❤Barikiwa kwa kile Mungu anachokupatia ili utupatie sisi.
@salumsafari59148 ай бұрын
Mwenye Mungu akupe ufahamu zaidi uendele kutu ongoza katika Maisha haya haswa kwa kizazi hichi .Amen 🙏
@jamilaathumani54818 ай бұрын
Kwamfano kama mim nipo desperate kwenye mahusiano kabisa Yan naona hamna jipya Yan..Sina expectations kabisa..Kila ninapopata mtu mpya nikipanga nae ahadi tu Yan nakuwa sina nguvu kabisa ya ahadi yoyote,,hatimae inanifanya narudiana na ma x Yan kuanza moja kwenye mahusiano kwangu ningumu..alafu nilikuwa sijui kama nimepoteza nguvu ya matarajio..Yan nimekata tamaa
@MesharkHd2 ай бұрын
Nilicho jifunza Leo ni kuchukau hatua ili kuufikia muujiza wangu
@JojoLomalisa8 ай бұрын
Joel Nanauka nakupenda sana kaka,,,be blessed abundantly zidi kumpendeza Mungu na akuzidishie neema hii ili kutusaidia sisi ❤❤
@salmazwallo5920Ай бұрын
Asateee mwalim
@lilianjoseph11448 ай бұрын
Hapana aisee Joel wewe ni nabii wa Elimu ya maisha una kitu kikubwa na Mungu yuko ndani yako i see me at the TOP!
@godfreygerase87138 ай бұрын
Watu wanasema usichukie maamzi mwenye tafta ushauli kwa wenzako ambapo kila mtu anakupa wazo lake kutokana na anavyoelewa!! Mm naona kila jambo lazima lipitie kwa mwenyezi mungu ndo msaada pekee kwenye maisha yetu. Mungu akubaliki kakaang nakupenda sana!! ❤
@GodebertheIRADUKUNDAАй бұрын
Asante kwaushauli
@IbrahimDaudi-bo7ke8 ай бұрын
Mimi Nimeshukuru Sana Na Mafunzo Yako Coz Nilikuwa Mtu Wachini Sana Kutoka Nimeanza Kukufwatilia Nimeinuka Nazidi Kuamka Mungu Akuweka Miaka Mingi Shukrani Sana Kaka❤❤❤❤
@donartibrahim18248 ай бұрын
da Aise Audio hi imenipa nguvu sana kwa Ndoto yangu nayoitarajia🤍🍃 shukran san Lord bless you..
@rhabrhab17978 ай бұрын
Ameni mutumishi umeniinua kiwango kingine kupitia mafundisho uako
@hawahamza10852 ай бұрын
Well❤
@Ismailhemed8 ай бұрын
Kazi nzuri san kak mungu akujaalie uzima uweze kutupatia mambo mapya kila siku
@herimailo81838 ай бұрын
Tusongembele Kaka mungu akujaalie afya njema.
@AkiliChipalu8 ай бұрын
Duuuuuuh uyu brother yupo vizuri mungu amjalie
@mloweapple86788 ай бұрын
Nko hapa nalisha ubongo wangu .Asante kaka joel❤
@shukranjulius95268 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka kiukweli unanibariki kila siku
@brackskinyozi32808 ай бұрын
Asante sana coach Joel...... mungu azidi kukubariki......mm chai Yako nikipa na share......sai Niko na badhi...ya watu Joel...waneanza kukufatilia kw umakini xana🙏🙏
@stephanosospeter17098 ай бұрын
Ameen
@levinampwepwa1539 ай бұрын
Ubarikiwe Sana
@RastaRuvako8 ай бұрын
Life reality ........... something to catch here 🤔🤝✍️💘🇹🇿
@stapinuswilliam8608 ай бұрын
The best food of the brain ever #THANK YUO COACH
@samuelmwakasendile35848 ай бұрын
Somo zuri sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@abdulfatahjuma31058 ай бұрын
More blessing...more success....Let to keep going...never give up
@goldiegranted55018 ай бұрын
Nimebarikiwa 🏆
@BillJUNICOinvestment8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mafundisho yako yana uamusho wa ndani