MAMA WA DKT TULIA AELEZA ALIVYOTAKA MWANAYE ASIENDELEE NA MASOMO

  Рет қаралды 205,732

MbeyaYetuOnlineTV

MbeyaYetuOnlineTV

5 жыл бұрын

Пікірлер: 93
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 2 жыл бұрын
Imani ni kuwa na hakikana mambo yatarajiwayo. Inaonyesha Spika wa sasa ana neema ya imani kutokana na ngazi anazo/na anavyopanda. Mungu mtunze spika wetu atuletee matumaini kwa kusimamia vema muhimili wetu wa Bunge la Tanzania. Mungu ibariki 🇹🇿
@theonlyonebeautiful3726
@theonlyonebeautiful3726 5 жыл бұрын
Mama sijui nini kitamlipaga mtu anayeitwa mama nothing can replace her forever
@samuelmanota5366
@samuelmanota5366 2 жыл бұрын
Nikichopenda maisha ya mama na ww spika wangu ,hata mama angu hajuikiswahili na mavazi ya mama ,hongera spika mungu akubaliki
@vailethpatson4732
@vailethpatson4732 5 жыл бұрын
Uwiiiiih! Mungu akupe maisha marefu mama yang kipenz nkundwe ngabeck
@linahmlingi7696
@linahmlingi7696 5 жыл бұрын
Jina Tulia lafanana na tabia yake hongera sana bibi,mama tulia Mungu azidi kukutunza
@roseamos2812
@roseamos2812 5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu mjalie mama huyu afya njema pamoja na family yake
@jamesjulieth7258
@jamesjulieth7258 2 жыл бұрын
Sasa nimetambua kuwa Tulia ni mtoto wa makusudi ya Mungu Yer 1:4 kweli Mbeba maono hafi. Hongera sana dada Tulia Mungu pamoja nawe daima, ukalitende kusudi la Mungu katika majira na nyakati zako.
@ashamganga6636
@ashamganga6636 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akutunzie mama yako sisi wengine wazazi wetu waliotangulia mbele za haki mungu awapunguzie adhabu ya kubur amina😫😫
@magreth7981
@magreth7981 4 жыл бұрын
😢😢🤦🏾‍♀️😢😢
@jacksonkanzira9789
@jacksonkanzira9789 2 жыл бұрын
Pole sana Asha. Mama yetu apumzike kwa amani
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Mpka raha jamani wamefanana,kuwa na mama raha sana.Mungu muhifadhi mama yangu huko aliko.
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 5 жыл бұрын
Mimi nampendea hapo 2lia anavo thamini mila za kiafrika na Destur zetu Big Up
@eliasmwakijebele6978
@eliasmwakijebele6978 5 жыл бұрын
Cathereen Exzavery dah sorry for mother BT haupo pk ako,,Mungu ataendelea kutupa moyo mkuu
@zakayomwamasagezakayomwama1737
@zakayomwamasagezakayomwama1737 4 жыл бұрын
Pole sana
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 жыл бұрын
like mother, like daughter, watu wanajizaa wajameni
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 5 жыл бұрын
Hakika mungu nimwema mungu akuwekee mama Mh Tulia
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Ongera sana na MAMA apewe maisha marefu.
@wangwemseti7592
@wangwemseti7592 5 жыл бұрын
Nakukubali unakutabiria mazuri ni kati ya wanawake wenye busara na wenye misimamo isoyumbishwa wewe ni kiongozi safi
@marthamasue4009
@marthamasue4009 5 жыл бұрын
Baada ya dhiki faraja. Hongera sana mama Tulia. Mungu awatunze daima
@margaretmbongo3440
@margaretmbongo3440 2 жыл бұрын
Umefanana na mama waaaaooo yaaaaani mungu ni mwema.
@fadhilplatnumz6209
@fadhilplatnumz6209 4 жыл бұрын
Good- namkubaali sana huyu Dadaetu TULIA mbeya One
@angelsalum2415
@angelsalum2415 5 жыл бұрын
jaman nimemic na mama chisunga Mungu ampe maisha mama yangu kuwa na mama raha sana
@erastofocus1587
@erastofocus1587 5 жыл бұрын
Dr Tulia, mwalimu mwenzangu nakupongeza sana. Nakuomba zidi kutulia hii nchi inakuhitaji. Kwa umri huu ulonao hakika utafika mbali. Tulia
@saidseleman6004
@saidseleman6004 5 жыл бұрын
Siko kisiaasa wala kichama hongera Mama hongera naibu spika
@margaretmbongo3440
@margaretmbongo3440 2 жыл бұрын
Asante mungu ni mwema ni washashe sana wanaowaleta wazazi wao kwenye mitandayo waaayo asante.
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 5 жыл бұрын
TULIENI TU MSIPIGE MAKELELE IPO SIKU WOTOTO WENU WATAWAKWAMUA KWENYE SHIDA ZENU. "NANI KAMA MAMA?
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 5 жыл бұрын
I love it, nani kama mama
@timboxlee919
@timboxlee919 9 ай бұрын
Mama mwanao anasura mbaya na Roho mbaya, katuuza watanganyika kwa waarabu maisha huyu fisadi
@petermwantole616
@petermwantole616 5 жыл бұрын
Ha ha haaaa,,kyala gwa maka bwila,,, mama kiswahili kimegoma,, huyo ndo mnyakyusa halisi..
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Napenda sana kinyakyusa
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Napenda sana kinyakyusa
@kingswebe3251
@kingswebe3251 5 жыл бұрын
Asante bibi yetu...historia ya bibi imenigusa sana.
@japhetdaud3889
@japhetdaud3889 5 жыл бұрын
Kweli kitu chenye thamani huwa kinapingwa lakina kile MUNGU alichokusudia sharti kitimie saafi
@zakiamaungazakia720
@zakiamaungazakia720 5 жыл бұрын
Safi sana hakuna kama mama
@stellaaladini2581
@stellaaladini2581 5 жыл бұрын
Ndanga tulia kyala akutulege uendelee kumuenzi mama yako
@emmanuelsiwale6160
@emmanuelsiwale6160 5 жыл бұрын
Kwangu niliemuelewa moja kwa moja mama yake Tulia kinyakyusa imenisisimua history ya Tulia Akson
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Ntakutafsilia
@mwajabumussa4860
@mwajabumussa4860 4 жыл бұрын
Raha ya kusomesha hiyo mama hongera sana
@roseshauri5493
@roseshauri5493 2 жыл бұрын
Familia iliyotulia hawana majivuno wale wenzangu na mimi leo mama angepaka visivyopakwa lakini kaja kiasilia hongera Dr Tulia
@asiangoge1479
@asiangoge1479 4 жыл бұрын
Nimekapenda saaana mama
@nasmaomar5922
@nasmaomar5922 5 жыл бұрын
Mama ni mama tuu !!!
@sosomsangalufu2077
@sosomsangalufu2077 5 жыл бұрын
Ndagha fijo mama gwangu
@LusajoMwajeka-tf1nj
@LusajoMwajeka-tf1nj 8 ай бұрын
Kangi mama mfwene na kukumaso mwe mma popapo,,
@robertjunior9916
@robertjunior9916 5 жыл бұрын
Dr.Tulia mbunge mtarajiwa mbeya mjini 2020
@Chemba67
@Chemba67 5 жыл бұрын
Inaelekea kua hivyo ila Sugu nae si kitoto keshajua kitambo hila na figisu zote hizi hivyo patakua hapatoshi....
@devybernardlaizer7713
@devybernardlaizer7713 5 жыл бұрын
Pole mummy kyala mnunuuu
@mkombozikiratv.9733
@mkombozikiratv.9733 5 жыл бұрын
Hongera sana
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 5 жыл бұрын
Hakuna km mama❤
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
duh wamefanana sana pongezi bibi
@oscarkasalile8146
@oscarkasalile8146 4 жыл бұрын
Ndagha mama ukyala akutule. Tulia dada ghwangu ghuketeghe umama. Mama kyala akutule.
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 5 жыл бұрын
Mashaallah
@user-bg1yb1xu8d
@user-bg1yb1xu8d 8 ай бұрын
Nani kama mama Hakuna kama mama hingera
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Napenda Muheshimiwa unavyovaaa
@edinamutakyawa6872
@edinamutakyawa6872 5 жыл бұрын
hongera mama
@tarmoealoyt4835
@tarmoealoyt4835 5 жыл бұрын
Mungu tuwezeshe baba yetu wazazi wetu wayaone makuu yako ee mfalme wa ushindi
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Wabarki wanangu wakuwe kwa wema mungu🙏
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Mashallah, nice
@sabihimngetuka6971
@sabihimngetuka6971 5 жыл бұрын
Momboka mama usiwaze kinyakiusa kama kimakondeee
@hassanisaimon1531
@hassanisaimon1531 2 жыл бұрын
Gud mama tulia
@dismastesha2505
@dismastesha2505 5 жыл бұрын
Kuna mda wanajisahau hawa watoto waliofanikiwa
@nasmaomar5922
@nasmaomar5922 5 жыл бұрын
MuheshmiWa ana umbo zuRi wallahii !!
@aishajeshemtengea9884
@aishajeshemtengea9884 5 жыл бұрын
Mashaalla mungu akukinge na wabaya
@dismassmariki6985
@dismassmariki6985 3 жыл бұрын
Mmefanaa haswa 🙏
@petercosmas4376
@petercosmas4376 5 жыл бұрын
Mwakyembe balaa kwa kucheza
@jonemoshi4080
@jonemoshi4080 5 жыл бұрын
Mwaaaaaaah
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 4 жыл бұрын
Mwakyembeeeeee aaaaah !!!!!!!! Uko vizur
@gedionkalumbu1995
@gedionkalumbu1995 5 жыл бұрын
Aya bhana
@Clement-px8eg
@Clement-px8eg 10 ай бұрын
Mhhhhh!!!!
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 жыл бұрын
Kwan huyu bib kabila gan ambayo hadi leo haijui kiswahili
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Mungu mkubwaa
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 5 жыл бұрын
jaman uyu dada ni mrefu
@kyambarungwematv6828
@kyambarungwematv6828 4 жыл бұрын
Hakuna Kama Mama ongera Mama tulia
@josephchacha9797
@josephchacha9797 5 жыл бұрын
tulia we we in mfano wakuigwa
@sanlygeneralservicesltdsgs4496
@sanlygeneralservicesltdsgs4496 5 жыл бұрын
was so happy
@margaretmbongo3440
@margaretmbongo3440 2 жыл бұрын
Ndiyo maana ukamwita tulia na.ametulia saaaaaaaaana
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Kyala akule
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
Wanafanana sana
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Wakina mwakyembe. Mwandosya.mwakyusa.nawengne kibao wametoka mbeya
@rebeccampeta6650
@rebeccampeta6650 5 жыл бұрын
jackrin aman nikiwepo mimi
@mwansasu
@mwansasu 5 жыл бұрын
Safi shangazi😂
@teddymeela2791
@teddymeela2791 5 жыл бұрын
Nan km mama hakuna
@YudaMatesie80
@YudaMatesie80 5 жыл бұрын
Kyala ghwa maka
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 2 жыл бұрын
Kwani mama Yulia sio mtanzania?
@phibijuilus7748
@phibijuilus7748 2 жыл бұрын
baada ya dhiki ni faraja
@eliajonathan5222
@eliajonathan5222 5 жыл бұрын
Namwona chifu wa wasafwa hapo
@lucymwanyombole2268
@lucymwanyombole2268 5 жыл бұрын
nitakupenda daima tuli kwa stolia hii ya mama yako
@johnmondiachananahuyomsham2361
@johnmondiachananahuyomsham2361 5 жыл бұрын
lucy mwanyombole
@fatumamilimo1936
@fatumamilimo1936 5 жыл бұрын
Dr. Tulia kipenzi cha watu Kwakweli
@janetsemahimbo8083
@janetsemahimbo8083 5 жыл бұрын
Mungu akuwezeshe uishi maisha marefu
@zaharamustapha1675
@zaharamustapha1675 4 жыл бұрын
Pole mm
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Mungu mbeya kaibariki kwa kila kitu sio kwa mazao hata kwa viongoz.na watu maarufu.
@zakiamaungazakia720
@zakiamaungazakia720 5 жыл бұрын
MashaAllah mama unafuraha kutoka moyoni ndiomana mwanao anafanikiwa
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
MANGE KIMAMBI sio BINADAMU wa kawaida - Naibu Spika Tulia Ackson
11:33
PRESIDENT NYERERE IN BRITAIN  - COLOUR - SOUND
11:12
British Movietone
Рет қаралды 1,2 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН