LIVE: Breakfast kwa Joseph Musukuma I Mbunge wa Geita Vijijini I Jambo Kubwa I Musukuma Anaongea

  Рет қаралды 66,682

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Жыл бұрын

#CloudsDigital ipo mubashara kutoka Mikocheni Nyumbani kwa Mbunge wa Geita Vijijini Mhe. Joseph Musukuma

Пікірлер: 95
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d Жыл бұрын
Wema hauozi, uaminifu, hard working pay, sharing is caring, never give up na kuwa mkweli.. aloo msukum umeacha funzo jwa vijana wa kileo. 😊
@lucialeonard2675
@lucialeonard2675 Жыл бұрын
Hii interview ilibidi afanye na Millard ayo ndo ingekuwa nzur huku mnamkatisha sana kunabaadhi ya vitu tunakosa
@khadijamteganda738
@khadijamteganda738 Жыл бұрын
Kabisa
@humbemusa3480
@humbemusa3480 Жыл бұрын
Noted Uaminifu, kupambana bila kukata tamaa, Wema unalipa, kujiamini na ujasiri. Asante Musukuma nimekuelewa wewe mpambanaji
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 Жыл бұрын
Hii story ni nzr sanaaa,na ni ukwelii,aliway kuhojiwa na wasaf,maelezo hayajapishana kabisa,big up msukuma
@dilbertalphonce6859
@dilbertalphonce6859 Жыл бұрын
uongo si una ukariri tu
@bworldpro
@bworldpro Жыл бұрын
Nimejifunza wema ukifanya unakufuata, na uaminifu ni kitu muhimu nacho kitafuata...Msukuma amebarikiwa
@revocatucamon7439
@revocatucamon7439 Жыл бұрын
Msukuma ni very intelligent
@kulvetiaseli3569
@kulvetiaseli3569 Жыл бұрын
interview nzuri sana uyu jamaa inabid ajekugombea urais yup vizuri sana magufuli ajae
@naseershiner6738
@naseershiner6738 5 ай бұрын
Daah hii interview nimeiludia Mara Tatu ukiachana na ile sku ya kwanza. Naisikiliza kwa radio 2023 but amini menifungua vitu vingi saana vijana wengi walio soma hawajui utofaut wa degree kuibadilisha kuwa lak moja ni kitu kikubwa sana hata msanii #fidq aliwahi sema katika mashail yake kuwa kufanikiwa siyo elimu ni maujanja ujanja frani tu hivi ko Msukuma ni mtu mmoja ambae anapenda kupambana yaan kwa ujumla wasukuma wengi tupo hivyo hata mimi ni hustler 💪🏻 saana japo bado sijafanikiwa ila naamini
@thomasmhindi
@thomasmhindi Жыл бұрын
clouds mnamkatisha sana king.. matangazo mengi sana .jamaa mpeni sku nzima mnawahi kunywa chai2 badala kutugawia hayo madini
@ozcanrawaah6426
@ozcanrawaah6426 Жыл бұрын
Alisema ruge kwenye maisha chakwanz tafuta nafasi ukipa nafasai onyesha uwezo ukionyesha uwezo utatengeneza jina na jina. Ndo litakalo kupa pesa sema sisi vijana tuna jisahau sana ukipat nafasi unatak pesa ndo ifuate that's why Tuna feli sanaa
@stevensostenes7985
@stevensostenes7985 Жыл бұрын
Fact
@kinigarm8239
@kinigarm8239 Жыл бұрын
Mimi HUYU jamaa tusimhukumu kwa suala la bandari. He is just a natural talented person. Hebu tutumie kichwa hiki.
@dilbertalphonce6859
@dilbertalphonce6859 Жыл бұрын
kiende wapi?
@mhidinijuma1206
@mhidinijuma1206 Жыл бұрын
Msukuma is very intelligent......
@mushjosephat
@mushjosephat Жыл бұрын
Kuna kitu nmekiona hapa "Magufuli alikuwa anaendesha Tax usiku" Dereva anaendesha mchana....Duh
@unclefrance4662
@unclefrance4662 Жыл бұрын
Namuoneaga mbali Sana huyu mwamba hongera kwake iwish one day akawa present
@ramadhanishabani1738
@ramadhanishabani1738 Жыл бұрын
Kama na wewe matangazo yanakuboa nikutakie siku njema..
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d Жыл бұрын
Achoongea msukuma ndicho wanachokifanya wachina japani na wahindi, coz wanasoma wanapata elimu na wanaigeuza elimu kuwa pesa na ndio wanafanya vizuri dunia ktk maendeleo duniani.
@LawrenceKakuba-xe5zm
@LawrenceKakuba-xe5zm 9 ай бұрын
Mheshimiwa wewe ni mbunge wa kipekee ,kwa simulizi zako nimejifunza mengi na nimekuelewa vizuri tofauti na nilivyokua nakufikiria awali mheshimiwa mbunge
@humbemusa3480
@humbemusa3480 Жыл бұрын
Nguvu ya kofi daaah haya maisha ni shida sana
@mbelwakyaruzi1493
@mbelwakyaruzi1493 Жыл бұрын
Dha!!story inafanana na yakwangu kabisa nilipotoka jerq japi bado cjakutana na biashara kubwa ya mamilioni ila naona kabisa naelekea uko,nadhan baada ya magumu uqa ni baraka ila ni kama utamtegemea mungu lakin jitiada pia
@ramadhankombe2643
@ramadhankombe2643 Жыл бұрын
Kiukwel msukuma asilimia kubwa ndio hua ananimaliziaga bundle langu.yaan namkubali xn,huyo ni mwamba.namfuatilia xn,kwanza hafake maisha,wala kujisifia kitu ambacho hana.kwanza anajiamin hta akiongea ni burudan.big up xn kiongoz.
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 Жыл бұрын
Anashida moja tu ya kuunga mkono uzwaji wa bandari yetu, af Cha ajabu alikuwa anawakemea wanaotetea bandari yetu bungeni.
@Amiboy425
@Amiboy425 Жыл бұрын
Back Town ugweno moja iyo
@yonamfangavo6413
@yonamfangavo6413 Жыл бұрын
Darasa la saba la kipindi cha msukuma ni elimu ya digrii ya kipindi hiki
@beniegasped7307
@beniegasped7307 Жыл бұрын
Asee mejifunza namna moja sisi wasom tunashndwa kucomvert education into moneyyy
@GerradNkonyozi-eo3cm
@GerradNkonyozi-eo3cm 11 ай бұрын
Saluti msukuma, at Mimi uliwahi kuwa boss wangu,
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Clouds mna vifaa vibovu sana. Camera mbovu, maiki mbovu, interview nzuri
@thomasmn2723
@thomasmn2723 Жыл бұрын
Asante msukuma
@kabangoamini8431
@kabangoamini8431 Жыл бұрын
Isee msukuma mungu anakupenda
@elianeirakoze8562
@elianeirakoze8562 Жыл бұрын
Mimi pamoja n'a degree ya university n'a hock mitumba Nairobi
@godfreychaba9673
@godfreychaba9673 Жыл бұрын
Masudi unamkatisha sana msukuma, story hainogi, Irudiwe na milard ayo
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Жыл бұрын
Inabidi Sky Walk airudie ndani ya SnS itabamba sanaa
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 Жыл бұрын
umeniongezea ujasiri sana mwamba
@mann9460
@mann9460 Жыл бұрын
watangazaji maandz haw sasa mnamsimulia nan muache aongeee
@kevinmtasiwa5703
@kevinmtasiwa5703 Жыл бұрын
Born entrepreneur.. kwanza kapiga ndala
@northerntanzaniatv4033
@northerntanzaniatv4033 Жыл бұрын
Duuh hii clouds amna kitu yaan ni zero kipindi nikizur lakn mmeshindwa kukiendesha vizur mpangilio ni mbovu mno
@josephmakonga3201
@josephmakonga3201 Жыл бұрын
Wajina unanifanya nizidi kupambana sana
@thomasdimme7899
@thomasdimme7899 7 ай бұрын
Tunajifunza dk king
@stevensostenes7985
@stevensostenes7985 Жыл бұрын
Ndo media tunayoitegema hila mmeonesha udhaifu mkubwa saaan yaan live lkn matangaz humo humo, afu mara saut inakata mara haituliii. Poor poor pooor
@ushauriwabureubaoniefmradi3856
@ushauriwabureubaoniefmradi3856 Жыл бұрын
Program nzuri, mahojiano mazuri, Ila sound bado boresheni hapo zaidi
@georgerichard6706
@georgerichard6706 Жыл бұрын
Hii interview haija fanyiwa hakiii
@zakiaramadhan8284
@zakiaramadhan8284 Жыл бұрын
Sauti
@mohamedally4496
@mohamedally4496 Жыл бұрын
Hii interview angepewa millard ayo.
@mrsmile5425
@mrsmile5425 Жыл бұрын
Millard Ayo airudie...Msukuma anajieleza vizuri nyie mnazingua
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Жыл бұрын
Pia Sky Walk ndani ya SnS itabamba Sana!!
@charlessmashaka9859
@charlessmashaka9859 Жыл бұрын
dah msukuma umepambana sana
@user-hc4qk8nj8x
@user-hc4qk8nj8x Жыл бұрын
Msukuma ni mtu nzuri Sana Ila kamuombe msamaha spika mstaafu Mr Job Ndugai na kwenye suala la bandari amefichwa ukweli kupitia lugha ya kingereza,Ila angeelewa kilichomo kwenye mkataba Nina imani angeupinga kinagaubaga.
@princebaissa2506
@princebaissa2506 Жыл бұрын
🙏🇹🇿
@hezronvuhahula3839
@hezronvuhahula3839 Жыл бұрын
Akili na elimu ni vitu viwili tofauti
@helpers10
@helpers10 Жыл бұрын
Inabidi uandike kitabu Mheshimiwa! Hii stori ina mafunzo mengi kwa vijana.
@brownkira1332
@brownkira1332 Жыл бұрын
Naomba millard ayo amuhoji ndo ingeeleweka sana maana story imekatishwa sana
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Жыл бұрын
Pia Kuna mtu wakuitwa Sky Walk ndani ya SnS nimtu hatari kwa interview mcheki ndani ya SnS
@deusntobi1450
@deusntobi1450 Жыл бұрын
Clouds mnafeli mno yaani mtahaba aliko anasikitika xn. Mpngilio mbaya sauti hakuna duh!!
@kamaleckfkeihulakfkeihula939
@kamaleckfkeihulakfkeihula939 Жыл бұрын
Huanakuku barisana dk king huyu jamaa
@luisevarist4819
@luisevarist4819 Жыл бұрын
Matangazo ni mengi sana muacheni atupe materials yake
@mhangwacastory8765
@mhangwacastory8765 Жыл бұрын
Ebwana mic sio nzuri,sound boresheni,
@joshuamabubu-bs3tc
@joshuamabubu-bs3tc 7 ай бұрын
Muongo huyu mwaka 80 unamamilion Sawa lakn ni miaka mingap (Umuri) Ukisema miaka 18 bas now una 60 je ni kweli?
@user-ol7du9in3w
@user-ol7du9in3w Жыл бұрын
Vijana wa tl
@josephdionis4290
@josephdionis4290 Жыл бұрын
Dah msukuma ni jini nyie acheni jmn, namkubali sana mwamba huyu
@mhangwacastory8765
@mhangwacastory8765 Жыл бұрын
Nikipata namba ya Msukuma Kuna kitu cha kuongea nae
@reubenmasanja30
@reubenmasanja30 11 ай бұрын
msukuma ni mfano kwa vijana kufocus na kupambana
@deonatusyokta3579
@deonatusyokta3579 Жыл бұрын
Matangazo yenu yanahalibu
@josephjila957
@josephjila957 Жыл бұрын
Umetoka mbali
@edisonkashaija4067
@edisonkashaija4067 Жыл бұрын
kila mtu ana historia yake tena zingne zetu zinatosha kabisa
@sirajbakari104
@sirajbakari104 Жыл бұрын
Huyo mbaruku hani han kazi yeye anachat tu
@georgenathanael
@georgenathanael Жыл бұрын
Clouds mnazngua
@user-qf7uv1hx6b
@user-qf7uv1hx6b Жыл бұрын
UAMINIFU UNALIPA
@lujobilz7482
@lujobilz7482 Жыл бұрын
💪🤓🕴
@davidfrancis8582
@davidfrancis8582 Жыл бұрын
Mheshimiwa anapaswa kuandika kitabu
@fightpigaday
@fightpigaday Жыл бұрын
Kwanini mko live na mnaweka story nje ya mada na wala sio matangazo
@husseinalladin8797
@husseinalladin8797 Жыл бұрын
Nahis Kwa wanaoskiliz kweny radio au pia tv inakua imeenda matangaz nilazima
@emanuelkisanga3429
@emanuelkisanga3429 Жыл бұрын
Vyombo vyenu vimetuangusha.
@dannywillson5874
@dannywillson5874 Жыл бұрын
Kwenye kuhoji Kuna mmbo mnafel Mara mkate saut Mara nn mnaboa
@diamondglobal_
@diamondglobal_ Жыл бұрын
hawa jamaa kuhoji hawajui
@ngerejangwala2295
@ngerejangwala2295 Жыл бұрын
Nalidaka nayombe nanho
@ngerejangwala2295
@ngerejangwala2295 Жыл бұрын
Mafundisho hayo mazuri
@mushjosephat
@mushjosephat Жыл бұрын
Eti ka Magufuli kakaja Hahahahaha
@benedictpatrickwilliam2758
@benedictpatrickwilliam2758 Жыл бұрын
Poor....
@user-kt3cv4qq9h
@user-kt3cv4qq9h Жыл бұрын
VERY POOR,hakuna sauti
@mwanabucheyeki226
@mwanabucheyeki226 Жыл бұрын
Sifa ya Msukuma ilikuwa nzuri sana, lakini imekuja kuporomoka ghafla kwa kupigia chapuo la Bandari!
@adamumustwafa1374
@adamumustwafa1374 Жыл бұрын
Haya na wewe tuambie sifa Yako Nini.
@sethstiven3393
@sethstiven3393 Жыл бұрын
Cluoz mnatumika mshanunuliwa nyie wa hivyo sana, kama chambo la fei toto mlitumika iweje mamilioni ya DP WOURD
@jacksonmayunga199
@jacksonmayunga199 Жыл бұрын
Sound system ijaakaa poa ila interview iko poa
@LawrenceKakuba-xe5zm
@LawrenceKakuba-xe5zm 9 ай бұрын
Kuna jambo la kujifunza ,kuhusu maisha ,
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
ILA WASUKUMA KONYO😀,SAA YA 450K NDO AITEST KWA KUKANYAGA NA GARI😃😄🤗,ME NIMESHUKA DAKIKA YA 9 YA INTERVIEW
@stevenswai4639
@stevenswai4639 Жыл бұрын
Aseee mna matangazo marefu mno mpaka yanaboa
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Жыл бұрын
Msukuma.umehongwa.ukubali.usikuli.bali.umehongwa.warabu.wana.hela.sio.wewe.na.tu.mabunge.menzio.mmehongea.tukutane.2025
@bellaanthony7860
@bellaanthony7860 Жыл бұрын
Kichwa kibovu wewe
@allymdoka8634
@allymdoka8634 Жыл бұрын
Haya ndio maisha halisi ya mtaftaji wewe ni taikuni msukumaa
@user-qf7uv1hx6b
@user-qf7uv1hx6b Жыл бұрын
UAMINIFU UNALIPA
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Sana
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA
10:05
MBUNGE KESSY ALIVYOISEMA CHADEMA, ESTHER BULAYA ASIMAMA KUMPINGA
11:09
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 155 М.
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 207 М.
MBUNGE MSUKUMA: Kuhusu kuishia Darasa la Saba, kaeleza kila kitu
5:25