#LIVE

  Рет қаралды 272,212

Miraj Khan

Miraj Khan

Күн бұрын

Jiandae na maisha ya milele ya akhera kwa ibada na kusikiliza muongozo wa masheikhe mbalimbali hapa Miraj khan online
⚫️ WASILIANA NASI MIRAJ KHAN ( WHATSAPP +255 713 730 907), ( +255 766 445 024)
⚫️ Email: buikhan21@gmail.com

Пікірлер: 538
@abdulrehmanriadha6574
@abdulrehmanriadha6574 3 жыл бұрын
Ama kweli mazinge ww n kiboko wa Makafiri Mungu ukuweke pamoja na Mtume MUHAMAD S.A.W
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
Mtume aliyekuliwa na nguruwe mohammed yupo kuzimu lol
@cideboy4676
@cideboy4676 3 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 Tatizo lako unapanik Sana tulia dawa ikuingie wewe subir yesu arudi akatae uungu na uana wa mungu sjui utakimbilia wapi maskini😁😁😁
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
@@cideboy4676 hadi sasa hivi hujui Nafasi ya Yesu bado unateseka na uungu uko na shida
@cideboy4676
@cideboy4676 3 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 🤣🤣🤣 acha kuteseka ndugu haya muelezee yesu ni Nan halafu na mm nitakuambia ni nan
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
@@cideboy4676 sasa wewe unathani unajadili hapa..😂😂😂 tazama mjadala na utesekee polepole naukweli
@malcomx4067
@malcomx4067 2 жыл бұрын
Mathayo 17:5 Alipokuwa bado akisema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.
@ernestjohnbosco2053
@ernestjohnbosco2053 2 жыл бұрын
Pole sana mazinge Mungu akurehemu mana unaropoka tuu ila hujui lolote, omba sana Mungu akusamehe
@zitojosempakama2243
@zitojosempakama2243 2 жыл бұрын
Yani huruma sana huyu Mazinger😂😂😂
@esterkanuda5002
@esterkanuda5002 2 жыл бұрын
Kabisa
@naimamwambe1605
@naimamwambe1605 2 жыл бұрын
Akysameheni nyie msio jielewa Wala kuifahamu hiyo bible yenu washirikina wakubwa lini mungu Kawa na mtoto yesu
@ericonzere1274
@ericonzere1274 5 ай бұрын
Mazinge ni debe tupu achi kupiga kelele hana lolote
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 4 ай бұрын
Yaani wew ndo ziro ×ziro huna lolotee
@saadiashariff5377
@saadiashariff5377 2 жыл бұрын
Wallahi , we ask Allah to protect sheikh mazinge , and all
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 жыл бұрын
Narrated Ibn `Abbas: The Prophet (ﷺ) said, "You will meet Allah barefooted, naked, walking on feet, and uncircumcised." حَدَّثَنَا عَلِيٌّ، حَدَّثَنَا سُفْيَانُ، قَالَ عَمْرٌو سَمِعْتُ سَعِيدَ بْنَ جُبَيْرٍ، سَمِعْتُ ابْنَ عَبَّاسٍ، سَمِعْتُ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ ‏ "‏ إِنَّكُمْ مُلاَقُو اللَّهِ حُفَاةً عُرَاةً مُشَاةً غُرْلاً ‏"‏‏.‏ قَالَ سُفْيَانُ هَذَا مِمَّا نَعُدُّ أَنَّ ابْنَ عَبَّاسٍ سَمِعَهُ مِنَ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم‏.‏ Reference : Sahih al-Bukhari 6524 In-book reference : Book 81, Hadith 113 USC-MSA web (English) reference : Vol. 8, Book 76, Hadith 531 (deprecated numbering scheme)
@ademisho165
@ademisho165 2 жыл бұрын
Ila hapa amekutana na kiboko. Mazinge ana hoja dhaifu sana
@asilclub
@asilclub 3 жыл бұрын
TAKIBIR JUU YA KILA KITU الله أكبر
@isaacbangaya8354
@isaacbangaya8354 2 жыл бұрын
Nilikuwa ninashauku Sana siku moja pastor ndacha akutane na mazinge maana naona mazinge anapend sana kuwaonea wachungaji utopolo nakujiona yeye ni mwamba kumbe ni mpuuz mmoja ambaye anapotosha watu
@therainmasaiworrior7561
@therainmasaiworrior7561 2 жыл бұрын
kabisaa huyu waisilamu amewapoteza
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 4 ай бұрын
Nikweli
@Indonocomedy02
@Indonocomedy02 2 жыл бұрын
Nyie waislamu someni kitabu cha Mathayo 17:5 Mungu awajalie kuelewa
@barakazeboss2145
@barakazeboss2145 2 жыл бұрын
Jamani tukiachana na ushabiki wa dini kiukwel Ndacha yuko vzr i mean yuko deeper zaid, sijasema kuwa Mazinge hayuko vzr nae yupo vizur kulingana na uelewa wake, Mfano, hapo mwishon Sheikh mazinge amesema kuwa yesu sio mwana wa mungu kwa kurukia mstar mwingine ambao hauhusiani na mstar ambao petro alisema kuwa yesu ni mwana wa mungu, ukitaka kuelewa kasome kilichoendelea baada ya petro kusema kuwa yesu ni mwana wa mungu, kilichoendelea ni kwamba yesu alimwambia petro kuwa umefunuliwa na mungu it means yesu anakubali kbx kuwa yeye ni mwana wa mungu Mazinge yeye alihamia mstar mwingine kbx ambao hauhusiani na petro kumuita yesu kuwa ni mwana wa Mungu!
@legendaction202
@legendaction202 2 жыл бұрын
Wewe mungu alizaa wap
@barakazeboss2145
@barakazeboss2145 2 жыл бұрын
@@legendaction202 kamsikilize vzr huyo pst Ndacha kama ni wakuelewa utaelewa ila kama hutaweza kuelewa basi
@moussaalast4950
@moussaalast4950 2 жыл бұрын
ni nani aliempa mimba mariam🤗🤗🤗😎jibu wewe hili swali
@barakazeboss2145
@barakazeboss2145 2 жыл бұрын
@@moussaalast4950 nafikiri maelezo ya pastor yanajitosheleza vzr kwamba Mungu anazaa kwa roho sio katika mwili kwa maana hiyo sasa mimba aliyopata mariam ni kwa uwezo wa roho mtakatifu(roho ya Mungu) jaribu kutuliza ubongo utaelewa vzr
@khalfanibobewe4278
@khalfanibobewe4278 2 жыл бұрын
We,tenda mema tu,sio ushabiki wa din
@barkaabdallah2407
@barkaabdallah2407 2 жыл бұрын
Takbir Allahu Akbar Allah akuhifadhi sheikh wetu Nakupenda sana
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 6 ай бұрын
Yesu ni mwana wa maría kimwili na ni mwana wa Mungu kiroho, wakristu wote wanajua hawawezi kudanganywa katika Hali hiyo tu.
@josephmchila6467
@josephmchila6467 2 жыл бұрын
Ndacha ni kiboko,Mazinge kazidiwa mno
@alisaidi2620
@alisaidi2620 2 жыл бұрын
MASALLAH ALLAH, ALLAH akulipe dunia na akhera ustadh mazinge
@samuelngogo5572
@samuelngogo5572 3 жыл бұрын
Wanaokukimbia mapadiri sio Ndacha,be blessed NDACHA
@therainmasaiworrior7561
@therainmasaiworrior7561 2 жыл бұрын
mueleze vizuri ndacha ni mwalimu
@esterkanuda5002
@esterkanuda5002 2 жыл бұрын
Kabisa
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 4 ай бұрын
Ni kweli
@ommygraphics4355
@ommygraphics4355 2 жыл бұрын
Mashaallah Shekhe Mazinge Allah akupe maisha marefu ili utupiganie waislam. Amiin
@christopheryaa2444
@christopheryaa2444 2 жыл бұрын
Jipiganie mwenyewe brother by reading books. Don`t be lazy in reading coz if you do, you will be told a story. So go out there and begin to read the KORAN by yourself and once you get the knowledge do the right things
@ommygraphics4355
@ommygraphics4355 2 жыл бұрын
@@christopheryaa2444 sahihi kabisa lakini ndiomaana hata msikitini kuna shekhe kwahiyo hata elimu tunazidiana. Binafsi nafurahi kuona shekhe Mazinge anavyoupigania uislam na ndio chachu yetu kupata bidii zaidi. Inshaallah
@totodavis1949
@totodavis1949 2 жыл бұрын
@@christopheryaa2444 Amen
@sarahkudoyi4371
@sarahkudoyi4371 2 жыл бұрын
Proud Christian ndacha wahubirie wao waokoke na waache kufuga majini na mapaka za wachawi
@modijuma3154
@modijuma3154 2 жыл бұрын
In sha Allah nakuombea shek mazinge Allah akuajalie maisha marefu utupiganie waislam amiin thuma amiin
@totodavis1949
@totodavis1949 2 жыл бұрын
Mungu ndio hupigania watu sio binadamu amelaniwa yeyote anae mtegemea binadamu
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 2 жыл бұрын
Aleluya Ndacha,Waislamu wapotoshaji wapo hata huku Kigoma.Tunafurahia uwepo wako endelea kumhubiri Kristo karibu Kigoma Tanzania.Tunaelimika kupitia uwepo wako
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 2 жыл бұрын
Asw alykum fresh sana sheikh Mazinge uko vizuri
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 жыл бұрын
Brother ndacha is very genius
@mbesinghabi1994
@mbesinghabi1994 2 жыл бұрын
Genius and intelligent
@aminakilungu8642
@aminakilungu8642 2 жыл бұрын
@@mbesinghabi1994 If, f FX from my fff
@aminakilungu8642
@aminakilungu8642 2 жыл бұрын
Ff
@bro.okellor6485
@bro.okellor6485 2 жыл бұрын
Itabidi waokoke wanajifanya eti wanajuwa mola Bali wanaabudu dini yao wana judge wakritu eti ni wakafiri Mungu awahurumie sana
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 2 жыл бұрын
ukweli wote mazinge kaambiwa kilichobak ubish maana mkatili mkatili 2
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 2 жыл бұрын
Mazinge ushaambiwa ukweli bhana ubish 2
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 2 жыл бұрын
hawana nguvu wenzako du
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 2 жыл бұрын
lakn mazinge ushaambiwa hiko kitabu kinako toka unaijua lakn hio ni mtihan mkubwa kitabu kilikotoka ujanjaujanja ww
@kellimjanja180
@kellimjanja180 3 жыл бұрын
Mazinge mskize ndacha kwa umakini huyo ndo mwalimu wako ,,,mbinde eka pembeni usipotee
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 2 жыл бұрын
Mungu hana mwana labda. CCM ina mwana ambae ni nyerere
@zitojosempakama2243
@zitojosempakama2243 2 жыл бұрын
Kabisaaaaaaa yani kwa mtu mwelewa hangebatizwa papo hapo
@zitojosempakama2243
@zitojosempakama2243 2 жыл бұрын
Tatizo lá waisilamo hawana roh wa mungu ndo shida😂😂😂😂
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 2 жыл бұрын
@@zitojosempakama2243 ati mkristo ana roho wa Mungu. Eeeeeehe
@zitojosempakama2243
@zitojosempakama2243 2 жыл бұрын
Neno lá mungu ni Siri kulijua ni mungu mwenyewe hakuwezeche, yani ona mauburi haya mazinge Hakuna gata hanachoelewa kipindi yesu hakizungumziwa kiroh yeye hanamzungunzia kimwili na kumlinganicha na binadam wakawaida, heti Mariam mala yusufu, yani huruma kabisa
@enuelabunimkali9529
@enuelabunimkali9529 3 жыл бұрын
Mr ndacha pongezi xana jina la bwana mungu wetu na bwana yesu lipewe sifa !!
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 2 жыл бұрын
Huyu ndiye Mazinge bana.....Lazima mtakimbia hapa,,,,,💯
@tituskiokom.6392
@tituskiokom.6392 2 жыл бұрын
Mambishano kado, Dacha ni mwalimu kweli. Yesu ndiye kweli,
@lamerckmsuya5513
@lamerckmsuya5513 2 жыл бұрын
Anachoniuzigi mzinga ni kupindisha maandiko, huo ni upumbavu soma ipasavyo, sio kutafuta kudanganya..WAKRISTO HALLELUYA AAAAAAAAAA
@andikaroibrahim1909
@andikaroibrahim1909 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi Mazinge unatumia vizuri uwezo aliokupa Allah
@ademisho165
@ademisho165 2 жыл бұрын
Mazinge amemalizwa vibaya na Mkenya hapo. Na huyu Mkenya hapo ameletwa mtu wa kawaida sana. Hii Debate Mkenya amemshinda Mazinge kwa mbali sana
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 2 жыл бұрын
Waislam vichwa vigumu Sana kuelewa vitabu vya mungu hatukatai kwamba Quran ni kitabu takatifu na biblia pia kitabu takatifu lakn mazinge anatetea tu maslah ya uislam lakn ukwel anaujua kua anapoteza wafuasi wake
@RamaNevi-fs6zr
@RamaNevi-fs6zr 4 ай бұрын
Ety mwanzo kulikua n neno na neno alikua n Mungu sasa maneno yalitamkwa na nan,wakristo hamna elimu someni Kwanza,hasa ndacha jifunze Kiswahili na usome sna
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 5 күн бұрын
Yaani ww unataka kujilinganisha elimu na wakristo j
@petermagoye8324
@petermagoye8324 3 жыл бұрын
Mazinge naoan anatokwa na povu tuu hana uwezo wa kujibu hoja kabisa
@rahmamubaraq2484
@rahmamubaraq2484 2 жыл бұрын
Sema shekh mazinge Allah akulinde na azidi kukupa umri mrefu kusudi dini izidi kukuwa na tuelimike sie tusio jua wallah raha kuwa muslam napata raha neema kuwa muisilam
@hemedmteta1201
@hemedmteta1201 2 жыл бұрын
Mungu asaidie sana, waislamu wengi, hawaelew wanakalili maandiko, kwahyo wanaimba2, viarabu kichwani hamna kitu. Mioyoni mwao halikai neno ndio maana wakiongea kuhusu mungu ni pumba tupu, Kwa mfano,, Neno mwana kibiblia haimaanishi ni mototo kwa kumzaa mtu!!! Mwana inawakilisha Imanueli, yani mungu pamoja nasi, kwa maana Neno mwana linakuwa kama kiwakilishi cha mungu na mtu. Hata Adamu hajazaa watu wote Duniani lakini wanaitwa Wana wake kwa kuwakilisha, na mungu hajazaa na hana mtoto, bali mungu Ni mkuu wa Babu, Baba, Mama, kaka, dada, nk. Sina utaalam sana wa maandiko lakini nafikir kutumia akili kubwa kupinga Imani ya watu kwa 7bu ya Neno mwana, It's not a big deal. Swala ni kwamba Mungu ndio muweza na ndie mlezi wa viumbe vyote. Alafu mimi naomba nisaidiwe kumjua babake na yesu.
@joachimsamwel812
@joachimsamwel812 3 жыл бұрын
Mazinge unawapelekapeleka waislamu .mbona Mungu huyu ndio mwanangu mpendwa msikilizeni yeye
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Жыл бұрын
Tunafata mafundisho ya Allah TU sio useme mazinge anatupelekesha Tuu
@feyzungu633
@feyzungu633 2 жыл бұрын
Mchungaji Wala hutoelewa maisha yako mungu akisema wote ni duniani ni wana wa mungu lakin nyinyi munataka kufos kua lazima mungu awe kazaa na mariamu Hilo ndo usilolielewa
@jumaabdalah1651
@jumaabdalah1651 2 жыл бұрын
Masha'Allah Ustadh wetu
@paschalkisimba9222
@paschalkisimba9222 3 жыл бұрын
Mazinge mhuni sana alipoona kazidiwa kwenye biblia akahamia romani katoriki kwenye maisha ya watakatifu hakika wasabato wako vizuri
@cideboy4676
@cideboy4676 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 wakiristo hamna jipya dini yenu ni ya uongo tu hata ukatae
@kellimjanja180
@kellimjanja180 3 жыл бұрын
Anaupinga kiristo ndani take msimlaumu
@cideboy4676
@cideboy4676 3 жыл бұрын
@@kellimjanja180 Kwan ukiristo nao ni dini?😃
@kellimjanja180
@kellimjanja180 3 жыл бұрын
@@cideboy4676 kwani huja gundua'' Basi zingatia kile unachokijua usicho kijua uskiekee kifua mbele kitakutoa damu za pua
@cideboy4676
@cideboy4676 3 жыл бұрын
@@kellimjanja180 Kama we ni mkiristo ujue tu umepotea dini Gani ambayo hata mtume wa mungu yesu haitambui Wala mungu haitambui hiyo sio dini
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
This Sheikh is Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, wants you to do. So you too can be SAVED!
@sarakikyaelifrida827
@sarakikyaelifrida827 2 жыл бұрын
Shekhe umeshindwa
@sarakikyaelifrida827
@sarakikyaelifrida827 2 жыл бұрын
Okoka wewe
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 жыл бұрын
Waislamu ni noma kweli 💯💯
@teammayuro7267
@teammayuro7267 2 жыл бұрын
Silimu basi kama umeamini
@ilovejesus666
@ilovejesus666 2 жыл бұрын
@@teammayuro7267 nisilimu mala ngapi
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 жыл бұрын
@@teammayuro7267 Magic was worked on Allah's Messenger (ﷺ) so that he used to think that he had sexual relations with his wives while he actually had not. Sahih al-Bukhari 5765
@abdirazaqibrahim1960
@abdirazaqibrahim1960 2 жыл бұрын
Masha Allah 🥰 Ustadh wetu
@issafaquedalaura8279
@issafaquedalaura8279 2 жыл бұрын
Ustazi Mazinge anassema ukhele😍😘😘😊
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 жыл бұрын
Wape hao wamezoea kugeuza Mambo hawamuogopi Mungu.
@edinahkemuntomainya6551
@edinahkemuntomainya6551 3 жыл бұрын
Waislaam karibieni jeanam kabisa kwasababu mmekataa uokofu.Mnapenda sana ubishi na ushabiki.Hutaenda mbinguni kwasababu umepata max kwa kupinga Bali kwa kuokoka na kukiri kwamba Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha ya wanadamu
@jumashabani8474
@jumashabani8474 2 жыл бұрын
Yeye ni Mungu?
@omaraliy8207
@omaraliy8207 Жыл бұрын
ndacha umuongo uyo pro mazinge ni kichwa humuwezi ata cku moja
@kellimjanja180
@kellimjanja180 3 жыл бұрын
Mungu akufungue macho yakiroho uone mbali majini yamekuingia kindaki ndaki Mungu akuokoe
@mwitamotera5368
@mwitamotera5368 2 жыл бұрын
Alisha okolewa tatizo hujui ndg
@ibrahimmusa331
@ibrahimmusa331 2 жыл бұрын
Pole kelli
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 жыл бұрын
@@ibrahimmusa331 Magic was worked on Allah's Messenger (ﷺ) so that he used to think that he had sexual relations with his wives while he actually had not. Sahih al-Bukhari 5765
@neemaadam9256
@neemaadam9256 2 жыл бұрын
Mara nyingi Yesu alisema yeye ni Mwana wa Adamu
@abeydacane7640
@abeydacane7640 2 жыл бұрын
Masha Allah ustadh
@timotyhkitirwa5464
@timotyhkitirwa5464 2 жыл бұрын
Mr. Ndacha you are surely great. God bless you.
@husseinchea5524
@husseinchea5524 2 жыл бұрын
Huyu mchungaji anajua Maandiko sana
@simongwandu7392
@simongwandu7392 2 жыл бұрын
Mbona kunakuwa na malumbano ya Waislamu na Wakristo mara kwa mara kuna nini,Kuna Mungu wa Wakristo Na Mungu wa waislamu Mazinge nijibu.
@hemedmteta1201
@hemedmteta1201 2 жыл бұрын
Hakuna mungu wa mtu maalumu, bro watu wanaushabiki na dini zao, asilimia 70 mpaka 90 wanabudia Dini badala ya mungu, kwa7bu kukalili kilichoandikwa bila kuelewa. Kwa mfano, Mazinge akifafanua maandiko anaonekana kabisa Haelew maandiko kwa mapana lakini watu wanamshangilia inaonyesha ni kind gani watu hawaelew maandiko. Kwamfano, kwenye swala la Yesu mwana wa mungu, ana shindw hata kujiuliza" kwamba" Mtume gani alikuja Duniani Bila baba?? Na kama yupo Baba yake ni nani,??? Na kama hana baba wa kumzaa, aseme Ni binadamu gani au mtu gani Baada ya Adamu ya Awa walikuja Duniani Bila kuzaliwa na wazazi, Alafu atagundua Mungu ni mkuu kuliko kichwa chake. Alafu dini sio, Sio Timu ya moira.
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Nashauri, wasimamizi wapige marufuku kwa wahadhiri kubadili maneno katika aya. Ndacha muongo bila haya
@ludalberinger417
@ludalberinger417 2 жыл бұрын
Ukimsikiliz huyo sheik anajikanyang mpk anamkashifu mungu ss kwan yey anamuabudu mungu gani
@dodwiedwin3944
@dodwiedwin3944 2 жыл бұрын
Uislam ni dini ya ibilisi lkn hawajui kwa sasa. Ila siku Zinakuja mtatamani kuokowa kuwa wakristo lkn haitawezekana.
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 3 жыл бұрын
Kila.roho isiokubali yesu alikuja kupitia mwili duniani lakini yenye ni mungu kwa asili yake roho hiyo ni ya mpinga kiristo
@Ibrahym2422
@Ibrahym2422 2 жыл бұрын
Ww mpinga kristo unamjua les mujibu wa bibilia kama alivolisema yesu au we unasema tu mpinga kristo ? Ww mwenyewe ndo mpinga kristo sasa maan humfat yesu ata robo tu
@mwola
@mwola 2 жыл бұрын
@@Ibrahym2422 wewe Ndio Humjui.
@Ibrahym2422
@Ibrahym2422 2 жыл бұрын
@@mwola lete andiko Kama mimi au lete andiko Kama si wewe
@mwola
@mwola 2 жыл бұрын
@@Ibrahym2422 Quran 16:17..Anayeumba ni Mwenywzi Mungu. Quran..3:49..ISA ambaye ni YESU' Kaumba jiwa kutoka kwa udongo; kampa uhai wa pumzi na kijidege kikafly. Haya basi..wewe taja nani mwengine kaumba kutoka kwa Bibilia takatifu au Qurani ata kama ni izi.
@mwola
@mwola 2 жыл бұрын
@@Ibrahym2422 Wakati wa KIAMA;.kunzia wewe hadi ulimwengu wotee.kila Goti na kinywa kitakiri YESU ni BWANA ..yani ni MUNGU. Soma Kitabu cha WAFILIPI 2:10-11.
@emmanuelngewa8894
@emmanuelngewa8894 2 жыл бұрын
huyu mchungaji anawafundisha waislamu, na waislamu mngejua kuwa kitendo cha kuweka midahalo na wakristo inasaidia kuwafumbua macho washiriki wenu maamuma wajue ukweli na kubatizwa mngeacha mara moja lakini huu ni mpango wa Mungu watu wote waokolewe wakiwemo waislamu waliopotea
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali
@maryaloyce5715
@maryaloyce5715 2 жыл бұрын
Kuna tofauti kibwa sana hapo. Ndacha anafundisha. Mazinge anatafuta ushindi hskubali kuelewa na maandiko
@thomashariohay7388
@thomashariohay7388 2 жыл бұрын
Hapa kilichotokea mwenye maneno kakutana na mwenye Neno......Ndacha hata wakikataa ukwel unaoufundisha leo ipo siku watajutia
@methodkakoni4465
@methodkakoni4465 2 жыл бұрын
Mazinge huna lolote nawaislam wasio elewa wanashangilia utupu
@thobiasbeda7204
@thobiasbeda7204 2 жыл бұрын
Natabiri Mambo 3 ktk mihadhala hii ya kidini 1) inasaidia waislam kusoma biblia na kuwafanya wachunguze MAANDIKO mwishowe watapokea ukweli moyoni 2) kufanya uadui Kati ya wakristo na waislam na kumtukuza shetani maana hapa hawataki DHAMBI wao Ni kukutetea dini bila kukemea DHAMBI watafanyika wa jehanam Mara mbili 3) mazinge ATAKUWA na pesa Sana mwishowe atakemewa na YESU mwenyewe Kama alivyo sauli hata ishi kwa amani atadharauriwa na dini zote mbili ataitwa tapeli mganga wa kiyenyeji ,muuza dawa yaani mwisho wake utakuwa mbaya na wote wanaomsema YESU kwa fitna wanakuwa na mikosi anae msema YESU vizuri anabarikiwa Sana YUKO MBINGUNI NA MUNGU YUKO MBINGUNI wanaona kwa pamoja
@abdallahissa6245
@abdallahissa6245 2 жыл бұрын
mashaAllah tabir
@Saidmohammed-o3u
@Saidmohammed-o3u 5 ай бұрын
Wakristo mwaulizwa wapi yesu kasema mungu Ni babake
@mgogododoma9601
@mgogododoma9601 2 жыл бұрын
Hapa kuna mtu mwenye kipaji cha kuongea na mwingine ana elimu juu ya IMANI anayoiongelea GOD bless u pastor ndacha
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie umri mazing
@bakarimakomola
@bakarimakomola 4 күн бұрын
Ni tofauti sana ukisema kalamu ya waandishi imefanya torati kua ya uongo pamoja na watu waliofanya kur-ani kua ni ya uongo kwa maana kwa upande wa torati kuna waandishi waliotajwa hapo. Inamaana ou uongo unaozungumzwa hapo sio wa mafikirio tu ni uongo wa kimaandishi kwa maana watu waliandikwa vya uongo kwenye biblia
@bahatitumainichance8905
@bahatitumainichance8905 Жыл бұрын
Asante kwa Mungu
@michaelmhagama3343
@michaelmhagama3343 2 жыл бұрын
Waislamu wote wakabatizwe, wampokee Yesu Kristo
@amourkarenzo9713
@amourkarenzo9713 2 жыл бұрын
Mazinge so mtu mzuri may allah protect your and give you mwisho mwema.
@naftalimagige4699
@naftalimagige4699 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mwl ndacha
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 жыл бұрын
YESU NI MWANA WA MUNGU AMBAE ALIKWEPO TOKA MWANZO AKIWA NENO...YOHANA:1:1-10
@danielnaibei3244
@danielnaibei3244 3 жыл бұрын
Hallelujah
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 жыл бұрын
@@danielnaibei3244 Amina Mtumishi
@taghlibramadhan3304
@taghlibramadhan3304 3 жыл бұрын
Ć
@bernadoadriano922
@bernadoadriano922 3 жыл бұрын
Ameeeeeniiii
@mwitamotera5368
@mwitamotera5368 2 жыл бұрын
Mungu Hana mtoto !!!!!
@SumalgevicenteCebola
@SumalgevicenteCebola 5 ай бұрын
Asalamo aleikmu w.w nadaka kouliza swali moja .kampa mwamine Qr,ane ya Mungo wew Ndacha wew ni kafruna kumba
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 жыл бұрын
Haslimu mtu ha Yesu, Fundisheni ukweli sio kuwatawanya watu na Imani za watu jamani TUPENDANE MUNGU WETU NI MMOJA
@rosejordan5391
@rosejordan5391 2 жыл бұрын
Amen nikweli kabisa tusifanye dini km siasa...
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 жыл бұрын
@@rosejordan5391 umeona eee
@eddyblack6544
@eddyblack6544 2 жыл бұрын
Allaahuakbar 💪
@saadiashariff5377
@saadiashariff5377 2 жыл бұрын
Takbir Allahu Akbar! *100000000000000000
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
huyu jamaa ndyo kiboko ya mazinge
@adamissa8307
@adamissa8307 2 жыл бұрын
Jamani, Mazinge ni kidume. Tumwombee maisha marefu kama ya nabii Nuhu ili awanyooshe hawa vipofu.
@paqchatygaga7276
@paqchatygaga7276 2 жыл бұрын
Tena sana allah amuhifadh na shari za walimwengu ..
@ibrahimmusa331
@ibrahimmusa331 2 жыл бұрын
Amiyn
@damsonmywanga4405
@damsonmywanga4405 3 жыл бұрын
Ndachi Ni mwalimu hakika
@nicksonsanga8748
@nicksonsanga8748 2 жыл бұрын
Nakukubali saana pastor ndacha Nickson sanga From Tanzanian
@esterkanuda5002
@esterkanuda5002 2 жыл бұрын
hakika
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 2 жыл бұрын
Ni mwalimu wa vipofu na viziwi tuu sio wenye kuona dalili za mungu Mkuu tena alie mmoja tuu makafiri wakubwa na siku mtalia na kusaga meno bila kumsaada wowote
@faridsalummaulid4681
@faridsalummaulid4681 6 ай бұрын
Mazinge anajua sana
@wahakiomary6281
@wahakiomary6281 Жыл бұрын
Yesu Ni mzur jaman
@ludalberinger417
@ludalberinger417 2 жыл бұрын
Jenga hoja za msingi kabla ya kujibu swali
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Mazinge Tubu dhambi na Uwaokoe wafuasi wako kwasababu nikama unawapumbza na wao wanakufuata na kukushangilia hata ukiingea utumbo sasa utachomwa jehanam Mungu amekupendelea kukuweka hai mpaka leo ili utubu ukifa ghafla imekula kwako kwasababu unajua Yesu atakuja kufanya nini kwenye ukumu ya Dunia.
@silasally8498
@silasally8498 3 жыл бұрын
Hujielewi utakapo elewa itakuwa too late
@kellimjanja180
@kellimjanja180 3 жыл бұрын
Nakuhurumia mazinge kwa kubishana na mwalimu wako ndacha! Mskize kwa umakini na utafakari usije ukapotea
@jumashabani8474
@jumashabani8474 2 жыл бұрын
Hahaha hahaha pole sana yesu amewahi kuimba kwaya? Ameingia kanisani?
@ademisho165
@ademisho165 2 жыл бұрын
@@jumashabani8474 unatoka nje ya mada. Sikiliza mdahalo.
@ademisho165
@ademisho165 2 жыл бұрын
Mazinge amepondwa vibaya hapo
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 жыл бұрын
@@jumashabani8474 Magic was worked on Allah's Messenger (ﷺ) so that he used to think that he had sexual relations with his wives while he actually had not. Sahih al-Bukhari 5765
@ngalasafari8321
@ngalasafari8321 2 жыл бұрын
Si lakn waislamu reasoning yenu iko chini sana,
@saadiashariff5377
@saadiashariff5377 2 жыл бұрын
The guy ako ( ndachu)outside topic he is so loud and anger 😂😂😂😂😂😂😂😂
@rehemambedule7531
@rehemambedule7531 2 жыл бұрын
Fact
@AaAa-cm6li
@AaAa-cm6li 2 жыл бұрын
Fact he is out of topic
@alexandermulilison5844
@alexandermulilison5844 2 жыл бұрын
Wekeni video yote sio kukata nusu
@husseinchea5524
@husseinchea5524 2 жыл бұрын
Ni vile hutaki kumuelewa lkn anajibu sawa sawa tu
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 жыл бұрын
@@husseinchea5524 Magic was worked on Allah's Messenger (ﷺ) so that he used to think that he had sexual relations with his wives while he actually had not. Sahih al-Bukhari 5765
@user-mh9hj3lx7q
@user-mh9hj3lx7q 3 ай бұрын
Mazinge mjinga unawadanganya wailamu
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 2 жыл бұрын
Yesu ni Mwana wa Mungu na ni Mungu
@salehsuleiman8519
@salehsuleiman8519 2 жыл бұрын
Huyu ndacha siku atakayo fumba jicho2 ndio atajua kama kweli nikipotea na nikipoteza wenzang Mungu akuongoze njia ilionyooka kabla haujafika siku hio
@evanslawrence7764
@evanslawrence7764 2 жыл бұрын
Njoo kwa Yesu Uislam huufahamu ng'o' upo 0
@husseinchea5524
@husseinchea5524 2 жыл бұрын
Njo kwa Yesu ndugu
@mohammedgadafi1396
@mohammedgadafi1396 2 жыл бұрын
AllahuAkibarii mazinge
@protusmuliro2796
@protusmuliro2796 6 ай бұрын
Mashallah uisilam ndo dini ya haki
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Huyu Ndacha hodari wa kubadili quraan .aya aliyoitaja hii : "Ambao wakaifanya Qur'ani vipande vipande.Basi Naapa kwa Mola wako Mlezi! Tutawahoji wote." Tena Ndacha muongo sana
@florianntulo5731
@florianntulo5731 2 жыл бұрын
Amani itawale Kila mtu abaki na Imani yake
@paqchatygaga7276
@paqchatygaga7276 2 жыл бұрын
Uislam ndio dini ya hakki mashallah
@janethkaponda6835
@janethkaponda6835 Жыл бұрын
Waoooo,Mungu juuuu na wasabato pia juu
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 3 жыл бұрын
Ndacha sauti ya Mungu. Itengenezeni njia
@esterkanuda5002
@esterkanuda5002 2 жыл бұрын
Amina
@rashidihemed5487
@rashidihemed5487 2 жыл бұрын
Yessu yupi aliyewahi kuingia kanisani au kujenga kanisa tupeni andiko
@RobertBizuru-fw9sm
@RobertBizuru-fw9sm 4 ай бұрын
Mazinge' kachemsha anjihami kutetea heshma yake
@officialcylas7445
@officialcylas7445 2 жыл бұрын
Amesahau kusoma hii Mathayo 16:21-23 [21] Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka. [22]Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata. [23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
@wilsonlameck4046
@wilsonlameck4046 Жыл бұрын
Kinachoshangaza Mazinge anakataa akina Mathayo siyo Mungu! Sasa mbona bado ananukuu maandiko yao akina Yohana??!!
@methodkakoni4465
@methodkakoni4465 2 жыл бұрын
Mazinge hapo unajitetea kiswahili kime kuchanganya maneno yako mazinge ya mtu asiye muelewa
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 2 жыл бұрын
Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa
@joelshow905
@joelshow905 2 жыл бұрын
Kila mtu na Imani yake hapo hakuna siku wakristu na waislam watakutana
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 2 жыл бұрын
Ukisoma matayo16:22 kwa mustari hi petero alikataza yesu Cristo kusubiwa ndio mana yesu alimwambia tekeni nyuma yangu shetani , kwani Petro alitaka kusimamisha mupango wakuokowa ndunia kwa kupitiya kazi ya msalaba
@bryanachieng8160
@bryanachieng8160 2 жыл бұрын
You got it,na ukisoma apo 17,Yesu anamwambia Petro,heri wewe Simon mwana ya Yona,kwa maana akuna binadamu yoyote aliyefunuliwa Jambo ili,ila babangu aliye mbinguni. 20 Kisha Yesu akawaonya wanafunzi wasimwambiye mtu yoyote kuwa yeye ndio Kristo.Sheikh hawache kuruka mstari.Yesu mwenyewe amesema yeye ni Kristo.
@111dudi
@111dudi Жыл бұрын
Unaona uongo wa Ndacha, kairuka aya ya 89. Mazinge kampa cha uso,Ndacha kaingia mitini,uongo wake umekamatwa
@mustafajamal1009
@mustafajamal1009 3 жыл бұрын
Mazinge Allah akuifandi Masha Allah
@livanofficialkenya
@livanofficialkenya 2 жыл бұрын
Mazinge hapa umeoga punguza jaziba
DEBATE. Prof. Mazinge azima mbwembwe za Mch. Ndacha kutoka Kenya.
28:25
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 12 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 134 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 35 МЛН
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 347 М.
UST:SHAFI AMGEUZIA KIBANO MCHUNGAJI NDACHA//ELIMU YAKO BADO SANA
20:10
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 32 М.
POMBE NA UKRISTO
12:11
Servant Ivan Kibiki
Рет қаралды 9 М.
MDAHALO WASLAMU WASHINDWA KUTETE IJUMA
27:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 823 М.
Muhadhara.Masai akiri wachungaji wamewapotosha.Shk.Mazinge
1:05:11
ALNUUR ISLAMIC DAAWAH CHANNEL
Рет қаралды 60 М.
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 12 МЛН