MASKINI TAARIFA NYINGINE MBAYA PUNDE YATUFIKIA KUHUSU WEMA SEPETU TUMUOMBEE

  Рет қаралды 276,842

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

Күн бұрын

Пікірлер: 282
@hiamali574
@hiamali574 4 жыл бұрын
Dada wema vuta Subira ipo siku Muombe mungu sana ishallaah mungu yupo usikate taama
@vailetmponji8548
@vailetmponji8548 5 жыл бұрын
Mungu yupo anatenda kanzi ndaniyako my dada utapona
@neemakatemi4056
@neemakatemi4056 5 жыл бұрын
Dada utazaa mungu yupo ndie kila kitu katika. Maisha yet omba mung
@goldenson1340
@goldenson1340 5 жыл бұрын
Pole sana Wema my dear hayo ni maneno tu ila Uzima wa milele ni wako kuna watu sasa kaz imekua yao kutumia nafas yako kutengeneza kiki hakuna jipya hapo Muamini Mungu tu ndo mshindi wa maisha yako
@haminahamisi8036
@haminahamisi8036 5 жыл бұрын
Pole my mungu atakusaidia tyu matatizo yako
@nemangowi1418
@nemangowi1418 5 жыл бұрын
Msikilize Mungu Wema achana na wanadamu
@sirlanka4455
@sirlanka4455 5 жыл бұрын
Wema dada'ngu pole Sana Allah yu nawe.,Usia wng kwko"Fanya yoooote ktk huu ulimwengu lkn USITHUBUTU kwnd kanisan au kuritadi(kutoka kwny uislam kwnd kwny ukristo/ukafiri) ukifa ujue ww ni motoni milele,Wakristo watatumia maneno mazr km kukupa pole au kukutetea kwa Jambo lolote baya ulilolitenda/utakalolitenda ili uwaone ni watu wazr kwko na hatimae uwafuate wakuingize kwny ukafiri na hiyo ndio SHABAHA yao kwko,NB:shirikiana nao lkn utahadhari nao wana mengi waliofch ktk nyoyo zao,pia fanya Istighfaar kwa Allah kwani milango ya Toba ipo wazi na Allah atakusamehe,lakini mh! dada'ngu mambo yko mbona yanachupa mipaka ya Allah nakusihi punguza au acha kabisa mambo yasiomridhisha Allah kumbuka wewe ni bint wa KIISLAM huoni km unautukansha uislam?,Nakupenda sn dada'ngu Wema nitfrh sn nikiona umebdlk na kufuata mfumo wa maisha tuliofndshw na mtume wetu Muhammad(swallallaahu 'alaihi wasallam).NB:iwapo DINI hujaisoma Mimi nko tyr kukufndsh bila malipo yoyote ktk kwko maana najua ntalpw na Allah hpa duniani na akhera
@anusiatalusambo5703
@anusiatalusambo5703 5 жыл бұрын
mungu akurehemu my sister ,amini hivo sawa Dada,
@angelmirindi2234
@angelmirindi2234 5 жыл бұрын
Pole sana mungu akupiganie "don't lose hopo God is the Good God he will fight for u I love u sister
@ndabarinzesamuel9333
@ndabarinzesamuel9333 5 жыл бұрын
Wewe si mtumishi wa mungu unamtumikiya shetani acha kudanganya watu.
@fatumaramadhan1690
@fatumaramadhan1690 5 жыл бұрын
Mungu akusaidie
@jellysmaarifa1172
@jellysmaarifa1172 5 жыл бұрын
fatuma Ramadhan Amina
@zainabukhalifa3967
@zainabukhalifa3967 5 жыл бұрын
acha zako mchungaji hadi sauti imekauka wema na mashekhe sasa ww wap na wap iyo kazi ya mungu sio yako
@rabeccashabani8785
@rabeccashabani8785 5 жыл бұрын
Pole Mamie Mungu atakusaidiya
@mbojemwajasi2321
@mbojemwajasi2321 5 жыл бұрын
Wema sepetu I as an individual admire and love you kitu kimoja hujatambua any beautfull woman in a human eye is an enemy God loves you and thats why he gave u that torch to be popular and people love and listen to u but know most of the time men are mostly a reason to our downfall sikiza Dada hakuna kile MTU yeyote yule atakae kuambia kuhusu mwanamume tulia Mungu anaona na kusukia kila ombi inshaallah atakupa alive na kheir na wewe your heart will tell you mbo ya mapenzi usikubali MTU au team wema whatever airport u have kukuelekeza kufanya au kukubali listen to ur heart and dear it never lies. Cheers keshi ushashinda MUngu anakupenda sana.
@evelynemathew9877
@evelynemathew9877 5 жыл бұрын
Yap c* wema ue hv 2 fight xo that ue can succed in ur lyf and don't care which people say tc me ley i real real love ue God is with ue forever and he will help ue nothng impossible under the sun
@aminaabdu1100
@aminaabdu1100 5 жыл бұрын
Mboje Mwajasi mmm
@alamoudy5894
@alamoudy5894 5 жыл бұрын
Mungu yuko pmj na ww dada yng usikate tamaa mungu hashindwi na chochote muombe mungu you pmj na ww
@kunjilnithomas9288
@kunjilnithomas9288 5 жыл бұрын
Fantastic
@mauwamjigija6329
@mauwamjigija6329 5 жыл бұрын
Pole mpendwa
@suleimanrahil4601
@suleimanrahil4601 5 жыл бұрын
Daaaa haya maneno ni kweli au munatupotezea GB zetu tu na muda wetu
@antishuu958
@antishuu958 5 жыл бұрын
mmmmhh pole sana tena umuombe msamaha mola tena hasa usk wa manane usipuuze na uache mambo yote mabaya Allah yupo pamoja na waja wake omba mungu ndugu
@eshaesha2571
@eshaesha2571 5 жыл бұрын
pole maadam
@fatumamkuzi4192
@fatumamkuzi4192 5 жыл бұрын
Pole mummy mungu atakusaidia
@frankmalimba5539
@frankmalimba5539 5 жыл бұрын
Wewe mchungaji mungu yupo atamponya
@mmaahsayyid1858
@mmaahsayyid1858 5 жыл бұрын
Pastor mmmmmmh mbna usimtahadharishe mapema
@AizackWay
@AizackWay 5 жыл бұрын
Huyo mchungaji ni kiazi mbatata mungu wake eti
@mwajuma65a
@mwajuma65a 5 жыл бұрын
Hivi kwa nin hwamwachi kuwachanganya watu? Wema na familia yake ni waislamu, wataamua kama kwa sheikh, kuomba wenyewe na kama wataamua kama wataenda kwa mchungaji
@ipyanamwambona4151
@ipyanamwambona4151 5 жыл бұрын
ampelekee Wema Neno la Mungu na sio maombi, acha kumchafua Mungu usije ukafa wewe badala ya Wema.
@astaqueen3979
@astaqueen3979 5 жыл бұрын
mashehe wako .mchungaji acha kutuchanganya mungu anamuona . wema usiikate tama .mung hakuna kinacho mshinda .
@anjunurdin2763
@anjunurdin2763 5 жыл бұрын
Kweli wema
@johnalubeya4812
@johnalubeya4812 5 жыл бұрын
Mungu Atamponya
@nacyluizer3734
@nacyluizer3734 5 жыл бұрын
Ndo hapo hao wachungany sijui wakoje,,,,,wanakera kakosa wakuombea huko mpka wema mxuuuuuu,,,,kwan mkiristu wema jamni
@rukiamatora331
@rukiamatora331 5 жыл бұрын
Mungu akusaidie dada angu pore
@romanregend2611
@romanregend2611 5 жыл бұрын
Kabisa kwa mungu akuna kinacho shindikana
@eneah.steven3331
@eneah.steven3331 5 жыл бұрын
pole kwake
@veromarengesi9941
@veromarengesi9941 5 жыл бұрын
Pole sana Na usikate tama mungu atakuponya my dear
@ayshaaysha9650
@ayshaaysha9650 5 жыл бұрын
MLUDIE MUNGU BAKI KUWA N.A. IMANI YAKO WE WE NIMUISLAAMU BAK KUWA MUISLAAMU MAMA YAKO BABA YAKO WOTE NI WAISLAAMU BAK UWISALIMUNI DEAR N.A. USIHOFU MUNGU YUPO DADA HAKUNA MAISHA YASIOKUWA N.A. MISUKO SUKO TUNANAKOOMBEA MWAYA DADA WAPO WANAOKUPENDA N.A. WAPO WASIOKUPENDA ILA USIHOFU MHUKUMU NIMUNGU TO NAMKOSEFU SIO WE WE TO MBONA WENGI SANA TUNAMUWASI ALAH KIKUBWA USIMTUPE ALAH LAKINI PIA USHAUR WANGU USIKUBALI WAKAKUBADILISHA DINI
@abdulsamadabdulkheir1652
@abdulsamadabdulkheir1652 5 жыл бұрын
Huyo anatakiwa arudi kwa mungu kwa makosa aliyoyafanya ili ajuwe kuwa kuna mungu sio kujiona kuwa yeye ni star
@halimahalili882
@halimahalili882 5 жыл бұрын
Dada wema pole sana mungu yupo utapona
@jasminntarambechannel
@jasminntarambechannel 5 жыл бұрын
bora afe akiwa ktk dini ake hyo n mitihan tu Jmn mungu antupatia
@luckybenladen6908
@luckybenladen6908 5 жыл бұрын
pole my
@kassimlimo9509
@kassimlimo9509 5 жыл бұрын
Na aendelee tu kumuasi mungu mjinga huyo
@0716-n4n
@0716-n4n 5 жыл бұрын
pole dada utapona
@christinenkirote5129
@christinenkirote5129 5 жыл бұрын
Get well soon sweet😘😘
@nurdinhassanamuly435
@nurdinhassanamuly435 5 жыл бұрын
Samtaimu Taarifa Zenu Munawazingua Watu Siyo Za Uhakika
@majaliwajob1808
@majaliwajob1808 5 жыл бұрын
Dada wema pole naumia sana kuona unatatzo ww jaman mung msimamie huyu mdada kwan kukosa raha yeye me naumia malatano yke
@oliviawagner6133
@oliviawagner6133 5 жыл бұрын
Oh oh oh wema pôle sana dada mungu yupo🙏🙏
@leticiaelias8059
@leticiaelias8059 5 жыл бұрын
Pole sana my
@rukiachaula4761
@rukiachaula4761 5 жыл бұрын
mungu in wawote acha kujigamba we wema Mdogo Wang mtumainie mungu kwan yy ashindwi na cho2te
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 5 жыл бұрын
wewe tafuta waumini kwa njia unayojua wewe sio kutumia jina la wema.kwanini afe !wewe ni Allah?muacheni wema atulie na akikaa vizuri mtu asijisifu eti yeye ndie kamuombea!ni Allah ndie atakaemtengeneza sio Binadamu.hao tunaojiita waombezi tujiombee wenyewe 😌
@jimmymarwamatjr491
@jimmymarwamatjr491 5 жыл бұрын
upuuzi mtupu. maskini bando langu
@emeryhastamanirambona1330
@emeryhastamanirambona1330 5 жыл бұрын
Wema God atakuponyesha usjali
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 5 жыл бұрын
Mungu wa wema yupo hai mchungaji acha kazi ya mungu
@sultanaswaleh8892
@sultanaswaleh8892 5 жыл бұрын
Ajabu ana mtabiria kifo wakati yeye roho take iko katika himaya ya Allah! Alive muumba yeye..hee ! Vituko..
@magdalenaezekiel8500
@magdalenaezekiel8500 5 жыл бұрын
kiukweli Dada wema nakupenda xana ila tabia zako tu huwa zinanichosha eb jilekebishe Dada jaman
@sharifambaruk9576
@sharifambaruk9576 5 жыл бұрын
Mungu ndiomwenye kumponya nasiowewe
@fatumafashiondesigner1461
@fatumafashiondesigner1461 5 жыл бұрын
Akufe Malaya sanaa
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Allah amsaidie ln Shaa Allah aache tabia tamaa abadilike awe bint mzuri hakuna mkamilifu. Ametubu muacheni atulize akili amekubali makosa.
@angelstacy7592
@angelstacy7592 5 жыл бұрын
Kweli daa umesema hki
@mlasiespe2049
@mlasiespe2049 5 жыл бұрын
mungu anaweza kufanya makuu kama wewe unaweza kuomba bila kutangaza kwa watu, una muahibisha hivyo, amekuwa mtu mzima.
@aisharehani1252
@aisharehani1252 5 жыл бұрын
asirei
@antonymenza9835
@antonymenza9835 5 жыл бұрын
Hana hekima ya kuongea huyo paster unajiabisha mtumish fanya kazi uliyo itiwa acha kujishobokesh ungeomba bc asiitishwe dhamna uliku wpi
@neemaissa5063
@neemaissa5063 5 жыл бұрын
Imani tu kwan wote twamtafuta mung huyu huyu mmoja utapona usijar wara nn
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 5 жыл бұрын
Sasa hyu mchungaji vipiii kwani kn mtu atakayebaki ktk hii duniya.. Kila mmoja atakufa n yy ikifika wkt wke atakufa hkn wa kuzuia...
@anusiatalusambo5703
@anusiatalusambo5703 5 жыл бұрын
na huyo mchungaji yeye ni nani Hadi ahukumu kifo??? acheni mungu ndo mwenye mamlaka yote
@princeesssalma9622
@princeesssalma9622 5 жыл бұрын
Huyo sio mchungaji nimganga huyo
@laittamnisi9802
@laittamnisi9802 5 жыл бұрын
uzalo wow
@yayesalim1714
@yayesalim1714 5 жыл бұрын
hio ni Adhabu ya Allah yuaidhalilisha dini
@tylerlizz2815
@tylerlizz2815 5 жыл бұрын
Wat is Allah now,,, only God is a living testimony
@zamzamifra7769
@zamzamifra7769 5 жыл бұрын
wema weka moyo yako kwa mungu si kwa mtu hiyo mchungaji ni binadamu kama we so acha kuogopa
@عايشهااا-ع2ه
@عايشهااا-ع2ه 5 жыл бұрын
Subhanallah
@nasrayahaya8698
@nasrayahaya8698 5 жыл бұрын
huo upumbavu kama kufa si afeee
@theresiasingano4484
@theresiasingano4484 5 жыл бұрын
Get well soon my dear
@marykangai4427
@marykangai4427 5 жыл бұрын
Pole Sana wema mungu hako nawewe ni m. K from Kenya
@rukiachaula4761
@rukiachaula4761 5 жыл бұрын
kaz ya uchungaji aikufai.anza kuuza karang
@aidansichalwe83
@aidansichalwe83 5 жыл бұрын
daaah rafk kipenzi mrudie mungu wako mama
@josephjohn8019
@josephjohn8019 5 жыл бұрын
wema quick recovery..
@lizzynkanabalaaasan6246
@lizzynkanabalaaasan6246 5 жыл бұрын
pole dada utapona tu mungu ndio kila kitu
@laymapeace4538
@laymapeace4538 5 жыл бұрын
mchungaji msenge sana wewe
@saidasaidisaida9230
@saidasaidisaida9230 5 жыл бұрын
Pole sana dadangu nimitihani lkn mungu yuko pamoja na ww usijali yataisha
@gloryvicent813
@gloryvicent813 5 жыл бұрын
Mungu atambadilisha
@uwamahoroemanneul4527
@uwamahoroemanneul4527 5 жыл бұрын
Pole wema utapona
@تكراانزانيا
@تكراانزانيا 5 жыл бұрын
Pesa zako zote zitakuwa zinaishia mahakamani kila sk sjawahi ona mtoto wa kiislam anae fanya uchafu hadharan huo ustaa ndo unakuchanganya
@aboutuppa2287
@aboutuppa2287 5 жыл бұрын
Omba mungu akupende ila asikupende zaid
@yaelvictor5809
@yaelvictor5809 5 жыл бұрын
Jamani bila wema hamna habari? Media mna bore
@mariamali1244
@mariamali1244 5 жыл бұрын
Wakati Wa manabii umekwisha asipotoshe watu wema amekosa na amekiri nahakika mungu atamsameha 7+70
@fauziakassim323
@fauziakassim323 5 жыл бұрын
Jamani rudi kwa Allah ww dada dah mitihan
@uwekezajitzno1
@uwekezajitzno1 5 жыл бұрын
Habar njema kwa wote wanao sumbuliwa na chunus sugu mikunjo yangoz naweus makwapan nasehem yoyote
@janesarah6711
@janesarah6711 5 жыл бұрын
Sasa Hiyo repot ya hali mbaya mbona huja sema we wataka na viewers na ma subscribers na ma comments 😡😡😡🥵👎👎👎
@mwatimaali1932
@mwatimaali1932 5 жыл бұрын
Pole sanaa wema mungu atakup afya njema usikate tamaaa by unguja
@colethalilungulu8747
@colethalilungulu8747 5 жыл бұрын
Maputo tu hayo
@birungihalimabigupguys1403
@birungihalimabigupguys1403 5 жыл бұрын
We still love you more than Allah is great
@zainabbahri4574
@zainabbahri4574 5 жыл бұрын
🤨🤨🤨
@ndaukanjello5274
@ndaukanjello5274 5 жыл бұрын
Mungu yu pamoja nanyi.
@margaretostwald6975
@margaretostwald6975 5 жыл бұрын
Armen. Mungu amlinde wema. Bado tunampenda sana!
@machubaby2328
@machubaby2328 5 жыл бұрын
Mchungaji hana ata aibu anaongopa peupe
@firdausabdullah6315
@firdausabdullah6315 5 жыл бұрын
Heri ufe na dini yako ya uislam kuliko huyo mchungaji halafu huyo pester akutaka aleteposa ila njia.haioni mbinja hizo.ataka Kia future hasband hukumbuka paster
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
Dini ya uislam si yawakosefu wa adabu samahani mwace akutane na Mungu wake
@nadimmebu9091
@nadimmebu9091 5 жыл бұрын
Bado aubili ana ongea vitu va kipumbavu
@Dallas304
@Dallas304 5 жыл бұрын
muislam akaombewa kanisani?
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
Iyo ni adhabu dunia na angoje adhabulqaburi
@shufaamasika5909
@shufaamasika5909 5 жыл бұрын
rudi kwenye dini dada.
@nzaromshana3580
@nzaromshana3580 5 жыл бұрын
W
@mahrooqsuleiman7216
@mahrooqsuleiman7216 5 жыл бұрын
Ntumie namba ya wema
@amosimushi2751
@amosimushi2751 5 жыл бұрын
A uyomalaya anatuhusunin ataukinipabure uyo pasta kashalalanay
@ramadhanenzimbali168
@ramadhanenzimbali168 5 жыл бұрын
amosi mushi duu
@khadijanyoni2457
@khadijanyoni2457 5 жыл бұрын
Msitutuchoshe na kubwa jinga kama ili lisilo kuwa na akili
@haithamabdalla3960
@haithamabdalla3960 5 жыл бұрын
Muachen wema wng jmn mungu anamsaidie uyo
@denisylukosy
@denisylukosy 5 жыл бұрын
Khadija Nyoni .
@agnessevarist499
@agnessevarist499 5 жыл бұрын
wasoma comment wenzangu mpoooo?!!!
@romanregend2611
@romanregend2611 5 жыл бұрын
This is not fair to wema sepetu
@rashidmasoud4083
@rashidmasoud4083 5 жыл бұрын
pole dawema
@sharifamfaume4083
@sharifamfaume4083 5 жыл бұрын
nanyie mnaotoa pole hamjitambui maana iko wazi kabisa humwi niuwongo sasa uyo mchungaji au maadili katumwa pumbavu zake afe tuone laana tu fyuuuuuuuuu
@nacyluizer3734
@nacyluizer3734 5 жыл бұрын
Yaan kanikera San huyo mchungaji mie sijui njaa inamsumbua
@beatricepaul6934
@beatricepaul6934 5 жыл бұрын
Kama wewe ni mwema au mtakatifu basi ubarikiwe
@zainabbahri4574
@zainabbahri4574 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@merrimerri799
@merrimerri799 5 жыл бұрын
kwahyo alimlazimishwa kumpiga mabusu
@bettymsani9737
@bettymsani9737 5 жыл бұрын
ET lile denda lakulazimishwa jaman wema alitaka mwenyew
@ayshaaysha9650
@ayshaaysha9650 5 жыл бұрын
MY DEAR USIJE KUBADILI DINI ETI KWAKUDANGANYWA N.A. WATU KUWA KUOKOKA NDIO SULUHISHO UKAIYACHA DINI YA KHAKI ETI KUOKOKA NDIO SUHULISHO
@makasittt16
@makasittt16 5 жыл бұрын
Yote kuminambili wema wewe n muisilamu msukumizie yote allah atakusaidia
@everlynemutuku4684
@everlynemutuku4684 5 жыл бұрын
ghai jamani!! eti usipo muombea atakufa????? jamani!! Oh Lord ave mercy!!!!!!🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 5 жыл бұрын
Nenda zako. Ni wema alopost alinyonywa midomo hamkumuona loooo ni yeye mwenyewe kabisa ni yeye. Yende zake
@regnandikivinge5326
@regnandikivinge5326 5 жыл бұрын
Chungaji hilo halina lolote, linatafuta kiki Kama sio kumpenda wema
@yustinasebastiani972
@yustinasebastiani972 5 жыл бұрын
mungu atakusaidia utapona
@celinemakokha6915
@celinemakokha6915 5 жыл бұрын
Wema I still love you na natarajia tuzo Tz sweet hat
@alimwamasumbo7535
@alimwamasumbo7535 5 жыл бұрын
Ma pastor nao pia wanatafuta kiki duh wa tz mna mambo,,ucjaribu kuingia church,,tafuta mashee wewe mtoto wa kiislamu eti,,,!!!!
@silazimaunijuwesilazima1051
@silazimaunijuwesilazima1051 5 жыл бұрын
Hata akiingia ni sawa kwani wema ana uislam gani ? Mlevi ni yy mtembea uchi ni yy hana haya mzinifu ni yy yuko sawa na wanaoingia kanisani sioni tafauti nao hana swala wala nn shenz huyu
@alimwamasumbo7535
@alimwamasumbo7535 5 жыл бұрын
Kweli lakini hapo umegonga ndipo hatuwezi mtetea huyu mshenzi kweli,,uchafu anaoufanya ni sawa asilimishwe tena tu coz hakuna tofauti na kafiri
@silazimaunijuwesilazima1051
@silazimaunijuwesilazima1051 5 жыл бұрын
Kabisaa kaka anauaibisha uislam mshenzi huyu sana
@alimwamasumbo7535
@alimwamasumbo7535 5 жыл бұрын
Yap
@mariakayuni5782
@mariakayuni5782 5 жыл бұрын
Nyooo uyo wenu tuuu looo eti hanatofauti na wanao enda kanisani kunakanisa gan latetea ujinga
@christabella5736
@christabella5736 5 жыл бұрын
Dhaaaaaaaaaaa
@zakiazakia4274
@zakiazakia4274 5 жыл бұрын
Kwel lkn
@aristidimassawe9870
@aristidimassawe9870 5 жыл бұрын
Usimhukumu mtu kwa matendo yake mwenyewe hujijui umemnyooshea wema kidole kimoja vitatu vinakurudia. Jitambue usie lazima ujulikane
@silazimaunijuwesilazima1051
@silazimaunijuwesilazima1051 5 жыл бұрын
Hana uislamu wema mlevi mbwa ni yy mzinifu mkubwa mtembea uchi ni yy hana kumsujudia mola wake yy pombe tu ndio lake kubwa
@hyungtae318
@hyungtae318 5 жыл бұрын
Pombe na bangi
@malkiabintmfalme8682
@malkiabintmfalme8682 5 жыл бұрын
Unaonekana wewe ni mkamilifu sanaeee
@nduwimanafatma9948
@nduwimanafatma9948 5 жыл бұрын
Usumuhukum mwenzio kwakuwa haujuwi mwishowe niwapi kwan allah ndio anaeongoza mtu usioni mwanzo mbaya allah anaweza akampa mwisho mwema na ww unajiona uk perfect ukawa na mwisho sio mzuri kwaiy muachie allah ndio anaejuwa zaid
@tiffahbby3697
@tiffahbby3697 5 жыл бұрын
@@nduwimanafatma9948 swadaqta ndugu yangu mie nawashangaa sana
@silazimaunijuwesilazima1051
@silazimaunijuwesilazima1051 5 жыл бұрын
Hatujamuhukumu ajihukumu yy mwenyewe kwa vitendo vyake vichafu vinavomuudhi Allah pakubwa
@qulthumameir7480
@qulthumameir7480 5 жыл бұрын
kwani wema asife yee nani ? simuombei mauti muislam mwenzangu but kufa ni haki ikiwa wamekufa mitume wa Mungu bsa wema yee nani ? na afe maana ht mama na baba yng hawapo na watoto zng nishazika wawili so who's wema by da way ?
@qulthumameir7480
@qulthumameir7480 5 жыл бұрын
@@shafyamiry6236 umeona enh
@rizikimwambusi4041
@rizikimwambusi4041 5 жыл бұрын
Wewe ni mwislamu Kweli, unatakiwa umuombee Sio kumuhukumu mtu. Hakuna a ajuae kesho.i awezekana hiyo fimbo nayosema inaweza ikawa ndio njia ya kurudi kwa mungu wake muhimu ni kumuombea. Ukamilifu ni WA mungu pekee
HOUSE GIRL EP 13  | S3 | Love Story 💕💞
23:00
BUSATI TV
Рет қаралды 6 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,8 МЛН
#52 - #MLAFI - #MAU MPEMBA - #FUMBUA MACHO
13:20
Mau Mpemba
Рет қаралды 15 М.