MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..

  Рет қаралды 84,176

Tiki Tv

Tiki Tv

Күн бұрын

KWENYE MAPENZI WATU WANAWEKEZA: MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..
.
.
.
.
.
.
.
.
#KWENYEMAPENZI #WATUWANAWEKEZA #MUWEKEZAJIMKUBWA
#ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo

Пікірлер: 559
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 3 ай бұрын
Eti natajili wakiongea ss masikini tuwe kimnyaaaa ❤❤❤❤❤❤ rc makonda
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 4 ай бұрын
Makonda umejua kuiteka KZbin ❤❤❤❤❤
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 4 ай бұрын
😂😂😂 star wa KZbin, wasafi wanasubiri
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 4 ай бұрын
Kama Mimi nikakosa hata hela mboga Yani.Maana kabla ya yote bando kwnz😮😮😮😮😮
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
😂😂😂😂 kabisa
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 4 ай бұрын
Nilichogundua huyu buana mkurugenzi hayuko sawa zinaingia na kutoka.😂😂😂
@florageofrey9486
@florageofrey9486 4 ай бұрын
​@@AlhajiIssa-jb9hr😅😅😅😅
@Zacchaeus-i6y
@Zacchaeus-i6y 4 ай бұрын
Huyu MPUUZI kweliii😂😂. Khaaa....! Mhe Paul Makonda wewee ni mtu na jiranii😂🎉😂 Mungu akutunzee mnoo🤪😂🤪 One love to PM(J) ❤️❣️❤️
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 4 ай бұрын
Toeeni sadaka kwa watot wenu wakiee na wa kiume #Rcmakonda mungu akubariki nimepata neno muimu san❤❤
@iviejustified8109
@iviejustified8109 4 ай бұрын
Mungu hivi ndiyo ina andikwa siyo mungu
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 4 ай бұрын
​@@iviejustified8109asante
@DM.2200
@DM.2200 4 ай бұрын
Yan hapo anamasnish ombea mwanao wa kike asipate mtu kama huyu 😂😂😂
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 4 ай бұрын
​@@DM.2200sio wakike tu na wakiume
@kikiswahili
@kikiswahili 4 ай бұрын
Hata mm nacheka sanaaa huyu jamaa anachekesha sanaaa
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 4 ай бұрын
Hatimae Makonda akutana na Rais wa Wadudu
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂duuh
@iviejustified8109
@iviejustified8109 4 ай бұрын
Haha confidence kama zoote 🤣
@LetciaAlto
@LetciaAlto 3 ай бұрын
😂😂😂
@BarakaRwegoshora
@BarakaRwegoshora 4 ай бұрын
Asante Mungu, Makonda mpeni maisha mema kutetea haki za wanyonge
@SwaumSamsonMingis
@SwaumSamsonMingis 3 ай бұрын
Hilo somo la sadaka kwa ajili ya watoto wetu nimelielewa vizuri. Ubarikiwe kwa somo zuri Mh.
@sirijoseph5889
@sirijoseph5889 4 ай бұрын
Makonda na Anton mtaka huwa nawaelewa sana ila huwa natamani/nakuomba siku moja uwe kiongozi mkoa wa Morogoro maana tutafika mbali sana👏👏
@magrethibrahim9636
@magrethibrahim9636 4 ай бұрын
Anthony mtaka sijuw kwa nin walimtoa simiyu aisee ni balaa
@richardyohanasanga7017
@richardyohanasanga7017 4 ай бұрын
DAH SIKU HIZI HUWA SILALI BILA KUMUANGALIA MAKONDA. MWAMBA KANICHEKESHA SANA. ANA HEKA 10 ANAWAFANYAKAZI WA WILI.
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 3 ай бұрын
Mwenzetu ana robot hao wawili au misukule nao wapo
@LetciaAlto
@LetciaAlto 3 ай бұрын
❤❤
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 4 ай бұрын
Sidhani kama yuko sawa...Dr shika kama vile
@AnnaDaudi-kn8yy
@AnnaDaudi-kn8yy 4 ай бұрын
😅😅😅😅
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@merygodfrey3709
@merygodfrey3709 4 ай бұрын
Kampuni kubwa Dunia nzima wafanyakazi wa2 😂😂😂😂😂
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 4 ай бұрын
Yuko sawa na ndo maana alifanikiwa kuwashawishi wampe hela
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 4 ай бұрын
😁😁😁🙌🙌🙌 umenifurahisha sana @yasin eti kama Dr.Shika.
@lameckkinimi7007
@lameckkinimi7007 4 ай бұрын
Mh. Makonda una uvumilivu,mimi huyu jamaa natandika vibao,aende akalale akili zimkae vizuri
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 4 ай бұрын
😂😂
@ricklandennis
@ricklandennis 4 ай бұрын
Km ndio hivi sitaki kuwa kiongozi unaweza ukapiga mtu ukaua😂😂😂
@QuamungaQuamunga
@QuamungaQuamunga 4 ай бұрын
Kuwa kiongoz yataka uwe na Hekima ya KIMUNGU HUYU BABA ANA IMANI XANA MUNGU AKUWEKE MAKONDA
@musaamos2431
@musaamos2431 3 ай бұрын
Anachekesha sana
@YusuphJohn-w2n
@YusuphJohn-w2n 10 күн бұрын
😂😂😂😂😂 mmhi kwel
@kikiswahili
@kikiswahili 4 ай бұрын
Makonda hapa umepatikana kweli kweli 😂😂😂😂😂
@baloz8974
@baloz8974 4 ай бұрын
😂😂😂😂 kakutana tapeli wa maneno
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 ай бұрын
Badoo anamsoma atajaa
@Bambagatz
@Bambagatz 4 ай бұрын
@@rehemakanyere4188 kwenye mfumo wa 4-4-2
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 3 ай бұрын
​@@baloz8974😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 4 ай бұрын
Huyu jamaa tapeli sijui chizi makonda anamchora
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@saimonmlay4295
@saimonmlay4295 4 ай бұрын
Jamaa Waya wa betri umechomoka aangaliwe vizuri
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 4 ай бұрын
😂😂😂😅😅😅😂😂
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 4 ай бұрын
Ni mpigaji ila kawekwa mbele mjanja yupo nyuma haonekani
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 4 ай бұрын
Kuna mwingine yupo na nguluwe dodoma inaonekana ni mapacha
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo 4 ай бұрын
Kweli ni mtaalam maana ameweza kumpiga chenga RC na kufanya matangazo
@musaamos2431
@musaamos2431 3 ай бұрын
Ameamua kunitangazia biashara yake
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 4 ай бұрын
Makonda kakutana na wadudu sasa .😀😀
@sadabahla7120
@sadabahla7120 4 ай бұрын
😄😄Kwa kweli
@rabsonmichael9720
@rabsonmichael9720 4 ай бұрын
Huyu ndio mdudu mwenyewe
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@mutalemwabugeza1489
@mutalemwabugeza1489 4 ай бұрын
​@@rabsonmichael9720Hahaha nimecheka mwenzenu, lah. Baba Makonda na tajiri wa Arusha
@LeonardLugange
@LeonardLugange 4 ай бұрын
Mmh kakayangu makonda unakazi khahahahaa leo umekutana na wataalamu wakubwaa"VANILLA HOYEE!!
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 4 ай бұрын
Ivi amunaga fundi wa binadamu maana kama kuna mtu fuzi imehusika
@cmantz8837
@cmantz8837 4 ай бұрын
Mhhh wazee wa vaniraaa huu mpango mi nilishaushitukia mapema
@jessechristinme3923
@jessechristinme3923 4 ай бұрын
Alisikika Consultant 😂 Sisi Ni wataalamu wakubwa Sana 😂😂😂
@Bambagatz
@Bambagatz 4 ай бұрын
Hahahah 😂
@stevenmascat9566
@stevenmascat9566 4 ай бұрын
Makonda umenifanya nikipende chama cha mapinduzi ccm,nakupenda na ninapenda uwongoz wako natamani ujekua raisi🎉🎉❤
@DominicMulwa-x5o
@DominicMulwa-x5o 3 ай бұрын
Barikiwa Sana Mahali upo makonda unafanya kazi poa.
@Wilbadi
@Wilbadi 3 ай бұрын
Anavyochezesha kichwa 😅😅😅anafikir sifa anazompa makonda ni za kweli
@BeatriceKalembwane
@BeatriceKalembwane 4 ай бұрын
Hii nmeipenda
@baloz8974
@baloz8974 4 ай бұрын
Inaburudisha
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 4 ай бұрын
Sana
@hyy4114
@hyy4114 4 ай бұрын
Huyu mkaka ni muongo aliwah kufungua biashara ya cafe mm namjua aliwah kutuajiri na shangaz yng Dar pale relini huyu mkaka ni shida mungu anisamehee
@Zaburi-
@Zaburi- 4 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@agapemwaigwisya621
@agapemwaigwisya621 4 ай бұрын
😅😅😅😅
@damianmhagama4398
@damianmhagama4398 4 ай бұрын
Yaani nimecheka mpaka nimeenda kumeza panaldo😂😂😂😂😂😂😂😂
@SalmaJumanne-sn7tt
@SalmaJumanne-sn7tt 4 ай бұрын
Asante kwa kuwa waziri mkuu wa wadudu..
@vickytango5591
@vickytango5591 4 ай бұрын
Uzuri muwekezaji hana hasira wala hapanik amejaa tabasamu tu
@charlesrhombo7910
@charlesrhombo7910 4 ай бұрын
Kwa kweli inachekesha. Wala hajishitukii
@RomanMaging
@RomanMaging 4 ай бұрын
Makonda unafaa kuwa rais
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 4 ай бұрын
Another Dr Shika
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅🙏 Saimoni umetafuna ile kitu nini 😂😂😂 😂😂😂😂😂 saimoni sio bure 😂😂😂😂😂😂😂
@JudithAdonis
@JudithAdonis 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@gracepatric4371
@gracepatric4371 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂au mhayaaa huyuuu😂😂😂😂😂
@kemmymartine4884
@kemmymartine4884 3 ай бұрын
Taratibu dr 😂😂😂😂😂
@TertulaDonath
@TertulaDonath 4 ай бұрын
Ongera sana mkonda
@waltermachange7300
@waltermachange7300 4 ай бұрын
Aliyesikia dumu la rangi ya yanga ,like hapa
@HassanKings-e7u
@HassanKings-e7u 4 ай бұрын
Makonda mie kama naona unaongea na mtu ambae hajuwi nini anacho kiongea na kinacho kusudiwa na hajuwi kama kuna watu wanalia wanahitaji haki zao na majisifu yake.
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 4 ай бұрын
Kampuni kubwa Africa ina wafanya kazi 2
@matridamakange7286
@matridamakange7286 4 ай бұрын
😂😂😂
@frowinmgimba8513
@frowinmgimba8513 4 ай бұрын
😂😂😂
@beatricemunisi7891
@beatricemunisi7891 4 ай бұрын
😅😅😅
@DM.2200
@DM.2200 4 ай бұрын
Pombe mbaya ukiitumia vibaya kwa kwel 😂😂😂
@musaamos2431
@musaamos2431 3 ай бұрын
Huyu jamaa anachekeaha
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 3 ай бұрын
Hahaaaa kampuni inatambulika dunia nzima alafu nawafanyakazi wawili mm boss wa tatu😂😂😂😂😂😂😂 nimechekaaa mungu mwema
@gideonmwalusamba6861
@gideonmwalusamba6861 4 ай бұрын
Makonda una mengi: matajiri wanapoongea maskini tuwe na nidhamu " mm wananidharau hawanieshimu uje uwambie
@jeisada2552
@jeisada2552 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 consultant wa Vanilla😅😅
@nehemia397
@nehemia397 4 ай бұрын
Kujielezea ni kazi watanzania
@HassanKings-e7u
@HassanKings-e7u 4 ай бұрын
Dunia hii kuna watu wehu kweli kweli
@Wilbadi
@Wilbadi 3 ай бұрын
Makonda umemkejel vizuri eti tajir akiongea maskin mnyamaze
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
Toeni sadakaa. Makonda anamcholatu abajua iloni Dude tapeli lapili Kicwaakipo sawa
@ImaniNyondo-uu2fi
@ImaniNyondo-uu2fi 4 ай бұрын
Uyo jama atakuw amekula k2 taali mana sijamuelewa
@abuuhafswamunsheedu5790
@abuuhafswamunsheedu5790 3 ай бұрын
Dah nimecheka kama taahira 😅😅😅
@RamadhaniSeif-z1g
@RamadhaniSeif-z1g 3 ай бұрын
Hategemei mvua ya mwenyezimungu😢😢😢😢kwahiyo huwa anakojolea 😢😢😢😢laanatunllah
@BGHaule
@BGHaule 4 ай бұрын
Huyu jamaa hayupo vizuri kabisa kiakili
@jackiemussa897
@jackiemussa897 4 ай бұрын
Mmmh mbona chini juu ,juu chini
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 4 ай бұрын
Kuna wanaume wa ovyo nyie ,uiiiii😱Mungu naomba nilindie watoto wangu tafadhali nakuomba YESU nipo chini ya miguu yako mimi heeeeee dunia hii
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 4 ай бұрын
Pole Mh. Makonda kwa kukutana na mafisadi Papa kama huyo jamaa. Yaani huyo jamaa ni shetani kutoka kuzimu.
@Darian2550
@Darian2550 4 ай бұрын
Huyu jamaa ana confidence, ni tapeli anaeweza kumshawishi mtu akamtapeli tena na tena..
@MusaAmos-mb7zr
@MusaAmos-mb7zr 4 ай бұрын
Hongera sana mweshimiwa makonda
@BibieMakame
@BibieMakame 4 ай бұрын
Mtu wa dunia😂😂 mzee wa kampuni
@StartSmall
@StartSmall 4 ай бұрын
😂😂😅🤣🤣
@israeluronu9958
@israeluronu9958 4 ай бұрын
Huyu jamaa anaonekana kama wale wa tuma kwenye namba hii 😅
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂na miwan yake mwenyewe mnamchongoa tu
@tato8979
@tato8979 4 ай бұрын
😂😂😂
@rabsonmichael9720
@rabsonmichael9720 4 ай бұрын
Huyu wakupiga makofi akili zijipange sawa.
@rivaldodeniss
@rivaldodeniss 4 ай бұрын
😂😂😂
@DenisMafie-lc7io
@DenisMafie-lc7io 4 ай бұрын
😅😂😂
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 4 ай бұрын
Mmh shemeji dishlla Dstv, Azam,startimes, na continental yameingiliana
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 4 ай бұрын
😂😂
@LeonardLugange
@LeonardLugange 4 ай бұрын
Kheheheheeee,Mh.makonda leo umekutana na ngoma bila mpigaji,khahahaha duh! Kumbe kunawawekezaji wakubwa waliopendelewa neema ya maneno hivi
@deusraphael2954
@deusraphael2954 4 ай бұрын
Daaadeq ivi yupo sawa kweli huyu😅😅
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@gatabaziruhame8838
@gatabaziruhame8838 3 ай бұрын
uyu jama Ako na jox weka yeye ndani
@JoshuaMuyanjizi
@JoshuaMuyanjizi 3 ай бұрын
Muwekezaj anajikubali balaa ametisha
@MackrinaNdegani
@MackrinaNdegani 4 ай бұрын
Anapenda sifaaaa arafu manenomengiiii
@prospermmary1388
@prospermmary1388 4 ай бұрын
Na Hela hanaaa
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 4 ай бұрын
Tofauti ya huyu na doctor shika ni lile neno la miatisa hamsini inapendeza 😂😂😂😂
@lugendosembuche1215
@lugendosembuche1215 4 ай бұрын
Daaaa hilo ni tapeli
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 ай бұрын
😂😂jamaa linaongea kifedhuli kweli
@DM_15
@DM_15 4 ай бұрын
Kwa maelezo yamuwekezaji kama nimtu oyaoya huwezi kuelewa , nakuhusu ajira kasema ameajiri watu wawili that's means wengine nivibarua hawaja ajiriwa
@talentshow2024
@talentshow2024 4 ай бұрын
Hata Mimi nimemuelewa ivo
@otmarykiowi4132
@otmarykiowi4132 4 ай бұрын
Huwezi kuwa na wafanyakazi wa kuajiriwa 2 halafu una matawi Zanzibar, Commoro, Tanganyika nk.
@joycezawadi1952
@joycezawadi1952 4 ай бұрын
Kweli tutoe sadaka 😅😅kwa ajili ya mabinti zetu
@Zubaiba
@Zubaiba 3 ай бұрын
Makonda umepatikana na msanii wa kitajir wa dunia nzima😂😂😂😂 akaaah jamani kilimo cha maajabu ya dunia nzima
@rumyjonas1698
@rumyjonas1698 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 muhayaaaaaa is typing🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@Fatuma-r2p
@Fatuma-r2p 4 ай бұрын
Ahaaahaaaaa komolo imekuwa iko nchini gani jmn nimecheka sanaaaaa
@leahkabura4271
@leahkabura4271 4 ай бұрын
Imagine huyu kaka ndo mwenye kampuni ndo mumeo/mkweo 😢😢😢 kweli tutoe sadaka kwa mabinti zetu 🙏🏽
@agapemwaigwisya621
@agapemwaigwisya621 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Mwanawane Mungu akubariki sanaaaa kwa kufuata nyayo za Magufuli kutetea wanyonge maskini walalahoi wazee wamachinga naamini mama alipata maono mazuri maana Ccm ndiyo ilikuwa kwaheri sasa hivi imefufuka na watu wanakata kadi za Ccm kama kazi
@NaomiRafael-r5x
@NaomiRafael-r5x 3 ай бұрын
Makonda mbona Leo vibonzoo.
@Mwigaa95
@Mwigaa95 4 ай бұрын
Saimoni uko sawa lakini?! Ni kauli ya mkuu wa mkoa Paul Makonda dhidi ya mwekezaji 😀😀😀😀😀😀🙆🏽🙆🏽🙆🏽
@BGHaule
@BGHaule 4 ай бұрын
Hivi hii kitu ipo kweli au ndio Ile biashara ya kuwakusanya paka na kujifanya unawanunua kwa Bei kubwa,halafu unawauzia watu ili baadaye waje kukuuzia tena
@florageofrey9486
@florageofrey9486 4 ай бұрын
Ewaa
@kulambichi
@kulambichi 4 ай бұрын
Nimemkubali sana Makonda
@Zubaiba
@Zubaiba 3 ай бұрын
Tajiri wa anakubali kwa komo lake,maana naona komwe tu kichwa sikioni😂
@dinosmack
@dinosmack 4 ай бұрын
Jamaa katumia fursa kutangaza biashara😂😂😂
@SaloumSubira
@SaloumSubira 4 ай бұрын
Huyu jamaa yuko sawa kweli
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 4 ай бұрын
Huyu mwamba ni tapeli sana alishwawahi kuja kahama ili kuwadanganya watu wengi wanamjua watu wakasepa
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 4 ай бұрын
KaWADHULUMU makolo Nguruwe
@BimuuBimuu-rg7se
@BimuuBimuu-rg7se 4 ай бұрын
🤣🤣🤣makonda anafurahisha et matajiri wakiongea,masikini tunatakiwa kuwa na nidhamu 🤣🤣uwiiiiiii
@ClaudCarlos
@ClaudCarlos 4 ай бұрын
Huyuu jamaa amenikumbusha enzi ya doctor SHIKA 900 ITAPENDEZAA ahahahahaha
@JosephKessy-qb4pu
@JosephKessy-qb4pu 4 ай бұрын
Makonda siyo mjinga anajua anacho fanya msilopoke tu chuga siyo rahis nawatu wake kama mnavyo iona
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
2030 Mama akinaliza unachukua Urais kama unaokota tunakuombea wasikuue kama walivyomuua mafisadi wa awamu ya nne maana hao walikuwa wanakomba siyo wanachukua na sekta zote mbovu kwa sasa wajawazito wanauziwa kadi za kliniki hii kiboko tokea nazaa mpaka sasa nina wajukuu mpaka vitukuu sijawahi kuona kadi za kliniki zinauzwa
@kemmymartine4884
@kemmymartine4884 3 ай бұрын
😂
@loner_wolf
@loner_wolf 3 ай бұрын
Dumu la rangi ya hovyo kbsa..... rangi ya yanga sipendagi kuiona hta kdgo
@amosmahona433
@amosmahona433 4 ай бұрын
Muhaya nn?
@loner_wolf
@loner_wolf 3 ай бұрын
Makonda unapoteza muda kuongea na chizi vanila watu wanamambo muhimu ....huyu mwamba ni chizi kidogo japo anakampuni .
@HashimYahya-ic2wn
@HashimYahya-ic2wn 4 ай бұрын
Uyu muhuni tu akuna muwekezaji muwekezaji njaa t
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
Yaani huyu compuni kubwa Ivo alafu wafanyakazi 2 tu
@kemmymartine4884
@kemmymartine4884 3 ай бұрын
😂😂😂Arusha toeni sadak😅😅😅😅 ila makonda mweeh
@AlfredHaji
@AlfredHaji 4 ай бұрын
Uyu itakua mhaya
@wilper6318
@wilper6318 4 ай бұрын
😢😂😂😂
@ezrajustice4352
@ezrajustice4352 4 ай бұрын
Huyu si ndiyo wa shamba la nguruwe Bahi?
@wahisiatv2871
@wahisiatv2871 4 ай бұрын
NDIO yeye
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 4 ай бұрын
NGURUUWE ZA MAKOLO
@floramark8751
@floramark8751 4 ай бұрын
Ndio
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 4 ай бұрын
Ndo hyu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 ай бұрын
Ndo huyo huyo😂😂 kama MR KUKU 😂😂
@gracepatric4371
@gracepatric4371 3 ай бұрын
Huyu si ndo kasema anataka kumuoa shilole huyuu😂😂😂 watawezana kwa namna hii
@essyrugomora4561
@essyrugomora4561 4 ай бұрын
Hallelujah
@fredykephacy5166
@fredykephacy5166 4 ай бұрын
Hii imeenda nimecheka sana Leo daaaaaaa
@josephwilliam4727
@josephwilliam4727 4 ай бұрын
Hahahahaha Daah nimefurahi sana nimempenda sana huyo muwekezaji He is smart
@zemamwandishi5142
@zemamwandishi5142 4 ай бұрын
HUYU NI MUHAYA HUYU 😁
@kemmymartine4884
@kemmymartine4884 3 ай бұрын
Mashamba yanafanya vzr vzr mnoo hahahaha
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 4 ай бұрын
Mimi leo wakumuangalia makonda within 2hrs?!, kazi iendelee.
@DM.2200
@DM.2200 4 ай бұрын
Uyu katumia cha arusha si bure na yawezekana ni mhaya duh nati moja haiko sawa kwa kwel
@musaamos2431
@musaamos2431 3 ай бұрын
Mbona huyu jamaa unaweza ukavunjika mbavu😂😂😂😂
@josephngowoambroce418
@josephngowoambroce418 4 ай бұрын
Bwawani songambele mbele ya olokii... majengo... nmefundisha olokii secondary wakati naishi bwanani primary
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 19 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 21 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 125 МЛН
路飞万万没有想到#海贼王 #路飞
0:10
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 5 МЛН
Tutorial Crazy Magic trick 🤣 🤣 🤣
1:00
dumenicus
Рет қаралды 36 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
0:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 67 МЛН