No video

LIFE WISDOM: KUPATA MATOKEO NDANI YA MWAKA HUU - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 8,310

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 44
@Chalambosheby
@Chalambosheby 5 ай бұрын
Nipo live nasubir kupokea mawazo na elimu ya muhimu kutoka Kwa life coach wangu ili kufikia malengo yangu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Ameen, tuendelee kujifunza🙏
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Ай бұрын
Asante sana... Joel... nasikia kujengekeka sana ninapo sikiza hii video...haki wewe n ..mkomboz wa maisha yangu.... barikiwa sana...🙏🙏🙏
@JamesIzra
@JamesIzra 5 ай бұрын
Kaka Joel nanauka kama hiki unacho kifanya leo ilimradi sisi tuelimike Bure basi unakiti chako mbinguni 👑💪🙏🙏🙏
@user-lt3fx1tl4z
@user-lt3fx1tl4z 5 ай бұрын
One day nitatoa ushuhuda jinsi ulivyo nibadilisha kwenye maisha gangu God bless you brother
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Ameen nasubiria 🙏🙏
@user-gb1hn5ml8y
@user-gb1hn5ml8y 5 ай бұрын
From south Africa Durban sijachelewa sana mwalimu
@alexandermajula7268
@alexandermajula7268 5 ай бұрын
Kaka wewe ni mkombozi kwenye maisha yangu... Asante sana 🙏🙏🙏🙏🤝
@starplatnumz
@starplatnumz 5 ай бұрын
A boy from kigoma town sijachelewa darasa naiman
@Princeraphael10
@Princeraphael10 5 ай бұрын
Brother umenibadiilisha sana in my life..my role modal forever since u have inspired me a lot..I see myself at the top
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Ameen nashukuru sana kwa mrejesho. Tuendelee kujifunza
@user-qv3eo5pb3g
@user-qv3eo5pb3g 5 ай бұрын
Joel brother love uu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Thank you, love you too🙏
@DavidEmmanuel-kt9te
@DavidEmmanuel-kt9te 5 ай бұрын
Brother mungu akubariki na kukulinda(mithali 22:12)
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Ameen Ameen
@everose276
@everose276 5 ай бұрын
Mimi naona mwaka huu nimekupata wewe,maana kwa elimu hii unayotoa naona kabisa nimefunguka akili sana. Na moja ya malengo yangu ya mwaka huu ni kuendelea kukusikiliza mwanzo mwisho naamini mpaka nafika dec sitabaki kama nilivyo. Asante.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Kabisa kabisa, naamini utakuwq tofauti sanaaa🙏
@Usawa_phonetech
@Usawa_phonetech 5 ай бұрын
❤❤❤
@RitherLivigha-blessed
@RitherLivigha-blessed 5 ай бұрын
Kila siku najifunza kitu kutoka kwako🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@Mbaraka_Mbwambo
@Mbaraka_Mbwambo 5 ай бұрын
Ahsante Brother & Mentor Joel 🎉
@user-mc7if8vy3j
@user-mc7if8vy3j 5 ай бұрын
Ahsante kaka ubarikiwe sana mungu azidi kukuinua
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Amen ahsante sana kwa dua njema🙏
@HalimaAmadi
@HalimaAmadi 2 ай бұрын
Asante sana ❤
@user-uj3ld6ni1s
@user-uj3ld6ni1s 5 ай бұрын
🎉
@_beatusbaraka
@_beatusbaraka 5 ай бұрын
Asante 🙏 nimejifunza mambo mengine mapya na baadhi nimeshaanza kuyaona. Ubarikiwe sana
@michaelsafari
@michaelsafari 5 ай бұрын
Asante sana mentor wangu Mr Joel
@manasemlonganile4496
@manasemlonganile4496 5 ай бұрын
Asante sana Joel.......it's a privilege to have you in our generation
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Ameen my brother 🙏
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 5 ай бұрын
Joel 😭😭😭puguza icho kinanda kweni usomagi comment au
@user-jb5tb7qq5f
@user-jb5tb7qq5f 5 ай бұрын
Hongera kiongozi sorry ivi vitabu tunapataje
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Karibu 0762 31 21 71
@juliusdanieli3027
@juliusdanieli3027 5 ай бұрын
Mm leo wa kwanza
@AfricanFolktalesStories-2024
@AfricanFolktalesStories-2024 5 ай бұрын
Barikiwa kaka
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 5 ай бұрын
Thanks Again Brother.🙏🙏
@user-oq4fv5ed7u
@user-oq4fv5ed7u 3 күн бұрын
😢😢😢😢😢
@user-lp8hv9fb4z
@user-lp8hv9fb4z 5 ай бұрын
Nikomakin sana nasubilia Kwa shauku kubwa
@emmanuelmpelwa7926
@emmanuelmpelwa7926 5 ай бұрын
Very good teacher
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 5 ай бұрын
🏆🏆🏆
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 5 ай бұрын
Sauti ya mziki ipungue iwe ndogo ili sauti itoke viziri
@angelashangali4450
@angelashangali4450 5 ай бұрын
your have strong point
@perfectgodifrey3831
@perfectgodifrey3831 5 ай бұрын
Napataje vitabu vyako?
@joelnanauka
@joelnanauka 5 ай бұрын
Karibu sana tuwasiliane 0762 31 21 71
@perfectgodifrey3831
@perfectgodifrey3831 5 ай бұрын
@@joelnanauka asnt
LIFE WISDOM: KUMALIZA UNACHOKIFANYA -  JOEL NANAUKA
15:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН
LIFE WISDOM : MWACHE AENDE - JOEL NANAUKA
12:25
Joel Nanauka
Рет қаралды 12 М.
LIFEE WISDOM : MAMBO 4 YA KUHARAKISHA MAFANIKIO YAKO - JOEL NANAUKA
10:38
LIFE WISDOM: UFANYE NINI ILI WATU WAKUPENDE ZAIDI - JOEL NANAUKA
9:10
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 189 М.
UHURU WA KWELI WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
1:14:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 48 М.
LIFE WISDOM :ACHA NIENDE WANIUE   JOEL NANAUKA
12:46
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН