Mh. Msigwa umeongea Point nzuri tu katika kushauriana, Umechemka ulipomtaja moja kwa moja Msanii Steve Nyerere, hapo kwa Hadhi yako ya Kiuchungaji umejisahau kwani nayo ni Kazi kama kazi zingine, Pia na pia kuwathamini Wasanii wa ndani ni muhimu, Kwa hayo Mchungaji binafsi naona waombe radhi Wasanii wetu.
@mohamedmohamedimnyilila66314 жыл бұрын
Tunakupenda sana mbunge wetu wa iringa
@stevehiraly91274 жыл бұрын
Mashine hio.. Naskitik sana huyu jamaaa kumkosa bungen... sjui hilo bunge lanaenda kuwaje???? 😭😭😭
@jiajoel23465 жыл бұрын
Msigwa keep it up...nakubali hoja zako
@madukurumwanileles79095 жыл бұрын
Lakini kweli Mheshimiwa Msigwa wakati mwingine mko sawa kabisa,kweli mnaona mbali na mnahaki ya kukosoa na kuishauli Serikali,safi safi sana.
@simonkanyungu77604 жыл бұрын
The like of opposition leaders we need in Kenya....at Peter msigwa
@qonquererqanquerer17815 жыл бұрын
Uko Sahihi Hon.Msigwa
@aggyparty29905 жыл бұрын
Kaongea ukweli mtupu sababu hata wakipanda huko hawafiki mtu kama welu sengo sijui aunt hawawezi kupanda mlima msigwa umeongea point 🙌🙌🙌🙌🙌 wenye akili ndiyo watamuelea 🙌🙌🙌
@ameniameni6175 жыл бұрын
Asante mchungaji msigwa uyo mama mjinga anapoteza mda
@mussajacob83465 жыл бұрын
Tena nimpumbavu sijui kilichomwasha nini kwanini asingekaa kimya ili wataalamu waendelee kutoa elimu
@kijangapeter51354 жыл бұрын
Hili maza jinga kabisaa
@wilsonmcs33695 жыл бұрын
WA MWANGATA IRINGA TZ.👏👏
@chinamichael33405 жыл бұрын
Mheshimiwa Msigwa Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu.
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Mwaka huu hana kitu Iringa mjini!!!
@kellyroselwinga79995 жыл бұрын
Kabisa we are not serious watumie watu wakuweza kutangaza utaliii,points taken kwakweli
@gabrielpott33255 жыл бұрын
Mzee msingwa mzee kichwa yako iko sawa sana mzee uko sawasawa ila kuna mijitu ipo hapo bungeni hata haitambui uwepo wao mzee chapa kaz.
@fettamidu25035 жыл бұрын
Msingwa kichwa saaaana big up
@philipomofuga35114 жыл бұрын
Kiboko ya ccm saf sana mbunge ujawahi waangusha watu wako Mungu akulinde uzid kua bora.
@leonardgalila30325 жыл бұрын
Leo speaker nimekuelewa
@fredylucas24845 жыл бұрын
Hapo mnaonyesha ni wapinzani wa kweli. Siyo kila kukicha kuzira bungeni. Kudos Mchungaji
@zicomgravity48975 жыл бұрын
This Man Is Real OG.💪💯👏👏👏
@godfreynkama60985 жыл бұрын
Hapo nimekuelewa sana mchungaji msigwa,uko vizuri kujenga hoja.
@angelmaganga94825 жыл бұрын
Mungu atskubariki hat wao wasipokusikia
@loner_wolf5 жыл бұрын
Hilo ni bao mr msingwa ..... Hawajaacha Sera , wako kisiasa zaidi ili wakamate wananchi ..... Ninyi mlikuwa mnateka watu mnapiga kelele watu wanauawa ili muonekane watetezi wa wananchi , wao wanapiga kazi karibu nasisi ili tujue wako nasi ...... So kaa chini pambania kiti chako uchaguzi unakaribia .
@pastor_mashimo5 жыл бұрын
Kuhusu utalii kwa kweli mh Singwa ameongea point
@alexmbembela45715 жыл бұрын
Kigwanagala nakuelewa Sana Ila jaribu kuyachukua mawazo ya mchungaji msigwa yatakusaidia Sana ......HAUWEZI KUMCHUKUA STEVE NYERERE UKAENDA NAE KUTANGAZA UTALII HATA KENYA HAWAMJUI......Kama umemuelewa mchungaji njoo ulike hapa
@alikhalfan95515 жыл бұрын
Msigwa umeenda shule unaongea hadi wabunge wanachanganyikiwa eti kanuni ya ishirini na nane isome haijui nakuombea kwa mungu msigwa urudi bungeni
@amirisemaye15674 жыл бұрын
Kaongea pumba tu
@joelmakeci4 жыл бұрын
Maneno yana utamu kwakweli,Gonga like kama umeona kama mimi...
@janelukololo99193 жыл бұрын
Safi
@nassorseluma29205 жыл бұрын
Safi sana mchungaji
@abtwalibuhussein48775 жыл бұрын
Mchungaji Uko vizuri sana.
@adamally87915 жыл бұрын
God point msingwa, tuache upinzani ulichokiongea hata ckupingi, kigwangwala chukua hayo madini, Hata team aliyopo samata kwa sasa uungie nayo mkataba kuutangaza utalii wa Nchi yetu
@robben87365 жыл бұрын
unajua uchikiongea...kuingia mkataba wa aina yeyote na club inayoshiriki ligi kuu England ni very expensive...approximately ni kuanzia M15 Dollars ambazo ni sawa Billioni 34 za Tanzania...sasa hapo huoni kama watanzania wataanza kulalamika pesa nyingi imepelekwa kwenye utalii na wanafunzi hawana mikopo
@mohamedisarafi53085 жыл бұрын
Msigwa🙌🙌🙌🙌
@jeremiahdibogo29105 жыл бұрын
Mbona hapa kuna taarifa nyingi
@happyfiverickaldo46625 жыл бұрын
Msigwaaaaaaaaaaaaa nomaaaaaa
@sehemunzuri5 жыл бұрын
Mimi naungana na Mhe. Msigwa.. safi sana
@daniellyimo6364 жыл бұрын
Point 😄😄😄
@dlmedial94175 жыл бұрын
Leo nimekuelewa mhe. Msigwa. Good speech. But please show even solution and sent to Mr. Kigwangala
@mkonojr27794 жыл бұрын
Huwa napendaaa sana hotuba za huyu mwamba
@jamessanga71203 жыл бұрын
Uko vizur mchungaji wangu unaakili sana
@veilamariki30005 жыл бұрын
Point Msigwa
@salasaidi18885 жыл бұрын
Uko sawa
@leonardawamu22755 жыл бұрын
safi sana MCHUNGAJI
@kellyroselwinga79995 жыл бұрын
Umeongea point Sana Mheshimiwa Msigwa wanashindwa tu kuelewa,nawangeweza kuchukua points zako
@pichunakichuna21115 жыл бұрын
Wow Mchungaji u gave them there own medicine are u sure u are not from Kenya? iu are a fighter for ur country n a true leader🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇨🇭🇨🇭uku ndio kwa Roger Federer tena jirani yangu True
@freckkihundo43494 жыл бұрын
Pamoja sana mh msigwa
@silasnnko43845 жыл бұрын
Mbunge msigwa noma umewakalisha kama wote na miongozo yao
@errydeo88655 жыл бұрын
true,nawaziri kuna vijikazi wanafanya ambavyo watu wa chini ndo kazi zao.
@willyngailo45495 жыл бұрын
Kumbe Kuna wabunge hawajui kanuni za bunge FISIEM bana
@adiliharold11725 жыл бұрын
Msingwa huwezi ukawa mbunge wa kutuongoza kama waziri kama unashindwa kujua matatizo ya wananchi na badara yake kujikuta unawaza sana uchumi wakati huo hufikilii kama sisi tunaitaji amani ya wenyewe kwa wenyewee ndipo watalii waweze kuja pia migogoro ya watanzania wandani hawana watu maamulu kwa ajili ya kutatua MSIGWA UMEONGEA UPUUZI SANA UPUUZI SANA UPUUZI SANA HUFAI HUFAI HUFAI.
@fadhilalemba78575 жыл бұрын
very true
@yassinudd44225 жыл бұрын
Kuna kazi sana, kama mbunge amini kuwa ata wasanii wa ndani wanaweza tangaza maliasili zetu, nashaka na uzalendo wake
@galussskale87013 жыл бұрын
Watu Bora saaana kwa kizazi chetu,inafanya kazi hadi Leo 2021
@feisalissa30095 жыл бұрын
Msigwa wape maneno yao sema ukweli hawo 👍 👍💯
@calvinkitaly93765 жыл бұрын
Sema Mtumishi Wa bwana ulie barikiwa, unaeleweka vizuri.
@kavassay88995 жыл бұрын
Msigwa ni saw na wabunge wote wa ccm umo ndan
@valentinemtei29275 жыл бұрын
Kazi ya Mbunge ni kuishauri na kuishauri serikali
@petroerinest27445 жыл бұрын
Nakuelewa sana pastor
@mtatiromgeka72705 жыл бұрын
Kuna vitu serikari inaweza kuvipuza lkn ni vitu mhimu sana kwa masirahi ya nchi yetu..
@smarty10645 жыл бұрын
Tunataka kwenda kimataifa we unawaleta kina steve nyerere...uko sahihi kabisa
@alexbenedict53784 жыл бұрын
Yes
@kibwanaMAlly4 жыл бұрын
Good job mh Msigwa
@saidikhalifa47344 жыл бұрын
uko vizuri msigwa
@mwabayachacha35575 жыл бұрын
spika leo nimekupenda umempa muda msigwa safi sana
@daniellyimo6364 жыл бұрын
Hawa Wabunge Wapinzani Wana Takiwa na Wao wateuliwe Uwaziri Maana tunacho taka Maendeleo sio Vyama 😭😭😭😭😭
@trophywilson72113 жыл бұрын
Mpaka Mkuu awapende hautamwamrisha
@seljasele5 жыл бұрын
Kwa Stive kweli ni udwanzi sana.
@daniellyimo6364 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Ana julikana Dar tuu 😄😄😄 Ana panda Mlima hata hafiki Mlimani 😄😄😄
@Directorhernrypro5 жыл бұрын
Point 👍🏼
@israelpwele55354 жыл бұрын
Pasua kichwaa, mchungajiiiii
@evethaasey17915 жыл бұрын
OK kibwagala muelewa ameelewa, bongo zozo is good
@feyzalyusuph145 жыл бұрын
Sema baba
@salomemchewa51873 жыл бұрын
Hamjui kutangaza utalii mnapenda kupoke pesa Tu ,mnategemea tour operators ,halafu mnawafunguza wawekezaji na kuwaongezea kodi
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Mzembe sana wewe, wakikaa ofisini pia mtalalamika,,,,,kweli duniani hakuna jema!!!!!
@robertthomas77695 жыл бұрын
Mchungaji uko vizuri, ukweli mtupu huu.
@bilalimziray4485 жыл бұрын
Yaan msigwa unavyo wakatia wabunge wenzako noma Sana 😁😁
@filbertnashon71605 жыл бұрын
Kanuni 28:isome😁😁😁😁😁 TAARIFA imekua Nyingi, I'la Wazo la MSIGWA Ni sahihi!!!!
@suleykilindi51173 жыл бұрын
Nimekuja kuangalia baada ya ripoti ya CAG
@mussajacob83465 жыл бұрын
Jamani izi taarifa zanini kwanini musikae kimya mumwache mtu atoe yamoyoni ayo mataarifa yanamshusha moli mchangiaji
@adventureguidertanzania23315 жыл бұрын
Msigwa Ni Moto jamani
@leoniaedward94355 жыл бұрын
Msigwa hayo ndo mambo poa
@festoasanga55723 жыл бұрын
Daaaa chadema nimafutena wana jua sjui tutawapateje tena
@sethkivuyo33425 жыл бұрын
Kweli ndugai unajizalilisha sana kama mkuu wa muhimili wa bunge.. kwani miongozo yakipuuzi kama hii usingeruhu kama ni mbunge wa nyinyim anazungumza.. tena Mambo yenye tija kwa Taifa kama ya Mh MSIGWA
@nicolauswandao89885 жыл бұрын
ukiona taarifa zinazidi ujue unaeleweka
@paulebby15525 жыл бұрын
Kweli hawapendagi points za msingi zisikike
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Pumba tu!!!!
@Directorhernrypro5 жыл бұрын
Kweli kabsa
@warrenwilliams88885 жыл бұрын
Ni kweli waziri abaki waziri mbunge abaki mbunge
@daytonmsuku84199 ай бұрын
Fact
@evelynmon94235 жыл бұрын
Yaan hapo kunaweza kukawa na maroroso yanaendelea kama ya kina logola lakini wao wakashangilia tu sijui wanamatatizo gani ktk akili zao
@roseberryhamoud65425 жыл бұрын
Steve Nyerere anakusubiri
@mariamally50115 жыл бұрын
Mh msigwa mungu yupamoja. nawe mchungaji oyeeeeeeeeee imepenya iyooooo
@kasolekasole49815 жыл бұрын
Factor
@petromashauri28045 жыл бұрын
msigwa baba lao
@nicolauswandao89885 жыл бұрын
kazi ya taarifa ni kupunguza speed ya mzungumzaji au kupoteza muda sio kujenga hoja
@serianjamal82545 жыл бұрын
Nawewe umeligundua hilo yaani ni kero
@jacobmgumiro1565 жыл бұрын
Majinga sana magoga meza haya maccm
@kellyroselwinga79995 жыл бұрын
Kabisa wanapunguza muda
@sekuludevid52395 жыл бұрын
Hahahaha mnagombea demu na Steve nyerere kachukua goma lako mchungaji hahahahahaha tunajua msigwa 😂😂😂😂
@amedeusmodestikimey98885 жыл бұрын
Imepenya iyooo
@kavishevicky18165 жыл бұрын
Hajafungua tablet ila amemuelewa mchungaji ....ni hatareeeee...anichukue hata Mimi jmn lukuvi Iam available jmn