MAREHEMU STAR wa ARUSHA AZIKWA kwa MBINDE, STOP ODA ya MAHAKAMA YAFIKA MAKABURINI, MARAFIKI WAPINGA

  Рет қаралды 43,022

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MAREHEMU STAR wa ARUSHA AZIKWA kwa MBINDE, STOP ODA ya MAHAKAMA YAFIKA MAKABURINI, MARAFIKI WAPINGA
Kijana Alani Mkenda wa jijini Arusha amezikwa katika eneo lake maeneo ya Kisongo baada ya mvutano wa siku nyingi...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 92
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@aishajuma18
@aishajuma18 Жыл бұрын
Kwani huyu dada hayo macho hakuna uwezekano wa kutibiwa akaponaee tumchangie mim namuonea huruma 😥😥😥
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Kabisa Global simamia tuachange peaa ili lilian apate tiba bado liliy anahitajika, na aende hospital na pia aende kwenye maombi
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 Жыл бұрын
Likazie ndugu yangu
@kitomarijames3507
@kitomarijames3507 Жыл бұрын
Itakuwa poa Sana jamani mwenzetu akiona Tena Yaani huyo mkenye😏
@mariamkadio8402
@mariamkadio8402 Жыл бұрын
Yani inauma mnooo,atapata tabu kweli na watoto,kama inawezekana kutibika asaidiwe jamani
@gaudiosamweha1792
@gaudiosamweha1792 Жыл бұрын
Hata Mimi namuhurumia sana.jmn tupende kias tujue moyo wa mtu kichaka
@angelavayinga914
@angelavayinga914 Жыл бұрын
Wanaume, wanaume, jamani tunawaomba, tena ombi jamani tuheshimni hata km hatuna kitu, hata km una mchepuko jaribu kuheshimu hisia zetu, mwanamke akiamua kupenda amependa.
@niselanyakato6885
@niselanyakato6885 Жыл бұрын
Ahsante Sana mtangazaji endelea kutupa mrejesho, ila tunashukuru serikali kumusaidia mwanamke mwenzetu, tunashukuru Sana
@ssaa7495
@ssaa7495 Жыл бұрын
Asanteni global mmekuwa mkisaidia sana watu 🙏🙏
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Mtangazaji umejitahidi sana mungu akulipe mema.
@sein.208
@sein.208 Жыл бұрын
Masha Allah Hakuna zito kwa Allah. Lililobakia tumchangie dada yetu akatibiwe kama inawezekana itapendeza zaidi , lifanyie kazi Mwandishi msomi.
@neemaponera2037
@neemaponera2037 Жыл бұрын
Point kubwa Sana, Nipo na wewe
@sein.208
@sein.208 Жыл бұрын
@@neemaponera2037 Shukran my dear ,dua zetu muhimu
@estermziray7737
@estermziray7737 Жыл бұрын
lla kaka unajua sana kutuelewesha uko vizuri sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Tunashukuru sana mtangazaji uko vizuri,RIP ALLAN
@zikenims6167
@zikenims6167 Жыл бұрын
Alhamdullillah limemalizika hili jambo imebaki mirathi
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Kabisa🤗🤗🤗
@coletha7441
@coletha7441 Жыл бұрын
Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe aminaa
@esterrupia8470
@esterrupia8470 Жыл бұрын
Mtangazaji upo vizur sana unaeleweka
@baybeshayo18
@baybeshayo18 Жыл бұрын
Dada pole Sana roho mtakatifu awe mfariji wako, yaani ndugu wengine na mawifi ni kiungulia kabisa, lakini wasisahau malipo yao yapo.
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Жыл бұрын
Mfiwa Pole dada mungu atakutetea
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Ni mume wa mtu, na mke wake ni mgonjwa, bila huruma na mwili tunamnyima haki ya kuzikwa! Jamani, huu mwili tunaupeleka wapi? aliyekufa keshakufa, kwa nini kuendelea kuvutana? Pole dada, mume anaumaaa😭😭 Asante mahakama kutoa maamuzi ya haki kwa mke wa ndoa ya kanisani, pia mwandishi kazi yako ni njema,zidi ku lindwa na Bwana.
@coletha7441
@coletha7441 Жыл бұрын
Poleni Sanaa mungu ampe nguvu mjane Lilian na aweze kupona na maradhi yake ya macho mungu baba amtangulie
@aminaissah3017
@aminaissah3017 Жыл бұрын
Tuna taka tumuone uyo caro
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Marehemu alikuwa na kilanga. Yaaaani unachepuka mpaka wahamia huko poooh haya nenda kajibu
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 Жыл бұрын
Laana ya mke wake wachaa aende
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Asante sana mwandishi msomi yatayojili tuletee plss
@afsaiddy5648
@afsaiddy5648 Жыл бұрын
Poleni sana na hongereni kwa vazi zuri jeusi kwa akili ya msiba pole Sana mdogo wangu
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Mahakama zetu zinatia ukakasi katika maamuzi, wanaamua bila kukutanisha pande zote za mzozo .Huku baadae wakifuatwa na mlungula wanatoa tena stpo oder na hii michezo hutendeka kwenye kesi nyingi kupelekea kuwa na mivutano bila kesi kwisha. Mahakama mutende haki acheni dhulma na kusumbua watu Mungu anawaona
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Mapenziiii,,, wooooo,,,,,, inauma, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Wemkenya huna akili unagombea maiti NYAU wewe mkewakekaahamzika mumewe tafutabhwana huko
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Pole ulimpenda sana
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Жыл бұрын
Ukiwa na mali siku ukifa kila mtu atakugombania ila ukiwa masikini hakuna atakae kugombania maiti yako
@zikenims6167
@zikenims6167 Жыл бұрын
ALLAH AMUEPUSHIE MAPENZI YA KUMPENDA JANAUME CHEOUKAJI ADI KUNIPATA PRESHA KUSABABISHA MSONGO WA MAWAZO POLE MWANAMKE MWENZETU KWA ULEMAVU ULIOKUKUMBA KISA KAHABA NA KAABAMWENZIE
@janetchinga695
@janetchinga695 Жыл бұрын
Amen Amen
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
polen sana😭😭😭😭💔
@zamzamyusuph2340
@zamzamyusuph2340 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Mzunguu we bado mdogo sana ila umepitia mengi funga mkanda songa mbele watoto wanakutegemea mkenya nguvu ya hela kurubuni waume za watu sijui sasa ataenda kwa mume wa nani
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Huyu dada jamni macho 😢😢😢ende hospital
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
😭😭😭
@mwajumajuma2999
@mwajumajuma2999 Жыл бұрын
Atakuwa kachezewa uyo pulesha nikisingizio tu ila jameni duh
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
walisema wakimaliza mazish ndiyo atatibiwa🤗🤗😥😭😭
@oliversimpliskimariokimari3510
@oliversimpliskimariokimari3510 Жыл бұрын
Global tv daima
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Safii sana!!!Rest in peace Allen.Mchepuko hana haki yoyote. Tafuta wa kwako..kwanza umchukue mume wa watu, umesababisha mke kupofuko, bado unga'ung'anie msiba uwe kwako, unamalizia na stop order. Huyu akamatwe arudishwe kwao!! What nonsense nchi ya watu hii!!
@wittymasaidiva8517
@wittymasaidiva8517 Жыл бұрын
Pole kipenzi Lily MUNGU akupe nguvu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
😢💔
@rosemalle3600
@rosemalle3600 Жыл бұрын
Kusema ukweli ninawashukuru mahakama kuchukua maamuzi ya mke wa Marehemu kumzika Mme wake,bila kuwasahau waandishi wa habari,kwa kweli Mungu Ni Mwema kila wakati
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 Жыл бұрын
Safi sana mnamsumbiwa mtu kwanini. Acheni apumnzishwe kwa mkewe wa ndowa.
@rodasanga1312
@rodasanga1312 Жыл бұрын
Saaafiiiiiii
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Huy kahab akatafute pakufia huko aachane na wifi yetu aishi kwa aman na mirasmi ya mumewe
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 Жыл бұрын
Ndugu wengine bwana noma
@himoda7647
@himoda7647 Жыл бұрын
Kolumba Mwandishi msomi endelea kufuatilia hii stori Yani wasipo Fukua Ilo kabuli Cjui
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Жыл бұрын
Caroline Mungai, mkikuyu wa 🇰🇪
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Wakikuyu baadhi yao wakatali sana
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Жыл бұрын
@@ashuuuaisha9122, tuseme wengi wao
@mjukuumoraa8491
@mjukuumoraa8491 Жыл бұрын
@@ashuuuaisha9122 wakenya asilimia kubwa huwa wanaroho mbaya sana
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
@@mjukuumoraa8491 tena huyu kazidi kuu arudishwe alikotokea!
@Zainab_salat
@Zainab_salat Жыл бұрын
Mm ni Mtanzania Ninaishi Kenya, basi serikali ikirudishwa Nitakubali lakini huku nimependa 😍😍
@kamenemulu8561
@kamenemulu8561 Жыл бұрын
Asandi sana Lilian hamepata ak
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Jaman maiti inagombewa na yote hayo ni kwasababu alikua ana pesa hapo angekua hana pesa au mgonjwa sidhan km kuna ambae angetokea kumgombea
@azibossladykenny2455
@azibossladykenny2455 Жыл бұрын
Wanadam tuache roho mbaya uyo mama kwanz kapat ajali.y macho juu y uyo mtoto wao kisha wanaleta maneno y fujo iyi dunia inamambo sanaa🥺🥺🥺🥺🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
@salha6596
@salha6596 Жыл бұрын
Yani uku uarabuni ukifa saa saa nane unanazikwa saa kumi. Hata ukifa saa moja jioni utazikwa usiku huo huo vizuri Sana
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Жыл бұрын
Sasa huku uarabuni c waislam wengi ndugu yanguu🙄🤔 juzi Tu hapa Niko omani Mimi jirani kafa mtt Saa sabaa dhuhur kazikwa Saa Kumi salatul laasir
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani poleni wafiwa
@hamisathadeo4870
@hamisathadeo4870 Жыл бұрын
Sjui ndugu wengine wakoje jamani
@aishajuma18
@aishajuma18 Жыл бұрын
Huyo mkenya sas kapumua mume mwenyewe keshakufa akafanyie ukahaba wake kwao uko
@reginamanyangu7258
@reginamanyangu7258 Жыл бұрын
Unahakika ni kahaba
@aishajuma18
@aishajuma18 Жыл бұрын
@@reginamanyangu7258 kwan limekuuma sana mim kumuita kahaba kanishitaki basi
@erickmoses2497
@erickmoses2497 Жыл бұрын
Mbwaa uyoo malayaa akafie mbelee
@aishajuma18
@aishajuma18 Жыл бұрын
@@erickmoses2497 Tena afie mbele na maiti ipotelee hukohuko🤣🤣😂
@hanifaalbalushi2483
@hanifaalbalushi2483 Жыл бұрын
Duh wanajua kutesa hawa watu
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani kaka
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Yani ww mtangazaji huwa natamani habari zote za global ungekuwa unatangaza ww hii ndio maana ya mwandishi msomi mpaka unasikia raha
@norahazan796
@norahazan796 Жыл бұрын
Arusha matukio ni mengi siku hizi
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Жыл бұрын
Wale ndugu wenye viherehere vyao wajifunze hapa
@sabrinahakram4331
@sabrinahakram4331 Жыл бұрын
Tena wamejenga na zege juu hawawezi kufukua🙄
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 Жыл бұрын
Unadeni letu kolumba
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 Жыл бұрын
Huyu mwanaume ndo malaya alikuwa Hana msimamo kabisa. Adhabu zako umeshazilipa hapahapa Duniani marehem nenda Salama kapumzishe Dick
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 Жыл бұрын
Watu hawamuogopi Mungu loh
@vanessajames2192
@vanessajames2192 Жыл бұрын
Duuh huyu marehemu wamejua kumchosha
@fatmaahamadabass8080
@fatmaahamadabass8080 Жыл бұрын
Mi nashangaa mnagombania marehemu ili iweje wakati kashasitirika
@beatricejohn800
@beatricejohn800 Жыл бұрын
Hakuna anayegombania Marehemu hapo ni mali tu ndio zinazo wasumbua wachanga tena kwenye Mali,
@floramlowe7078
@floramlowe7078 Жыл бұрын
Huyo aliyekata rufaa ni mpumbavu unagombea maiti.
@laymashabani832
@laymashabani832 Жыл бұрын
Wasichojua wanamuweka hatiani uyo marehemu tu.
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Amejiwekea mwenyewe pingamizi alivyo panda alijua atavuna wema tujifunze kupitia yeye
@laymashabani832
@laymashabani832 Жыл бұрын
@@edinakyaruzi9226 Kabisa yani.
@sunaybrajabu238
@sunaybrajabu238 Жыл бұрын
Mtu akifa mtamu nyie, poule Lilian
@jacklinebrightness4513
@jacklinebrightness4513 Жыл бұрын
🤣🤣wewe
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 Жыл бұрын
Mzuri huyu dada wanaume wanatutia ulemavu nakutuacha
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 34 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 43 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
MMILIKI WA MABASI YA MTEI AZIKWA, MANYARA
7:25
Wasafi Media
Рет қаралды 99 М.