MAMBO YA KUFANYA UNAPOKUTANA NA CHANGAMOTO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 8,006

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@emmyphilibert1906
@emmyphilibert1906 3 ай бұрын
TANZANIA IS BLESSED TO HAVE YOU
@janemwita8615
@janemwita8615 3 ай бұрын
Ahsante sana kwa msaada.
@stevensamwel4854
@stevensamwel4854 3 ай бұрын
Neukuru kwa ujumbe, Mimi pia Nina changamoto nilibadili mawazo ya biashara, nikajikuta biashara hiyo ikawa na ugumu wa kurejesha fedha Kwa wakati kwenye kikundi na uzalishaji aujaanza nikaanza kurejesha kupitia ule mtaji. Sijui hii inakaaje nisaidie, usipojali sana unibip nipige tuonee kwa zaidi, Mimi nakufatilia sana ila sijawa na utulivu kwenye kuzalisha.!
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 3 ай бұрын
Ndio Kaka Mungu azidi Kuku Linda Na elewa viziri 🎉🎉✍️🇨🇩
@alexanderkiberiti1282
@alexanderkiberiti1282 3 ай бұрын
Mjomba mungu akubariki sanaaaaaa! naona kabisa umenitoa sehemu ya hatari nilipo kuwa.namani sanaaaaaa niwasiliane nawewe kwa kina kama itakupendeza kwa sasa nimemia mkoa wa katavi mpanda mjini.
@hamisaramadhan4628
@hamisaramadhan4628 2 ай бұрын
Mwenyeezimungu akupe umri mrefu.
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 2 ай бұрын
Asante mungu akubaliki anko angu nanauka
@mchattachattanoga7795
@mchattachattanoga7795 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka elimu nzuri sana
@SaudaSaidi-e3h
@SaudaSaidi-e3h 3 ай бұрын
Brother umeniokoa sana
@winfridaadam7951
@winfridaadam7951 3 ай бұрын
THANK GOD BLESSING YOU
@hamisaramadhan4628
@hamisaramadhan4628 2 ай бұрын
Habari ya wakati huu kaka,nashukuru sana kwa vidio zako zenye mafunzo yanayo gusa nyanja zote ,za kiuchumi,biashara na mahusiano pia mwenyeezi mungu akubariki,akupe afya na umri mrefu
@NaomiUmburi-lj8wn
@NaomiUmburi-lj8wn 3 ай бұрын
thanks bro
@speciozakaloli
@speciozakaloli 2 ай бұрын
Asante sana
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 3 ай бұрын
Asante kaka kwa ushauri,umenifungua macho
@japehtkakamba1726
@japehtkakamba1726 3 ай бұрын
Asante sana kaka
@MashauriFransis
@MashauriFransis 2 ай бұрын
Asante kaka
@tinarimisho8482
@tinarimisho8482 3 ай бұрын
Asante sana kwa elimu nzuri
@GORETHKALEMERA
@GORETHKALEMERA 2 ай бұрын
Asante
@janetmbwana553
@janetmbwana553 3 ай бұрын
Barikiwa sana 🙏
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 3 ай бұрын
Asante sana coach Joel nimejifunza 🙏
@kuruthumukondo7149
@kuruthumukondo7149 3 ай бұрын
Shukrani kaka ❤❤
@magrethmeena
@magrethmeena 3 ай бұрын
Daa unatusaidia sana coach
@zahramakota2198
@zahramakota2198 3 ай бұрын
Nimekuelewa mno
@hadidjaissa9154
@hadidjaissa9154 3 ай бұрын
Asante🙏
@aliceSamson-de6br
@aliceSamson-de6br 3 ай бұрын
Mimi nafanya kazi mwez wa kumi sijalipwa ukidai unaonekana mwiz inanipa wakat mgumu
@Yoshuakikasiga-r3g
@Yoshuakikasiga-r3g 3 ай бұрын
🙌 🙌 🔥 🔥
@manoahjoseph5283
@manoahjoseph5283 3 ай бұрын
Sauti mkuu
@cornerbrezz1207-lc6rg
@cornerbrezz1207-lc6rg 3 ай бұрын
Ubalikiwe sana Joel nanauka Mimi sikahi kusema shida inayo nisibu ila nitasema kifupi ila nilitamani kupata number yako utanisaidia sana Mimi nafanya biashala ya duka nimeajiliwa ila hiyo biashala imeshuka sana kiasi kwamba Mimi mwenyewe sinilipi hela 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
@FaricevitusiNkane
@FaricevitusiNkane 2 ай бұрын
kk uko vizul sana na n msaada mkubwa namba yako npataj
@Wazirydohela
@Wazirydohela 3 ай бұрын
mjomb joel kunatatizo la sauti kweny content zako za sas
@NoelMremi-w5e
@NoelMremi-w5e 3 ай бұрын
.Tupo Pamoja kiongozi 🤝,Asante
@osmankisibo5184
@osmankisibo5184 3 ай бұрын
Kaka Kuna soda yako hapa😊
@MasungaGahima-es5ei
@MasungaGahima-es5ei 3 ай бұрын
Itakuwa simu yako tu
@hamisaramadhan4628
@hamisaramadhan4628 2 ай бұрын
Kama hautojali kaka,nilitamani kupata namba yako ya simu ili niongee nawe uweze kunipa ushauri,nahitaji sana ushauri wako kaka.
@NORVESASUNGA
@NORVESASUNGA 3 ай бұрын
sasa kaka mi ndio nimeanza kukusikiliza na nina 40 yrs hivi naweza anza biashara au n imechelewa
@RonaJumanne
@RonaJumanne 3 ай бұрын
Haina sauti au ni cm yangu😢😢
@eliastanda9825
@eliastanda9825 3 ай бұрын
Simu yako
@AndersonMbuya
@AndersonMbuya 3 ай бұрын
Sim t unaskia tu kam instrumental
@AndersonMbuya
@AndersonMbuya 3 ай бұрын
Tafut earphone org za oraimo au akg samsung na ujaribie kwanz hii scene
@MasungaGahima-es5ei
@MasungaGahima-es5ei 3 ай бұрын
Sim yako tu
@aliceSamson-de6br
@aliceSamson-de6br 3 ай бұрын
Kaka n ukweli unaongea lkn Kuna wakat unakutana n mambo magum
@VeronicabaltazariVincent
@VeronicabaltazariVincent 3 ай бұрын
Asante kaka
NJIA ZA KUJITOFAUTISHA - JOEL NANAUKA
8:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
LIFE WISDOM : UJASIRI - JOEL NANAUKA
14:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 67 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 14 М.
LIFE WISDOM:MBINU 3 ZA KUPATA UNACHOTAKA - JOEL NANAUKA
11:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
MAMBO 7 YA KUJIFUNZA KABLA HUJAWA MJASIRIAMALI by Anthony Luvanda
50:04
TonyInspirationalTalk
Рет қаралды 297 М.
Mambo ya Kuzingatia Ukitaka Kufanikiwa Kwenye Maisha - Joel Nanauka
17:05
LIFE WISDOM : NUSU YA MWAKA ILIYOBAKIA FANYA HAYA - JOEL NANAUKA
13:57
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН