MAKONDA AKASIRIKA na KUVUNJA MKUTANO! INJINIA APATA UGONJWA wa MOYO KISA MADENI na ANAIDAI SERIKALI

  Рет қаралды 91,226

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

MAKONDA AKASIRIKA na KUVUNJA MKUTANO! INJINIA APATA UGONJWA wa MOYO KISA MADENI na ANAIDAI SERIKALI
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 340
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@dainessmungure5161
@dainessmungure5161 10 күн бұрын
😮 0:12
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Mungu hatokaa kimya kwaajili ya wanao mpinga makonda , tena mipango yenu mibaya juu ya makonda ,haitafanikiwa Mungu atamlinda vyema kwani nikiongozi anae lia na wanao lia , wanao muombea makonda na tuungane tumuombee , weka like zakutosha,
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
Ndio aombewe raisi wa Sasa kafeli makonda ndio anatakiwa awe raisi
@Mimi.Official
@Mimi.Official Ай бұрын
Mimi sio mtanzania ila napenda uongozi wa makonda
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
​@@Hussein-gx4qukabisaa!nchi Kama haina Rais sijui huyu Mama afikiria nini haijahi UoNgozi mmbovu Kama kipindi hiki miririko dhulunma kila Siku ! Mungu akulinde Sana Makonda
@Soudbako
@Soudbako Ай бұрын
That true
@martinsimtenda5990
@martinsimtenda5990 Ай бұрын
Ni kweli Mungu ni mkuu na hatanyamaza kabisa
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f Ай бұрын
Vote for president to be makondaa Kma waungan NAMI piga like Kwa niaba ya makonda
@user-fd4lw7xo7i
@user-fd4lw7xo7i Ай бұрын
Mimi niko Marecan Mungu zidi kumurinda Makonda tena sana kama kunamichango yawanyonge niko tamari kuchanga asant 🎉
@shamtemandai7221
@shamtemandai7221 Ай бұрын
Hongera mhe mkuu wa mkoa nakupa pongezi ya kutaka kujua kero za wananchi kwa watumishi wetu yako mengi pambana mungu akutie nguvu usichoke kazi ndio imeanza tusonge mbele
@user-ki3gt6gy1l
@user-ki3gt6gy1l Ай бұрын
Kaka pole hata Mimi lukas nimetokea na machozi dada inauma ila nakuomba usikatwishe moyo na wenye dhuruma mtangulize mungu nimwema utapata majibu amina
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Ай бұрын
Masikini baba wawatu anaonekanaa mpoleee na mnyenyekevu, poleeee sanaa Mungu atakurudishia kila ulichopoteza
@starmz428
@starmz428 Ай бұрын
future presidents of Tanzania paul makonda
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Ай бұрын
Hii nchi inahitaji Kiongozi atakayetuondoa kwenye Mazoea
@FranklinMtei
@FranklinMtei Ай бұрын
Sitashangaa
@user-tn7ic2ky3i
@user-tn7ic2ky3i Ай бұрын
Kweli hivi serikali inafanya kazi kila kona nivilio na ukivisikia na wewe unaanza Lia Makonda Mungu yupo pamoja nawe
@ally1702
@ally1702 Ай бұрын
Yaani jana nilikuwa naifatilia live nikajikuta machozi yananitoka tu leo nimeirejea tena ni vile vile nikaamua kupitia coment dah nazo ndo zimeliza pia mungu saidia wonyenge wasio na sauti na walipie haki zao zitoke kwenye mikono ya hao hao waliowazulumu nao wazilipe kwa maumivu makali kama waliosababishia wenzio amin amin amin
@samkoka3
@samkoka3 Ай бұрын
Tunalia wote aisee mm mpaka nashindwa kuangalia simu
@josephatraymond4902
@josephatraymond4902 14 күн бұрын
Umeniliza kwa busara zako. Pole mzee na Mungu anakutia nguvu sababu ya kujipa moyo ungeshakufa na pressure
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 Ай бұрын
Yaan unaweza sema mbona huyu ni engineer mkubwa lakin watoto wake familia wanalia shida kumbe ametenda wema jaman. Imeniuma jasho la mtu kweliii Mungu akufanyie wepes
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Ай бұрын
Alafu ñdiomnasema asizalilishe wanawake.Kwahivi kweli mnataka mtu awafanyajenye hwa watu wenye dharau namakusudi makubwa hivi.Tena kwarohoo katili kbisa hawana huruma,yeye awahurumie kwalipi.Makonda mungu atakuzidishia.
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
Uone hayo maajabu
@jaqqayzaabdi9473
@jaqqayzaabdi9473 Ай бұрын
Very painful inauma sana tena sana
@marryngaiza2061
@marryngaiza2061 Ай бұрын
Inatisha pole engineer. Mungu atakulipa haki yako
@JacksonZakayo-tt3jg
@JacksonZakayo-tt3jg Ай бұрын
Makonda hujawahi kuniangusha brother kazi zako Mungu azidi kukulinda nakuku angazia kilasiku
@marykirigiti203
@marykirigiti203 Ай бұрын
machozi ya mkuu wa mkoa hayatapita bure mungu akutie nguvu baba haki inaenda kutendeka mama samia hujakosea mama
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q Ай бұрын
Dah!!! Inauma sana jamani nanikweli alilazwa kwaajili ya moyo mara baada ya tukio hilo na mazowezi tulikuwa tunafanya nae mazowezi kwa kurekebisha Afya yake
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha Ай бұрын
Yni nimejikuta nalia kwakweli hii nchi najuta kwann nimelaxaliwa
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha Ай бұрын
Tanzania inaviongozi wa ovyo sana hii nchi yni waungwana ni wachache waliowengi ni mashetani
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Ай бұрын
​@@ElizabethWamchainauma sana
@andreamandari7089
@andreamandari7089 28 күн бұрын
Daaaaa yaani mamb mengine Dunia ni magumu sana sometimes ndo maana wengine anaona Bora kufa maana ni aibu mkandarasi wa wilaya Leo unakosa hadi nyumba ya watoto wako😭😭😭
@lazarobenjamini8441
@lazarobenjamini8441 Ай бұрын
Duuu makonda una kazi kubwa ya kufanya ila usiache kumtanguliza Mungu
@IreneLaizer-rs9bv
@IreneLaizer-rs9bv Ай бұрын
Makonda Sijui niseme Nini Juu yako....ulinzi wa Mungu uwe Juu yako baba🙏
@estameryngogo594
@estameryngogo594 Ай бұрын
Makonda Msalaba mzito Sana unao wa kuwawezesha wananchi walioonewa na kudhulumiwa kupata haki zao, Mungu akusimamie.
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Makonda hiii nchi nimtihani sanaaa ivi viongozi walioko madarakani tuseme 80% niuozo tu kwanini lakini hivi hawamjui mungu au wanaroho za kishetani mungu inusuru Tanzania 🇹🇿 yangu
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Ай бұрын
brother hii nnchi mda mwingine nikiwaangalia viongozi hasa rais wa hii nnchi huwa nawashangaa Sana Kaz gani wanafanya
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Ай бұрын
Ukisikia mabweni yanaungua tusilalamike Jamani Jamani Jamani.
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 Ай бұрын
Kabisa
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Ай бұрын
Kweli mtu anafanya kaz tena kwa mkataba, halafu anapigwa danadana hadi anaenda kudai kwenye mkutano wa hadhara 😢😢😢. Hii nchi dah
@user-xe5kr2yk5d
@user-xe5kr2yk5d Ай бұрын
Makonda asante asante tena,,Mungu akutunze hakika
@ibahatimoses6431
@ibahatimoses6431 Ай бұрын
Pole sanaa Eng Shelutete kwa kupitia changamoto yakutokulipwa hakizako tunaamini MUNGU kupitia kiongozi makini MH.Makonda kiongizi makini atahakikisha hakiyako inapatikana.
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 17 күн бұрын
Kumbe huyu ndo Engineer Shelutete, Mungu amfanyie wepesi, kumuongoza na kumlinda.
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Ай бұрын
Eeeh Mungu lisaidie Taifa hili!
@Olafkaria123
@Olafkaria123 Ай бұрын
Mama samia kuna roho wa mungu alikutembelea ukampeleka huyu mtumishi wa mungu Mh Makonda Arusha ,hii nchi imeuzwa jamani watu wanaonewa sana
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 Ай бұрын
Kiukweli watu wananyanyaswa sana,inaumiza sana hii watu hawana utu hata kidogo imagine wewe ndiyo unafanyiwa hivyo watoto wanalia hii si sawa watu kuweni na huruma na hofu ya Mungu.
@AnthonyDavid-ki3zh
@AnthonyDavid-ki3zh Ай бұрын
Yani alivyo kaa kimya makonda sekunde kaza nilijua tu makonda kaumia had mm chozi limenitoka ndio kazi yko hiyo makonda msaidi jamaa inauma sna by Anthony tax man terminal 3 Airport dar 10:57
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Asante Samia kumpeleka makonda Arusha
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 Ай бұрын
Miaka yote hiyo hao wakuu wa mikoa waliopita cjui walikuwa wakifanya nini kuhudumia wananchi maana hayo matatizo anayokabiliana nayo makonda utafikiri huu mkoa ndio Kwanza update uongozi wa juu. Ahsante makonda.
@miriamalute1540
@miriamalute1540 Ай бұрын
Hivii kwadizaini hii watoto wetu watafaulu kwelii jamani kwamachozi haya Mungu atutetee jamani
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Chapa kazi jembe, ila kazi hiyo ni ngumu sana,, mungu akusimamie duuu.
@khadejarajab844
@khadejarajab844 16 күн бұрын
Makonda allah akujalie afya njema inshaallah uzidi kutudaidia wasije wakamkumizai inshaallah
@awamiabbas222
@awamiabbas222 Ай бұрын
Nimejaribu kuwaza hadi chozi limenitoka inaonyesha ni jinsi gani watanzania wengi wanapitia magum kwa kukosa uongozi bora Mungu atusaidie na ikimpendeza zaidi kupitia Makonda watanzania wapate kupona majeraha kwa kumpa kibali cha kuliongoza taifa InshaAllah
@denismnubi7001
@denismnubi7001 Ай бұрын
Ivi Yule mkuu Wa mkoa alie pewa uenez Wa CCM alikuwa anafanya Nini hapo jameni
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Mkuu wa Mkoa Kachoka chezea Wapigaji wewe 😂😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
😂😂😂😂
@jactonmoris3034
@jactonmoris3034 Ай бұрын
Watu awaitaji kujua utajiri wako Wala pesa zako wala cheo chako wanachoitaji watu unawajali kias gani God bless you ndug P.C.Makonda
@user-dd8lp3jn7v
@user-dd8lp3jn7v Ай бұрын
Kweli ukijiona umepoteza mshukuru mungu mana kuna walopoteza zaidi yako bro makonda isikate tamaa komaa ivo ivo naamini mungu yuko pamoja na ww na sisi tunakuombea
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i Ай бұрын
Dah nazani makonda akiingia kulala huwa anaota kesi za watu😢😢
@emmabrownmissana6996
@emmabrownmissana6996 Ай бұрын
Duh!anasema ukweli kutoka moyoni Mungu atakusaidia bro
@leonardobedi4779
@leonardobedi4779 Ай бұрын
Mungu mkubwa katuletea Makonda… alafu wanatokea watu waseme ety anawajibu vibaya… watukane kabisa 😢
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 Ай бұрын
Na mitama wapigwe
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 Ай бұрын
Nchi itawezaje kupata baraka kwa hari hii jamaani.... Inauma sana, Machozi ya Mwanamume huyo na machozi ya wengi wanao dhurumiwa ni ACID mbaya kwa nchi yetu Mungu hatakaa kimya
@user-gy3wo2ez4d
@user-gy3wo2ez4d Ай бұрын
Mungu ibariki tanzania mungu bariki watu wake
@mmarycalvin6395
@mmarycalvin6395 Ай бұрын
Hapa inaonekana wateule wa Rais hawamsaidii, Arusha ilikuwa na mkuu wa mkoa, miaka 6 hiyo alishindwa kushughulikia, mkuu wa wilaya monduli, mkurugenzi, madiwani, mbunge mtoto wa lowasa, wote walishindwa kusaidia hili mpaka mtu anaenda kwa naibu katibu mkuu tamisemi? Rais ana kazi kubwa kwa wateule wake. Mnyororo wa kufanya kazi umeoza hakuna team work, Sasa Mkuu wa mkoa atafanya kazi ngapi , hao wengine wanachukua mishahara ya nini ? Kama hili alilosema injinia ni kweli shida ni kubwa kwa mikoa mingi.
@blockchain1203
@blockchain1203 Ай бұрын
Huyo Mama sijui ni mkurugenzi kazingua hadi Makonda Kakasirika Maana anataka Ajibu siasa ili kulinda Watu tu.. Mpuuzi Kishenzi anataka alete majibu Rahisi Kwenye Hoja Nzito...Pumbavu zake
@Emmanuelmakarata
@Emmanuelmakarata Ай бұрын
Pole sana kaka nakufahamu vizuri wewe ni mpanaji sana
@estameryngogo594
@estameryngogo594 Ай бұрын
Pole engineer Mungu atakufuta machozi
@robertzamani5612
@robertzamani5612 Ай бұрын
Mama UWT na Mama wa haki za binadamu tunawasibiri katika hili mseme neno kwa huyu kaka huu sio udhalilishwaji??
@sabinahobe3478
@sabinahobe3478 Ай бұрын
Wajinga sana hao mbona sijaona wakimsifia Makonda pale anapowasaidia wanawake? Ni walewale wapigaji tu
@SophiaAlly-ih2ss
@SophiaAlly-ih2ss Ай бұрын
Pole sana makonda changamoto ni nyingi
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga Ай бұрын
Pole Mh Makonda
@blockchain1203
@blockchain1203 Ай бұрын
Kuna Jamaa alifirisika Kwa sababu Hii ya Kutolipwa hadi aakamua akuachana na Mambo ya Ukandarasi🚶🚶
@user-gp2ue2ny6n
@user-gp2ue2ny6n Ай бұрын
Makonda yupo vizuri sana kwenye uongozi 🎉🎉🎉🎉
@upendombise8113
@upendombise8113 22 күн бұрын
Mimi nimelia nimelia nimelia Tena 😭😭😭 Eeeeeee mwenyenzi Mungu akubariki mnoooo mnoooo Mh makonda ubarikiwe mpka mshangaeeeeee
@frankraphael7546
@frankraphael7546 Ай бұрын
Kwaali iyi anatokea mtu mmoja tena mwanamke waaki sijui zawa wanawake ana mtuumu makonda mnyanyasaj kweli anaona aya madudu sasa yeye ndio aombe msama kwamakonda
@REHEMAMAFALO
@REHEMAMAFALO Ай бұрын
Pole kk haki Yako haipotei Mungu Yuko na wewe utalipwa usiogope Mungu anafuta machizi yako
@obadiakimaro6375
@obadiakimaro6375 Ай бұрын
Mh. Mkuu wa mkoa Makonda okoa wanjonge pinga kz tetea wanjonge
@stevedossa4966
@stevedossa4966 Ай бұрын
Mh MAKONDA naomba MUNGU kila siku,akuinue zaidi ya hapo,kuna kitu zaidi unatakiwa kuwafanyia Watanzania wanyonge
@verynicemonyo8671
@verynicemonyo8671 29 күн бұрын
Mungu akulinde makonda
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 Ай бұрын
Inauma sana
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp Ай бұрын
Roho inaniuma kwaajili y uyu baba😢
@jokhajj
@jokhajj Ай бұрын
Na mimi😢
@miracleChoir-nc1ym
@miracleChoir-nc1ym Ай бұрын
Pole Sana makonda
@samkoka3
@samkoka3 Ай бұрын
Very sad nimeumia sanaa Mzee nimelia sana mungu anawaona kwa kwel jmaaa ni mwanaume mm ningelea kama mwehuuu hapo ila kajikaza sna
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 Ай бұрын
Yule mama mwanasheria wa kutetea haki za wanawake ajitokeze Tena aseme neno hapa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Umeonaa
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 Ай бұрын
Mjinga yule aisee.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Ndugu Heche atwambia ujinga sasa ni utamaduni wa taifa. Viongozi wengi wanapungukiwa akili ya utambuzi. Nchi hii ina watu wengi. Sisi raia tunatanguliza wajinga mbele yetu. wengine tumbo tu. Asiposema anayemlipa atakasirika. Hakuna cha haki za binadamu. Makonda anatetea haki za utu. Wa haki za binadamu bati mbaya wanasambaratisha Dunia. Wanaua, wanasambaza ushoga, wanasimika mfumo jike dhidi mfumo dume. Wanaume wanapotea, jamii inadhofika.
@sabinahobe3478
@sabinahobe3478 Ай бұрын
Mjinga yule hana akili
@hassanzuber
@hassanzuber Ай бұрын
Inatia huruma sana aaaaaaa pole kaka
@johnrobert48
@johnrobert48 Ай бұрын
Pole.mkuu saana
@musalumbi8490
@musalumbi8490 Ай бұрын
Tanzania ina ufisadi kiasi hiki! Nilidhani Kenya tu!!!
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Ай бұрын
Mungu saidia watu wako.... Makonda...MUNGU AKUTIE NGUVU....
@laylayl5166
@laylayl5166 21 күн бұрын
We mama mungu anakuona dhulma hiyoo
@hasanirajabu3350
@hasanirajabu3350 Ай бұрын
Mmmh haya yanapatikana arusha tu je hiyo mikoa mingine watu wanaumia sana jaman daad
@greysondavid6445
@greysondavid6445 Ай бұрын
Hapa ndipo mjue Taifa linatafunwa na mchwa .Tufike hatu sisi viongozi tuliopewa dhamana tusimamie haki kwakuqainua wahandisi wazawa wanaojitoa kwa dhati kabisa kulitumikia Taifa lao mwisho wa matokeo yake wanadhulumiwa. Taifa halita kwenda popote kwa mtindo huu.Wahenga walisema Ukimchekea nyani hakika Utavuna mabua. Mchwa unalitafuna Taifa hili .Taifa hili halistahili hata kuishi kwa utegemezi ,tuna kila kitu cha thamani katika aridhi yetu. Shida Umasikini wa fikira hasi za kiutegemezi zimetudumaza sana ndugu Watanzania. Tuanche kukaa maofisini kwenye ma air condition ,tutoke twende tukawajibike kwa wanyonge kujua changamoto zao.
@vickyadrian1503
@vickyadrian1503 Ай бұрын
Kufanya kazi na serikali Uwe na moyo wa mwendawazimu
@gracekiwelu8869
@gracekiwelu8869 Ай бұрын
Nime jikuta nalia tu Maumivu ya huyu baba ni makali sana jamani napenda nikutie moyo mungu Hajawahi mtupa mjawake maisha utafanikiwa tu kaka
@ChartyMpepo
@ChartyMpepo Ай бұрын
Namkubari Sana makonda
@philipokusekwa7395
@philipokusekwa7395 Ай бұрын
Daaaah Tanzania Tanzanian kweli tumefikia hatua ya kuzulumiana wazi wazi 😢😢😢
@thobymsule6045
@thobymsule6045 Ай бұрын
Ukitaka ufe kabla ya wakati wako na kufilisika fanya kazi za pesa na serikali
@paustephano
@paustephano Ай бұрын
Uuuh nmelia aisee
@fredrickkomba7545
@fredrickkomba7545 22 күн бұрын
Dah 'Wema Wangu Ndio Ulioniponza' Kiukweli Inaumiza Sana
@GetrudeRashid-be8bs
@GetrudeRashid-be8bs Ай бұрын
Makonda Mungu akutunze,, nakuomba msaiidie huyo kaka,na Mungu wambinguni akutunz ww na familia yako
@user-br7sf6ey9t
@user-br7sf6ey9t Ай бұрын
Kaka kaka kaka kaka kaka kaka yangu makonda aiseeeee kiukweri mungutu akusaidie akupe mbinu zakuchanganua hiii mitiani
@Haytham-ip3ou
@Haytham-ip3ou Ай бұрын
Mh makonda tunataman kujua sisi watanzania wenzake majibu ya ndugu yetu na mungu anaona unachofanya kaka haki yako ipo kwa uwezo wa Allah
@CyprianKunda-ug6ql
@CyprianKunda-ug6ql Ай бұрын
Hata nimelia hapa.dah!Serikali gani hii mbona mnaumiza watu kiasi hiki Mama hajui hili Makonda mpema mama haki yake watu wanateseka mno hajakosea kukuleta huku Arusha
@Yomiyomi6897
@Yomiyomi6897 Ай бұрын
Tanzania VIONGOZI WENGI SANA WAMEOZA. Na hawataki kuguswa
@BudaMbuta
@BudaMbuta Ай бұрын
Ila arushaa,mhmhmh,mungu anaawaonaaaaa,
@zawadix9574
@zawadix9574 Ай бұрын
Nchi ya Tanzania ngumu sana sana watu wana teseka sana system mbaya sana.....hali ya biashara tete 😢😢
@mtangag774
@mtangag774 Ай бұрын
Dah nyie haya maisha jamn dah dhuluma hizi dah mm makonda mpka anakufa Niko naye
@mohamedkitemwe3569
@mohamedkitemwe3569 Ай бұрын
Inauma sana 😭😭
@user-vn7ew6di3t
@user-vn7ew6di3t Ай бұрын
Makonda,Mungu amekupa uwezo mkubwa sn wa kubuni namna ya kutatua matatizo ya wananchi,yaan unachokifanya hapa ni uponyaji wa roho za watu,tunakuombea sn
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Ай бұрын
Daaah nchi hiii😢😢😢
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Ай бұрын
Yani huyu mkurugenzi majibu yake rahiiisi Anachukulia rahis rahisi tu
@user-th5xz1fg5t
@user-th5xz1fg5t Ай бұрын
choz lak hakika bwana alione akutetee maadui zak wakautangaze wema wak
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Du! Nimesikiliza maelezo ya huyu jamaa nimehisi kulia kabisa inauma sana tena sana. Mungu ampiganie mzalenndo huyu.
@boscomtweve2754
@boscomtweve2754 Ай бұрын
Makonda nae watamuua kama walivo fanya kwa Magufuli thats CCM chama kilicho jaa Nyumbu
@MichaelJohn-lb6uu
@MichaelJohn-lb6uu Ай бұрын
Mungu akutie nguvu
@StellarmamottoFlowersMam-ms1nz
@StellarmamottoFlowersMam-ms1nz Ай бұрын
Huyu mkandarasi amefilisika na unauchungu mkali sana😢 Makonda msaidie naye ni baba wa familia asije acha wanae wadogo
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas Ай бұрын
Inaumiza sana
@suleimanmrita1992
@suleimanmrita1992 Ай бұрын
dah inaumiza sana tena sana kwakweli awafanyi haki awa viongoz ndomaana makonda anakuwa mkali kwa watu km hawa sio wa kuwafumbia macho makonda kuwa mkali zaidi ya apo na ukiwezekana wafunge hao watu awafai kuwa viongozi kabisa ni wezi
@petromsangi6856
@petromsangi6856 Ай бұрын
Halmashauri nyingi zina laana mm mwenyewe nimezulumiwa kwa stail hiyo hiyo yaujanja janja na walio wengi hawanaga aibu ukiwaona kama watu . Lakin ogopa sana jasho la mnyonge mtu asiye na mahali pakusemea ni mbaya sana. Kuna sku Mungu atanisemea. Kwa ajili ya hiz hiz Halmashauri zetu mm nyumbani kwetu palikua panauzwa ila sahv nalipa madeni Mungu atawabariki ninyi na nyumba zenu sku moja na tabia zenu.
@mustafamandindi6434
@mustafamandindi6434 Ай бұрын
Makonda nakuombea kwa mungu cku moja uje kua rais wa nchi hi ili uwanyooshe vizuli hao wasiokua na hofu ya mungu
@susananyasani6526
@susananyasani6526 Ай бұрын
Oh mein Gott inasikitisha sana kusikia Kero za Wananchi poleni sana
@joshuakalinga5925
@joshuakalinga5925 Ай бұрын
Roho mbaya haina jinsia. Zamani tulidhani wanawake wakishika nyadhifa muhimu, uhuni-uhuni utapungua.
3 wheeler new bike fitting
00:19
Ruhul Shorts
Рет қаралды 52 МЛН
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 184 МЛН
Mudavadi's pressman Salim Swaleh arrested over fraud allegations
1:59
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 58 М.