Ni kweli maono yanakutengenezea nidhamu. Nidhamu inakuwekea mipaka. Kwa mfano kuna mahali hutakwenda, kuna watu hutaambatana nao, kula vyakula na vinywaji fulani hutatumia, kuna aina ya maneno na lugha hutatumia n.k. Asante Joel kwa somo zuri🙏
@user-gz1cd6kn5j6 ай бұрын
Nikweli kaka mmi nilipo gundua mke wangu anani saliti nikamkamata na kidhibiti asira ini panda nilitaka kumu huwa na mimi ni jiuwe ira nikakumbuka maono yangu na ndoto zangu mpaka sasa nili muacha aende
@FrankSikale6 ай бұрын
Asante Mr.Joel, ubarikiwe kwa mafundisho yako mazuri, hakka najifunza mengi kwako
@Sumay2286 ай бұрын
Powerfull words
@varobivayo35476 ай бұрын
Naomba kitabu kk
@RitherLivigha-blessed6 ай бұрын
Thanks broo Joel!I learn something 💪
@winfridaadam79516 ай бұрын
Ahsantee sanaa my brother Mungu akupe maishaa mlefu sana ,,na Afya njema 🙏🙏🙏
@vanessasalema60876 ай бұрын
Noted.
@bernadetachari76486 ай бұрын
Kweli mwalimu maisha nikama unavyo jitakia wewe mwenyewe asante mwalimu
@shukranjulius95266 ай бұрын
Kaka wewe ni mtu muhimu sana ,Mungu akubariki sana
@salamahamadisudi19126 ай бұрын
Kaka joel kweli wazidi kunipatia nguvu ya kupambana zaidi may god bless you
@faudhiasalum72796 ай бұрын
😂😂😂😂Ila 😂😂Joel 😂😂
@latifamohammed-qp5zl6 ай бұрын
Asante kaka, mwenyezi mungu akubariki
@jacobnduya7986 ай бұрын
Asante sana kwa kutupa moyo.I really appriciate your work
@JumaJula-oh8vk6 ай бұрын
Hii ni true kabisa your really honestly thank for your lesson God bless you ❤