MAMA MARIA NI MAMA YETU- Kwaya ya Mt Mikaeli Malaika Mkuu Chang'ombe DSM(Mtunzi Aloyce Kipangula)

  Рет қаралды 139,277

Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Chang'ombe DSM

Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Chang'ombe DSM

Күн бұрын

MAMA MARIA NI MAMA YETU. By Aloyce Kipangula. KWAYA Mt MIKAELI PAROKIA YA CHANG'OMBE JIMBO KUU KATOLIKI DAR ES SALAAM
Mama Maria ni Mama yetu, Mama maria ni mama yetu kwa sababu ameunganika na Yesu mwanaye katika kutukomboa x 2
1 Mama huyu Bikira Maria, yeye ndiye Eva mpya mnyenyekevu na mwenye huruma, mama wa Neema,
Kupitia kwa mama Maria, tulimpata Mkombozi aliyekuja kutukomboa utumwani mwa shetani hivyo mama Maria........
2 Yesu alipomwona mama yake, na mwanafunzi wake Yohane alimwambia Mama tazama, Huyo ndiye mwanao,
Kisha akamwambia Yohane, mtazame mama yako Yohane akamchukua Maria akae nyumbani kwake hivyo Mama....
3 Na katika Harusi ya kana walitindikiwa divai Maria akamwambia mwanaye, hawana divai,
Yesu akamtii mama yake, akawarejeshea furaha kwa kuwa aliyageuza maji yakawa divai hivyo...
4 Hata katika nyakati zetu, tunapungukiwa tunatindikiwa tunamuhitaji yesu katika maisha,
Tumwendee mama Maria, atatuombea kwa Yesu na Yesu atamtii mama yake atatujalia hivyo..

Пікірлер
JINA MARIA - Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu Parokia ya Chang'ombe DSM Mtunzi: Fr. G. Kayetta
5:25
Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Chang'ombe DSM
Рет қаралды 90 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Monday, Feb. 10 at 9:30 a.m. Liturgy of the Word
28:42
IHM Sisters
Рет қаралды 22
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 1,8 МЛН
MARIA MNG'AO WA MBINGUNI- Kwaya ya Mt Mikaeli Malaika Mkuu Chang'ombe (Mtunzi Florian Ludovick)
5:11
Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Chang'ombe DSM
Рет қаралды 15 М.
HAKUNA LISILOWEZEKANA ft L.Kameja | M. Mashamba.
7:14
MIKAELI MALAIKA MKUU ML
Рет қаралды 7 М.
MAMA MARIA NI MAMA YETU BY ALOYCE GODEN
5:13
Pride of Catholics 💎
Рет қаралды 24 М.
Mt. Kizito Makuburi-YESU NI MWEMA, (official music video)
6:14
ZACHARIA GERALD
Рет қаралды 4,5 МЛН
LITANIA  YA WATAKATIFU  WOTE - By Fr. Bonifasi Songoro// Official Music Video
10:24
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН