No video

PROPHET IPM AWAUMBUA WACHUNGAJI WANAOTUMIA MAFUTA YA UPAKO NA MAJI HUWEZI PATA UTAJIR KWA MAFUTA

  Рет қаралды 94,625

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 703
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 Ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU IPM, Hongera sana kwa neno lako na umejua sana kuelezea hii ni biashara ya watu. Asiyejua haya yote, atafute na asome kitabu cha aliyefanya mamboo hayo ya kuuza mafuta,maji,vitanbaa, udongo, hela za mapepo , n.k anaitwa Makhado Ramabulana, na kitabu chake kinaitwa Church Mafia. Soma utaelewa ni kitabu kizuri.
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 Ай бұрын
Kitabu kipo Mtandaoni yaani soft copy bure.
@marthajarome1718
@marthajarome1718 Ай бұрын
Mafuta na maji yakiombewa yanakuwa na nguvu ya kuondoa vifungo na nira vinavyopelekea magonjwa laana na mapepo,hasa ukiyatumia kwa imani, sema wanaoyachukua na kuyatumia ndio shida, akili za kuambiwa changanya na kwako
@jessagemauma2861
@jessagemauma2861 20 күн бұрын
😊😊
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 11 күн бұрын
EEE kumbe 🎉🎉
@justinemisigaro1471
@justinemisigaro1471 Ай бұрын
Hapo IPM nakuunga mkono kabisa Mungu akulinde na kukujaza ujasiri zaidi damu ya Yesu kristo ikufunike
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy Ай бұрын
Ubarikiwe sana sana kwa kuliona hilo hawa watu wanatumia nguvu za giza mwish wanaua watu mungu akupe maisha marefu sana
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 Ай бұрын
Mbarikiwa Mwakipesile, hata mwisho ataeleweka kwa,njia yakumbinga uovu. Big up Mbarikiwa Mwakipesile wetu.
@grationgabriel4904
@grationgabriel4904 Ай бұрын
I appreciate your research is alright IPM, may God defend you always, and go ahead.
@LINNAHPATER
@LINNAHPATER Ай бұрын
Yaani umenifunguwa sana baba Mungu akubariki eweeee baba muumba wa mbinguni Akulinde jaman Mungu baba mlinde IPM
@BlessedAnne-fh6lk
@BlessedAnne-fh6lk Ай бұрын
Asifiwe Yesu Prophet..Mungu akubariki Sana Kwa kusema ukweli..hayo nimeoyaona Mimi..unasema ukweli mtubu.🎉
@DINANCHAGWA
@DINANCHAGWA Ай бұрын
Kuhusu Kafara ya Wanyama mtumishi wa Mungu nakushaur kwamba iliishia msalabani kama unasoma maandiko vzr Yesu alpokata roho Pazia la hekalu lilikatika katikati kumanisha upatanisho wetu na Mungu ni kupitia damu ya mwana wa Mungu. Wanyama,biashara,mazao,na vngne vpo tu kwa ajili ya kutolea zaka na sadaka na syo vingnevyo. Mungu wa mbinguni awape uwelewa
@npiperito19
@npiperito19 Ай бұрын
Inamana walio kuwa wanatoa kafara Au sadaka ya wanyama walikiwa awantii mwenyezi mungu? Acha kuzarau agano la kale. Ayo yote ni mapendekezo ya mwenyewe.
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 4 күн бұрын
Excellent
@johnsonkategela479
@johnsonkategela479 Ай бұрын
Daah brother umeongea facts ambazo wanufaika zitawauma sana! Watu wamepigwa na vitu vizito mpaka wanakuwa mazuzu Kwa kuamini vitu badala ya Mungu. Yaani huo mchanha ungewasaidia Israel na Palestina waache kuuwana. Asante Kwa upelmbuzi yakinifu
@alexandermilanzi9860
@alexandermilanzi9860 Ай бұрын
Hakuna cha dear brother yy mwenyewe mpigie tu!..... Ameshauza mafuta huyu tena yeye 5000-10000 kama sijakosea nimesahau tu gharama lakini
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Sasa nae ni prophet gani kama si biashara tu. Prophet wa mwisho ni Muhammad basi. Wala maprophet wenyewe hawakufanya hivyo
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Anaelewa kur ani na mtume Muhammad alimtambua Issa na alisema kwamba yeye ndie prophet wa mwisho iweje yeye nae awe prophet? Si ni uongo? Muongo si mtu wa motoni? Huyu kaenda ukristo ameona kuna wadanganywa kirahisi na kujiongezea kipato. Hupati waislam wa kuwadanganya kirahisi. Sidhani kama anaombea watu bure na hachukui sadaka na kuzitumia yeye
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Ana nini cha ziada hadi nae ajitawadhe uprophet? Kuna Yule wa Nigeria Joshua kumbe alikua na maovu kibao na wengi tu ni hivyo hivyo kudanganya tu na kujitajirisha
@rajabukiza4851
@rajabukiza4851 Ай бұрын
Aiseee asant mtumishii umenifungua macho kuhusu kafaraa asnte saana❤
@nanubob1969
@nanubob1969 Ай бұрын
kweli nimevutiwa na mazungumzo yako! Ninatamani sana uwe mwokovu genuine! Ubarikiwe!!!
@FlorensiaMkombozi-et1ts
@FlorensiaMkombozi-et1ts Ай бұрын
Nakuombea Mungu akulinde Mungu akusimamie na Mungu akupe ngu ya neno lake takatifu
@Josepholodi
@Josepholodi 10 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi fundisho sahihi
@REBEKAMBONGE
@REBEKAMBONGE 4 күн бұрын
Amina ubarikiwae niwachungaji tapeli hao wachungaji
@user-pg9dv9vo8p
@user-pg9dv9vo8p Ай бұрын
Fact kabisa Leo umeongea ukweli
@RobartNgwembe-m3h
@RobartNgwembe-m3h Ай бұрын
Mtumishi naamini ujumbe umefika, na usirudi nyuma katika hili mungu akupe nguvu
@SanyuMoses-vp3dw
@SanyuMoses-vp3dw Ай бұрын
God bless you it's true brother
@alwatanalgilgilan-y3078
@alwatanalgilgilan-y3078 Ай бұрын
Hongera kiongozi kwenye uislamu pia yupo tapeli mmoja aitwa Dokta S
@user-rn8lm2nc5i
@user-rn8lm2nc5i Ай бұрын
Nakubalisana mtumishi Ipm Mungu akupenguvu Naitwa Alex kutokeya canada
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Hongera mtumishi..umenena ukweli. Mitume na manabii hawa ni matapeli watupu..nimelia kabisa kwa jinsi watu wa imani zote wanavyotapeliwa
@Hamisi-uz9cj
@Hamisi-uz9cj Ай бұрын
Wewe kalia wivu sisi tunaendelea kupiga mafanikio yetu kupitia upako wetu arise and shine kazi iendelee
@joshuatituslusinde1260
@joshuatituslusinde1260 Ай бұрын
Umepotea kwasababu hujui maandiko
@joshuatituslusinde1260
@joshuatituslusinde1260 Ай бұрын
Mwapotea kwasababu hamjui maandiko
@LilyWeitz
@LilyWeitz Ай бұрын
Wivu Tu 😅
@richardsiame8328
@richardsiame8328 Ай бұрын
Sio wazima nyie kunawivu hapo ,anaongea kweli tupu
@LilyWeitz
@LilyWeitz Ай бұрын
@@richardsiame8328 kwa kuwa anekuwa mungu anahukumu watu au watumishi wengine yeye ni mungu au .kila mtu acheze kalata yake mwenyewe mambo ya watumishi wa mungu yeye inamuhusu nini.yeye kama kashidwa atulie au akalime vitunguu shamba
@stanleynyakunga5926
@stanleynyakunga5926 Ай бұрын
Barikiwa sana IPM
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤apo niko nacwewe Ubarikiwe mnooo
@Imanfranciss
@Imanfranciss 6 күн бұрын
Amina umesema ukweli mtu wa mungu ubalikiwe sana na mungu akulinde
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Ай бұрын
Neno lako ni zuri lakin apo kwenye kafara mchungaji sijaelewa Bado, nachojua mm kafara kafara ya dam ya yesu ilimaliza hakunaga mnyama au fahari inayoweza ondoa dhambi (damu ya yesu yatosha) amen
@KhalifaChuma
@KhalifaChuma Ай бұрын
inshaallah Mungu Atakulinda Bro bora ukwli ukifa unanafac yko kwa Mungu
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke Ай бұрын
Die twee lesers wat onthou word, maar die wat nie geglo het in trots en spiesjies, hoeveel mense is voor hulle Hulle is 'n gevolg van hulle, en hulle het gesê: Hulle loop en wees geduldig met jou afleiding Ons het nie gehoor nie dit in die hiernamaals Dit is niks anders as 'n versinsel nie. Die Boodskap is uit ons midde gestuur Voor hulle was die mense van Noag en Aad Farao, die man met stokke, en die mense van Lot, en die metgeselle van Mekka reg Aqaba al -Masabar oor wat hulle sê en onthou ons dienaars, dit is dieselfde Die een wat 'n muddhur het Moenie bang wees vir die twee opsommings nie, ons wil hê ons moet dit doen, so ek sal onder ons wees met die waarheid Soetheid van die bose, ons het jou 'n opvolger in die land gemaak. Diegene wat deur die pad van God mislei word, het 'n ernstige pyniging van wat hulle vergeet het op die dag van die rekenskap. , of ons sal maak Die wat veilig is, doen die geregtigheid in die land in die land Wat is die aanbidder, want hy is 'n wyk Met die sluier, het hulle geantwoord op my, so hy het geslaag
@meshackntoga1566
@meshackntoga1566 29 күн бұрын
Mungu atusaidie saana,Kujifunza MEMA
@mosessiame7882
@mosessiame7882 Ай бұрын
Injili yakikosi kazi Cha injili inakubalika kwa asilimia 100% bila kumsahau mbarikiwa
@adeladaudi2047
@adeladaudi2047 22 күн бұрын
Wewe ushindwe kwa jina la YESU KRISTO, Hatuji Kwako ng'o, na wewe ni walewale unatumia kafara ya wanyama unataka kuwadanganya waumini walete mbuzi zao, kondoo zao na ng'ombe zao uwafiris kabisa. Sisi hatuamin cha maji wala cha mafuta wala cha kafara ya wanyama Tunaamini damu ya YESU KRISTO iliyomwagika msalabani TUU!!🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@livingistonmalula262
@livingistonmalula262 Ай бұрын
Hongera sana usichoke kutupa elimu Mungu yuko pamoja na wewe
@Victoria-bv6xu
@Victoria-bv6xu 11 күн бұрын
God bless you 💞🙏
@user-bp5pq9to9e
@user-bp5pq9to9e Ай бұрын
Uko sahihi, MUNGU akulinde Amina
@NeemaMngongo
@NeemaMngongo Ай бұрын
Huyo amekosa waumini ache kuponda
@user-cp1uo3lb7w
@user-cp1uo3lb7w Ай бұрын
Ubarikiwe sana baba yesu atakulinda
@estomihijohn6013
@estomihijohn6013 Ай бұрын
Haleluyaaaaaaaa! To The BLESSED MOST HIGHER HOLY ALMIGHTY MIGHTY IN THE BLESSED YAHWEH TETRA GRAMA ATON HOLY ZODIAC HOLY DIVINE KIND OF MATRIX GOING IN THE UNIVERSE WAY OF DOING MIRACLES FOR INTERLECTUAL HOLY SPIRIT ENLIGHTENMENT THAT SMILE VERY WELL ORDERING THE STEPS OF OUR FEET, Going Before us Making the croocked places Straight Breacking the gates of brass, Cutting in Sunder the bars of iron To Give Us the TREASURES OF DARKNESS, THE RICHES OF HIDDEN IN THE SECRET PLACES For Us to Know The Holy DIVINE KIND OF MATRIX GOING IN THE UNIVERSE WAY OF DOING MIRACLES Of " IS RA EL ". Haleluyaaaaaaaa! AMEN RAAH! AMEN RAAH! Haleluyaaaaaaaa!
@AyubuJkechegwa
@AyubuJkechegwa Ай бұрын
MUNGU akulinde mtumishi
@JonasAmon-q3z
@JonasAmon-q3z Ай бұрын
Uko saw mtumishi.unajua hao watumishi siyo wabaya ila sisi tunao wafuata ndio wabaya.Mungu atusaidie tu
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 Ай бұрын
Some times ifike mahali watumishi wa Mungu mfocus na mambo yenu jmn kma mwenzio ana karama amekuzid basi mshukur Mungu kila mtu ana karama yake kma huna uwezo basi acha wanatoa muujiza watoe Mungu ndo hakimu wa kweli
@vicentpantaleo5837
@vicentpantaleo5837 Ай бұрын
Karama gani alafu sisi tushakuwa kama manyumbu iyo ni siri yao hakuna karama yoyote kaka amka
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Ай бұрын
Ushaliwa
@RASHIDIALLY-ew3ww
@RASHIDIALLY-ew3ww 24 күн бұрын
😀😀😀 karama ya utapeli
@victorngimbwa5558
@victorngimbwa5558 Ай бұрын
Hujafanya utafiti ,Mungu akusaidie.waliofanikiwa Ni wengi mno.Na nani alikwambia wanaotoa mafuta wanawambia watu wasifanye KAZI.Jifunze bila Hila utajua Nini kinaendelea .Petro alipovua usiku kucha asipate samaki,shida ilikuwa Nini, na kwanini alipoambiwa na Yesu atupe nyavu alipata samaki wengi mpaka akaita watu kumsaidia.Yapo mambo mengi yanayozuia watu kufanikiwa licha ya kufanya KAZI kwa bidii.Mwombe Mungu atakufungua macho.asilimia kubwa ya wanaofanya KAZI kwa bidii ndio hafanikiwi wanapata mlo TU
@Petitejollie
@Petitejollie Ай бұрын
Endelea kubeba mafuta kwenye pochi kuna siku utatajirika 😂😂😂
@vicentamandus6149
@vicentamandus6149 Ай бұрын
Yesu mwenyewe alimkuta petro akiwa anafanya kazi😂
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail Ай бұрын
👏👏👏🙌♥️🙏
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
We muongo tu
@user-gt4rp4bo8y
@user-gt4rp4bo8y Ай бұрын
Mungu atusaidie sana ww mwenyewe hueleweki unasema tuuze sigara ktk biashara zetu je ni sawa?
@mtumishiraymond2001
@mtumishiraymond2001 Ай бұрын
Amina, Umeongea ukweli na umefunguwa watu macho
@amanimanase8799
@amanimanase8799 Ай бұрын
Mchungaji nimekupenda sana
@JoshuaMolen-oc3vi
@JoshuaMolen-oc3vi Ай бұрын
ipm nakukubali San mungu akubalik lakn loho inaniuma San make nakupigia San SMU unisaidie lakin hopokei SMU yang
@FrankBororo-dk1fv
@FrankBororo-dk1fv Ай бұрын
Penye mzoga ndipo wakutanikapo ndege waitwao tai,brother. Ni kweli watu wanainuka kiuchumi baada ya upako na ndomana wanaweza kuhudhuria mara zote hizo na kutoa sadaka hizo mara zote hizo. Umati mnaouona kwa watumishi hao maisha yao yamebadilika na ndomana wanakua na uwezo wa kutoa kila wakati. Hawajaaminishwa,wanaona matokeo ndomana wanaendelea kwenda. Inashangaza kuona mtumishi wa Mungu anapoona miujiza anasema ni nguvu za giza! Hii tafsiri yake ni kwamba wanaamini shetani ndo mwenye miujiza mikubwa na sio Mungu. Mungu wao ana mipaka na matendo ya miujiza. Watu wameinuka kiuchumi sana na wao wenyewe ni mashahidi ndomana anaweza hata kutoa 50,000 kila wiki na alikua hata 2,000 hawezi kutoa. Watu wanakwenda ili kazi zao zifunguliwe na sio hawafanyi kazi,huo ni upotoshaji.
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho, wengi ni choka Mbaya
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail Ай бұрын
Umeongea umemalza Kila kitu Asante !binafsi nimeielewa point Yako 👏👏👏🙌♥️🙏
@johnmhangi315
@johnmhangi315 Ай бұрын
Mungu akulinde na ahsante kwa somo nzuri
@BENEDICTMwanga
@BENEDICTMwanga Ай бұрын
Ipm mbona wewe unauza maji na mafuta unaonana na watu kwa pesa broo au umeacha umemrudia mungu kaka
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke Ай бұрын
Ubushakashatsi hamwe nisoko hamwe nabasaza Ntamuntu numwe, nyuma yawe, uri ghos, bityo tuzagororerwa guhumurizwa numuyaga Aho mubuntu bwanjye, Mana yanjye, nyereka ibitangaza byubushobozi bwawe, imbaraga, gukandamizwa , n'igitugu, yewe Mana Mana Mana, yewe Yahi Yaqiyam, Banyakubahwa Cyubahiro kandi benshi, ibi ni, kandi kubakuru b'ikuzimu, barasenze, bityo bazabe bamwe. Reka rero baryohe, ubushyuhe n'umwijima. Mana, hagarika abarenganya, abanyagitugu, n'abagome. Uyu muhengeri uraza hamwe nawe. Binjiye mu muriro , Nyagasani w'isi, kubera ubuhemu bwacu muri Palesitine, Gaza, Rafah, no mu bihugu byose bya Palesitine Bati: "Mwami wacu," watugejejeho ibi, byongera umubabaro we, kandi wikubye kabiri mu muriro baravuze bati: "Ikibazo ni iki kuri twe ko tutabona abagabo?" Twakundaga kubatekereza mu bantu babi gutongana hagati yabantu. Vuga uti: "Ndi umuburo gusa, kandi nta yindi mana ibaho uretse Allah, Umwe, Isumbabyose," mu ijuru no ku isi ndetse n'ibiri hagati yabo Oh, Nyirububasha, Kubabarira Mana, Amen, Mwami w'isi.☝☝🤲🤲☝☝
@IreneAlphonce-zi3if
@IreneAlphonce-zi3if Ай бұрын
Acha. Umbea wakutega. Masikio kwa. Watumishi. Wenzio. Mbona. Kwa. Waganga. Wa kienyeji. Wanapeleka. Vingapi? Fanya. Yako. We. Prophet. Wa. Kuzim. Wewe.
@neemataris3273
@neemataris3273 20 күн бұрын
Ongea mtumishi, Na Mungu akubariki na akulinde
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Ай бұрын
Nikweli lakini hata wew hauna imani kabiza aloo sikukubali kabisa
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Ай бұрын
Nikweli nilishetani tosha tuu 😢😢😢
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi Ай бұрын
Tatizo ndio lo Iman ndio itakukomesha
@EstaDaffi-wg5cr
@EstaDaffi-wg5cr Ай бұрын
Hata yeye so salm japo anayoongea ni kweli.
@janealbert7901
@janealbert7901 Ай бұрын
Waacheni wabongo wajinga sana. Watapigwa mpk wanyooke
@emmanuellukololo4427
@emmanuellukololo4427 Ай бұрын
Mtu kusema kweli ni shetan? ​@@user-nb6yh2bn9y
@user-yc7dk4vy7v
@user-yc7dk4vy7v Ай бұрын
Facts bro I appreciate you.
@Alex-s6p7o
@Alex-s6p7o 4 күн бұрын
Ukipiga mahesabu duniani watu kama mchunga ji huyu utapata wamezidi labda watatu pamoja brother
@DelilaRitte-sr9wr
@DelilaRitte-sr9wr Ай бұрын
Kweli mtumishi wa Mungu,, watumishi wengi wana wanyonyo sana ,, waumini waoo,, na wao kifanikiwaa waoo
@AlbertJohn-ou4tt
@AlbertJohn-ou4tt 19 күн бұрын
ONGELA SANA MTUMISHI MIMI NIMEACHA KWENDA KTK KANISA LOLOTE LA UPAKO NAOMBA NIJUWE KANISA LAKO NAOMBA NAMBA YAKO YASIM
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en Ай бұрын
Huyu Jamaa haekeweki kabisa ukiwa unasema unaamini ktk kafara Je wewe ulipewa Na Nani Hilo jukumu la kuwafanyia watu hizo kafara We ni mtume WA Nani acha ubwege Unamnyea mwenzako wakati we mwenyewe ni tapeli Huna Lolote fara 17:44
@BennyCrisanto
@BennyCrisanto Ай бұрын
Apo sawa ipm .👏👏👏👏
@rizikilubula4078
@rizikilubula4078 Ай бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu!
@PascalinaNampemba
@PascalinaNampemba 17 күн бұрын
Amen amen amen ❤
@KaroliJulias-b1x
@KaroliJulias-b1x 19 күн бұрын
MUNGU akulinde kwa damu ya YESU
@JumaAbdallah-c7u
@JumaAbdallah-c7u Ай бұрын
jaman munguu akubarikii na awez kukupa ujasirii uouo ni kweliii kabsaaa aiseeee munguuu akubarikii xn nimefurahii sio kidog maanaa umenenaa babaaa
@user-cy4xf1eu3q
@user-cy4xf1eu3q Ай бұрын
Kivuli cha Agano la kale ...kiliwakilisha watu kutoa kafara za wanyama ...ila kwa kufa kwake Yesu sisi sote tumesamehewa
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Endeleatu kufanya zambi na uzidijuamini umesamehewa utajua hauajua lakini siku yamwisho utasaga meno
@Shalom2018
@Shalom2018 Ай бұрын
Ni kweli kwenye Agano jipya Yesu alikufa pale msalabani na damu yake imetukombo tena inafanya kazi mpaka sasa,hatuhitajiki kutumia tena damu za wanyama,tuanaweza kutumia damu ya Yesu Kristo kwa kuitamka,hayo mambo ya kafara ya kuchunja wanyama na watu yapo kwa shetani.
@farajis3dtech306
@farajis3dtech306 Ай бұрын
Fanya zambi ukijua umesamehewa maana ya kila mtu na msalaba wake naona huijui jichanganye ukifanya zambi utajua baadae
@MrMwadila
@MrMwadila Ай бұрын
Waebrania 10:1-4”Basi torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zile zile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wo wote kuwakamilisha wakaribiao. 2 Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi? 3 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka. 4 Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi.”
@AfricaQueen
@AfricaQueen Ай бұрын
@@farajis3dtech306wacha asime ukweli 🫵🏾
@BabySecond
@BabySecond 6 күн бұрын
Upo sahihi kabisa na mungu akutete
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk Ай бұрын
MIMI NI MUUMINI NATUMIA MAFUTA CHUMVI NA VINGINEVYO SAWA NA NENO LA MUNGU NAFANYA KAZI NAMWABUDU MUNGU NASOMA NENO LA MUNGU NAISHIA NENO LA MUNGU
@eliviraedward9466
@eliviraedward9466 Ай бұрын
Kafala ilishia msalabani IPM Yesu alipokufa na kumwaga damu hiyo yote ilikuwa ni kielelezo tosha kwa kuacha kafala za wanyama.
@enockmarwa7635
@enockmarwa7635 Ай бұрын
Una uhakika? imeandikwa kitabu gan sura ipi?
@bridgetphiri5663
@bridgetphiri5663 Ай бұрын
Amen 🙏 it true 💯 you have to work hard 🙏🙏
@upendofredrick8988
@upendofredrick8988 Ай бұрын
Asante mtumishi,mwenye masikio haambiwi sikia
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s 27 күн бұрын
Muhubiri Yesu Kristo usihubiri maono ya Mtumishi mwenzio, mbona humsemi Yesu alitumia udongo??????
@stevensteven4513
@stevensteven4513 23 күн бұрын
Wee Baba Wee utaenda aliko JPM Ohooo Shauri Yako Mtumishi 😭😭
@BENEDICTMwanga
@BENEDICTMwanga Ай бұрын
Mafuta yanakusaidia kuondoa vipingamizi kwenye maisha yako my be uchawi nguvu za Giza amefungwa Kila anacho Fanya afanikiwi kwahio mafuta yanamsaidia anacho kifanya afanikiwe
@rerisamba
@rerisamba Ай бұрын
Kumbuka Mungu kama Mungu hahitaji kusaidiwA neno lake latosha je ukifa itakusaidia kuingia mbinguni
@user-oo2bp2vz7v
@user-oo2bp2vz7v 24 күн бұрын
Safi sana hiyo ni sindano umetupa IPM
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Uko sahihi IPM
@neemataris3273
@neemataris3273 20 күн бұрын
Hawa wachungaji wamewachanganya sana watu, Mambo yanakua magumu kwa sababu ya manabii wa uongo jamani tumwamini Mungu usanii usanii tu, Hasira ya Mungu ni kubwa kwetu, Mungu tusaidie viumbe wako
@FrancisMliga-pp7cp
@FrancisMliga-pp7cp Ай бұрын
Sema me ulinipiga lakimbili Mtumishi na hivo mbona na wewe huwa unauza kichupa Cha Asali kidogooo unasema hiyo Asali umeionbea ina Nguvu flani ya Mafanikio hicho kichupa Cha Asali unauza elf kumi
@rebecayenda6780
@rebecayenda6780 Ай бұрын
😂kafulia kaanza kujisahaulisha
@harmonylogisticszimbabweli3294
@harmonylogisticszimbabweli3294 Ай бұрын
Afanye kazi ya mungu wake sio kukosoa wenzio. Kila mtu anaufunuo wake.
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail Ай бұрын
​@rebecayen😂😂😂😂😅Yani Rebecca yen umenifanya nicheke mpaka mawazo yamepotea duu Asante🙏jamani sisi binadamu tunakazida6780
@estamarodaofficialtz5233
@estamarodaofficialtz5233 Ай бұрын
barikiwa sana baba shetani anatutenda kwaakili mungu atutetee
@funnymohammed1494
@funnymohammed1494 Ай бұрын
Wengi wanatajilika kikubwa Imani yako kwa mwamposa maji bule na mafuta pia watu tumefunguliwa mungu ampe maisha marefu
@kassimshamte6802
@kassimshamte6802 Ай бұрын
😂
@neemakawogo5479
@neemakawogo5479 Ай бұрын
Wajinga ndio waliwao
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Mmefunguliwa na wakati nafasi zimeshachukuliwa kwenda kuzimu na kama umesimama kweli ndio pona yako lakini vinginevyo umepotea kiimani wewe hujiulizi Eti watu wakanyage mafuta wafe nguvu za Giza hizo jamani tusome biblia sio kufuata miuniza Eti mtu anakupuliza unaanguka hapana jamani Mungu anisamehe kuhangaika na makanisa unapandikiziwa mapepo kumbe ilikuwa huna mapepo ulitakiwa kusomewa dua msikitini au kanisani
@user-mz7pv3uo9y
@user-mz7pv3uo9y Ай бұрын
Nime barikiwa Sana usiche kusema kweli lpm mungu Yuko nawe
@josephinesagumo
@josephinesagumo Ай бұрын
Hizo bei ni za kwako, hakuna bei kama hizo, meamposa maji na mafuta elfu moja moja
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le Ай бұрын
Anayatoa wapi??
@SaviouryKigola
@SaviouryKigola 23 күн бұрын
Mung u akutangilie manautawindwa naadui baba❤
@asmanikahungu7171
@asmanikahungu7171 Ай бұрын
Kafara ya mu Christo ni Yesu ikisema myama sioni sawa île damu ilio mwangika musalabani inamana gani.
@user-zz9gr1vd9h
@user-zz9gr1vd9h Ай бұрын
Hakalii wivu anawafungua wati macho wajue nini Mungu anasema siyo wivu kumbuka pia utafanikiwa lakini utaviacha hivo vote mtafute Mungu atakufanikisha mjue sana Mungu
@SimonFire-ms2be
@SimonFire-ms2be Ай бұрын
Waoooooooo Asante Sana Mtumishi
@user-rg1vs9mb8x
@user-rg1vs9mb8x Ай бұрын
NI KWELI MCHUNGAJI BILA KAZI HAKUNA MAFANIKIO WAELEZE UKWELI MUNGU YU PAMOJA NAWE UBARIKIWE SANAAA
@LuciaChacha-y9l
@LuciaChacha-y9l Ай бұрын
Jamani mungu ni mwema namshukuru Mimi namwomba mungu peke yangu na anasikia maombi yangu
@EdwardZakaria-z8q
@EdwardZakaria-z8q 21 күн бұрын
Ukovzri sana mtumishi waumbue waumbuke
@AbubakariHamis-f9f
@AbubakariHamis-f9f 15 күн бұрын
Hongera kiongozi
@ShaurijulienMarandura
@ShaurijulienMarandura Ай бұрын
Mungu Akulinde mtu wa mungu
@meshackmatubaMatuba
@meshackmatubaMatuba 7 күн бұрын
Tumshukuru mungu sana
@emmanuelpeter5686
@emmanuelpeter5686 Ай бұрын
Lalini mimi sitaki unafiki wewe IPM c uliwahi kuwauzia wafanya biashara na wafanya kazi mafuta ulikua unasema ni mafuta ya dhahabu we hukua mwongo acha unafiki wivu tu umekujaa
@IsraelLekumok
@IsraelLekumok 22 күн бұрын
Mungu.atakulinda
@ZachariaGilbert-c7y
@ZachariaGilbert-c7y Ай бұрын
Hongera sanaaaa.tunaangamia kwa kukosa maarifa.
@anithakolunde
@anithakolunde Ай бұрын
Mimi nakukubali Sana wewe pastor unaogea kweli nakuomba ufike kanisani KWANGU uhubiri
@RomanaKafefe
@RomanaKafefe 29 күн бұрын
asante kwa kutupa marifa kutuponya asante muchugaji
@christinalyamuya5175
@christinalyamuya5175 17 күн бұрын
Nakuunga mkono endeleeni kutusaidia ,usiogope Yesu atakutumia Jeshi la Malaika wa Mbinguni wakulinde .
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Ай бұрын
YESU KRISTO ATUSAIDIE NA WEWE SIKU NYINGINE MTANDAO UNAKAMA SIKU NYINGINE MTANDAO UNAKATA YESU KRISTO UTUREHEMU MAANA WAJINGA NDIO WALIWAO
@JaneMkinga
@JaneMkinga 23 күн бұрын
Jamani kila mtu Ana karama aliyopewa na mungu kwa wakati wake. Chunga kondoo washibishe watu neno tuu. Acheni wivu hakuna utajili bila kufanya kazi.
@luismchayano4796
@luismchayano4796 Ай бұрын
Brother,acha kupotosha watu. Kichaa anafurahisha kama si wako, maiti inanuka kama si yako.usipotoshe watu kama ww ni mtumishi wa Mungu basi huijui Biblia maana biblia yenyewe imeandika watakuja watumishi watakaotenda miujiza hata zaidi ya Yesu. Ww sio mchungaji ww mpiga dili tu. Binafsi sikuungi mkono kabisa. Utabaki ni hayohayo. Arise and shine kazi iendelee. Tunaiona nguvu ya maajabu tunapona na tupo nyumbani kwetu ww ongea yote.
@anoldswai9829
@anoldswai9829 Ай бұрын
Mungu akubarik kwa kusema ukwel
@nicodemshello163
@nicodemshello163 Ай бұрын
Binadam akili ziko tofauti ndio maana hata kwenye mtihani Kuna wa kwanza na WA mwisho
@npiperito19
@npiperito19 Ай бұрын
Wanyoche baba, mama yangu alitoka uku kwetu mosambique, akaja uko Tanzania kununua maji pamoja na mafuta ya upaka, kwa lengo yakuw tajiri, lakini mpaka sasa ata nauli yakujia tena uko TZ ana. Wachungaji walio jaa ni wala ruchwa wakisiasa.
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke Ай бұрын
Ondersoek met die mark en die bejaardes Niemand van my nie, na jou, jy is die spoke, so ons sal beloon word vir die troos van die wind Waar in my genade, my God, wys my die wonders van u vermoë, krag, onderdrukking , en tirannie, o God O God, O Yahi Yaqiyam, liewe Eerbewyse en die meeste, dit is, en vir diegene wat die oudstes van die Hel is, het hulle gebid, sodat hulle dieselfde sal wees, so laat hulle dit proe, die hitte en duisternis O God, stop die onderdrukkers, die tiranne. Hierdie golf kom saam met hulle , O Heer van die wêrelde, vir ons verraad in Palestina, Gaza, Rafah, en al die Palestynse lande hulle het gesê: "Wat is die saak met ons dat ons nie mense sien nie?" rusie tussen mense Vuur Sê: "Ek is net 'n waarskuwer, en daar is geen god behalwe Allah, die Een, die Allerhoogste," in die hemele en die aarde en alles wat tussen hulle is O, die Magtige, die Vergewensgesinde God, Amen, Here van die wêrelde.☝☝🤲🤲☝☝
@migerajacob581
@migerajacob581 Ай бұрын
Huko nyuma niliwamini Hawa ma pastor wanyonyaji, Wana waumiza watu sana,, elimu ya Imani iendelee kutolewa,,
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 29 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 5 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,6 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 51 МЛН
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 73 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 87 М.
Alicho kisema Prophet edmound kuhusu UCHAGUZI 2025 | KUHUSU MAKUNDI MATATU
9:34
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 147 М.
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 29 МЛН