MANGE KIMAMBI sio BINADAMU wa kawaida - Naibu Spika Tulia Ackson

  Рет қаралды 205,376

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 196
@aliyrashid6743
@aliyrashid6743 6 жыл бұрын
Kiukweli umenitowa tongo za maskio kweli kijana ni kujishughulisha thanks mheshimiwa
@edwardedward2520
@edwardedward2520 6 жыл бұрын
Yeah! msomi ni msomi Tu. Jamani she is very logic, systematic and she deserves congratulations for good answers! Maisha hayasubiri watu wafanye maamuzi...!
@meddodoma5235
@meddodoma5235 6 жыл бұрын
Ni hakika kuna umuhimu wa kuwa makini na mitandao ya kijamii; kila mmoja wetu hususan vijana wanapaswa kuwa makini katika mihemko katika jamii yetu. Hongera sana Mh. Tulia Ackson Mwansasu
@ibrahimallymohd3645
@ibrahimallymohd3645 2 жыл бұрын
Tusitegemee chochote kutoka kwa tulia akson yote ya magufuli na vitendo vya magufuli itakuwa ni ya ndugai ndio yale yale atayosema rais ndio chaguo la tulia tusitegemee jipya
@daudimaguha9447
@daudimaguha9447 6 жыл бұрын
Wewe tulia, nakupenda mno kwa misimamo yako,, endelea hivo, zahili umetokea ktk family inayo mjua yesu,, barikiwa tena
@abuibra
@abuibra 6 жыл бұрын
ALIE KUPA JINA LA TULIA HAKUKOSEA,UMETULIA SANA KIAKILI NA FIKRA ULIYO TOA KWA VIJANA AHSANTE SANA,NA KUOMBEA MUNGU UENDELEE ZAIDI KATIKA JUMUIA YA WANA SIASA WA TZ.UPATE KULETA MATUNDA MAZURI KWA WANANCHI WA TZ.
@kake_alicios7620
@kake_alicios7620 6 жыл бұрын
Muheshimiwa ana locks Safi. Rasta empress always strong♥💛💚
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 6 жыл бұрын
Huyu Msukule wa Magufuli Ndiye siye Mwananchi wa Kawaida. TULIA NAKUAPIA KWA JINA LA YESU UNAYELITAJA JINA LAKE KWA KUFURU HUTAKAA KURITHI USPIKA WA BUNGE ILA UTARITHI AIBU, MARK MY WORD!
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Mange in MTU mzuri sana .yy si ccm.yy ni mwanaharakati period .
@souelmvanosouelmvano7694
@souelmvanosouelmvano7694 6 жыл бұрын
suala la maandamano ni suala la kikatiba, kila raia wa Tanzania ana haki ya kuandamana lakini kwa upande wangu siwezi kuongozwa kufanya maandamano na MANGE KIMAMBI.Nikujivunjia heshima na kujishushia hadhi ya utanzania wangu.
@bm4tv602
@bm4tv602 6 жыл бұрын
Safi Dr.Tulia nimeipnd uko vzr
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 жыл бұрын
Asante dr tulia kwa majibu mzuri
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 4 жыл бұрын
Unaibu spika wa kupewa kwakuwa Kuna mmhh mheshimiwa tuyutuyu
@marcocharles7409
@marcocharles7409 6 жыл бұрын
Namuonaga Dj Nina. Ninaaaa make it happen for real!!
@kasusurahmnyongembalilwa5185
@kasusurahmnyongembalilwa5185 6 жыл бұрын
Mange ni wakawaida Sana, ila kwa watanzania wengi wasio na uthubutu na wanaishi kwa kujikomba komba ili kujipendekeza watumiwe badala ya kujituma wenyewe na hii ipo kuanzia kwa viongozi hadi watu wa kawaida!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
*Mange kimambi* ni pasua kichwa, Kwakweli hata mimi uwa najiuliza kuwa hawa walioko mitandaoni kila saa' uwa wanakazi za kufanya kweli au wanakipato kingine wanachoingiza? Najiuliza sana hili swala kumbe mheshimiwa *TULIA* pia uko kama mimi kwamshangao huu.
@gegajoji2914
@gegajoji2914 6 жыл бұрын
nakukubali sana boss wangu tuko pamoja mim nitakuwa MTU wako mapema
@aboudmsonde2890
@aboudmsonde2890 6 жыл бұрын
Naombo no ya mh tulia namkubali saanaaaaa
@maliakishaushi9089
@maliakishaushi9089 9 ай бұрын
namkubali Sana mhe
@ruwaichijoseph5946
@ruwaichijoseph5946 Жыл бұрын
Mange ni msema kweli, Yulia hawezi kumpenda jizi la mali zetu bandari
@kasusurahmnyongembalilwa5185
@kasusurahmnyongembalilwa5185 6 жыл бұрын
Mnapata shida bure mange ni smart Sana and wit!!! Kama hamtaki awatukane acheni kufanya mambo ya kipumbavu halafu mnayatetea kijinga huku mioyoni menu mnajua mmefanya kwa maksudi. Hujawahi kulisema jambo bila kutoa ufafanuzi wa kina juu ya jambo hilo!!!!!!!!!
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 6 жыл бұрын
I love you Tulia😘😘
@thamani5842
@thamani5842 6 ай бұрын
Uyo si binadam wa kawaida
@kolthoomkolthoom2516
@kolthoomkolthoom2516 6 жыл бұрын
Tatizo sio kusema ukweli tatizo lugha anayoitoa sio nzur sizazi kamaukitaka kumwambia mtukitu lazima umtusi hatakama nimwanao uwe mtukana naukimtukana basi unakiuka maadili na hata mungu apendi siopoa
@kaponasalum3648
@kaponasalum3648 3 жыл бұрын
Ni kiongozi mzuri nywele zinakuangusha
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 4 жыл бұрын
Unafikiri pasipo mtandao tungejuaje kama huna hojahihi kulingana na swali uliloulizwa
@esternzumbi1888
@esternzumbi1888 6 жыл бұрын
Haya sasa vijana kazi kwetu ushauri wa bure
@nurudovino7305
@nurudovino7305 6 жыл бұрын
Na wanaoshadidia kuandaman wato nchi nyingine tu ila wanasema wanaandamana kuwachuza wengine
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 6 жыл бұрын
Mwambieni huyu ndugu yenu aje Tz atangulie kuandamana mi siwezi maana haki zangu zote napata labda nyinyi ambao hamfanyi kazi, Mange Kimambi kabuli akene
@mwasitihatibu9691
@mwasitihatibu9691 6 жыл бұрын
Big up Doctor Tulia
@mariammariam2475
@mariammariam2475 6 жыл бұрын
Tunakupenda sana tulia mamaetu
@maliakishaushi9089
@maliakishaushi9089 9 ай бұрын
safari Yako nakuanga mkono sana
@acotyfrolah6616
@acotyfrolah6616 6 жыл бұрын
Tulia nakuaminia chapa kazi
@jumamichael4083
@jumamichael4083 6 жыл бұрын
Wakati anavaa jezi za kijani alikuwa ni mwanadamu wa kawaida kwasasa anawaumbua kawa si mwanadamu wa kawaida.
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 6 жыл бұрын
Juma Michael wewe nae hujielewi tu,
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 6 жыл бұрын
Juma Michael wewe nae hujielewi tu,
@beatricesisso5530
@beatricesisso5530 6 жыл бұрын
Emmanuel Daniel yeye au wewe😱😱😱
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 6 жыл бұрын
Jinga wewe
@aamnasalum3217
@aamnasalum3217 6 жыл бұрын
Upo sawa dada huyo mange achana nae akili zake kama msukule
@raismalingumutz8473
@raismalingumutz8473 Жыл бұрын
Tunataka Mali zetu ni urisi wa watoto watu
@mwanaidabdallah7973
@mwanaidabdallah7973 6 жыл бұрын
Big up kimambe...... Tulia usitutishe
@boazimbwaga8771
@boazimbwaga8771 6 жыл бұрын
Uko sahihi san akison
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 6 жыл бұрын
Dr Hongera
@lilianjeremiah2880
@lilianjeremiah2880 6 жыл бұрын
Watu wengine wan mawzo y ajbu mange kawaambia muandamane ila yy katulia zake
@seciliamwaigomole8512
@seciliamwaigomole8512 6 жыл бұрын
Nakupenda wewe mama
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 6 жыл бұрын
Ni kweli Tulia mange si MTU wa kawada binaadam ayuko vile
@sheebqpsheebqp8314
@sheebqpsheebqp8314 6 жыл бұрын
Unakigugumiz unamuogop kukusikia unamuongelea kweny mitandao au hahahahhaha
@femmyyakobo2116
@femmyyakobo2116 6 жыл бұрын
tupo pamoja sana mh
@mpangofantson158
@mpangofantson158 6 жыл бұрын
Hata huyu sura si ya kawaida angalia midomo
@zamomgalla699
@zamomgalla699 6 жыл бұрын
Mmmmh ulezi tu unafanya tuwaogope love you mange
@jovinakan3933
@jovinakan3933 6 жыл бұрын
Nakukubali dada
@gretagonga2966
@gretagonga2966 6 жыл бұрын
We vipiiiii ...aiii😏
@dastanfyondi2159
@dastanfyondi2159 6 жыл бұрын
ET siobinadamu wa kawaida mbavuuu,, mtanyooka 2
@sakisinza9479
@sakisinza9479 6 жыл бұрын
dastan Fyondi angalia usije ukanyooka wewe maana watu wengine mnajua kushabikia ila matendo sifuri na utoke siku hiyo upige picha ya selfie tukuone kama upo kweli
@dastanfyondi2159
@dastanfyondi2159 6 жыл бұрын
Nchi haijengw Na Watu waoga,,Bali wenye kusema ukwel Na kujiamin,,TZ ni Watu wanaoongoza Kwa uoga E. Africa,, so braza wehv to change
@gabrieladam1065
@gabrieladam1065 3 жыл бұрын
Ulitoka??
@acotyfrolah6616
@acotyfrolah6616 6 жыл бұрын
Kiongozi muzuri ni yule anaechukiwa
@qaysimilanzi9354
@qaysimilanzi9354 6 жыл бұрын
Nikweli ushauri uwa kwa wenye akili, lakini mtu akishakuwa kichaa sidhani kama unaweza kushauriana kitu, tafsiri ya maelezo ya kiongozi wa bunge mtulia.
@aliethlwaitama9592
@aliethlwaitama9592 6 жыл бұрын
Mweshimiwa nae anaogopa kumsema sana Mange nae anaogopa kuchimbuliwa maana Mange hana dogo,
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 6 жыл бұрын
This Tulia is a Sick Puppy! Spicie tofauti Ni wewe Uliyejua Mpango Mzima wa Kumpiga Tundu Lissu Risasi, Na Kisha Unatumiwa Pia Kuzuia Matibabu yake yasilipiwe. Wewe Huo Muda wa Kuongea Utumbo hapo Unatoka wapi? Who benefit for your BS.
@rasnchimbi
@rasnchimbi 6 жыл бұрын
Nahisi mange ni mwakilishi tu wa wengi Fulani,wanaompa siri mpaka akawa hivyo,
@shamsakatanga7506
@shamsakatanga7506 6 жыл бұрын
Ras Rick umesema kweli kabisa
@asmabintikiwashatz9321
@asmabintikiwashatz9321 6 жыл бұрын
kweli nawanamuongopa
@fargakoigip6029
@fargakoigip6029 6 жыл бұрын
Mh. Tulip anazungumzia uwepo wa Taasisi je kila Mtanzania anayesukumwa na jambo anaweza kuanzisha taasisi au mpaka uwe mwanachama wa ccm km hitaji hili ni la lazima kuna haja gani ya kulijadili kwa jamii hili linafaa zaidi kwenye vikao vya ccm ndio mjadili masuala ya kuanzisha taasisi wengine tusisiskie manake ishakua wenye kujua wapo ccm na si raia wengine...! Hua naona kinyaa kwa watu km hawa wanaodhani haki kwa wote si lazima
@oloshokiabdikorle5209
@oloshokiabdikorle5209 6 жыл бұрын
asante tulia
@allyrashid1235
@allyrashid1235 6 жыл бұрын
Hata mm pia nakubaliana na ww muheshimiwa naibu spika kuwa watu wafanye kazi lkn sasa hela zetu wenyewe mnatupangia masharti kuwa baada ya miaka 55 sasa imagine kwamba mtu ana miaka 35 mpaka afikishe hiyo miaka 55 ni leo kweli, lazima mkiangalie hichi kitu kwa umakini mno
@brightnessmmuni8081
@brightnessmmuni8081 6 жыл бұрын
nampenda tulia
@SwahiliPrideBongoMovie2018
@SwahiliPrideBongoMovie2018 6 жыл бұрын
mix of bongo movies vs Kenya Movies vs Nigeria funny/comedy buff.ly/2pEt03p tego la kijiji buff.ly/2I1Ph2m Somo by Mzee Majutoo buff.ly/2ufnSIv Penzi languu wivuu next level buff.ly/2G2MEB7 nizikwe Hai buff.ly/2G5lnxJ
@abdullasalim9266
@abdullasalim9266 6 жыл бұрын
Mh. Mataifa mengi yalifanikiwa kutokana na kujifunza na kupokea michango ya pale walipo kosea na ndio maana bunge la tz lipo na wabunge wengi lengo ni kusaidia ili kujenga taifa liwe bora na lenye kusonga mbele ..
@neemakabona9978
@neemakabona9978 6 жыл бұрын
uko sahihi tulia
@frankzominister1473
@frankzominister1473 6 жыл бұрын
Mange huyu mbona anaisumbua sana serkali jmn duuh kila kona ni yeye
@meryjohn7120
@meryjohn7120 3 жыл бұрын
Nyie nao wapambe
@gastonmbilinyi382
@gastonmbilinyi382 6 жыл бұрын
Elimu iboreshwe! Elimu bure si ni nzuri kama tunavyoelezwa kila siku?
@joseemalee6112
@joseemalee6112 6 жыл бұрын
Mmmh Amna kitu
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 6 жыл бұрын
Andamaneni mkasimulie baba zenu waliowatuma mi nitakuwa nachunga ng'ombe na kujisomea
@jacksonmodaha1590
@jacksonmodaha1590 6 жыл бұрын
mimi nitaandamana na ngombe zangu ila lazima siku hiyo nitoke tu bora wale digidigi au nguruwe kku wasiojulikana why uliko ccm ibakie madarakani wapi lisu ,ulimboka,mzee juma ali,wapi na wengineo kila si
@jacksonmodaha1590
@jacksonmodaha1590 6 жыл бұрын
kama walionje ya nchi wanaandamana je tulioko tz sisi tuogope kuandamana never mm nitaenda porini kulia bora siku hiyo nimetoka out
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 жыл бұрын
Watu waserikali mmefanya watuwenu kuwamasikini kiakili harinamali halufu mmewawekea hofu hamtowi elim yakuafanya wajitambuwe!!!!
@happyarooun6037
@happyarooun6037 6 жыл бұрын
sio binadam wa kawaida coz anafichua yaliyo jificha na tna haogopi kitu
@mashakambugi6730
@mashakambugi6730 6 жыл бұрын
Mange ni nani??? Amefanya nini? Mbona ni mtu wa kawaida sana. Haki ka watanzania kwa hili ni special edition!!
@allymsuya6655
@allymsuya6655 6 жыл бұрын
Huyu angethubutu kumsema vibaya Mange angebaki mtupu. Afadhali kalikwepa hilo swali
@allyrashid1235
@allyrashid1235 6 жыл бұрын
Jamani viongozi wa CCM,wabunge na viongozi wa serikali kwa ujumla tunaomba kwa moyo mmoja ya kuwa hizo hela zetu ambazo mmezishikilia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii PPF tunaomba basi mziache maana zile ni hela zetu siyo za kwenu ili tupate tujishughulishe jamani vibarua tulivyokuwa navyo vimetuponyoka kwahiyo mziachie hela zetu ili tufanye vibiashara jamani
@michealmwankemwa5118
@michealmwankemwa5118 6 жыл бұрын
Tulia umeongea sahii.ila watanzania wanapenda sana mihemuko sana isio na maana mweleze rais awashikishe adabu watakao andamana .tena ikiwezekana wakapumzike mbinguni
@charlesmbwilo7654
@charlesmbwilo7654 6 жыл бұрын
ni kweli mkuu wangu wa chuo alivyo ongea kuwa mpumbafu au mtu asiye na akili yupo chama pinzani naamin hivyo
@davidsaanane7939
@davidsaanane7939 6 жыл бұрын
I think swali la msingi ni kujiuliza ni kwanini Hawa watu wenye akili zao timamu wameamua kuunga mkono maandamano. Lakini kwa kuwaona hawana akili, au ni mazumbukuku, watu wanashawishika bila kufikiri ni makosa.
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Yuko kwenye mtandao kwasababu anawatoa makosa
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 6 жыл бұрын
Wewe kwa Mh Tundulisu huli fanya kitu gani hapo huna mulaumu Mange Kimambi wewe hupo muhuwaji tu
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 6 жыл бұрын
Uko sahihi
@nurudovino7305
@nurudovino7305 6 жыл бұрын
Huyu mama anaakilisana kweli mtu alokuwa anaakilitimamu hana ujinga kama wa huyo mage, kitu muhimu kweli mage anatumia na wamarekani hiko kitu kipo na tusipoangaria vita tz itatokea sana tu na kwauchochozi wa mtu mmoja huyo kam kuna muji furan iliwahi kutokea vita kisa mtu mmoja tu
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 6 жыл бұрын
Wivu tu.. dogo mange anawapiga bao hao..
@dullahnigga2242
@dullahnigga2242 6 жыл бұрын
Hatr huy mange
@mbalusilu7176
@mbalusilu7176 6 жыл бұрын
Luv u mdada
@hassanrwitita2503
@hassanrwitita2503 6 жыл бұрын
Tulia sio mwinadamu wa kawaida zaidi ya binadamu kwani kumbuka bungeni unavyowafanya watu wenzio kwa akili yako unajua unachofafanua ni sahihi kwako acha ushamba wa kisasa wewe bibi
@makuzashuka4788
@makuzashuka4788 6 жыл бұрын
MANGE HANA LOLOTE HAWAJAMTAKA TU WANAOMHITAJI
@sciencearusha5951
@sciencearusha5951 6 жыл бұрын
Naomba namba ya Naibu spika
@doglasthegreat6674
@doglasthegreat6674 6 жыл бұрын
mange dam yangu
@elizabethomari6058
@elizabethomari6058 6 жыл бұрын
aah unamuogopa maana atakuchamba
@sondanzingulasondasam4029
@sondanzingulasondasam4029 6 жыл бұрын
Huyoo mange kimavi ni malaya tu kimekindeana Kama mbu vile
@asmabintikiwashatz9321
@asmabintikiwashatz9321 6 жыл бұрын
yan anae mfuata mange pia yeye shiz
@danielfaustine6124
@danielfaustine6124 6 жыл бұрын
Mi naona kawajibu kufatana na akili zunu,lkn kiukweli mange hana lolote
@maximilianemmanuel4537
@maximilianemmanuel4537 6 жыл бұрын
Mbeya asahau kupita kabisa
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 6 жыл бұрын
kabla wwe ujamtafuta mange mange hatakuwa na habari ssa hatujui zitakuwa nzuri au mbaya tunasubiri maan mange sio wa spotspot😩😩😩😶
@hamadshein935
@hamadshein935 6 жыл бұрын
Mange nizaidi y bomu.hakuna anaweza kumuelezea.hata B52.haiwezi kushambulia kama Mange.
@wanenetv9672
@wanenetv9672 6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/innNoWyFp7WaZsk
@ziongate5464
@ziongate5464 6 жыл бұрын
Mangi anatukana waungwana wenye nizamu na wapole sana laiti angelijuwa siasa za nchi jirani kama Rwanda basi asingeliweza kutukana kiasi hicho huko huko Marekani wazee wangeliweza kumshughulikia sawa sawa na mitandaoni leo utulivu ukapatikana.
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 6 жыл бұрын
Mange Kimambi🔥
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 6 жыл бұрын
Huwezi kumpata CCM isipokua ni mzushi na ni mnafik tu
@sk-wj9or
@sk-wj9or 6 жыл бұрын
Speaker kwanini maandamano yakufikishe keko? ?? Kwani kuna kosa gani kuitimiza wajibu wa kisheria na haki ya kikatiba! !! Au kama hamtaki hilo kwanini msifanye kongamano na raisi akutane na wawakilishi wa wananchi na taasisi tofauti asikubali kukaa na kuongea kama alivyo ongea na wafanyabiashara? Kwanini iwe vitisho kwa hilo?
@upendorobert7298
@upendorobert7298 6 жыл бұрын
Mimi nimechoka Jana eti ukianamana kilema ni haki yako, duuh, hizi kauri jamani
@andreajeremia436
@andreajeremia436 6 жыл бұрын
mtu mwenyewe anakaa uchi,ni dariri ya ukichaa,kwani vichaa ndiyo wanapenda kukaa uchi,yaani kiujumla ana majini.!!
@juliuskatemi6816
@juliuskatemi6816 6 жыл бұрын
kila mtu ajue yake Maisha
@shufaamohameed2603
@shufaamohameed2603 6 жыл бұрын
I love mange 💪💪
@ziongate5464
@ziongate5464 6 жыл бұрын
Wewe unaempenda Mangi utakuwa pia na matatizo ya kiakili
@mjerumanwabongo3077
@mjerumanwabongo3077 6 жыл бұрын
mange kimambi namkubali xana
@edwardmsigwa4943
@edwardmsigwa4943 6 жыл бұрын
Dada mage nakkbl balaha
@rgentertainmenttz2900
@rgentertainmenttz2900 6 жыл бұрын
Kwa sugu kapoteza asiwaze kabisa
HAWA NDIO WATOTO  WA MANGE KIMAMBI NA BABA ZAO /JE ALIWAI KUOLEWA ?
11:19
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 332 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package
19:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 322 М.
Mambo matatu aliyomaliza nayo Spika Tulia leo "Mpina alikuwa sahihi"
5:50
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН