Usikubari kumpoteza mtu unayempenda kilahisi bila kujaribu kuokoa penzi lenu, jaribu kila uwezalo na ujihakikishie imeshindika kuokoa penzi lenu hapo ndio uachane nae. Usisahau | Subscribe | Like | Comment | Share |
Пікірлер: 8
@savageemy25702 жыл бұрын
Asnt kaka
@jacquelinephestus4926 Жыл бұрын
pongezi sana kwako Mambo mazuri sana
@mbekitv6939 ай бұрын
Good
@tekrasumamrimi35832 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝🤝🤝 saw kak
@mbekitv6932 жыл бұрын
Tekra😊🙏🏼
@vivianfransis24732 жыл бұрын
Nmekuwa mjing San ndani ya miaka sita sin amani ananizarau San
@vivianfransis24732 жыл бұрын
Unaweza kukaa kwazia asubuhi adi usiku akupigii ata cm adi upige wewe na ukipiga apokei au unatuma txt akujibi
@vivianfransis24732 жыл бұрын
Nitasahau vp wakati yeye bado anafanya mamb mabaya na siku akishinda nyumbani anachezea cm yake kwazia asubuhi adi uck apigi ata stori na wewe yupo busy na cm nimeongea adi nmechoka nmesha ongea San Ila sioni mabadiliko