I'm not an Adventist and most Adventists I have known have been Soo critical and looking down on us who worship on Sunday. But since I began listening to this mahubiri TV it's been quite an eye opener. May God bless you and continue using you. You are truly a MOG used by the Holy Spirit. From kitale Kenya 🇰🇪
@unclemesh13 жыл бұрын
Upande gani wa kitale pia mimi mzaliwa wa kitale kenya
@corazonokinyo63243 жыл бұрын
I apologize on their behalf, we all in a journey as Christian's. God help us all
@graceesiabia53793 жыл бұрын
@unclemesh ominde ...kitale town
@queenessiekenya68699 ай бұрын
😅
@esperancekahindo74762 жыл бұрын
Asante sana mchungaji, Mungu akubariki.
@juvelegendary15783 жыл бұрын
Namm nipo tayari kubatizwa
@davidmmbaga33503 жыл бұрын
Uko wapi?
@timothywandera16813 жыл бұрын
Thanks so much Pst mmbaga ni Timothy kutoka Kenya county ya Eldoret umenijenga sana na mafundisho yako, Mungu na akubariki sana.
@wiza23099 ай бұрын
Am so blessed on Choir performing to these Makambi. Pst Mbaga may holy spirit continue to overflow in you. Nabarikiwa sana sana.
@winifridamushi13413 жыл бұрын
Nimefunguliwaaa kwa jina Yesu, Mungu ni mzuriiiiiii ubarikiwe
@rizikichigodi43163 жыл бұрын
Aaaaaamen barikiwa Sana past
@perisbosibori85243 жыл бұрын
Glory be to our ALMIGHTY GOD. I have really been blessed for the last three days and i thank you pastor for these wonderful teachings. May GOD protect and use you in a mighty way.
@LovenessBugali3 ай бұрын
Amen mchungaji ,,nimebalikiwa
@benjaminsabi25093 жыл бұрын
ubarikiwe pastor mbaga
@hellenjanganya55513 жыл бұрын
Asante pastor kwa yote umenena Mungu akubariki
@eunicenyandiko13893 жыл бұрын
Tutafute musaada kwa mwenyezi Mungu,hallelujah Amina
@barrackondari51363 жыл бұрын
Asanteni sana Pastor Mmbaga. There is much Truth in your message . God bless you abundantly.
@eunicenyandiko13893 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde siku zote mbarkiwa sana Amina
@magorimagori92643 жыл бұрын
Mungu awabariki sana.nawapata vyema kutoka kirumba Mwanza..Muimbishaji aandae timu yake ya kuongoza nyimbo kabla ya kupanda hapo mbele na apitie wimbo kabla ya kuuimba..mfano huo wimbo NATAKA NIMJUE YESU time signature ni 6/8 laki ameimbisha tofauti..Mungu awabariki sana
@imaninema26693 жыл бұрын
Asate sana Mchungaji imeni tia nguvu mungu akubariki
@elizabethisaac10743 жыл бұрын
Pastor barikiwa Sana.mafundisho yako ni msaada mkubwa!!
@MN-hi8ll3 жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana. Napenda Mahubiri yako.
@saumhamisi73203 жыл бұрын
Amen baba Mungu atusaidie
@MN-hi8ll3 жыл бұрын
Kumbe Sauli hakuwa chaguo la Mungu...
@juvelegendary15783 жыл бұрын
Pastor mmbaga somo hili toka ulivyo anza limeniongoa limenitoa gizani 😢
@naturaljuicez2 жыл бұрын
Amen ... God bless you
@user-sr3rn1ty9gАй бұрын
Amen
@emmanuelfatael2873 жыл бұрын
Nabarikiwa na ujumbe wako,,mmi ni KKKT nafurah namna Roho wa Bwana anavyokutumia kunifundisha mambo ya ufalme wa Mungu
@rosesimon46303 жыл бұрын
Mahubiri ya leo yameniingia moyoni najihis kama nimepigwa short ya umeme
@phyjayconsultancyservices2 жыл бұрын
mchungaji tunabalikiwa sana Yesu na akubaliki. tuuzie vitabu online pia. weka PDF na uweke mode of payment hata kama ni kwa dollar. tutavinunua tanavitamani pia.
@glorykamenya25433 жыл бұрын
Amen Baba ,samahan naomba unisaidie no yako
@notbulgajohn40823 жыл бұрын
Barikiwa Sana mchungaji kwa mkate wauzima ,nipo kyela natamani Sana kupata hicho kitabu cha namna ya kuisikia sauti ya Mungu.napataje?
@marymaina60033 жыл бұрын
God bless you pastor
@naomihannahzephrine92293 жыл бұрын
Asante pastor
@shukranjulius59103 жыл бұрын
Amina
@MN-hi8ll3 жыл бұрын
Mafundisho mazuri najifunza.
@Amonsilomba3 жыл бұрын
Pastor na mimi nimehangaika miaka 12 lakini nimesikia somo la leo nami ninafunguliwa sasa
@MN-hi8ll3 жыл бұрын
Tumaini kwa Yesu nisimuache
@user-fg9zg8yi8q10 ай бұрын
Ni obi e
@leahwainaina43968 ай бұрын
Amen
@bituromazegenja54563 жыл бұрын
Amina
@MN-hi8ll3 жыл бұрын
Amina
@estherwambuies17823 жыл бұрын
Amina
@onesmoelias85093 жыл бұрын
Nimebalikiwa mno pasta mungu aendelee kukutumia amina