ALLAH AKBRA ya ALLAH mhifadi mashekh wetu INSHAALLAH
@HafidhKhamis-ph8qg4 ай бұрын
Shekh kinyogoli hongera sana kwa kuvunjavunja hoja potofu za ndacha Allah akufungulie zaid na akuhifadhi
@BrianOchieng-cs8cc3 ай бұрын
Shaik huyo ako sawa salimia mia
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze3 ай бұрын
Dacha usifuate mohammed anayefuata uzima bila yesu anayepeana uzima
@erishaaboumpangaje85973 ай бұрын
kweri ndacha alinisaidia sana nilimufuatilia sana nakaina nikiendelea kupoteza muda nitakuwa na hakili kama zake nikaamua kusilimu kwa sababu anamaneono ya ubishi siyo maneno ya kufundisha....nashukuru Allah kuniruzuku uuslimam Amiin
@seifmpizi76023 ай бұрын
❤ My heart feels so good for you
@SabraAbdilnasir3 ай бұрын
Mashaallah ❤
@willjohngodfrey53722 ай бұрын
Wew umefeli
@Shariffjuma-s1x15 күн бұрын
Wewe ndacha mungu akuonyeshe njia ya hali kama inawezekana laa sinyo jahhanam inakusubiri mbwa makumbwa wewe kamtukane baba ako na mama lakini usimtuka kipenz chetu Muhammad a,s,w Allah akuangamize pamoja na wanao kufuata
@JerryPhons3 ай бұрын
Mindomana nilisilimu uislamu ni mtamu❤
@josephmchila64673 ай бұрын
Umepotea
@AyubuIkaku3 ай бұрын
@@josephmchila6467umepotea mwenyewe
@huseinshedrack61804 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ndacha hoiiiiiiiiii,ndio maana nilisilim 😂😂😂😂
@deogratiusthobias43223 ай бұрын
Sasa ww ulisimu na ww si unamsubir yesu akuhumu au unasmubir muhamad,,Yesu ni kama maji,uwe muislam uwe mpagani Subir yesu aje akuhukumu
@jacksonmwafongo19173 ай бұрын
@@deogratiusthobias4322wewe yesu mwenyewe hajui siku ya hukumu we unabu mutu tu yohana 8:40 unabudu mutu
@Johndestar4704 ай бұрын
Mwalimu Ndacha hongera Saana 👏👏👏👏👏 Kweli Wewe ni Mchungaji kila Siku unawafundisha sn Dini zote "Ukristo na Uislaam"...umetoa Maandiko Sahihi kbs 👏👏👏
@IbrahJuma-r5s4 ай бұрын
Kwasabbu huna unaloelewa bendera fata mkumbo
@ZuberyMohammed3 ай бұрын
Unasikiliza vzr hoja
@NuraMunyasia3 ай бұрын
Wapotofu wasio na elimu wala dini,astaghfirullah 😢
@OscarGerald-vp9kx2 ай бұрын
umesikiliza hoja vzr lkn au umedandia gar kwa mbele
@NuraMunyasia2 ай бұрын
@@Johndestar470 umechanganyikiwa ww naona, mafundisho yapi ameyafundisha ndacha kama sio kupoteza wakristo wenzake waliopotea tangu hapo jadi?
@abdullahiiddi41093 ай бұрын
Assalam alaikum dada na ndugu katika uislamu. Tusitusi wala tusighathibike Sio Mafundisho ya Uislamu, Tunaenda kinyume na Mafundisho ya Mtume wetu Muhammad s a.w. Tuweni na subra na hikama katika Imani yetu. Mdahalo nzuri Sana waalimu wetu Kwa Mafundisho mwafaka kabisa katika Ummah, Allah awahifathi nyote waalimu wetu wajaalie Pepo ya Firdausi Soteni Jamil Islam.
@MobammddAlhabsi2 ай бұрын
Karibun msilimu
@uceinali55353 ай бұрын
Ma Sha Allah! Ustd. Juma Walai umemaliza huyu ndach kweli. Kweli umetufuza
@constantinnicoiconoppa58728 күн бұрын
Fuateni Yesu Kristo mwenye kutoa uzima Waislamu
@MathewMusili-z9hАй бұрын
Hongera mchungaji ndacha
@thekingdragon83584 ай бұрын
Ndacha kama kalipwa sio mkweli anapinga hadi maandiko ya bibilia yupo kwa ajili ya ushindani na sio kuelimishana ila tumuombee Mungu aongoke maana anapoteza wengi
@AdamsonKithi2 ай бұрын
Acha ushamba HUJIELEWI mwanzo wewe
@AyubuMsafiri-l2y2 ай бұрын
Allah awalinde siku zote walimu wetu wa kiislamu
@MarthaMasha4 ай бұрын
Eti ndacha anatusi, anatusi nini na anasoma korani vile imeandikwa. Ameongeza nini? Basi kama anatusi ni vitabu vyenu ndivo vinawatusi
@Anuarmustafa41283 ай бұрын
Mbwa huyu kasoma lini qur ani huyu anabwela kama mbwa
@MarthaMasha2 ай бұрын
@@Anuarmustafa4128 pole sana. Wewe na huyo marehemu wenu Muhammad yooooote mtaenda jehanam. Na hata huyo Allah wenu sio Mungu wa kweli, upo!
@RamadanPaul4 ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤❤ wakristo wamerowa😂😂😂
@juliethasimbili8749Ай бұрын
Ndacha🤝🤝
@davidsaleh95883 ай бұрын
Kwa mafundisho ya ndacha nimeamini Yesu kristo mwana wa Mungu
@GilbertNhigulaКүн бұрын
Ndacha We Nenda nao Polepole Tunawapenda Sana hatutaki Wapotee , Soma hii Wakolosai 2 - 2 - 23 Ana Sema Wapate Kujua Siri ya ( Mungu ) Yaani Kristo .
@saidilindukwaАй бұрын
Ndacha atakua muislam in shaa allah
@AbubakarKi3 ай бұрын
Mashaalah Allah akufungulie mlango wa janna
@isayaogola87333 ай бұрын
Yesu hajashindwa
@abdulahijuma5413 ай бұрын
Ndacha jifunze kuheshimu Mitume wa Mungu.Utapata laana kwa kejeli na ufidhuli. Imani haitaki kujigamba. Yesu Kristo ni mwanadamu Nabii wa Mungu.
@KishaHezra-m7q26 күн бұрын
Hakika ndacha mungu akuongoze.
@jeanninemunezero64693 ай бұрын
Ukweli ni upanga unakatakata ndacha Mungu akurinde mahali ulipo wewe ni asikari wa Mungu ❤
@kimzsahofficialtv440816 күн бұрын
Mwalimu ndacha bwana yesu akulinde na akuelekeze salama...yesu ndiye njia ukweli na uzima wa milele
@saidilindukwaАй бұрын
Kinyogoli allah akufungulia zaidi
@MusinHamad4 ай бұрын
Jazakallah Kher Asante mwalimu wa kislam kwakutu kosha nyonyo uislam raha sn Ndacha kasaidia upelezi chombo chadola. Good.
@sakinahassani14553 ай бұрын
MashaAllah mashekhe wetu Allah awalinde
@josphatmasaku84602 ай бұрын
Mara ya pili ya Yesu kuja ndo atahukumu ulimwengu. Mara ya kwanza kuja kwa mwili ilikua kuleta neno ya Mungu. Na watakao sikia hii neno na wakatae, wataukumiwa.
@DaudiMwangati-id1tk3 ай бұрын
Waislam mutaelewatu ndasha katumwa na Mungu kwenu.
@HassankasimMole3 ай бұрын
Mungu gani aliyemtuma Ndacha ivi kwa akili yko mungu anaweza kutuma ndacha kwa kipi labda
@Kisigino3 ай бұрын
Ndacha the great Teacher hawa waislam ngoja wasubiri pepo yao ya jehanam
@NuraMunyasia2 ай бұрын
@@Kisigino hata hufahamu maana ya Pepo ndio maana ukatamka vile. Rudi darasani kajifunze hata huyo yesu mnayemsifia kwa uovu atakuwa peponi na hao hao waislamu mnaowakejeli. Ole wako siku hiyo kaka katika ubinadamu
@yassinm694 ай бұрын
Huyu ndacha hato silimu maana ukristo ni kitega uchumi wake
@OmanOma-xi3hm4 ай бұрын
Km Allah kamuandikia aslim halinashaka hata mazinge alikua mkristo
Aliyekuwa adui wa mtume S.A.W basi hakika mwenyezi Mungu ni adui wa makadirio
@MusinHamad4 ай бұрын
Mm sitaki Ndacha asilimu nampenda Sana makeke yake anapo zungumza natamani aumalize mwendo ivoivo na msalaba wake kw 7bu simpedelei kheri kwa kuwa ni mtu mbabaishaji Hali anajua.
@jamalkishangu4 ай бұрын
Akipata bahati hata ndacha anaweza kusilimu.
@abdallahkilesho39404 ай бұрын
Muombee mungu amuongoze na atuongoze na sisi pia
@davidsaleh95883 ай бұрын
Yesu ni njia ya usima wa milele
@Kimug-253 ай бұрын
What Ndacha is teaching is the truth, Muslims turn to Jesus Christ is the only way to heaven
@omarratibu97093 ай бұрын
Hatujamkataa Nabii ISSA illayhi Salam tunaamini kua ni Nabii sio kua ni Mungu kama mnavyosema nyinyi .ndio maana tunafata mafundisho ya kua ni Nabii
@MarthaMasha2 ай бұрын
@@omarratibu9709 ongeza na ni mwana wa mungu aliyetumwa na huyo Mungu upate uzima We milele, laasivyo, jehanam inakungoja
@IdrissaMillanzi3 ай бұрын
Asslam aleykum watu wote
@abdulahijuma5413 ай бұрын
Yesu Kristo as alikufa kifo cha kawaida kama mitume wengine.Yesu hakupaa mbinguni. Hakuna aliyepaa mbinguni ila aliyetoka mbinguni....Yesu alizaliwa hapa duniani. Mungu hana bibi vipi Yesu awe mwana wa Mungu.
@PatrickKamau-c8sАй бұрын
Apana yesu kristo alipaa Ila Mohammed ako kaburini
@goldenpdy731314 күн бұрын
Quran haisemi yuda ndo alisulubishwa yesu hakufa ama
@nakundwamkubwe78233 ай бұрын
Huyo ndio Saidi Kinyogoli hana mpinzani bwana 😅😅 Allah akuhifadhi.
@abdulahijuma5413 ай бұрын
Ndacha Fahamu kwamba Yesu hakupaa mbinguni bali alienda Galilaya na akasema mzuka hauna mfupa wala nyama.
@sosdododo56534 ай бұрын
Huyo ni mbwa mkosefu wa adabu galil adabu upungufu wa adabu mdomo mchafu kama choo chake hana heshima sijaona mkristo wa tanzania wakikosa heshima kama huyu ndacha nimesema hafai waislamu wampige marufuku kwa ukosefu wa heshima wajua heshima nikitu muhimu ,,watanzania wanafanya mdahalo waislamu na wakristo kwa nidhamu ya hali ya juu sana kwa adabu bila ukosefu wa adabu ama ukosefu ya heshima nawapa pongezi,,,isipokua huo kutoka kenya hana adabu wala heshima
@ramadhanwilbard81964 ай бұрын
Mungu atasema nae akisha ingia kwenye tumbo la ardhi!
@OLUNGAJOSHMAH4 ай бұрын
Kadhani Dini ya Kislaam haina chuki kihuni kihuni Jazba hilarious matusi..kumbe mnayo hayo? Ama nyie sio
@OLUNGAJOSHMAH4 ай бұрын
@ramadhanwilbard8196 Mungu wa Wakristo Husema na watu wakiwa Hai,Wakifa mpaka Siku ya Kiama,,mungu wa kislaam kumbe hungoja mtu are ndio aseme naye.,Mukara😂
@partnersah88024 ай бұрын
Kwann mitume wote wametoka kwa Mwenyezi Mungu lakini wanapingana hivi. ?
@sosdododo56534 ай бұрын
@@partnersah8802 mitume wote wako naneno moja tu hakuna tafauti hata kidgo ,,wote wamesema tumetumwa na mwenye ezi mungu mmoja peke yake
@abdulahijuma5413 ай бұрын
Ndacha usisome maandiko nusu nusu. Yesu Kristo ni kondoo pia sio njia tu.
@PatrickKamau-c8sАй бұрын
Lakini kumbuka yesu alifufika moha wenu angali kaburini
@ZuhuraSaid-u6v2 ай бұрын
Ndacha kwakweli umechemka 😅😅😅hao ndio walionunua upotofu kwa uongofu, lakini biashara yao 20:00 haitakuwa na faida hawakuongoka
@metaoyugi65303 ай бұрын
Waislamu waongooo sana
@partnersah88024 ай бұрын
Ninaona kuna tofauti kubwa sana hapo kwa hawa mitume wawili aseee. Sijui kwann Mwenyezi Mungu Ametupa mtihani huu. Kwann wapingane mitume wanaotoka kwa Mwenyezi Mungu mmoja kwann? Kwann tofauti yao hiwe kubwa hivi. Mwenyezi Mungu Atunusuru na wazazi wetu na Vizazi vyetu. Hii ningumu sana kupata solution kwa akili ya kibinadamu.
@MarthaMasha4 ай бұрын
Wajua shida ni nini nduguyangu, tunaamini katika manabii na mitume. Sasa shida inampata huyu Muhammad ni kwamba anawapinga manabii na mitume wooote. waliomtangulia. Mfano, manabii na mitume wore wanajua Yesu ni mwana wa mungu na hawakupingana. Baada ya manabii na mitume kufariki ndio mtume Muhammed anatokeza na kufundisha kuwa Yesu si mwana wa mungu. Yeye pekeyake ndiye anapinga ndio maana wakristo wanamkataa kwamba sio mtume wa mungu. Hii ndio sababu.
@partnersah88024 ай бұрын
Sasa hali hii haitakuja Pata solution. Tuombe tu Nusura ya Mwenyezi Mungu Atusamehe makosa yetu. Maana kila nikiwasikiliza huwa sipati muhafaka kabisa zaidi yakunivuruga tu
@MarthaMasha4 ай бұрын
@@partnersah8802 solution ipo. Wewe mwenyewe usichoke wafwatilia hii midahalo na kadri unavoendelea kuwasikiliza pande zote mbili utafahamu ukweli ukowapi. Kwanza enda KZbin uandike, biblia nuru ya dunia, utaona mijadala mingi sana ya ndacha na mazinge na wahadhiri wakubwa wa kiislam na bila shaka utajua mbivu na mbichi
@JosephGodfrey-jv8hz4 ай бұрын
@@MarthaMasha Shida sio Muhammad(s.a.w) shida ni nyinyi wakristo hamfuati maandiko Muhammad(s.a.w) hakumkataa yesu anamkubali kuwa ni mtume wa mwenyezi Mungu bali ninyi wakristo kwakutokusoma maandiko au kuyakataa kwa makusudi mnasema yesu ni Mungu/mwana wa Mungu/mtoto wa Mungu haliyakua biblia pia inakataa Qur'ani 2-136
@MarthaMasha4 ай бұрын
@@JosephGodfrey-jv8hz Yohana 10:36 sasa kwa hili andiko hapa ni Yesu mwenyewe anasema anawaambia wayahudi kama wewe hapo, 'Je, yeye ambaye Baba alimtakasa akamtuma ulimwenguni nyinyi mnamwambia anakufuru kwa sababu mimi nalisema ni mwana wa mungu?? " sasa ndie huyo sasa anasema ametumwa na pia anasema ni mwana wa mungu. Sasa wewe endelea kutoa mishipa ya shingo kumpinga na andiko ndilo hilo. Eti wakiristo wanasema, wakiristo wanasema ama ni biblia imeandikwa hivo?? Kuwa na akili nduguyangu
@jamalkishangu4 ай бұрын
Mtume saw anasema: Wanazuoni wa umati wangu ni bora kielimu kifikra kihekima kuliko manabii wa baniisrael.
@eidallyeidally50934 ай бұрын
yesu amepewa mamlaka na akashindwa kujinufaisha na akapigwa misumari msalaban
@salhkasmm5584 ай бұрын
😊huyo ndacha anachefua kwa kukosa elimu anafuata tuu mkumbo
@AntonyManeno2 ай бұрын
Mada Ni Nani Wa Kufata... Ndacha Ame Elezee YESU Vigezo Vya Kufata Je.? Kinyogori Mme Msikia Akimzungu Mzia Muhammad Vigezo Yake Vya Kumfanya Tum Fate Kwenye Hii Mada😢. ?Kwama Tusi Wote Wame Tukana Hakuna Yule Hakutukana Wala Kusema Ame Fundisha Kwa Hekima😢 Kwani Hayo Matusi Yame Toka Kwa Kitabu So Kitabu Kiko Na Matusi Wala Sio (Kinyogori Am Ndacha)❤❤❤
@PatrickKamau-c8sАй бұрын
Waislamu huwa Ni ubishi tu
@tzyoungboymasai255422 күн бұрын
Waisilamu wachani kujizudia Mungu mingine
@shabamuhidin6343 ай бұрын
Ati kama kuna Waisraeli mikono juu,😢imagine Muafrica mzima,mndeñgereko sjui,msambaa nae pia anainua mkono,Wallahi huu ni mtihani.
@سعدياقوت-ت2خ4 ай бұрын
Ndacha kula chuma hicho😂😂😂😂
@abdulahijuma5413 ай бұрын
Mijala kama hii imelaaniwa na Mwenyezi Mungu. Kwa sababu gani. Kwa sababu kila mmoja anapiga makelele na wasikilizaji hawapati ucha Mungu.
@samxx4114 ай бұрын
Wakristo wanapenda kupingana na maneno na mafundisho ya yesu ila wakiambiwa wabishi ikisha wanajifanya wanampenda kumbe ni tofauti
@samuelondieki91644 ай бұрын
Ningependa kujua Kwa Mujibu Nani anapinga Kati ya wakristo Na wayahudi
@samuelondieki91644 ай бұрын
Waislamu
@samxx4114 ай бұрын
@@samuelondieki9164 wote wakristo na mayahudi wote wanapinga...mayahudi ndio hawamjui kabisa yesu na wanamwita mtoto wa haramu na wakristo nao hawafuati mafundisho na matendo ya yesu ila hujifanya wanampenda sana, kwa mfano yesu hajawahi kusema watu waende kanisani, hajawahi kusema watu waitwe wakristo, hajawahi kujiita Mungu, hajawahi kula nguruwe, hajawahi kunywa ulevi na mengine mengi ila mmejiundia mambo especially kutoka kwa Paulo na wala yesu hajawahi kuiona biblia wakati wake kulikuwa hakuna biblia, yeye alitumia injili ambayo ilikuwa kwa kiebrania hiyo ndio ilikuwa ya kuifuata.
@rezikomer95524 ай бұрын
Mashallah kintogori nikiboko wa wakristo mngu awajaliye kheri
@estakenia4 ай бұрын
😂😂 lazima umsifu kinyogori , hajui kitu chochote ila anababaza tu Mwalimu Ndacha ni kiboko yake Kinyogori. Hoja zake ni dhaifu kwa mwalimu Ndacha. Lakini kinyogori hawesi kujibu hoja za wakristo.
@PatrickKamau-c8sАй бұрын
Ndacha ndio dawa ya walimu wote wakiislamu
@PatrickKamau-c8sАй бұрын
@@estakeniaukweli mtupu
@HaliaKheri4 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤❤🎉I 💯
@abdulahijuma5413 ай бұрын
Yesu alibebwa na Shetani na akazungushwa juu ya milima.
@josephshume76192 ай бұрын
Makafiri,wapinga Kristo waislamu achaneni kufuata mtume wa uongo Mohammad hamsaidii kupata uzima wa milele
@yannickaboubakrkambeya-cl4mw3 ай бұрын
Aboubakr kambeya Tv
@SaiddyHusein3 ай бұрын
Mashaallah
@mwoso3 ай бұрын
Wacha vile ndacha atarudi dakika kumi apitie Kwa avipengele zake amlainishe vilivyo kimaandiko😂
@SimonwaonajeHussein2 ай бұрын
Jamani acheni matusi waeslamu tufuate kweli sio matusi mtu mwenye neno la Mungu hawezi kutukana kama jinsi mnavyo tukana nyinyi
@sadidjibril34663 ай бұрын
Shukran mwalim Juma kinyogoli kwa ukweli roho ilitanitoka kabla hujafika kukosowa uwo ndaca
@shabamuhidin6343 ай бұрын
mi nilisema Kabla ya mdahalo Ndacha anapenda kukata kata maandiko😂,uku Kenya we know him very well..anafanyaga sana mihadhara na Akina Yusuf Wambugu sana,anafanya mpaka Mihadhara na Wakristo wenzake pia wanampinga...hapo labda mumtumie Ndacha kama ubao lakini yeye anafanya kusudi tu ilimradi alipwe pesa
@fatuma52083 ай бұрын
Ndacha.kama.anauguza.cile😂😂😂😂😂
@josephshume76194 ай бұрын
Watu wenye wanasubiri kwenda jehanamu walishatabiriwa,hawaelewii ata ukawahubiria mchungaji😅😅😅
@Dominant974 ай бұрын
Ndacha hoeeee
@issamsogwa6322 ай бұрын
Mwalimu ndacha uko vzr kaka huna bayaa
@Hastanrahim4 ай бұрын
An huyu ndacha atachomwa na moto wa gesii😊
@jacksonmwafongo19174 ай бұрын
Wewe ndacha upo kufundisha au kupambana ? Kwa upande wangu sikuelewi kabisa upo kwenye mashindano sio kufundisha na kulazimisha na kutowa maneno machafu huni vutia kabisa
@OLUNGAJOSHMAH4 ай бұрын
Wewe uko hapa kusikiliza hoja au kumpinga Ndacha? Maana Ukweli umelinganishwa kwa hoja na Uongo kuwekwa kando...Jazba ya nini Mthw24:24
@jpmanotaofficial6394 ай бұрын
Mbona waislamu huwazungumzii wakati wanatia fujo mezani toka hapa au umetumwa
Yesu hawajui hata kidogo mafundisho ya yesu ha muyafati
@abdulahijuma5413 ай бұрын
Yesu alikataa kuitwa mwema ila mwema ni Mungu peke yake
@KudraWanguvu-em1xw4 ай бұрын
Ndacha anajichanganya hana hoja ni kubisha nakubishiana bila kufata msingi wa aya.
@salehrwigemagisa814 ай бұрын
Ndacha ni debe tupu,kelele nyingi wala hana hoja ya maana.
@mursaliamani5834 ай бұрын
Kwa Sasa yesu ni mtume sio mungu Tena kutokana na madai yenu yaani Leo mtume kesho mungu
@michaelamiani67553 ай бұрын
Umesoma bibilia ama umesomewa kwa msikiti
@samuelondieki91644 ай бұрын
Ati Muhammad ako Na sheria zake Sio za mungu
@uwesusaid53344 ай бұрын
Yaani ndacha hana hoja yoyote zaid ya kukata maandiko 😂😂😂😂
@OLUNGAJOSHMAH4 ай бұрын
Unless uko hapa kwa Ushabiki kaka
@simonsimpiri57483 ай бұрын
Kwa hakika unless shetani akufunge mawazo Kristo ni mwana wa pekee na Ako hai na atarudi Tena kutuchukua.
@DesderiusHaule4 ай бұрын
Ustaadhi kinyogoli unaposema kwamba swahiba mkubwa wa shetani ni Yesu Kristo ambaye ni ISA bin Maryam?
@abubakarmustwafa-lg8fe4 ай бұрын
Ni hoja kuvunjwa na hoja,huyo ametoa hoja ya Muhammad kuwa na shetani,akapigiwa mfano wa Yesu kuchkuliwa na Shetani hadi kwenye kinara!!!Kosa li wapi Hali ni hoja kwa hoja?
Hao wakina ndacha wahuni tu achaneni nao wasiwapotezee muda wenu Wapo hapo kwa ajili ya mabishano tu na si kuelewa ujumbe mmeshaufikisha vya kutosha iliyobaki ni taufiq ya ALLA
@daudshabani4 ай бұрын
Uyo niubao2 wapo watu wanofatilia nakujua pumba na namchele
@najimsuleiman36903 ай бұрын
Ukiona Ndacha ati nini?? ati nini??😂😂😂😂😂Utafikiri kuna jambo zito atasema. Anatumia nguvu kwelikweli Alhamdulillah kuwa Mwislamu.🙏🙏
@TRIPLE.3Rs3 ай бұрын
Ndacha anamuelewa kinyagoli ni noma.
@abdulahijuma5413 ай бұрын
Someni kitabu Yesu katika India mwandishi wake ndiye Masihi Aliyeahidiwa wa zama hizi za mwisho.
@AMwanjoka3 ай бұрын
Ndacha anawakilisha mawazo yake hata kama kuna mambo ambayo yanakubaliana na Ukristo au Wakristo wengi ! Hivyo jibu hoja za ndacha kama zilivyo acha kusingizia Imani ya Kikristo
@AbedibinRamazanisalum4 ай бұрын
Mohamed ajatumwa na mungu kajibandika tu mwenyewe na kitabu chake quran 😅
@zuenahassan88824 ай бұрын
Nielezee ukristo n dini ya mungu kwa andiko gani ama biblia ilipewa nabii nani..ndio niukubali ukristo najua hutatoa utashindana tu
@Anuarmustafa41283 ай бұрын
Wewe umetumwa?
@michaelamiani67553 ай бұрын
Ni juu ulidanganywa uisilamu ni njia ya mola wako iliyonyooka nani kasema hayo maneno kama sio muhamad
@AyubuIkaku3 ай бұрын
Toa aya kwenye biblia inayosema ukristo ni dini
@michaelamiani67553 ай бұрын
@@AyubuIkaku Sona dini maana yake ni njia Soma John 14.6 Yesu ndiye ndini yetu ona huyu usiketa uisilamu ambao hauna mwelekeo hapa
Saidi juma kinyogoli Allah akuifazi kwakweli unaelimisha watu Ndacha huyo analolote lile analojua ispokua anapotosha tu maandiko Ndacha mweupe
@OLUNGAJOSHMAH4 ай бұрын
Kumbe mwakatakata pali kuna sindano..
@IdrissaMillanzi3 ай бұрын
Mimi nimeslim suku siyo nyingi jina langu idrissa na mkewangu namsilimisha namba mnipokea inshallah ndacha ukienda kwenye maandiko ukafananisha maneno yapo tafauti
@HamzaAli-cw7qg2 ай бұрын
Karibu sana.
@hasinaalrahbi66814 ай бұрын
Kila siku ndacha unafahamiswa ila hutaki kukufaham
@abasmwika34324 ай бұрын
Huyu ana maslahi makubwa sana na Ukristo hawezi kuslimu Yeye ndio kaubeba Ukristo kwa sasa akislimu Ukristo utayumba sana hivyo Wakristo wanapambana sana kwa maslahi yoyote yale asiondoke, ila ukweli wote anaujua ni matakwa ya kidunia tu yeye na yule msomaji wake.
@ABDULLAOALI3 ай бұрын
Ataslim t hyo kwa uwezo wa Allah, sabab haki imeshambainikia anajizima data t
@SwediEmanuel-k4i3 ай бұрын
Upo juu Mchungaji Ndacha,kuwafunika Hao wanaohita wenzao makafiri kumbe ni wao wenyewe
@jaafarmkatta13364 ай бұрын
Ndacha anatumia nguvu kubwa kumnadi yesu awe Mungu Kwa maandiko ya bandia. Chema chajiuza kibaya chajitembeza
@HENRYAmongo-s2g4 ай бұрын
Ukumu iko katik kitabu ya ufunuo20 :8-9.
@haridyhillaryndembo19464 ай бұрын
Henry umekosea Ni ufunuo 20 :11-14 Ila haijasema Yesu ndiye atayetoa hukumu
@MUKULASI-t8e3 ай бұрын
Kinyogoli mwalimu mzuli sana kma ndacha ajakuelewa bc mfuasi wa shetani
@mussakilo49164 ай бұрын
Mqshehe wetu kama ni kumfunza ndacha inatosha sasa maana anakaulimbaya na wakat mwingine kuwatukana mitume wa mwenyez mungu itoshe sasa msimkubali tena kufanya nae mihadhare kenya kashindwa Burundi pia sasa na huku tumkwepe kwa matusi yake tu
@masala80994 ай бұрын
tuendelee kuwafundisha wenye akili mwishowe watasilimu mungu akipenda
@adamissa69724 ай бұрын
Inshallah
@AyubuIkaku3 ай бұрын
Inshaallah
@michaelamiani67553 ай бұрын
Mjinga ndiye wa kusilimu sio mtu mwenye akili timamu na msomi
@masala80993 ай бұрын
@@michaelamiani6755 ndugu yangu Michael kusilimu siyo ujinga ni neema TU kutoka kwa mungu kama zilivyo neema njema nyingine ujuazo ww
@AyubuIkaku3 ай бұрын
@@michaelamiani6755 unatumia aya/ kigezo gani kuzungumza maneno hayo yasiyo na mantiki.
@faridbinjumaonlinetv92584 ай бұрын
Nshatafuta coment ya mchristo sijaionaa jmn eb kama yupo km mm ajaiona aseme
@AMwanjoka3 ай бұрын
Tatizo la wasomi wa Kiislam wanatumia uongo katika kujenga hoja . Mfano ni hiyo anayejenga hoja kwamba Yesu alisema "hakuja" kuhukumu, sasa kama angekuwa mkweli angeelewa kuwa Yesu atakuja "kuhukumu, hivyo kila andiko ndani ya Biblia inapaswa kusomwa kadri ya muktadha