MAKOSA YA KUEPUKA PALE UNAPOKATALIWA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 19,052

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 46
@geofrypaul9960
@geofrypaul9960 Жыл бұрын
Mimi mwenyewe nasubiria chakula cha UBONGO,,,,,,ubongo unaitaji madini kama haya!!!💪💪💪 Elimu ya dini na elimu Dunia ndo elimu pekee nazielewaga sana!.,
@FrankPeter-vw3be
@FrankPeter-vw3be 9 ай бұрын
Point zako Ni nyingi ila hii ya Leo Ni the best ❤
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl 8 ай бұрын
Unajua kwanini unawaza hivyo, ni kwasabab umepitia hayo ambayo ameongea Leo Mr Joel🎉, kiukweli every clips zipo Vizuri.🎉❤
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 5 ай бұрын
Ninaamini kuna baraka katika kukataliwa.
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl 8 ай бұрын
Mr. Joel 🎉🎉🎉, upewe maua yako. Wallah mmejifunza kit... Kikubwa sana sana... Thanks you so much. Allah blessing you.
@user-do6ch1ti8b
@user-do6ch1ti8b 2 ай бұрын
Mm uyo🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
See you At the top ✌️✍️
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Huu ni ukweli mtupu jione wa maana juu wewe ndio unajua umuhimu wako , shukrani kaka 📚📚📚📚 🎙️
@theresiachigali9482
@theresiachigali9482 Жыл бұрын
Asante Joel kiukweli hua naumia sana nikiomba tenda halafu wananiacha hua naumia sana Ila nimejifuza mengi kwako Joel mungu akubariki sana
@user-tc8vv9yp2j
@user-tc8vv9yp2j 7 ай бұрын
Asante sn kaka Najifunza mengi kwako.
@ZENIZER9797
@ZENIZER9797 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Thanks bro umenena maneno sahihi Mungu akubariki kila hatua unayopitia 🇹🇿🙏.
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 Жыл бұрын
Asanteh kaka yangu sana
@theresiachigali9482
@theresiachigali9482 Жыл бұрын
Umenipa nguvu mpya joel
@gloriakawago6223
@gloriakawago6223 Жыл бұрын
Baada ya kukataliwa nimepiga hatua had najishangaa ndio mm au ile hasira imenifanya nifanye mambo makubwa ambayo niliambiwa siyawezi tatizo likazaa faida namshukuru sana alie nikataa, see you at the Top kaka Joel
@johnmagubo4269
@johnmagubo4269 Жыл бұрын
Thanks brother ,, binafsi umekuwa Mtu muhimu San kwa wengne kupitia wew na wengne 💯💯💯💯💯
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl 8 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉 kabisa 💯 💯
@user-km1rb4ob8z
@user-km1rb4ob8z Жыл бұрын
Kuna kitu hakipo sw kwangu
@ramadhankwilasa2371
@ramadhankwilasa2371 Жыл бұрын
Hakika kaka nimekuelewa vyema kuna kitu hapa kipo sahihi Mimi baada ya kukataliwa na mpenzi niliamua kupiga kimya na kuamua kuanza kufanya kazi na mazoezi ili kujitoa kwenye msongo wa mawazo lakni kwa sasa mambo yangu yapo vizuri hakika nashukru kwa huu ujumbe
@Msambyamashingwe
@Msambyamashingwe Жыл бұрын
Best author in the world ❤❤❤
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Shukrani yaani najihis kama unanizungumzia mm nimejifunza asante
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 Жыл бұрын
#joel kindly usitupeleke saana kwenye mapenzi we need to focus on savings and better future plans, I'm behind you almost 2 yrs now and I'm doing better with my savings, thanks so much for your motivations
@neophitalukiringi8260
@neophitalukiringi8260 Жыл бұрын
Thank you Joel, we learn big time through you.
@hudiyussuf2251
@hudiyussuf2251 Жыл бұрын
Merci pour l'éducation🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@FrolaJoram-eg1ng
@FrolaJoram-eg1ng Жыл бұрын
Asante Kwa elimu nzuri
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante sana
@filipejohnchuma1985
@filipejohnchuma1985 Жыл бұрын
Obrigado pela Educação 🇲🇿
@mansourkhamis457
@mansourkhamis457 Жыл бұрын
Thanks 😊
@yoshuasaiba4652
@yoshuasaiba4652 Жыл бұрын
Asante 🖐️
@neophitalukiringi8260
@neophitalukiringi8260 Жыл бұрын
Thank you
@alexlucas1571
@alexlucas1571 Жыл бұрын
Thanks for good motivation
@aishahudhaifa5197
@aishahudhaifa5197 Жыл бұрын
Nasubiria weeeee mpaka nahisi uchiz
@juliusmashauri4342
@juliusmashauri4342 Жыл бұрын
Well said
@rozimwasi6137
@rozimwasi6137 Жыл бұрын
Kweli kabsa
@annajulius9940
@annajulius9940 Жыл бұрын
Yan broo nimm ninamaumivu makali sanaa mpka sipati usingizi kabisa 😭😭😭😭😭
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
mung atakudaidy inshaAllah dada yng subra ni bor na malip yk ni bora
@annajulius9940
@annajulius9940 Жыл бұрын
@@fayeezabdallah2217 inshallah amin
@abeidmbarouk6280
@abeidmbarouk6280 Жыл бұрын
See u at the top
@beatrixmalakasuka1214
@beatrixmalakasuka1214 Жыл бұрын
see u at the top
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Nikweli kukataliwa nikupighishwahatuwa pale unapo jikubali kani utafanikiwakatika kutharauliwa
@user-xc1rt4pn1t
@user-xc1rt4pn1t Жыл бұрын
jambo kaka unahakilisana nakufata kilasiku apa congo lakini nakupigia sikupate takupataje?
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Жыл бұрын
Nikweli kikubwa nikujikubal,nakutokukata tamaa,muhim ni uvumilivu,nakutochukia yeyote aliekukataa
@AmedePuka
@AmedePuka Жыл бұрын
❤❤❤❤
@AmedePuka
@AmedePuka Жыл бұрын
Asante mwalimu
@yohanaboniphace8296
@yohanaboniphace8296 Жыл бұрын
Katika kila kitu ambacho kinaemdelea hakika kuna uwezekano mkubwa wa kukataliwa... imenisumbua sana hali hii nilipokataliwa na mwenzi kabisa...
Ufanye Nini Unapokataliwa Na Watu? Joel  Nanauka
9:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 32 М.
Secrets and Science of AUM mantra |Is Sound from sun the same AUM?
11:27
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 17 МЛН
MAJIRA YA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
8:13
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
LIFE WISDOM : MATUMAINI KATIKA KIPINDI CHA KUSUBIRI - JOEL NANAUKA
16:49
Mambo ya Kuzingatia Unapojiandaa na Usaili wa Kazi/Job Interview
13:01
Nini Ufanye Unapokosa Support? - Joel Nanauka
9:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 121 М.
LIFE WISDOM:MASOMA 6 KUTOKA KWA BILIONEA JACK MA - JOEL NANAUKA
12:02
LIFE WISDOM : KWA NINI WANAKUCHUKULIA POA - JOEL NANAUKA
13:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 32 М.