UKIOTA UNALIA USINGIZINI | HII NDIO TAFSIRI YAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

  Рет қаралды 172,699

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

UKIOTA UNALIA USINGIZINI | HII NDIO TAFSIRI YAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
#MasjidMtoroTv #NyumbaYaTibaNaDua

Пікірлер: 106
@ghalibmansour7857
@ghalibmansour7857 3 жыл бұрын
Mwisho wa yote tuseme ALLAH ndie mjuzi zaidi wa kila kitu na yeye ndie mwenye kutupangia mipango yetu yote ya maisha yetu mpaka kufa kwetu.. cha msingi unapoota ndoto tunatakiwa tukistuka tu umuombe ALLAH kwa ndoto ile kama ina maanisha kheri bs ALLAH akupe kheri ile kama inamaanisha Sharri bs ALLAH akuepushe na sharri ile kwa sbb ALLAH yeye ndie mueza wa kila kitu chetu na yeye ndie mwenye kuweza kubadilisha Qadar..
@hazayusufu7546
@hazayusufu7546 3 жыл бұрын
hii ndoto yakuota nalia usingizi niliiota juzi Tena nalia kwa huzuni sana nilikua namlilia mume wangu aliekufa takilibani mwaka 1 na miezi 3 katika kulia kwangu nilikua na huzuni sana nahofu ya mungu ilijaa moyoni mwangu ila macho yangu hua yananisumbua sana nimetumia dawa bila mafanikio jicho la kushoto lina kinyama kidogo takilibani miaka 3 sasa ila hujiombea dua sana hata usiku wamanane iwapo Kama ndoto niliiota nalia ni dalili yakupona basi mwenyezi mungu naomba aponye macho yangu
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Swadaqta ndugu jazaka llahu khaira
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
@@hazayusufu7546 pole sana kwa kufiwa na Mume muombe sana Dua pia kuwa na subra lnshallah
@bibasulesh7866
@bibasulesh7866 3 жыл бұрын
@@hazayusufu7546 amiyn pia pole
@packarijuma8995
@packarijuma8995 2 жыл бұрын
Mie huwa naota Malia huku niliomba mungu anisaidie
@najmaally7374
@najmaally7374 3 жыл бұрын
Inshaanllah Allah pekee ndie mjuzi bac tumuombe yy ndie mtambuzi wa ndoto zaidi allah anaweza
@خسنموس
@خسنموس 3 жыл бұрын
Shukran sheikh khamisi nimekuelewa vzur..Mungu akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha.
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 жыл бұрын
Shukran sana
@tumumaina9777
@tumumaina9777 Жыл бұрын
Shukran ustadh kwa elim
@rayaraya7752
@rayaraya7752 3 жыл бұрын
Asante sheikh ni juzi tu nimeota bbngu amekufa nililia sana
@karimkibwana7972
@karimkibwana7972 3 жыл бұрын
Polee Allah atakupaa nafuu
@neemaegnatio7725
@neemaegnatio7725 2 жыл бұрын
Mie mwenyewe ivyo niliota baba kafanililia mpaka na amka machozi yanatoka
@abdulkadirchamshama4066
@abdulkadirchamshama4066 2 ай бұрын
A.salam alykm shekh mm nimemuota mama yangu macho yake yana ukungu lakin amependeza nikaanza kulia kwa jinsi ninanvyo mpenda
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Mashallahu Mungu akubark shehe wetu
@mariammariamomary4911
@mariammariamomary4911 3 ай бұрын
Shehe habari .Mimi nimekua napata ndoto mama yangu amefariki lkn nikienda kumsogelea nikimshika anaamka .Leo ni mara ya 3
@nasraalismaili799
@nasraalismaili799 3 жыл бұрын
Shukran sheikh mm nimemuota mtoto wangu wa kike aligombeshwa na baba yake akawa analia kwa hasira sana kama vile kaonewa nn maana yake
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 3 жыл бұрын
tatizo hajibu maswal anachosha
@irenesikha7636
@irenesikha7636 3 жыл бұрын
Asante nashukulu kwakutujulisha
@ZahraaMwazoa
@ZahraaMwazoa Ай бұрын
Assalamualaikum shekh nimemuota mwanamke mwenzangu ana mimba halafu nimegombana nae
@minahadi2190
@minahadi2190 3 жыл бұрын
jazzakAllah kheir shekh
@mgekilenga5813
@mgekilenga5813 3 жыл бұрын
Napenda sana chanel yako ila nenda kwenye point moja kwa moja punguza maneno mengi ya nyongeza au kuswali kwa mda mrefu wengi tunatimeng na bandle
@mwanaidimajid8382
@mwanaidimajid8382 3 жыл бұрын
maneno mengi kwa kweli
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 жыл бұрын
Thank you
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Apo kwa msiba nimekubali aki mm niliota nimearibu vitu vya duka la mtu vikachambiwa kaburi ivyo vitu vikazikwa alafu mm nikawa nalia kwa uchungu uku nikisema nimepata hasara na ikiwa nalia mbele ya bibi yangu mzaa baba aliekufa kitambo namuambia nimepata hasara kubwa bc aikupita ata siku nyingi mdogo wangu akaanza kugonjeka na akafariki aki niliota ndoton nalia nakushutuka natokwa nimachoz kweli jamani tuzingatuen ndoto zetu asante shekhe wetu 😭😭😭😭🙏🙏🙏
@yassirhalimamohammedmohamm5913
@yassirhalimamohammedmohamm5913 3 жыл бұрын
Asante
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 жыл бұрын
Shukran
@user-qx1nm8kp9b
@user-qx1nm8kp9b 9 ай бұрын
Asalamu.alaykumu. shekh.naomba.kuuliza.swal
@hamidaasiimwe4266
@hamidaasiimwe4266 3 жыл бұрын
Salaam halykum Shekh Na mimi huota sana kama niko kipovu, Nafunguwa macho inakataa,na nimewota kwa mara nyingi muno. nakuwomba Tafadhali ni nini Tafsili yake.
@MagichousePartyWorld-px9cr
@MagichousePartyWorld-px9cr Жыл бұрын
Asalam aleykum shekh, naomba tafsili ya ndoto yang niota mawingu meupe yanajikusanya na kutengeneza mskiti mweupe mzuri kweri nani mkubwa nagafla Chiniyake ukatokea mskiti wahuku duniani pacha wa ule msikiti wa mawingu akatokea mtu nisie mfaham akaanza kunitembeza tembeza ndani ya huo mskiti wa mawingu ukunikiwa na furaha ya ajabu sn niliamka naraha pia iyo siku naomba tafsili yake tafadhali nakuna seem tumepita kunakijimtaro kizuri kuna samaki wadogo warangi tofauti wanazunguka ndani ya maji
@ShijaKulwa-r2l
@ShijaKulwa-r2l 6 ай бұрын
Nimeota nalia sana mtu amekufa huku nikipiga kerere na kulitaja jina la mwenyez mungu
@joycemagana4756
@joycemagana4756 Жыл бұрын
Nime lia sana tena sana kwa uchungu wa maisha ninayo ya pitia naona juu mbinguni na muita Mungu hadi Nika zimia Watu Wana ni mwagia maji ili ni zinduke jamani nime lia sana haijawahi kutokea nasema juu ya maisha yangu
@joycemagana4756
@joycemagana4756 Жыл бұрын
Mimi nililia na muogopa Mungu na kumuonesha shida zangu hadi naangalia juu mbinguni naona milango ime funguka Kuna mtu amevaa nguo nyeupe mlangoni mimi huku nalia sana tena sana hadi nazimia kiufupi hiyo ya mwisho ndo niliota
@joycemagana4756
@joycemagana4756 Жыл бұрын
Namba 5 ndo nililia hadi naimba mapambio mengi ya uzuni
@annaswila8388
@annaswila8388 2 ай бұрын
Shekhar Mimi nimeota nalia alafu ataka kumwambia mama angu kinachoniliza lakini mama hataki kunisikiliza ananifoke ananipotezea nikajikuta Moyo unauma sana na sauti yangu haikuwa ukitoka
@lelasalum555
@lelasalum555 3 жыл бұрын
Asalam ghalykm shekhe mbon mim naona lkn naota nalia
@FatmaFatma-mm7dj
@FatmaFatma-mm7dj 3 жыл бұрын
Aslmu alykum...... Shekhe..:::: ukiota majinii alfu ndoto ikakatika ukaamka jee inamanisha nini..
@mamsmariam6670
@mamsmariam6670 3 жыл бұрын
Unapatikana wapi hapa dar
@sadickenock
@sadickenock 9 ай бұрын
nini maana ya njozi ukiota mtu wa kalibu yako amefariki
@MuniraIddi
@MuniraIddi 2 ай бұрын
Asalamu alaikum mm nikiota Bab yang amefarik Mara 3 kila nikiamchwa naot ten iv nikall tuon iv n haikuchukua muda akafarik n ilikua n maan gn hio ndoto
@lobahanadan4700
@lobahanadan4700 2 жыл бұрын
Ukiotea ama ku,amka ukiwa umepigwa jicho yacni feeling INA,amshaa na nikichinjwa na ku rukaa ni mbaya lkni naona kitu nikwa Niko tu pekee yangu na silali
@zinabzinabo8916
@zinabzinabo8916 3 жыл бұрын
Shkuran mm upenda kuliaa usingizini
@awaahassan936
@awaahassan936 3 жыл бұрын
Je ukiota unacheka sana
@rehemamumbi4693
@rehemamumbi4693 2 жыл бұрын
Niliota nine dunga bwana yangu kisu na hakutoa damu
@edithwanj4279
@edithwanj4279 2 жыл бұрын
Shalam aleikum"kuota mume wangu amembebwa na maji mengi ni nini hiyo?
@JumanneShingsha-ks4vb
@JumanneShingsha-ks4vb Жыл бұрын
Napenda sana kukuskilza ila tatzo unaongea sana neend kweny point moja Kwa moja unkuta umekula mb za bule bila kuelewa ulcho ongea
@ayesharamadhani3127
@ayesharamadhani3127 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@tuliagnes690
@tuliagnes690 3 жыл бұрын
Niliota niko na chari wangu wakitambo na tumeonga na ukachukua nguo yangu ya ndani akaifua na akaanika inche plz yamanisha nini
@swabrianwar1020
@swabrianwar1020 Жыл бұрын
aibu na siri zako anazieleza nje
@boyyotally1966
@boyyotally1966 2 жыл бұрын
Assalam aleykum ,naomba tafsiri ya njozi ya kuwa familia ndio wanaolia
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Жыл бұрын
Na ajibu mesege
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Mm juziniliota mamayangu mkubwa kafa basi nimeliasaana mpaka naamka machoziyamejaa machoni mpakanayafita😭😭😭
@jojonawatakiasimbushind9320
@jojonawatakiasimbushind9320 3 жыл бұрын
Juz nimeota nalia sana leo mchana napata taalifa ya msib wa mtot wa ndg yang
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
SubhanaAllah
@BihijjahMaitha
@BihijjahMaitha Жыл бұрын
Aslm alkm Mimi Niko na dadaangu ni mgonjwa na juzi nikaota amekufa hiyo inamaana gan
@zedynyunga738
@zedynyunga738 3 жыл бұрын
Saws
@ramshboy6218
@ramshboy6218 3 жыл бұрын
Mm nimemuota rafikiang ndo analia
@zedynyunga738
@zedynyunga738 3 жыл бұрын
Sawa
@hajatyyusphu334
@hajatyyusphu334 3 жыл бұрын
Sheihk mm nakua naota mme wangu anamwanamke mwingine Yani inajiludia Ludia
@sharonymwarabu4140
@sharonymwarabu4140 2 жыл бұрын
Una mshuku sn mmeo kuwa ana m.mke mwingine nje ndmn ndoto hukurudia rudia
@hajatyyusphu334
@hajatyyusphu334 2 жыл бұрын
@@sharonymwarabu4140 kweli sheihk
@nyotajada4263
@nyotajada4263 2 жыл бұрын
Je ukimuota ndugu yako amepigwa kipigo sana. Ameumia
@bibasulesh7866
@bibasulesh7866 3 жыл бұрын
Nami nilikuwa nikiziota sana ndoto za kulia tena kwa kwikwi ila saivi muda kidogo haijatokea
@Mamuu-uh7iu
@Mamuu-uh7iu Жыл бұрын
Asalam alykum shekh hamis, . samahani nilikuwa naomba uzungumzie ndoto inayohusu m2 kuibiwa pesa tena ameibiwa na m2 wake wa karibu akishirikiana na wenzake,,,,,
@happymrema7487
@happymrema7487 10 ай бұрын
Utapoteza mali zako chochot utakachokifanu hakitafanikiwa
@jumakachinjila9308
@jumakachinjila9308 3 жыл бұрын
Assalam alaykum je ukiota unatoka meno ndoto hii ina maana gan
@zainakapate330
@zainakapate330 3 жыл бұрын
Mimi niliota meno yametoka nililia sana cjw maana yake
@ramlakimaro5409
@ramlakimaro5409 Жыл бұрын
Mm niliota maiti ya mwanaume ametoka kuoshwa na kafinikwa blangeti langu jipya nilikua nimenunua
@AngelMmbaga-f3d
@AngelMmbaga-f3d 11 ай бұрын
Mimi niliota mtu ananipa taharifa ntakufa na mume wangu ata sikitika sana
@mwanahamicpeter1125
@mwanahamicpeter1125 3 жыл бұрын
Mm nimeota nimeona angan kuna waka moto mkal sana
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 3 жыл бұрын
walayka salam warahmatullah wabarakatu
@ashurazaidu5265
@ashurazaidu5265 3 жыл бұрын
Sheikh sasa ufumbuzi wake wanaolia na kua na manung'uniko au lawana
@jacksonjustinianmagezi
@jacksonjustinianmagezi 24 күн бұрын
Niliota nimekufa nikawa nalia
@mohdissa9125
@mohdissa9125 3 жыл бұрын
Nmemuota mume wangu amefaliki na ninalia sana na wakat sijaolewa
@ikulutv622
@ikulutv622 3 жыл бұрын
Km una mpenzi mahusiano yenu lazima yavunjike, na km una mme lazm ndoa ivujike. Na hyo huwa haikopeshi
@zenaal-baalawy3262
@zenaal-baalawy3262 3 жыл бұрын
@@ikulutv622 Hee!
@haikajohn7580
@haikajohn7580 3 жыл бұрын
Je,ukiota unacheka hadi unapaliwa namate?
@zaituniabdala
@zaituniabdala 7 ай бұрын
Sasa mimi nimeota nalia huku nikimtaja mjomba kua mjomba mbona unanifanyia ivo maana ake nini shekh
@aminasaidlilonga364
@aminasaidlilonga364 3 жыл бұрын
Na ukiota unapigana na mtu ina maana gani?
@nasraabdi1529
@nasraabdi1529 2 жыл бұрын
Ukiota unalia hlf unaongea maana yake nini
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Nishawi kuota nalia
@ayesharamadhani3127
@ayesharamadhani3127 2 жыл бұрын
Nikweli?
@mkemkwama2362
@mkemkwama2362 2 жыл бұрын
Mimi nikiota sikumbukii
@bintichausa4744
@bintichausa4744 3 жыл бұрын
Mmmh mimi Sina ndoto yenye sijaota 😆😆yarabbi nistiri mja wako
@chizikombo308
@chizikombo308 3 жыл бұрын
Mimi nimeota mama kafa nalia kweli alafu kwa ndoto naelezea mtu kumbe bado naota
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 3 жыл бұрын
Hata mm nilishaotaga hivyohivyo
@suleimanndotia7121
@suleimanndotia7121 3 жыл бұрын
Km alikuwa mgonjwa uyo mtu basi mungu atamponya uyo mtu
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 9 ай бұрын
Malanyingi huwa naota nalia nikiamka machozi yanatoka
@nancybungei9113
@nancybungei9113 2 жыл бұрын
Walai nliota nkilia na nilipoamka nilipata machozi machoni mwangu
@lilieneifu8912
@lilieneifu8912 3 жыл бұрын
Niliota nalia kuamkà nikajipata macho yangu yakiwa na machozi
@chizikombo308
@chizikombo308 3 жыл бұрын
Ustadh nikisave number yako sikuoni watsup niko na shida aky na hizi ndoto
@mwanaidmdoe5895
@mwanaidmdoe5895 3 жыл бұрын
Mm nimeota nimegombezwa na baba na nikalia sana nn maana yake
@stephanominja8927
@stephanominja8927 3 жыл бұрын
Duh!! Hii ya kulia na kuugulia ndio yangu iyo,,
@suzanfelix8065
@suzanfelix8065 3 жыл бұрын
@@stephanominja8927 ongea wew mi shamaliza
@stephanominja8927
@stephanominja8927 3 жыл бұрын
Pia huwa kuna siku zingine naota nna uwezo wa kupaa angani,, naweza paa angani kutoka mji mmoja na kwenda mji mwingine au mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine,, naomba kujua ikoje hii!?
@sdwe6426
@sdwe6426 3 жыл бұрын
Sheikh nakama mtu analala kisha mwenye ako na wewe kwa chumba ndiye anasikia we ukilia nn maana ya hiyo
@hawaramadhan6385
@hawaramadhan6385 3 жыл бұрын
yan uyu anataslili vingin na wengin wanataswili vingin ni mola tuuu ndo mpanga
@marthaadammakatobemwakatob4246
@marthaadammakatobemwakatob4246 Жыл бұрын
Amiina
@sdwe6426
@sdwe6426 3 жыл бұрын
AMA mtu kukuota ka unalia maana ni nin
@tabookali6726
@tabookali6726 3 жыл бұрын
Na ukiota ndoto ya kua na mimba na ikajirudia maana yake nn
@irenesikha7636
@irenesikha7636 3 жыл бұрын
Maana ake unayo iyo mimba au sio mda unaipata
@sarahomary3615
@sarahomary3615 3 жыл бұрын
@@irenesikha7636 mmmmmh na tunaota tuna watto wakati Ata Hao wanaume tupo nao mbali jeee
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 3 жыл бұрын
HIVI ELIMU HII YA KUTAFSIRI NDOTO INA MAFUNGAMANO GANI NA UISLAMU ?????? HII NI KAZI YA UKUHANI ( UGANGA WA KI DR. MANYAU NYAU )
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 3 жыл бұрын
@Mtanzania Halisi Sawa Mkuu Kwa Nabii Yusuf Inakuwa ni Ufunuo (Wahyi ) ILa Kwa Hawa Waliofungua Ofisi Maalum Za Kufasiri Ndoto Ki Ujumla Jumla Eti yeyote Akiota Hivi Basi Maana yake ni Hivi Hii Ilihitaji ithbaat Kutoka Katika Quran au Sunna Ukweli Ni Kwamba Unaweza Wewe Ukaota Ndoto na Mwingine Akaota Vivyo hivyo Lakini Maana Katika Tafsiri zikawa tofauti Yaani namaanisha Si KiLa Mfungwa Atakaeota Anakamua Ulevi Basi Tafsiri yake ni Kama ALivyosema Yusuf As Kwa Mktadha Huo Hawa Wafasiri Wa Ndoto Wa Digital hawa ( yaani Wa Mitandaoni ) Wengi Wao ni Makanjanja Kama Sio Wote
@rachelalex8160
@rachelalex8160 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 23 МЛН
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 96 МЛН
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
ALICHOKIFANYA  IBILISI BAADA YA KUFA NABII IDRISA //SHEIK OTHMAN MAALIM
19:50
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 249 М.
Ndoto Ukiiota Bahari Basi Jiandae Na Haya - Sheikh Khamis Suleyman
20:03
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 111 М.
WACHUNGUZE MAHASIDI WAKO TABIA HIZI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
55:59
arkas online tv
Рет қаралды 50 М.
TAFSIRI ZA NDOTO ZA KULIA / Imamu Mponda
11:11
Mponda Media
Рет қаралды 8 М.
HIZI NI DALILI KUBWA ZA KIAMA //SHEIKH OTHMAN MAaLIM
42:20
arkas online tv
Рет қаралды 64 М.
ndoto hizi ukiota utapata pesa na mali
27:00
NNC TV- new nuru cinema
Рет қаралды 375 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 23 МЛН