gwajima nimekupenda sanaa, hasa kwa jinsi ulivyo jibu kuhusu makanisa kuwa mengi badala ya kumpungua
@alimassea612
@alimassea612 6 жыл бұрын
Yamekuwa mengi kwel HD kero kelele kila uchao
@mgayajofreyj9788
@mgayajofreyj9788 6 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania, mbariki Rais wetu na viongoz wote, viongozi wa dini na watanzania wote tuzidi kuwa na Amani hii, Amen!
@thobiasgindu5492
@thobiasgindu5492 6 жыл бұрын
Safi Sana Mchungaji Gwajima Hekima tupu Umeongea
@yusuphstephenkulwa5217
@yusuphstephenkulwa5217 5 жыл бұрын
Big up Bishop Gwajima,umesema point mhimu
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 6 жыл бұрын
Gwajima mungu akubariki sanaaa
@salminiyussuf989
@salminiyussuf989 6 жыл бұрын
Duh! Mi nakukubali sana Gwajima. Mashekhe mbona hamjawaombea msamaha kwa Mh Rais Mashekhe wetu wa Uamsho!!!?
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 6 жыл бұрын
Mashekh wote mlio pewa nafasi yakuhudhuria hicho kikao mnashindwa kuwaombea mashekh wenzenu watolewe inshaallah mungu atasimama nanyie siku yakiyma .
@iamthefarmerceo2316
@iamthefarmerceo2316 6 жыл бұрын
Ameeeenii Gwajimaa ni kichwaaaa
@josephnyarobi3913
@josephnyarobi3913 6 жыл бұрын
Stay blessed Gwajima
@sudiomari5881
@sudiomari5881 Жыл бұрын
Safi sana watanzania wenzetu kwakujitolea kwaajiliyataifaletu
@bahatib.kidesela5423
@bahatib.kidesela5423 6 жыл бұрын
Tanzania ni sehemu bora sana kwa maisha ya mwanadamu.
@daddieeddie5057
@daddieeddie5057 6 жыл бұрын
hahahahaha
@joeljulius6389
@joeljulius6389 6 жыл бұрын
nimetafakari kauli yako umenikosha ,. ni kweli kabisa
@mwinjumathomas5132
@mwinjumathomas5132 6 жыл бұрын
Sio kweli, we mnafiki yaani mahali salama wanapopingwa risasi mchana kweupe😬😬😬
@mwanaeidizenji8264
@mwanaeidizenji8264 6 жыл бұрын
Heee
@kaayaester9739
@kaayaester9739 6 жыл бұрын
Hongereni sana watu Wanadamu hasa Mliookoka maana Bila Yesu ambaye ndio njia pekee ya kwenda Mbinguni
@mbelwajonathan9989
@mbelwajonathan9989 6 жыл бұрын
ubarikiwe gwajima joseph
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 2 жыл бұрын
Amen baba Gwajima 🙏🙏
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 6 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Gwajima Injiri lazima iubiliwe kote
@jenimakoi5250
@jenimakoi5250 5 жыл бұрын
Safi sana Gwajima yaan big up
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 6 жыл бұрын
Namuelewa sana Gwajima, ametoa hoja kwa unyenyekevu na ujasiri mkuu
@msafiriaugustino2957
@msafiriaugustino2957 6 жыл бұрын
japo kwa upande wa wakatoliki pombe imeruhusiwa sasa sijui imekaaje
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 5 жыл бұрын
Nakupenda Askofu kwa kazi yako
@clevalupakisyo7460
@clevalupakisyo7460 6 жыл бұрын
Gwajima ni Bright sanaaaaa!
@sawanjema4889
@sawanjema4889 6 жыл бұрын
safi sana gwajima kwa point zako
@davinaheven4794
@davinaheven4794 3 жыл бұрын
Gwajima live long.
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 6 жыл бұрын
Askofu Gwagima uko vizuri sana injili lazima ihubiriwe kila Mahali pote.
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 6 жыл бұрын
Kwanza namshanga sana mchungaji lymo anamshauri rais aachie democraticia wakati yeye hataki madhehebu mengine yawepo kweli nyani haoni kundule lake
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 6 жыл бұрын
Joel Joel kesoy huyo mchungaji lyimo vip?
@meryevance6744
@meryevance6744 6 жыл бұрын
Joel Joel kesoy ww ujitabui unachoongea
@aishakiety8911
@aishakiety8911 6 жыл бұрын
Nyumba ya ibada inatakiwa iwe kwa ajili ya waumini wa mtaa huo. Sio wanao abudu hawaishi maeneo hayo. Halafu wanaweka sauti kubwa paka masikilizano hakuna. Mziki mkubwa watu wote mnawasikiliza wao wakati hamuhitaji.
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 жыл бұрын
Kauli za Gwajima ni nzuri sana na ninaamini hapa alikuwa hajajiingiza kwenye Siasa kama sasa hivi. Alikuwa anaongea kama Askofu bila kumumunya mumunya. Haiwezikani mtu kama Askofu amesimama kwenye Madhabahu/Mimbari unaongelea mambo ya CCM na CHADEMA. Ushauri wangu kwake aachane kabisa na Siasa atapata mafanikio sana.
@kaayaester9739
@kaayaester9739 6 жыл бұрын
Mchungaji Gwajima ana Akili sana Ana Mafundisho Ambayo Duniani hapa hakuna Anayefundisha kama hayo hasa ukisoma Vitabu vyake wee acha jaribuni kuvisoma uone
@shabanaman8556
@shabanaman8556 6 жыл бұрын
We muongo was dunia
@msingimtombozi9013
@msingimtombozi9013 5 жыл бұрын
Barikwa baba nakuelewa sana naomba sehemu ya roho yako iwe kwangu
@lazackbrown1645
@lazackbrown1645 6 жыл бұрын
Mungu akubariki Mchungaji gwajima wewe ni Mchungaji pekee mwenye ujasiri mkubwa sana
@jomikomike1682
@jomikomike1682 6 жыл бұрын
Hekima nyng askof i like ur speech
@kasyupamwakibibi1615
@kasyupamwakibibi1615 6 жыл бұрын
gwajima nakupenda kwa msimamo wako bila kuyumbishwa
@frankmosha5854
@frankmosha5854 6 жыл бұрын
Gwajima safi kwa kumsahisha lymo
@claralassonn8833
@claralassonn8833 6 жыл бұрын
Nimekuelewa sana baba
@eusebiuskipilipili3128
@eusebiuskipilipili3128 6 жыл бұрын
Safi Askofu Gwajima
@mhs-thehydraulicsolutionsf7243
@mhs-thehydraulicsolutionsf7243 6 жыл бұрын
Hakika Mzee Gwajima wewe kichwa
@alexjosephat9030
@alexjosephat9030 6 жыл бұрын
Gwajima nimekukubali
@ericamwakyokile1889
@ericamwakyokile1889 6 жыл бұрын
ASKOFU GWAJIMA MIMI NAKUKUBARI SANA.MUNGU AKUBARIKI SANA.UNAUPENDO WA KWELI NA KUWAJALI WENGINE.ASANTE KWA KUMKUMBUKA ASKOFU MPEMBA. NA KUHUSU SEHEMU YA KUSALI AIRPOT WAMETUBAGUA WAKRISTO
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 6 жыл бұрын
Mchungaji Lyimo kaangusha sana Wana wa Mungu wote na waumini wa Yesu Kristo..Kaangusha pia wachagga wote ..
@adamumjomba82
@adamumjomba82 6 жыл бұрын
Kwa kweli Ktk watu waliongea mambo ya msingi kabisa Ni Askofu gwajima simjui Mtu huyu Kwa kumuona live ingawa Na mfatilia ktk KZbin wameongelea Kwa kutulia wakristo lazima tuabudu mda wote kama alivyo Fanya yesu kirsto Na sio Nara moja Kwa week .(huko Ni kupingana Na Yesu.
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 6 жыл бұрын
Twende pamoja kama kuna mtu kaona jicho la mzee wa upako kwa gwajima 😂😂😂
@elibarikielia4434
@elibarikielia4434 6 жыл бұрын
Gwajima shikamoo
@muhungamasengo9691
@muhungamasengo9691 6 жыл бұрын
Safi sana ihii kiboko
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 жыл бұрын
Gwajimaaaaa,nakuelewaga sn Kwakweli tinahitaji kanisa airport!
@unstoppabledewinner7257
@unstoppabledewinner7257 6 жыл бұрын
*Gwajima* very nice
@davidlekasi5668
@davidlekasi5668 5 жыл бұрын
Nnapendekeza pia kuna haja ya haya madhehebu kudhibitiwa, athari itokanayo na ongezeko kubwa la haya madhehebu ni kutengeneza watu wenye utegemezi wa kufikiri na kuwafanya watu kuwa na hofu ya kuhoji mambo, na kulemaza uwezo wa kufikiri kwa jina la imani na miujiza, pia baa ziwepo kwa utaratibu kwani unywaji uliopitiliza athari zake hufanana na hizo hapo juu nilizozisema, ninashauri angesisitiza ujenzi wa shule nyingi kuliko majengo ya makanisa, angeshauri ujenzi training center kama vituo vya veta ili kufanikisha kuhamisha teknolojia na ufahamu kwa vijana kuliko imani na mafundisho ya miujiza ambayo kimsingi hayana mchango mkubwa ktk mustakabali wa maendeleo ya taifa, leo hii tuna makanisa mengi kuliko shule na mahospitali, tunafundishwa miujiza zaid badala ya ufahamu wa ' know how' kifupi ni kwamba dini leo zinaongoza kwa mateka kuliko tunavofahamu kuhusiana na biashara ya utumwa kipind cha mkoloni.
@kaayaester9739
@kaayaester9739 6 жыл бұрын
Ama Unampokea Yesu uende Juu Mbingu la sivyo shimoni au Kuzimu
@hasankikwesha2393
@hasankikwesha2393 6 жыл бұрын
asikof umejibu vizuri sijui ni shule umesoma au ni fslisafa ainagani unayoitumia
@emysonofj2116
@emysonofj2116 6 жыл бұрын
Jamani me nauliza swali nani kaoa binti wa miaka sita au tisa iviii namtafuta nimwambie YESU ALISAMEHE DHAMBI ZA WATU NA ANASAMEHE NA ALIFUFUA WATU WENGI SANAA 😎😎😎
@Ramadhan12623
@Ramadhan12623 6 жыл бұрын
mzee wako
@Ramadhan12623
@Ramadhan12623 6 жыл бұрын
alaf kngne w aikwmbia yexu anaxamehe zambi nan anaexameh zambi yexu au baba yake yexu bimaana mungu.. achen utan na mungu nyie
@alexkway9333
@alexkway9333 6 жыл бұрын
baadhi ya waislamu jina wanatoa povu kwa Gwajima kuhusu sehemu ya kuabudia badala ya kutoa povu juu ya masheikh waliokalisha makanzu hapo wakati kuna wenzao wapo jela bila hatia....
@babalababa306
@babalababa306 6 жыл бұрын
Mimi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri tu aachane na vyombo vya habari kwa sasa kwa wananchi wamemzoea sana. Kipindi cha kampeni hata weza kuwa na jipya zaidi raia watakuwa wanataka kujua mapya ya upinzani
@ahmedkhatibu5387
@ahmedkhatibu5387 6 жыл бұрын
daaaaah,,,,ila kuna watu wana mawazo ya maana sana ,,,,
@kassimali1943
@kassimali1943 5 жыл бұрын
Akirudi uyo nasie mtutoree mashehee wetu raisi wetu tuangarie wote wapiga kura wKo
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 6 жыл бұрын
gwajima na mzee wa upaku endeleeni kula sadaka za waumini msituletee udini wala ukabila......
@adamumjomba82
@adamumjomba82 6 жыл бұрын
sioni Ubaya mchungaji gwajima kutaka wakristo nao wapate sehemu ya kufanya ibada Kwa vile kabla hujasafiri nivizuri ukafanya ibada . Kwa hiyo wakristo nao wapate sehemu ya ibada sio vibaya.
@ngoroshowinfrid2220
@ngoroshowinfrid2220 6 жыл бұрын
nice dady
@dawillygene
@dawillygene 6 жыл бұрын
Yaani askofu umenigusa sana , watu wanalewa eti hakuna shida watu wakiabudu shida sasa lipi jema tuwe na kizazi kinachomcha Mungu au cha walevi?? mie naona ingewezekana hata kila baada ya nyumba kumi kungekuwa na nyumba ya ibada iwe msikiti au kanisa watu wakaabudu badala ya kulewa,
@musahaule4225
@musahaule4225 6 жыл бұрын
point muhim
@givenrugora6334
@givenrugora6334 6 жыл бұрын
Wachungaji Hanna Mbingu ya kupeleka watu Na wanaendelea kwa Sheria na ushuuda yesu vinginevyo hapa asubuhi kwenye na dam hizo mtazilipa zitatakwa juu yenu
@mahdsalim
@mahdsalim 6 жыл бұрын
Hmm wakristo mnaabudu kwa sauti kubwa sana na vinanda pianos nk mnafkir mkiekewa sehem yakuabudia makazani patakalika? Au airport? Na km mnaabudu kiroho bas haina haja yakutengewa sehem maalum ata kwa kiti chako tu unaeza kuabudu
@avitagodfley7816
@avitagodfley7816 6 жыл бұрын
Asanthe baba ubalikiwe sana
@TajiriOne
@TajiriOne 6 жыл бұрын
We lyimo sijui umesimama upande gani hutaki makanisa unataka bar ndo ziwe nyingi hutaki madhebu yawe mengi kwani lako ndo la Kwanza hapa Tanzania
@manonisita1302
@manonisita1302 6 жыл бұрын
OK
@fizomakuya4142
@fizomakuya4142 6 жыл бұрын
Surat Imran 118-119
@magnussanga
@magnussanga 6 жыл бұрын
Farida saleh Dada hangu husiwe na Ubinafsi halafu kama jambo hulijui ni vyema kukaa kimya. hata vitabu vyadini vinataka hivyo kakimya kama jambo hulijui sipendi kunukuu zaidi maana utanifikilia vibaya.
@magnussanga
@magnussanga 6 жыл бұрын
sasa halie kuwa Ubinafsi ni gwajima au nyinyi hacheni humimi , baada ya kumpongeza anaomba sehemu ya ibada nyie mnacoment hujinga huo ni Ubaguzi mnao huleta hivi nyinyi kweli mnamcha Mungu kweli ? maana kama mngekuwa mnamcha Mungu msinge Comment nonsense .
@josee8224
@josee8224 6 жыл бұрын
Siafiki ongezeko la nyumba za ibada ni baraka...
@shabanaman8556
@shabanaman8556 6 жыл бұрын
We gwajima unazingua kwan we muislam mbona unasema waislam wenzetu acha kujifanya muislam km unamaind njoo ktk uislam.
@shabanaman8556
@shabanaman8556 6 жыл бұрын
Gwaji inakuuma
@maombitv4118
@maombitv4118 6 жыл бұрын
baba umeongea kitu cha ukweli sana
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 6 жыл бұрын
hizo baa hata ilikoanza dunia zipo unashangaa baa
@bonifacekisinga5908
@bonifacekisinga5908 6 жыл бұрын
Safiii
@jejesalama7970
@jejesalama7970 6 жыл бұрын
Tuna taka watu ma elfu kama wewe Joseph Gwajima
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 4 жыл бұрын
Gwajima umefika bei
@josephnjellah280
@josephnjellah280 6 жыл бұрын
Mheshimwa Raising utuite na sisi tunaodai madeni yanayo hakikiwa tueleze waliotukwamisha kulipwa ,wanana madudu .
@chechemoto
@chechemoto 6 жыл бұрын
Makanisa nayo yamekuwa kama bar tu kila kona. Upuuzi mtupu kazi kudanganya watu
@benardjulias8289
@benardjulias8289 6 жыл бұрын
Mambo mengi yanatokea
@albinoentreprises2176
@albinoentreprises2176 6 жыл бұрын
baa zinalipa kodi
@josephpatrick6582
@josephpatrick6582 6 жыл бұрын
safi sana
@babafranco3366
@babafranco3366 6 жыл бұрын
sukuma ndan wauza baa
@ibnually7428
@ibnually7428 6 жыл бұрын
Huyu Askofu inaonesha kachukia suala la waislam kueka sehem za ibada ktk maeneo muhim!! sasa ibada inafanywa rohoni kanisa la nin?
@salumumuhamedy9905
@salumumuhamedy9905 6 жыл бұрын
Mashekhe wamekaa tu ata awa zungumzi kuhusu wenzao walio jela hawa muoni ngwajima hapo anavyo mwombea askofu mwenzake hao wamekaa tu wakati hii ndio nafasi.
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 жыл бұрын
Uoga
@josej9888
@josej9888 6 жыл бұрын
Hujawahi kuniangusha baba Askofu, inzi watakubari na comment zao utazijua tu humu.
@emmanuelmkongo8301
@emmanuelmkongo8301 6 жыл бұрын
nakamari zimezidi vijana hawataki kazi
@tadeimwaipaja1191
@tadeimwaipaja1191 6 жыл бұрын
Inzi wanakupeni tabu sana wakati wapo timamu sana 7bu wanasikia na wanaona mazuri mengi yanayofanyika!! Lkn nyie vipofu na viziwi , hamuyaoni Wala kuyasikia mazuri yoteyanayofanyika,, aibu sana
@officialfeysaly1256
@officialfeysaly1256 6 жыл бұрын
😆😆😆 uyu jamam anapiga vita kwel uslam
@uberdar967
@uberdar967 6 жыл бұрын
mbona sheikh ponda ujamualika umealika waislam poa poa tu
@Cryptocurrency_Tanzania
@Cryptocurrency_Tanzania 6 жыл бұрын
Mzee wa upako anakuangalia vibaya Gwajima umemkosea nini!?
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 6 жыл бұрын
Mbona hao mashekhe hawaombei wenzao walio jela watolewe au japo wapewe hata dhamana
@marrysiphaeli8482
@marrysiphaeli8482 6 жыл бұрын
Ivi jamanii.. kama kubeti ni haram.. je ngurue pia si haram na kwenye bible vyote ivyo vimekatazwa... mm kwa kifupi naona ya kaisari tumuachie kaisari.. tukisema tuzame kwenye vitabu vya dini tutakuta tuna kosea sana maeneo mengi. Ilo la kubeti liachwe tuu.
@thebaqiyyatullahionlinetv853
@thebaqiyyatullahionlinetv853 6 жыл бұрын
chuki za Gwajima ni za dhaahiir
@nikolabachi240
@nikolabachi240 6 жыл бұрын
Nakupenda Askofu gwajima
@alexjosephat9030
@alexjosephat9030 6 жыл бұрын
Sa chuki gani, ushindwe na ulegeeee
@alexjosephat9030
@alexjosephat9030 6 жыл бұрын
Sa chuki gani, ushindwe na ulegeeee
@shabanaman8556
@shabanaman8556 6 жыл бұрын
Kweli ana chuki na nyodo sana gwaji ma wenu.
@rahmajumanne8438
@rahmajumanne8438 6 жыл бұрын
Mlitaka aongee nani kamaxio gwajima? Mnaubinafci tu nyie 😏😏
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda
8:45
Millard Ayo
Рет қаралды 260 М.
MANENO MAGUMU ALIYOAMBIWA RAIS MAGUFULI NA NABII MWINGIRA
4:58
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 208 М.
OGOPA: Kama umezoea Kubet angalia alichosema Rais Magufuli
5:08
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 246 М.
Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni
9:30
Daily News Digital
Рет қаралды 523 М.
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН