Asante sana, Benny! Usisahau kuwaelezea na marafiki zako ili nao waweze kujifunza zaidi!!
@bonnynicola25717 жыл бұрын
nimepata wazo la bishara nimefanya utafiti na nimeandika mpango wa biashara. nimefanya hivi kwa uelewa wangu.
@kalimbamoshi78924 жыл бұрын
Congratulations to you
@sipembapaul82626 жыл бұрын
Asanten sana naomben mawasiliano mi nahitaji sana msaada wenu kibiashara
@patolvera86144 жыл бұрын
#nailedit
@sullecom4 жыл бұрын
Tunataka mpango wa mfano sio maelezo tu
@epafrangweshemi40143 жыл бұрын
Sample ndogo ya mchanganuo wa biashara plse au hatua za mchanganuo wa biashara. epasongroup@gmail.com
@anthonynyange86485 жыл бұрын
Kokuu
@jacobedmar.yakobo45465 жыл бұрын
Ok,ila shida Ni Hapo unakuwa unatoa elimu utafikiri unafundisha watoto wadogo,yaani kwa haraka haraka Ni Kama katuni vile.wakati somo Kama Hilo akuna hata mtu asie jielewa anaye weza kulifuatilia Maboresho plz kwa hapo
@bertinaafonsorapaz83454 жыл бұрын
😂😂😂kama katuni
@allyrutunga44527 жыл бұрын
ahsanteni kwa kutupenda ila ningumu kupata wazoefu hasa huku mikoani... mwenye sample ya mpango wa biashara anitumie kupitia ru2nga@gmail.com tafadhali.
@NoaUbongoTz7 жыл бұрын
Karibu sana, Ally.
@evaristesm3 жыл бұрын
mwenye hyo sample please naomba namimi anitumie stephanevarist1@gmail.com