No video

MAMLAKA NA KAZI ZA NABII KWA NJIA YA MATAMKO NA VITENDO - GeorDavie TV

  Рет қаралды 11,189

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 84
@marympemba6378
@marympemba6378 2 жыл бұрын
No matter what, I will keep my focus in Jesus Christ . Amen 🙏🙏🔥🔥🔥💕
@mwalongojulius1755
@mwalongojulius1755 2 жыл бұрын
Man of GOD nakuelewa sana japo ss wapentecost tunapotoshwa juu ya huduma ya kinabii na utume ndiyo maana tumerudi kuwa dini kama zile za kale ilove you prophet
@anascholasticandagiwe6977
@anascholasticandagiwe6977 Жыл бұрын
Baba nabii nakuelewa sana kwenye neno na unabii napokea amani ya moyo,Mungu akutunze nambii usie zurura unatulia madhabahuni kwa muda pamoja na kwamba tunakuhitaji uje na kwetu
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Wewe ni nabii wa Mungu. Manabii wengine wamefanya karama zao kuwa dill la kujipatia pesa kwa watu bila huruma. Mungu akupe maisha marefu baba yangu nabii mkuu azidi kukupa mafunuo makubwa namaono makubwa zaidi.Ameen.
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 Жыл бұрын
Powerful Song and message
@user-hp3vp4yz6g
@user-hp3vp4yz6g Жыл бұрын
Tunaruhusiwa ku mwamini Mungu pekeeyake na sio binadamu, na upako unatoka kwa Mungu
@geraddavid7123
@geraddavid7123 Жыл бұрын
namini nitafanikiwa kwa damu ya yesu
@mbabaziviviane3084
@mbabaziviviane3084 2 жыл бұрын
Nimependa sana unavyohubiri Baba Niko Kigari
@shekinahrevivalinternation6614
@shekinahrevivalinternation6614 2 жыл бұрын
Naamini unabii wako na wewe ni baba yangu kuanzia Sasa najiungamanisha na wewe nabii wa Mungu
@Pgm170
@Pgm170 2 жыл бұрын
Ninabarikiwa sana na Baba, kwa mafundisho ya viwango wa juu kinabii.
@patricksylvester1928
@patricksylvester1928 Жыл бұрын
Nabii anapoitwa na Mungu, kazi yake kubwa ni kufungua watu. Nabii ameitiwa lile kusudi la kufunguka kwa jina la Yesu. Nyakati 2:20:20
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 Жыл бұрын
Amen amen haya sasa ndiyo mafundisho ya kinabii haswa
@yothamtango9363
@yothamtango9363 Жыл бұрын
Amen amen napokea baraka baba
@SamweliEzekiel-ks7sl
@SamweliEzekiel-ks7sl Жыл бұрын
Amina baba yangu wakiroho
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Amen mtumishi
@pastorsaraphina1232
@pastorsaraphina1232 2 жыл бұрын
Amina kubwaa mtumishi 🙏
@mchisraelimbarikiwanassari7579
@mchisraelimbarikiwanassari7579 Жыл бұрын
Barikiwa babayetu tunabarikiwa
@judidhkefance8806
@judidhkefance8806 2 жыл бұрын
Nimebalikiwa na kazi ya huduma yako mungu alikuleta kwa kusudi la kutuokoa lkn umekuwa na moyo wa pekee sana wa kusaidia watu mungu wa mbinguni akupe miaka mingi ya kuishi hapa duniani ili tuendelee kuiona huduma yako ikiokoa watu ambawo hawamjui mungu nimetamani ningekuwa naishi dar ningependa kusali sehem hiyo kwani inamafundisho mazuli na yenye kujenga natokea mkoa wa songwe wilaya ya momba tunduma mpakani mwa Zambia mungu tunaomba endelea kuwalinda manabii km Hawa waendelee kuishi milele daima ameniiiiiii
@princeyabili789
@princeyabili789 2 жыл бұрын
Amen 🙏 amen 🙏 amen 🙏
@emmaculateadhiambo7011
@emmaculateadhiambo7011 2 жыл бұрын
Amen amen
@jelimoirene1662
@jelimoirene1662 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 baba
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Aminaaaa sanaaa
@ndayizigabienvenue137
@ndayizigabienvenue137 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba
@korintopaluku4713
@korintopaluku4713 Жыл бұрын
Naomba nguvu zaidi baba toka hapa rdc
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Hallelujahhhhhhhhh
@lissajosey1089
@lissajosey1089 2 жыл бұрын
Amen baba angu nitakaza kumtafuta Mungu,,,,I love you
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Amen
@yawepetro2049
@yawepetro2049 2 жыл бұрын
Mungu nibaba yetu mungu natujali Amina.
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 2 жыл бұрын
Na akikujalia milion10 siutakanyaga kila mtu🙏
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Yeeeeeeeeeees
@levinahmuspeka3227
@levinahmuspeka3227 2 жыл бұрын
Amen Amen ahsante baba kwa mfundisho mazuri ya kuongesa imani yangu iwe dhabidi.
@timotheomahala373
@timotheomahala373 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Niko mwanza kisesa mwandulu
@leahmerilainen1955
@leahmerilainen1955 2 жыл бұрын
Nakuamini nakupenda wewe ni Baba yangu kiroho
@leahmerilainen1955
@leahmerilainen1955 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏Amina nafanikiwa kwa kulifutili neno lako kwa you tule Mungu akupa maissa marefu
@millicentochieng5740
@millicentochieng5740 2 жыл бұрын
Wachawi wanateza kweli but they are defeated in name of Jesus.
@fabiolamassawe6528
@fabiolamassawe6528 2 жыл бұрын
Hii ndo nguvu ya Mungu iliyo kuu sana ,
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Ameeeeeeen
@hesbonnyandika2198
@hesbonnyandika2198 2 жыл бұрын
NICE DAY UKO WAPI JUU MM NIKO KENYA
@zainayolamu6486
@zainayolamu6486 2 жыл бұрын
Asante nabii
@saldakltl7611
@saldakltl7611 2 жыл бұрын
Amen Amen
@valettenzale452
@valettenzale452 2 жыл бұрын
Thank you Jesus
@janetkaingu7038
@janetkaingu7038 2 жыл бұрын
Eeemen,naamini kwa matamko
@jeannekatembe6396
@jeannekatembe6396 2 жыл бұрын
Napenda mawasiliyano na wewe man of God niko USA baba
@jenniferandmwakikono4960
@jenniferandmwakikono4960 2 жыл бұрын
Shalom baba naomba unifungue Mimi na kampuni yangu Kuna wateja 2 wanahitaji kununua vitalu vyangu ila imekuwa mwezi Sasa bado hawajapata pesa zao.hivyo naomba wafunguliwe na waweze kufanya biashara nami
@zawadimkangala1268
@zawadimkangala1268 2 жыл бұрын
Nisaidie nabii niko mwanza natamni nionane na ww
@yasintamsuya5510
@yasintamsuya5510 2 жыл бұрын
Amen baba
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Hallelujah
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Amen 💖💖💞💞
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Kweli
@zawadimkangala1268
@zawadimkangala1268 2 жыл бұрын
Shalom mwana wa mungu nabii..mim nmekuwa nikisumbuliwa na maradhi muda mrefu mwili wangu wote unauma nmezunguka kwingi cjapata tiba at kazi zangu nying zimekufa naitaji neno lako la uponyaji ili nipate uponyaji kwani nateseka sana nitakupataje ww ili nije uko Arusha
@rojasaidi8113
@rojasaidi8113 2 жыл бұрын
Nimepokea
@paulekwamekwam3860
@paulekwamekwam3860 2 жыл бұрын
Voice of god 🔥🔥🔥🔥
@hesbonnyandika2198
@hesbonnyandika2198 2 жыл бұрын
Number
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@patricksylvester1928
@patricksylvester1928 Жыл бұрын
Nabii Elijah alifanya kazi kwa matamko na vitendo kwa mfano mvua isinyeshe na haikunyesha, mvua inyeshe na inyeshe.
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Yaani nabarikiwa utafikiri nipo hapo hemani
@yasintamsuya5510
@yasintamsuya5510 2 жыл бұрын
Kweli kabisa baba
@maryminja2013
@maryminja2013 Жыл бұрын
nimejiungamanisha na ibadai kilavifungo vyagiza vitekete nakila kituchangu kilichoibiwa kirudishwe
@princeraphael4356
@princeraphael4356 2 жыл бұрын
❤️❤️
@sulleyjacksonjoseph3917
@sulleyjacksonjoseph3917 2 жыл бұрын
Natamani siku moja nifike
@leahmerilainen1955
@leahmerilainen1955 2 жыл бұрын
😀😀😀🙏🙏🙏
@saldakltl7611
@saldakltl7611 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏❤❤❤❤👏👏
@hesbonnyandika2198
@hesbonnyandika2198 2 жыл бұрын
Niko sawa
@mbabaziviviane3084
@mbabaziviviane3084 2 жыл бұрын
Na namuomba Mugu aniwezeshe nifike huko uniombee
@aureliapaschal7172
@aureliapaschal7172 2 жыл бұрын
Mtumixhi wa mungu ubarikiwe Sana unapatikana wapi?
@mwalongojulius1755
@mwalongojulius1755 2 жыл бұрын
Arusha
@johnpetro9814
@johnpetro9814 2 жыл бұрын
Nabii naweza pata mawasiliano
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Uuuiuuuu
@edithadamiano5611
@edithadamiano5611 2 жыл бұрын
Nabii unapatikana wapi?
@ndayizigabienvenue137
@ndayizigabienvenue137 Жыл бұрын
Nguvu zamungu ziwenawew
@sanrashkahi3845
@sanrashkahi3845 2 жыл бұрын
Wapi hiyo number ya kutuma sadaka ili kujiunganisha na madhabahu???
@user-hp3vp4yz6g
@user-hp3vp4yz6g Жыл бұрын
Tuna towa jambo kwa wakristo wote, mimi na zani kwamba kwa akili ambayo Mungu ametuumba nayo na neno lake ambalo ni biblia, linasema aminiaye mwanadamu haalaniweee, sasa anaambia watu wa mwamini yeye ni Mungu au ?
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 Жыл бұрын
Ndio kabisa Mhe Nabii Mkuu GeorDavie
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Amen
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ameeeeeen
@jeannekatembe6396
@jeannekatembe6396 2 жыл бұрын
Amen amen napokea baraka baba
@maryminja2013
@maryminja2013 Жыл бұрын
kwamaombi jini anaenisumbua atoke naasiruditena na nikainuke kiuchuni
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Amen
@mushagalusakulimushiprince6878
@mushagalusakulimushiprince6878 2 жыл бұрын
Amen
@paulinemwikali5077
@paulinemwikali5077 2 жыл бұрын
Amen
@felisteralias4405
@felisteralias4405 Жыл бұрын
asante sana baba tumepata neema
@felisteralias4405
@felisteralias4405 Жыл бұрын
amina
@timotheomahala373
@timotheomahala373 2 жыл бұрын
Amen
LIFE IS ABOUT DISCIPLINE IN LIVING!
0:33
GeorDavie TV
Рет қаралды 1 М.
#TUZO YA HESHIMA KWA NABII MKUU Dr. GeorDavie - 2020
20:15
GeorDavie TV
Рет қаралды 26 М.
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 43 МЛН
New Greater Bethel Ministries Welcomes Prophet Brian Mosley
3:59
New Greater Bethel Ministries
Рет қаралды 17
SOMO - Vita vya kiroho 09-08-2020 |  FULL VIDEO HD
1:32:59
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 23 М.
ASKOFU MKUU AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA USAJILI WA DHEHEBU LA AGGCI
4:14
AGGCI Penueli Gospel Centre Tv
Рет қаралды 6 М.
#LIVE KUTOKA JUMBA LA MATAMKO
2:34:10
GeorDavie TV
Рет қаралды 1 М.
NABII MKUU KUTINGA BUNGENI KWA MWALIKO MAALUM - GeorDavie TV
24:24
GeorDavie TV
Рет қаралды 32 М.
ELEWA CHANZO CHA MATESO YAKO 18-11-2020
1:31:53
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 144 М.
VIJANA WAPEWA BAJAJI MPYA NA PESA ZA MTAJI - GeorDavie TV
15:33
GeorDavie TV
Рет қаралды 63 М.
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН