MAKONDA ARUDI KIVINGINE ASISITIZA UKWELI NA UAMINIFU KWENYE KUISEMEA MIRADI YA MAENDELEO ARUSHA.

  Рет қаралды 178

Dream Online Tv

Dream Online Tv

Күн бұрын

MAKONDA ASISITIZA UKWELI NA UAMINIFU KWENYE KUISEMEA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI ARUSHA.
Watendaji wa mamlaka mbalimbali za huduma za kijamii mkoani Arusha wametakiwa kuwa waaminifu na kutoa taarifa sahihi kwa Viongozi wa serikali ili kuepusha sintofahamu kati ya wananchi pamoja na serikali.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe Paul Christian Makonda wakati alipokutana na kuzungumza na watendaji wa mamlaka za maji Mkoani Arusha na kuonesha wasiwasi wa taarifa zinasomwa kwake dhidi ya uhalisi wa upatikanaji wa maji uliopo kwenye maeneo mbalimbali mkoani hapa.
"Mwisho wa siku tukishindwa kutoa huduma nzuri sisi, tunawaabisha viongozi wetu waliotupa dhamana kuwawakilisha katika hili eneo na Rais wetu Samia hawezi kwenda kwenye kila kijiji kuchimba maji ama kuelezea fedha alizozitoa kwetu.Wewe mwenye maji yako tumia vvyombo vya habari na viongozi wenzako kuwaambia miradi iliyopo kwenye maeneo yao"
Mhe Makonda amesisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwawajibisha viongozi wazembe na waongo, akitangaza kwenda kwa wananchi kuangalia uhalisia wa ripoti aliyonayo ya upatikanaji wa maji mkoani Arusha kutoka kwa wananchi wanaotarajiwa kunufaika na huduma hiyo ya Maji.

Пікірлер
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 7 М.
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 92 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН