🔴

  Рет қаралды 29,303

Global TV  Online

Global TV Online

28 күн бұрын

🔴#Live: MWILI wa BILIONEA MANJI ULIVYOSWALIWA MSIKITINI USIKU MAREKANI TAYARI KWA MAZIKO - HUZUNI...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 101
@mohamedally6992
@mohamedally6992 27 күн бұрын
MWENYEZI MUNGU AMPUMZISHE MAHALI PEMA PEPON AMEEN. ANGALIYA BILIONEA ANA ZIKWA NA WATU ATA MIA AWAFIQ MAWANA DAM C KITU APO UNANGALIWA AMALI YAKO TU . VITU VYOTE UNA ACHA DUNIAN
@hawanassoro4607
@hawanassoro4607 26 күн бұрын
Mungu akulinde na adhabu ya kaburi, akujalie pepo kwa Rehma zake Amin,Amin,Amin!
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 26 күн бұрын
Inalilah wainailah rajiun allah ampe kauli thabiti kaburini mwake inshallah 🤲🤲huo ndio mwisho wetu sote pesa / mali / utaviacha utaenda na sanda na pamba tu amali yako utaikuta kaburin Allah atupe mwisho mwema inshallah 🤲
@catherineedmund
@catherineedmund 27 күн бұрын
😢 Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi , pumzika kwa amani Yusuf manji.
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 27 күн бұрын
Allah ampe kaul thabity,angeletwa Tanzania jaman angezikwa Mji mzima,Ila popote ni sawa Kikubwa Allah amsamehe ampe kaul thabity
@josephlorri431
@josephlorri431 26 күн бұрын
Amezikwa karibu na kaburi la baba yake...
@fadhilimohamed5069
@fadhilimohamed5069 24 күн бұрын
Tanzania hamna kazi za kufanya unakaa msibani saa mbili asubuhi hadi saa sita usiku ulaya watu wako bize na hatujai misibani huendi bila kadi
@suleimanomary658
@suleimanomary658 25 күн бұрын
Innah,lillah,wainna ilaih rajoon.Siwezi sahau wema wako.Nilifukuzwa kazi,bila kosa.Ukaamuru nirudishwe kazini haraka sana.
@shabanrufumbo3701
@shabanrufumbo3701 27 күн бұрын
Inna lillah wainna ilayh rajiun
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 26 күн бұрын
Poleni sn Familia jamani, ni huzuni Kwakweli, Mungu awatie nguvu na awape Amani 🙏
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 27 күн бұрын
Kwani alikuwa mgonjwa jamani..mbona ghafla hivi..... KWELI SALI KABLA HUJASWALIWA....MOLA TUPE HERI NA PEPO NJEMA
@ibrahimjumbe8121
@ibrahimjumbe8121 26 күн бұрын
We NAE manji anaumwa mda mrefu sana tangu ananyimwa vibali vya kutibiwa nje anateseka eti unasema kwani ameumwa???
@amaningalla9420
@amaningalla9420 27 күн бұрын
Am praying for Manji so God may rest him in peace,he was light to people!
@khamissaid5525
@khamissaid5525 26 күн бұрын
Allahhh ampee kaulithabiti
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 27 күн бұрын
Innallah wainaillah rajoon Mwenyeez Mungu ampe kaul thabit amsamehe makosa yake amuwe mbali na moto wa jehanam
@FatumaMuya
@FatumaMuya 27 күн бұрын
Amiin
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 27 күн бұрын
Mmm-kwa jinsi ninavyo ona itakuwa ngumu kwa hayo kutokea sema wote tunataraji iwe hivyo
@lilyrose7983
@lilyrose7983 27 күн бұрын
Sawa Mungu​@@shabanipanya1033
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 27 күн бұрын
inalillah wainalillah rajiun ilau kumbukeni matajiri kutowa sadaka ziko sehemu nyingi uuuu
@user-xf1nv4zo9q
@user-xf1nv4zo9q 26 күн бұрын
INNA LILAHY WA INNA ILAYHI RAJIOUN... ALLAH SUBHANA WA TAALA ATUJAALIYE MWISHO MWEME YAA RABBI
@user-vm1vu4hu5j
@user-vm1vu4hu5j 27 күн бұрын
Innalilah wainnaah rajioun
@user-hk2oz2eg4j
@user-hk2oz2eg4j 26 күн бұрын
Dah! Kweli dunia haina mpango. Vitu vyake vyote alivyonavyo havikumsaidia kuzuia umauti. Hapo ndipo penye mazingatio makubwa kua kweli dunia haina mpango. Allah muongoze njia iliyonyooka.
@faridaomary9185
@faridaomary9185 26 күн бұрын
Kifo ni mawaidha tosha ! We need to be humble all the time ! Pray ,work hard, live well !
@matukutajuma156
@matukutajuma156 27 күн бұрын
INNALILAH WAINNALILAH RAAJIUN ❤
@komboidrissa3858
@komboidrissa3858 27 күн бұрын
innah lillah wainnah ilayh rajiuun.. Allah ampe qauli thabit...
@LeahMkwabi
@LeahMkwabi 26 күн бұрын
Kauli thabit anaitoa wapi ???? wakat WAFU AWAJUI NENO LOLOTE???
@maryamadam5622
@maryamadam5622 26 күн бұрын
Innalillaahi wa Inna Ilaihi Rajiuuna. Mpenzi wa watu..Kabebwa na wapenzi wake japo wanaoekana kidogo. Wapo na makundi ya Malaika wema. Kajitolea sadaqa pia kukata gharama za safari. Iwe sadaqa yake.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 27 күн бұрын
Hivi Ushia, Salafi, Suni, n.k. unatuhemsha kwanini?? Mjuzi ni Allah ndie amjuae alie sawa na asiekuwa sawa tuache kuhukumu hiyo ni kazi ya Allah.
@seifmussa9003
@seifmussa9003 25 күн бұрын
Kabisa shida waislam mihemko...inatupasua pasta.. kikbwa mtu ni Muslims awe she hebu awalo ...ikubwa ni Imani thaabit ktk matendo mema na ikhlas ya unachokifanya kwa Allah..kwamba je AMALI ZAKO WAZINYA KWAAJILI YA ALLAH?? HILO NDIO MUHIMU HAYA MAPOKEA YA HADITH NA IKHTILAF SIO LEVEL ZETU ..KIKUBWA TIJITAHID KUTENDA MEMA KWA NIA SAFI OWA ALLAH
@AdhamAlliy-mg5py
@AdhamAlliy-mg5py 25 күн бұрын
Hapana ushia ni mbaya zaid ndugu na itikadi zao ñi mbaya zaidi hazifanani kabisa na uislam jitahid kufuatilia ushia ili ujue ubaya wa ushia
@rumesibarka5312
@rumesibarka5312 26 күн бұрын
Inna Lillahi wainna ilayhi rajioon
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b 23 күн бұрын
Amini Amini ya Rabbi
@atupelemwasambili4476
@atupelemwasambili4476 27 күн бұрын
Rest in peace Yussuph Manji
@alisuleiman9627
@alisuleiman9627 27 күн бұрын
Rest in peace
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 26 күн бұрын
alikua ni mshia kumbe
@Heisgvoice
@Heisgvoice 27 күн бұрын
R.i.p manji😭
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 27 күн бұрын
Inna Lillah
@salmanassor8732
@salmanassor8732 26 күн бұрын
Innalilah wainna ilayhi
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 26 күн бұрын
😢
@husnasalum5248
@husnasalum5248 26 күн бұрын
Innalillahi wainna ilaihi rajiun
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 24 күн бұрын
KUMBE MATAJIRI NAO WANAKUFA TUESHIMU WATU RIP MANJ
@lilyrose7983
@lilyrose7983 27 күн бұрын
R.l.P Manji 😭
@user-jj3tq1rh4p
@user-jj3tq1rh4p 26 күн бұрын
inalilah wainalilah rajuun kapumzike mwamba yusuph manji
@saidimuslim4505
@saidimuslim4505 26 күн бұрын
Shia kumbe
@HusseinMillans
@HusseinMillans 25 күн бұрын
Inna Lillah wainna illaih rajiuun!
@ShamsiMikdad-bj7me
@ShamsiMikdad-bj7me 26 күн бұрын
Innaalillahi wainnaaillaihi raajiuna allahuma ghfilau waruhamuhu
@stanleymanya438
@stanleymanya438 27 күн бұрын
R.I.P
@BenoBeno-c4l
@BenoBeno-c4l 14 күн бұрын
Inna lillah wa inna ilaih radjighun
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 26 күн бұрын
Innalillahi Wainnailaihi rajiun
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 26 күн бұрын
Innaa lillaahi wa innaa ilayhi rajiuun.
@user-hr6kl2kp6c
@user-hr6kl2kp6c 27 күн бұрын
Allah ampe kauli thabiti
@LeahMkwabi
@LeahMkwabi 26 күн бұрын
Hiyo kauli thabit inatoka wapi wakat haongei????? NA WAFU AWAJUI NENO LOLOTE ????
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 26 күн бұрын
Amiin 🤲
@user-hr6kl2kp6c
@user-hr6kl2kp6c 20 күн бұрын
​@@LeahMkwabihiyo unajua wewe ila kwa imani yangu naelewa hivyo usitake kujifanya unajua kukosoa watu hali kuwa nawe hujui mtu akifa anakufa mwili au roho
@LeahMkwabi
@LeahMkwabi 20 күн бұрын
@@user-hr6kl2kp6c mm niliuliza tu kama kufaham na kujifunza zaidi
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 27 күн бұрын
Kama alikukosra unamsamehe kuliko kuendeleza unazi wa mpira, kipanya nawe yasubirie yako Mungu akiamua.
@humoudalexy2866
@humoudalexy2866 27 күн бұрын
Kumbe ni shia
@jaferyhussein8390
@jaferyhussein8390 27 күн бұрын
Ushia au suni hautakupeleka peponi. Mtume s.w.a.w hakuacha hivyo vitu wa havijui hata kama vipo na nini. Ushia usuni ahalul suna al jamaa, ahamadiya salafiya wahabiya. Hakuviacha mtume wetu.
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 26 күн бұрын
Hata mo dewji ni shia bro kama ulikua hujui ndugu yangu,ushia ni dhehebu tu katika madhehebu ya ki Islam
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 26 күн бұрын
@@jaferyhussein8390 kaka kushakaa chini ukajua jinsi mashia wamavokufuru au wewe unaleta unazi kwenye maharage
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 26 күн бұрын
Kumbe manji alikua shia
@iddydawood2020
@iddydawood2020 26 күн бұрын
Manji MO Rostam Fidah Hussein TRH hao wote ni mashia
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 26 күн бұрын
@@iddydawood2020 usitaje watu ukazani watu watashtuka kupitia wao
@zashiyzashiy7922
@zashiyzashiy7922 26 күн бұрын
​@@iddydawood2020kabisa
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 26 күн бұрын
Chalamila
@doreengomes3489
@doreengomes3489 27 күн бұрын
My sincere condolences to the family and loved ones. May God give you all the strength to bear this loss. ⚘Eternal rest grant unto him O Lord and let perpetual light shine upon him. May his soul rest in peace. Amen
@mirajishentembo4962
@mirajishentembo4962 26 күн бұрын
R I P
@neemaevance80
@neemaevance80 26 күн бұрын
R.l.p
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 26 күн бұрын
Mashallah kumbe marekani Kuna mashia
@Nedjadist
@Nedjadist 25 күн бұрын
🎉Hawa waandishi wa habari wa siku hizi wa kujifunza wenyewe jamani! Yaani bilionea hata katika kifo? Ulikuwa na shabaha gani kutaja utajiri wake katika habari ya kifo? Achukiwe? Asizikwe? Au... Mwandishi wa habari aliyesomea haandiki kitu bila maana, kwa mchezo tu....hasa ikiwa sifa (adjective). Kila sifa inayoandikwa na mwandishi yaweza kugeuza fikra. ukiandika: rais wa Tanzania, Samia Suluhu, mke wa tatu kwa mumewe......utakuwa una shabaha fulani mbaya, hata ikiwa ni kweli. Darasa ya bure nakupa hiyo. Ukome kujiandikia tu!
@Users2523
@Users2523 26 күн бұрын
Mashia massuni wote ni waislam
@seifmussa9003
@seifmussa9003 25 күн бұрын
Eiwaa tushikamaneni waislama tusichukiane..adui yahudi anapata nguvu kumpiga ndugu yake paleatine sababu yetu sisi tumejigawa...hatupendani
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 27 күн бұрын
Kazi anayo
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 26 күн бұрын
Usiseme hivyo nawew subili ya kwako mana huu ni mlango ambayo kila mtu atauwingia
@najmahamisi3511
@najmahamisi3511 26 күн бұрын
Kwani kufanyaje mpaka unasema hivyo
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 26 күн бұрын
@@najmahamisi3511 nina nukuu,,,Walio na utajiri kwa maana ya mali ndio watu wenye amali ndongo saana siku ya hukumu isipo kuwa yule tu alie utumia utajiri wake katika njia ya mwenyezi mungu,,,Hayo ni maneno ya mtume wetu watu wengi hawajui utajiri na mali ni mtihani mgumu sana kuufaulu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 27 күн бұрын
Na marekani kuna mashia? Hamna swala ya maiti hapa hata sijui wanasali kitu gani mtihani wallahi hata sijui utaratibu wanatoa wapi?
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 27 күн бұрын
Mwisho mbaya
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 27 күн бұрын
Anatoa mawaidha kuhusu mali na watoto ni mapambo ya dunia kinachobakia ni matendo mema! Mali si chochote
@user-xl4io3or7r
@user-xl4io3or7r 27 күн бұрын
Utaratibu si ukariri, Mungu mida yake ni yote.
@hamynas
@hamynas 26 күн бұрын
hiyo ndiyo swala sahihi alioisalia mtume saww maiti ..ninyi mliokariri na kurithi ndiyo mnashangaa..nendeni mkasome mtagundua ukweli
@msemasungura5651
@msemasungura5651 26 күн бұрын
Kasome kwanza acha mazoea
@BabaEliza-y4w
@BabaEliza-y4w 26 күн бұрын
Baba Eliza
@josephlorri431
@josephlorri431 26 күн бұрын
Fungua hii code
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 27 күн бұрын
Swala ya Mauti si ndo Hiyo wanauswali
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 26 күн бұрын
Kama yemwenyeww alikuwa mshia bado kafiri tuuh ulizani atazikwaje na mtu. Alikuwa marekani nchi ya kikafiri yeye mshia unadhani mashia ni waislamu kafiri sasa hhuyu nimeona clip zake ni mshia so mwislamu
@AhmedAslam-ip8mu
@AhmedAslam-ip8mu 24 күн бұрын
acha kuongea ujinga nan kakwambia shia sio waislam soma dini ww
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 24 күн бұрын
@@AhmedAslam-ip8mu dini nimesoma ndomana nkajuwa so waislamu ww usojuwa ndo ilitakiwa uulize kwanini umesema hivyo ningekupa sababu za mtu kuwa ndani ya uislamu na sababu za mtu kutolewa nje ya uislamu ww kwakuwa Ni mbumbumbu hujui kitu unadhani kila anae vaa kilemba na kanzu Ni mwislamu la hasha uliza vitu ujuwe dunia ya Sasa watu wengi wameshindwa kuuwa uislamu wanaingia kwa mbinu za uislamu bado Shia ni makafiri na Kama wakristo na mayahudi tuuh
@HusseinMillans
@HusseinMillans 25 күн бұрын
Inna Lillah wainna illaih rajiuun!
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
R.I.P
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Tribute to Marhum Yusuf Manji at HIC Orlando July 2 2024
3:42
Bachupira
Рет қаралды 3,7 М.
MAAJABU YALIOMO NDANI YA AL QAABA |  SIRI 8 USIZOZIJUA
4:07
AQ ONLINE TV
Рет қаралды 89 М.
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 1,3 МЛН