Nimekuja kuangalia hii baada ya kuona SGR,,JNHPP,,ELIMU BURE,,KUBORESHWA HUDUMA ZA AFYA na mengine mengi hongera JPM
@EsterEmmanuel-xb9yj7 ай бұрын
Tumekukumbuka magufuli kwa mema yako.mungu akulaze mahari pema peponi amina
@rajabumdundu76656 жыл бұрын
hongera sana Dr jakaya kwa kumnadi Dr mugufuli , hakika umetuletea jembe
@sandalakabalo54422 ай бұрын
Jaman haya maisha
@oscarkasalile84423 жыл бұрын
Ila tunashukuru kwa kumleta JPM ila huko ulikoenda katuacha watanzania tunalia mpaka leo ila mungu mpe uzima wa milele huko aliko awe kiongozi wa malaika huko.