No video

Maswali 5 Ambayo Wanaume Hawapendi Kuulizwa Na Wanawake

  Рет қаралды 103,436

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 299
@davidkengambi491
@davidkengambi491 3 жыл бұрын
Kwa upande wangu ninaona hayo maswari hayana tatizo, yote ni maswari mazuri na ya muhimu ,ila mwanamke awe na lugha nzuri na hekima ajue namna ya kumuuliza mwenzi wake .
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 3 жыл бұрын
Umeonaeeh
@rahemaissa9867
@rahemaissa9867 3 жыл бұрын
Naaam
@avitusjovin
@avitusjovin 3 жыл бұрын
Ujakosea
@vanebichanga9466
@vanebichanga9466 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa kakangu.
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 9 ай бұрын
Umeongea
@mariamali1887
@mariamali1887 3 жыл бұрын
Hayo maswali ni mazuri na niromantick kumuuliza mume love inazidi. mie mume wangu anafurahi sana nikimuuliza hayo maneno. Ukiona mwanaume hapendi ni kuanzia miaka 29 kurudi chini bado hawajajua thamani ya mapenzi.
@anethlule4732
@anethlule4732 3 жыл бұрын
Tatizo la wanaume wa kiafrika ni hilo,kila kitu wanahisi wanatawaliwa ,sasa kukuuliza unanipenda kweli shida iko wapi ,na nikupikie nini,au uko wap nisimple kabisa ,,,,,,labda hili mbona mwenzako anagari we huna hili sawa ila hayo mengine hakuna kabisa ukiwa kama Mme wangu tegemea kuulizwa ukwapi ,utaki nikuulize nawewe usiniulize Niko wapi
@dicksonelisha7063
@dicksonelisha7063 3 жыл бұрын
Dada sasa kama kweri mumeo au mpenzi wako hakupendi si ungeshaona dalili yoyote yakutoswa jaman sasa mnapouliza swali kama hlo si maana yake unanikejer,yan mtu kafikia adi hatua ya kukuoa upo nae ndan et bdo unamuuliza et fulan UNANIPENDA!!!!!???
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 2 жыл бұрын
😃😃😃
@MbeteMaingu
@MbeteMaingu 3 жыл бұрын
Sioni swali la kukera hapo,kama mtu yuakupenda Kwa dhati haezi kereka hao wanao kereka huwa hawapendani,au Wana stress za maisha
@mumanyimulyowa8361
@mumanyimulyowa8361 3 жыл бұрын
OK kama unajua sometimes anakuwa na stress bas usimuulize hayo maswali yatam disturb zaid
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 3 жыл бұрын
That's true
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 3 жыл бұрын
Naona wengi mnasema hayakeri wanawake mpo hivi:kwanza kabisa eleweni hapo mwisho Mwalim anapo malizia nami na ongezea hapa 1 si kila mwanamke akikuuliza uko wapi itakukera hapa mwe makini sana tena sana a) namna ya uulizaji na namna ya utamkwaji wenyewe Kuna muda ukiulizwa uko wapi hadi unajisikia vizuri. Mwuwe na utofautisho namna ya kuuliza uko wapi kwa mmeo na uko wapi kwa rafiki yako na uko wapi ya mtoto wako Hapo ndio pana shida b) lengo la kuuliza lenyewe Wengi wenu mnauliza kwa kutokuwa amini waume zenu sasa wanaume kumbukeni tumeyajuwa mengi kuliko nyie kama mimi ukiniuliza tu nitajuwa namna ulivyo uliza tu una lengo gani ama umewaza nini juu yangu I} umehisi ninakucheat ii} ninamarafiki wabaya iii} nimekusahau iv} sina la muhimu Lakini pia nitaweza kujuwa kama unauliza kwa kujali na nitafurahi sana Swali lingine ambalo mmelishangaa pia ni UPIKENINI LEO? ipo hivii kuuliza kama kuuliza nipike nini si tatizo tatizo linakuja 1 umekuwa muulizaji sana kila siku a} hujali mazingira ya kuuliza muda mwingine sisi wanaume tumekuwa na mawazo mengi tu nawaza tupateje pesa ama tuongezeje kipato ili maisha ya familia zetu yazidi kung'ara Sasa tatizo linakuja unauliza hivyo mtu yupo katika hali ya kutafakari then anakutana na swali hilo yupo mawazoni kwa hali hiyo atakwazika Au yupo na wanaume wenzie wapo kujadili mambo ya kiume unapeleka swala la mboga mnatuvuruga. b} unakuwa kama hujishughulishi ndio maana unasubiri hata mboga wakuwazie nb nasisi tunapenda surprise zenu mezani. Ukiona wewe ni muulizaji sana mwue mnafanya hivi :- Ukifika sokoni ona kitu omba ushauri nikipika hiki na hiki si itakuwa poa pale ndio wanaume akili huchanganua kuna yes fanya hivyo au no fanya hivi na vile
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 3 жыл бұрын
Naona wengi mnasema hayakeri wanawake mpo hivi:kwanza kabisa eleweni hapo mwisho Mwalim anapo malizia nami na ongezea hapa 1 si kila mwanamke akikuuliza uko wapi itakukera hapa mwe makini sana tena sana a) namna ya uulizaji na namna ya utamkwaji wenyewe Kuna muda ukiulizwa uko wapi hadi unajisikia vizuri. Mwuwe na utofautisho namna ya kuuliza uko wapi kwa mmeo na uko wapi kwa rafiki yako na uko wapi ya mtoto wako Hapo ndio pana shida b) lengo la kuuliza lenyewe Wengi wenu mnauliza kwa kutokuwa amini waume zenu sasa wanaume kumbukeni tumeyajuwa mengi kuliko nyie kama mimi ukiniuliza tu nitajuwa namna ulivyo uliza tu una lengo gani ama umewaza nini juu yangu I} umehisi ninakucheat ii} ninamarafiki wabaya iii} nimekusahau iv} sina la muhimu Lakini pia nitaweza kujuwa kama unauliza kwa kujali na nitafurahi sana Swali lingine ambalo mmelishangaa pia ni UPIKENINI LEO? ipo hivii kuuliza kama kuuliza nipike nini si tatizo tatizo linakuja 1 umekuwa muulizaji sana kila siku a} hujali mazingira ya kuuliza muda mwingine sisi wanaume tumekuwa na mawazo mengi tu nawaza tupateje pesa ama tuongezeje kipato ili maisha ya familia zetu yazidi kung'ara Sasa tatizo linakuja unauliza hivyo mtu yupo katika hali ya kutafakari then anakutana na swali hilo yupo mawazoni kwa hali hiyo atakwazika Au yupo na wanaume wenzie wapo kujadili mambo ya kiume unapeleka swala la mboga mnatuvuruga. b} unakuwa kama hujishughulishi ndio maana unasubiri hata mboga wakuwazie nb nasisi tunapenda surprise zenu mezani. Ukiona wewe ni muulizaji sana mwue mnafanya hivi :- Ukifika sokoni ona kitu omba ushauri nikipika hiki na hiki si itakuwa poa pale ndio wanaume akili huchanganua kuna yes fanya hivyo au no fanya hiki na hicho, UNANIPENDA? Hili swali silipendi kupita maelezo mimi ukiniuliza nakupenda jibu langu huwa sikupendi ili akili ikukae sawa kwasababu kama ingelikuwa sikupendi nidingelikaa nawewe Kwanza hili swali hunichefua directly naanza kuwaza chapchap kuwa huenda umekutana na mwanaume mwingine a kakwambia anakupenda so unataka kukubari ila unaona yeye anakupenda kuliko mimi na unashindwa ufanyeje kwahiyo unataka kupata ushahidi wa kunisaliti kwasababu umeona anakupenda unataka kulwonea huruma Kwanza hichi kiswali mngekuwa msingekuwa mnakiuliza labda uwe umehisi tofauti au umemwona na mwanamke mwingine au umeona viashilia vya ushahidi wakuwa na mtu mwingine kwahiyo Hujaelewa unataka kujuwa au akuweke wazi. Kwanza kiswali chenyewe hiki husababisha usaliti sana ukishakuwa kama anakupenda unaona ahaa kumbe hata nikimpa mwingine hawezi ni acha kwa kunipenda huku.! Pia hata kama nimimi ukiniuliza naanza kuwaza kumbe juhudi zote hizi bado hajuwi kama nampenda Hee poteleapote kumbe haoni chochote hata nikipata mwingine mpya hatashangaa si tayari anayo wasiwasi
@egbertmachumu8552
@egbertmachumu8552 3 жыл бұрын
Hayo maswali yote ukiondoa la kwanza hayana tatizo. Tatizo liko kwa wanaume kuna mahali hawatimizi wajibu. Hivyo mwanamke anakuwa na kiu ya kuambiwa anapendwa, kujulishwa uko wapi, unafanya nini n.k. WANAUME TIMIZA WAJIBU.
@pulikisia7963
@pulikisia7963 3 жыл бұрын
Mimi ni mwanamke,maswali 3 ya kwanza nimeelewa and somehow ninaona yana mantiki, LAKINI hilo la mwisho sijaelewa shida yake ninini.Hilo ni swali la kawaida kabisa ambalo huwa tunauliza ili tujue wanapendelea kula nini zaidi au kipi hawapendi.Wanaume wengine kwenye vyakula wanamaswali yakukera pia,utakuta anakuuliza "Yaani kila siku ni chakula hikihiki tu"??Hivyo kuepukana na KERO yote hiyo inabidi nimuulize,aseme anachotaka.
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia Moja ya mazao ya Mwalimu Joel kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@fadhilikibanti3402
@fadhilikibanti3402 3 жыл бұрын
Asante bro... Mm naona maswali hayana shida, tatizo liko kwenye namna yanavyoulizwaa!!
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Sawa Fadhili
@aikahgerald1284
@aikahgerald1284 3 жыл бұрын
Sawa tumeee elewa tutakuwa makini sana
@charlesfaida1515
@charlesfaida1515 3 жыл бұрын
Asante Kaka,Hapo swali ambalo hubadilisha mudi yangu "Siku hizi hata hunipendi" linanifanya nifikilie maswal mengi Sana Kaka
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@abdallahjuma7516
@abdallahjuma7516 3 жыл бұрын
Kwa upande wangu naona kuna umuhimu wa kuuliza maswali kama hayo sema tu wanaume wanavoyachukulia ni kama tunawaletea udhaifu fulani au kuwashusha hadhi sababu mwanaume anapokuwa na wewe anajua yupo na wewe kwa sababu gani
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 3 жыл бұрын
Hakika nimefurahia sana hili somo,nashauri uongeze utafiti wa maswali gani wanawake hawapendi kuulizwa na wenzi wao.Hili limetusaidia wanawake hivyo na wanaume wanapaswa kujifunza kutowakera wanawake.Asante sana
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 3 жыл бұрын
Wanawake tunapenda kusifiwa sasa ukiona mwezi wako kajisahau haoneshi wajibu wake ndo maswali kama hayo huja na ili kumweka sawa huyo bwana ili moyo utulie, binafsi hatujiamini huwa tunahitaji tension
@salmaomar8612
@salmaomar8612 3 жыл бұрын
Kama sikupendi nakuchana tu kesi I aisha, asa unauliza nakupenda huamini kama nakupenda kweli au?!
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 3 жыл бұрын
It's normal to ask all those questions to each other as partners(husband&wife).Kama hutaki kuulizwa haina haja yakuwa na mpendwa.
@mosesmwingira3780
@mosesmwingira3780 3 жыл бұрын
We ni mwanamke ndo maana
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 3 жыл бұрын
@@mosesmwingira3780 haijalishi mimi nimwanamke,jamani embu wulizeni wenzetu wanaishi nchi zingine (e.g South Africa) kuulizwa maswali hayo it's normal .Nimejifunza mengi sana nchi za watu(I'm not good in swahili)
@rahimahaji4813
@rahimahaji4813 3 жыл бұрын
Kabisa mwaya, mijanadume ya kiafrika haijui kupendwa jaman,
@prosper4037
@prosper4037 3 жыл бұрын
Je unanipenda ni swal laajabu sana lakn....uko wap inategemeana anatumia lugha gan na swala lakumuuliza mpenz wako upo na nan kila wakat anamfanya mwanaume kuamini kuwa mkewe hamuamini koo sis wanaume tunacho kifanyaa kwasabb umesha juaa hauaminiwi nikutimiza tu iyo sifaa iwe kwelii maana mtu ata kam akuamini ata kuamini kabis zaid yakufanya tu nakutimiza iyoo sifaa
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 2 жыл бұрын
Hilo la chakula Labda matamshi yasiyo n muamsho.. Kuumuizs mpenzi wako unaendelea nn ule Leo mchana au jioni cyo mbaya NA yy ni binadam anatamani ale nn Labda ktk kutakamka NIKUPIKIE NINI LEO ❗ au UNAPENDELEA CHAKULA GANI NIKUANDALIE LEO💞
@davidchristopher5569
@davidchristopher5569 3 жыл бұрын
Hapo ukowapi,? Unafanya nini ? Na nan? Unarudi saa ngapi? Nipike nini? Mm huwa sijibu hata moja naweza jibu tofauti nisubiri nitakupigia hiyo mpaka nirudi na nikirud amesha pika nakula maisha yanaendele maswali yake ya mwanzo amesha sahau
@dreamerboy4956
@dreamerboy4956 3 жыл бұрын
Acha ubabe kwenye mapenzi wewe😂 utakula jeuri yako
@davidchristopher5569
@davidchristopher5569 3 жыл бұрын
@@dreamerboy4956 sio ubabe in style tu ya maisha na mwenzang hana noma yuko happy 9years now
@dianasengasi8427
@dianasengasi8427 3 жыл бұрын
Mm najua hawapendi lakini mtu unauliza kulingana na half halisi ya mtindo wa maisha kwa muda huo, inanibidi kuuliza tu!
@dorisndossi4734
@dorisndossi4734 3 жыл бұрын
Mwanaume usipomuliza kuhusu pesa anajisahau anatapanya alafu baadae inakuwa aibu ya mwanamke me sitaki kabisa aibu lazima aseme pesa anatumiaje na lazima tuandike matumiz apende asipende
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia Moja ya mazao ya Mwalimu Joel kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@abdulrazackkipingu5437
@abdulrazackkipingu5437 3 жыл бұрын
Hilo la mwisho mr.joel nimekua nikiulizwa Sana na mwanzoni nilikua naona kero kwakweli ila nikajifunza kuzoea mpakasasa kwangu Mimi naona ni Kama kitu chakawaida sijui kwa wengine
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@gracesamwel1338
@gracesamwel1338 3 жыл бұрын
Asante nimejifunza🙏
@selemanihussein5073
@selemanihussein5073 3 жыл бұрын
Hata mimi kuulizwa unanipenda kweli silipengagi hili swali nibasi tu.
@allymadizeli6930
@allymadizeli6930 3 жыл бұрын
100%hasa spendi kuulizwa etii upowapi, upo na nani , unarudii saa ngapi, nipike nn? Kiukweli ni maswali ambayo huwa yanapelekea kupata hixia za tofaut ghafra
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 жыл бұрын
Mimi sioni hivyo kama ni kero,bali hawapendi kuambiwa ukweli,huwezi muuliza mwanaume kitu hakina maana kwenu,ni lazima kuulizana ukweli, na ukweli ndo msingi imara wa mageuzi,sasa ukiona hapendi kuulizwa masuala muhimu basi ni kukwepa ukweli na kuficha madhaifu,mi sipendi,nilazima nitamuuliza hata kama atakwazika lakini nimemuuliza au kumwambia,siwezi jumuacha ajifiche katika kivuli cha uyoga mwisho wz siku ni mimi na yeye ndo tutajikuta tunaishi maisha ya kuvishana kilemba cha ukoka,yaani kufichana ukweli na kudanganyana,ukweli utabaki ukweli hata akichukia ni ukweki tu'
@salehali4saleh19
@salehali4saleh19 3 жыл бұрын
Swadakta kabisa mwalim Joel Arthur Nanauka hapo umetisha sana
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Lazima wa ulinzi mana kuna mijamaa vilaza na ndio moja ya upendo wa ukweli kwa mwanamke na anaekujali kama mtoto wake . Hataki uje uhangaike au kupoteza muelekeo au hataki uje ukereke kama kujenga .au kula apike chakula unachotaka mana akipika bila ya kukwambia mara unamsimanga chakula gani hich .kwa sisi WAZANZIBAR huku ndio tunataka wanawake kama hao mana ndio njia moja ya kufanikiwa kima isha kwa sababu anakushtuwa ujikaze
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia Moja ya mazao ya Mwalimu Joel kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@lovenessmasai2204
@lovenessmasai2204 3 жыл бұрын
Unajua bhana hayo maswali yanawakera wanaume wajinga na wanajijua si waaminifu na ndio maana hawapendi hayo maswali. Ila na sisi tunayauliza kwasababu unakuta mwanaume hayupo straight au kuna mabadiliko tumeyaona so lazima ufatilie kwa njia ya maswali ili ujue kinnachoendelea maana ukienda direct huna ushahidi,so unapouliza swali una keep record na haitakuwa mwisho utauliza tena ili kupata ulinganifu wa majibu na ndio utagundua upo na mtu wa aina gani. Kuhusu chakula kuna wanaume bhana ni complicated sana ukipika unachoona kinafaa yy anakuja kukuambia kwann hukupika kitu flan sasa inabidi uwe unamuuliza kwanza ili msikwazane. Swla la uko wapi mwanaume anapswa kujua aliyepo naye anahaki ya kujua alipo,hivi umeondoka toka asbh mpaka saa nne usiku hujarudi usiulizwe kwelii!!!??hili ni swala la upendo kujua mwenzio alipo na si kero,mbona hata yy akija tu nyumbani mwanamke hayupo anauliza uko wapi na anajibiwa na haikeri kujibu,why kwao iwe kero??? Ebu wabadilike na wakipendwa wapendeke,maana hata ukinyamaza atakereka tu. Tu ambalo hata mm silipendi ni kumfananisha mwanaume wangu na wengine hilo hata mm silipendi kabisa na la kwnn huna pesa ulizipeleka wapi na taarifa alishanipa hapo hatakaa anisikie kabisaaaaa,ila hayo mengine duuuh on board jmn.
@hamzaazizi5281
@hamzaazizi5281 3 жыл бұрын
Hilo swali La kwanza J linakera sana kulinganishwa na watu wengine kimafanikio asee inakata morali ya kipambana wakati mwingine unajihisi kama mkosaji matokeo yake unajichukia unahuzunika unaacha hata kile ulichokuwa umekianzisha matokeo yake unabaki huna kitu
@beatricejuma1098
@beatricejuma1098 3 жыл бұрын
Mume wangu hupenda kupika, yeye pia huniuliza kila mara, ungependa kula nini? Hili ni swali ambalo mwanamke hapaswi kuachiwa peke yake kila siku. Wanawake pia huchoka kufikiria ni chakula gani watapika, ndiposa huuliza waume wao wawasaidie. Sioni kama ni vizuri wanawaume wawachie wanawake peke yao huo mzigo, ni vyema kusaidiana.
@happynesskibona2679
@happynesskibona2679 3 жыл бұрын
Jamani si lazima akuhulize unapenda kula nn huo ni ushamba wa wanaume Sasa imekula kwenu
@tanzaniaannualconference4475
@tanzaniaannualconference4475 3 жыл бұрын
Hongera sana Mr. Joel be bless, maswali hayana shida huo ndio upendo wenyewe
@johnmbogo8729
@johnmbogo8729 3 жыл бұрын
Swali namba tatu limekuwa kero sana, asubuhi unamtamkia unampenda lakini jioni anakuuliza tena "unanipenda kweli" sasa sijajua ni kusahau au kutikisa kiberiti. By the way, ahsante sana kwa somo brother Joel Nanauka!
@gracejohn6232
@gracejohn6232 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 wanawake wanapenda kuskia
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Jaman wee kaka umnfanya nchke had bac maana umngusa ntajrekebsha
@rahimahaji4813
@rahimahaji4813 3 жыл бұрын
@@sarapaulo4718 sasa kwan shida iko wp, si watujibu tu turidhike ata km wanatudanganya
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
@@rahimahaji4813 hko nalo neno
@rahimahaji4813
@rahimahaji4813 3 жыл бұрын
@@sarapaulo4718 umeona eeen
@khadijamsoma7250
@khadijamsoma7250 3 жыл бұрын
Uko wapi dear nimuhimu sometimes unataka agiza kitu then akifika inakuwa late. Ile pesa yote umetumia hata sie wanawake hatupend. Chakula unataka kupika anachotamani
@nevagasmsamba5060
@nevagasmsamba5060 3 жыл бұрын
yani kama hilo la 'unanipenda' wakati bado ni mpenz wako hila nahisi kuna mambo unakuwa unaanza kuyafanya ambayo sio sahihi kwa mpenz wako hili huone kuwa na yeye anajua anahamua akuulize kwa namna nyingine hila ujumbe anahamin utakuwa umefika
@barnabazawadi5686
@barnabazawadi5686 2 жыл бұрын
Hilo swali la uko wapi, uko na nani...kwangu halinikeri....mwanamke kuniuliza kama bado nampenda, hilo pia haliniudhi...kama simwambii kuwa NAMPENDA mara kwa mara, lazima awe na shaka na mimi, hivyo ana haki ya kuuliza..swali hilo la kwanza la kulinganishwa na wengine, ndio linaweza kunikera zaidi.. hayo mengine sina shida nayo...
@editadaffi8706
@editadaffi8706 3 жыл бұрын
Ahsante pia nashukuru Kuna vitu nimejifunza
@ikirezijose5741
@ikirezijose5741 3 жыл бұрын
Na hayo maswali yote ndiyo wanawake sisi tunapenda sana kuwauliza,,
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@latifahjanja6679
@latifahjanja6679 3 жыл бұрын
Ni kweli hayo maswali ndo hua wanachukia wanaume wakiulizwa lkn sisi wanawake hatuoni kama kuna shida yoyote endapo utamuuliza mtu wako ilo swali tena akikujibu na kaamani ka moyo kanakuja ila sijui kwann wanaume wanachukia wkt ni vitu vya kawaida tuu kwa mfno ukimuuliza mpenz wako unanipenda sio ajui kama umpendi ila kajiskia kukuliza tuu na ukimjibu hua anafurahi moyoni lkn inawezekana pia mwanaume kutokumwambia mara kwa mara mkewe au mpenz wake kua anampenda ndio maan na yeye akaamua ajiulizie UNANIPENDA
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia Moja ya mazao ya Mwalimu Joel kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@annambogela5442
@annambogela5442 3 жыл бұрын
Usemayo yanafundisha barikiwa sana
@khalifawapili1799
@khalifawapili1799 3 жыл бұрын
Mimi Kama mimi mwanamke akiniuliza ,unanipenda,uko wap, tupike nini leo, siwezi kuchukia coz najua ni majibu ni simple sana kama akiniuliza ,unanipenda ? Nafunguka tu aisee nakupenda kuliko kitu chochote, Na akiniuliza uko wap ,namjibu tu nilipo kuwa, Na akiniuliza nipike nini leo, Mi najua yeye ni mke wangu na anapika vingi so namjibu tu Katika vyakula unavyopika hakuna kibaya ila kwa leo ningependelea upike chakula flani au wewe unaonaje ila hayo mengine daaah yatanikasilisha kwa kweli
@ney7c479
@ney7c479 3 жыл бұрын
Kwenye swali la tatu hapo... Me sioni kama lina shida kwa sababu kuna wakati mwanamke unatamani mume wako akuambie anakupenda alf hakuambii hvyo unamuliza tu angalau umsikie akikuAmbia anakupenda
@doreneliar8998
@doreneliar8998 3 жыл бұрын
Kuna wanaume wengine wanapenda kuuliza hayo maswali sio wanawke2 wanao uliza bal nawanaume
@reginamkuti7615
@reginamkuti7615 2 жыл бұрын
Hayo yanawakera wanaume ambao hawajajua nafasi ya wake zao au wapenzi wao kwao
@baetricemwakyusa2495
@baetricemwakyusa2495 3 жыл бұрын
Kaka asant san uko vzr mm nilikuw cjawah kusikiliza vipind vyako ndileo mm mfano huwa namuuliza mwenz wang nipik nn kwasababu moja tu mara nying nimekuw nikipik bila kumuuliza hali hichoo chakula au anagusa kidogo anaacha ananiambia cna ham na hik chakula sasa ili kuepuka mm kukasilika bora nimuulize maan nimbay sana umuandalie mtu chakula kwa umakin zen hali hicho chakula duuu inakela sana
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 3 жыл бұрын
Wanawake wanapaswa kufahamu kama kitu kinamkera mwenzio basi si busara kuendelea kukifanya/kukiuliza. Otherwise wabadili ile namna yakuuliza lkn muktadha wa swali ubaki palepale
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@williamkimolo7482
@williamkimolo7482 3 жыл бұрын
Maswali ya kipelelezi ya uko wap ,uko na nani? , nokupikie mboga gan ...... halooo siyapendi kinoma yaan
@merykabogo7636
@merykabogo7636 3 жыл бұрын
Sipendi kuulizwaa nko wapii!!!
@bernardedimund3026
@bernardedimund3026 3 жыл бұрын
Yote siyapendi kabisa Joel
@aminasmart1230
@aminasmart1230 2 жыл бұрын
Thanks alot we learn something so important 🌷
@fatumanassir3085
@fatumanassir3085 Жыл бұрын
Mi naona ni maswali ya kawaida tu but mjue,akili ni nywele kila mtu ana zake...apo ndipo tunatofautiana
@graced1667
@graced1667 3 жыл бұрын
Naona wanawake wanauliza kwasababu wanataka kua na security (ku feel secured).
@moshinurse814
@moshinurse814 3 жыл бұрын
Kabisa prisila yani ukiona mpo pamoja na mwanamke anauliza ujue anatafuta ulinzi na wakati mwingine anauliza kwakua kuna kitu ameona anahisi upendo umepungua haulizi bila sababu
@leonardmargreth9807
@leonardmargreth9807 3 жыл бұрын
Nimefurahia somo
@kharidmushangan3320
@kharidmushangan3320 3 жыл бұрын
hayo maswal yote namuuliza sana mwenza wangu lakin naangalia yupo ktk mudi gani ,swala la uko wap aisee kila siku lazm niuliz ma lazm anijib hat km atadangany lakin anajib kwa busara
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 3 жыл бұрын
Wanapenda sana wanaume kukupa mambo jambo dogo atalifanya liwe kubwa
@davidchristopher5569
@davidchristopher5569 3 жыл бұрын
Mm sometimes naona bora uwe na simu mbili ya biashara na ya nyumbani nikitoka naacha ya nyumbani maksudi akipiga au aki nitext ataisikia hapo hapo sitak kuvurugwa
@fadhilikibanti3402
@fadhilikibanti3402 3 жыл бұрын
Hahaha
@Winner_Maggie88
@Winner_Maggie88 3 жыл бұрын
😆😆😆
@zukrabuethi5068
@zukrabuethi5068 3 жыл бұрын
Je unatamani kupata fursa ya biashara ya karne ya 21? . Karne ya 21 tuliopo ipo katika uchumi wa Connected economy, Je unatamani nawe kufanikiwa au kutengeneza kipato endelevu? . Tengeneza tabia mpya na kipato endelevu WhatsApp number 0683138300 . Nikupe elimu, tuma neno 'kipato endelevu' WhatsApp number 0683138300 nikuonyeshe. . Tumetoka uchumi wa viwada tupo uchumi wa Connected economy.
@josephsuma1201
@josephsuma1201 3 жыл бұрын
Hapana maswali yao yapo sahihi sana isipokuwa uwakilishi wa muulizo
@christinaernest2791
@christinaernest2791 3 жыл бұрын
Napenda kuuliza ,, kuhusumaendeleo ilinijuewap anakwamatujipangezaid au kumpongeza kwamatumizbora, chakulanapenda kumpanafasi nafsiyakeinapenda kamavilemm kunawakat namwambia nahamukulakitufulani,
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 3 жыл бұрын
Mie sijawai kuwaza kama yana mkera ila itabidi nimulize mpenzi wangu 😂😂😂maana iyo uko wapi Upo na nani Unafanya nini 😂😂sihishi kumuliza
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 3 жыл бұрын
Hayo maswali mimi kiupande wangu naona kama ni moja ya mapenz 😃 sasa sijui wanaume huwa wanafikiria nini
@hamidaa3886
@hamidaa3886 3 жыл бұрын
Nikweli yanakero Asante kwa ukumbusho
@jeofreykasenene-6021
@jeofreykasenene-6021 Жыл бұрын
Yaaan in kwel kabisa....hata Mimi asilimia karibu 90 kwangu naona ndo uhalisia
@brigittecelestine4116
@brigittecelestine4116 3 жыл бұрын
Me napomuuliza yupo wap nakua namaana yangu si kila jambo lakuzungumuza kila maahali mfano nataka kumuomba ushauri hivo akinijibu nipo home nimetulia hapo naweza ongea nae pia mpaka nauliza hiv unanipenda niile unakuta mtu yupo busy sana hakutafuti siku zima anafanya mambo yake hiyo inakuletea shauku yakuuliza coz ukikaaa kimya utajiumiza na jibu lake litakusaidia.
@magdalenaselestinmbawala9373
@magdalenaselestinmbawala9373 3 жыл бұрын
Napendaga sana kumuuliza mtu yoyote yule atakae nipigia cm au nikimpigia swali lakwaza kabisa ukowapi nina shemeji yangu apendi
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 3 жыл бұрын
Hapo kwenye uko wapi mi hata bila kuuliza uko wapi yy mwenyewe anasema kwamba nipo sehemu fulan ama nipo kwenye gari naenda job au km ni jion au usiku atasema ndio narudi job au ndio najiandaa kutoka job ni rahisi tu mbona sasa kumuuliza tupike nini c ni upendo tu mtu ataaka kujua labda kuna chakula utapendekeza kula kwa siku hio unatamani chakula hicho
@dorisndossi4734
@dorisndossi4734 3 жыл бұрын
Swali la ile ela yote imeenda wapi nitaliuliza siku zote akasirike tu hamna namna 😎
@martinnsuhuje7821
@martinnsuhuje7821 3 жыл бұрын
Hahaaa
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@mawaidhaduaquran7702
@mawaidhaduaquran7702 3 жыл бұрын
😂 😂 😂 Kwakwel haiwezekan mtu atumie tu hela rafu halaf nisiulize ilikoenda
@rahimahaji4813
@rahimahaji4813 3 жыл бұрын
@@mawaidhaduaquran7702 kabisa mwaya, nitakuuliza tu, ww ata ukipasuka ha haha
@maggiecalvin6765
@maggiecalvin6765 3 жыл бұрын
Kama wanawake hua tunajali sana wapenzi wetu kulko kitu chochote kile na unapata wanawake wengi hufanya juu chini ili kumfuraisha mwanamme wake na wkt ule ule anataka kujua kama upo safe ama kitu gani u nafnya kwa muda huo kwa hio mwanaume kama ukiulzwa uko wap unakereka io ni moja wapo ya kumfanya mwanamke awe na mpango wa kando
@ossolil753
@ossolil753 2 жыл бұрын
Sipendi kuulizwa uko wapi,coz sijui wewe pia uko wapi, na unafanya nini na uko na nani.
@azizaisack2572
@azizaisack2572 3 жыл бұрын
So wao tu hawapendi hta ss wanawake pia hatupend hayo mambo asee mm ukitak tugombne niulize hayo maswali
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 3 жыл бұрын
Siku ukiolewa nipigie simu Aziza😂
@noahfilimoni4703
@noahfilimoni4703 3 жыл бұрын
Binafsi niseme maswari yote ni ya mhimu kuulizwa nahisi kinachokera siyo maswari yenyewe ila jinsi au namna yanavyo ulizwa yanachochea ghabu . Mfano unaulizwa HIVI NA WEWE NI MWANAUME? Aise unaweza jikuta ushaanza kushusha kipigo kwa jinsi swali lilivyo ulizwa.
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia Moja ya mazao ya Mwalimu Joel kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@amarislam1589
@amarislam1589 3 жыл бұрын
Mimi swali ambalo lanikera sanaaa ni pale girl friend wangu anajua kabisa nitamuowa halafu mara kwa mara huniuliza una nia gani na mimi?
@aishakhmohammed7995
@aishakhmohammed7995 3 жыл бұрын
Hahhaha mbav zng
@amarislam1589
@amarislam1589 3 жыл бұрын
🤣🤣
@mariajoseph9735
@mariajoseph9735 3 жыл бұрын
😀😀😀tatizo muda
@rahimahaji4813
@rahimahaji4813 3 жыл бұрын
Tatizo umezowea kutudanganya, so mshatufanya tuwe na shida ya kutoamin
@dilgentmmbaga8516
@dilgentmmbaga8516 3 жыл бұрын
Swali la ajabu kabisa ni je unanipenda??😅 Maswali mazuri sana kwa kukera.
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@amanibrand9354
@amanibrand9354 3 жыл бұрын
Mahusiano ambayo yanadumu kwa mda mrefu huwaje
@devothabernard1570
@devothabernard1570 2 жыл бұрын
Unajua mpaka maswali hayo yanakuwepo ni kwamba natamani nikipika nione mume wangu anakula na anafurahia ndo maana unauliza mpenzi ungetamani Kula nini Leo ili afurahie chakula kuliko unapika kinafika mezani anasema hichi nini Sasa Leo kimepikwa
@rolandpaul9465
@rolandpaul9465 3 жыл бұрын
Hayo ni maswali ambayo sipendi kuulizwa. Pia maswali mengine ni kama:- 1) mbona umechelewa kupokea simu yangu? 2) mbona haufurahii vitu/mambo ninavyopenda? 3) Leo utarudi saa ngapi? 4)Mbona kama ninasikia sauti (maongezi kupitia simu) za wanawake hapo pembeni yako? 5)Mbona haunipendi kama ulivyokuwa unanipenda zamani ? Hayo ni baadhi tu. @Joel Nanauka
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia Moja ya mazao ya Mwalimu Joel kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@naomitamazo5672
@naomitamazo5672 3 жыл бұрын
God bless u
@adelinakyelyana2712
@adelinakyelyana2712 3 жыл бұрын
Nilikuwa sijui kama yanawakela maana nilishauliza mpenz wangu swali namba tatu reaction yake alonipa leo ndo nimejua
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Yana kera xana kwa kweli hayo , ila kuna mengine yana maana lakin mengine m kwangu naona hayana maana.
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@ballkissymubarak9416
@ballkissymubarak9416 3 жыл бұрын
Ni kweli hawapendi kuulizwa maswali lkn hayoo maswali huenda yakazua mazito ya kuchukiwa au kudhaniwa vibaya kwa mfano hilo je unanipenda kwani wanawake kisaikolojia ndani ya dakika NNE wanapoteza kumbukumbu ya kujiamin kama anapendwa ndio maana auza ili awe na uhakika wa hilo jengine aona wengi huko aendako kwani wanaume wameumbiwa kupenda sanaaa
@buchorinichoraus6748
@buchorinichoraus6748 3 жыл бұрын
True hua kweli sipendi maswali hayo
@evastesheni8024
@evastesheni8024 3 жыл бұрын
hongera kwa utafiti mzuri nimejifunza
@moshinurse814
@moshinurse814 3 жыл бұрын
Mimi kwakweli kuuliza yupo wapi ni lazima ili kupata amani ya moyo kwa ninaempenda pia kuhusu chakula siwezi ulizana na dada wa kazi au watt wakati mume yupo pengine kuna kitu anatamani kula siku hiyo nitajuaje nisipomuuliza
@abdulhamidussimakame1694
@abdulhamidussimakame1694 3 жыл бұрын
Da yani hta mm niliwah kuulizwa na x wng kwa nn ww hna smart fhone kma wenzio
@kharithcandrellah2979
@kharithcandrellah2979 3 жыл бұрын
Kuulizwa tupike nn wakt majukum hayo mimemuachia yy huag namuangaliaa n siongei kitu tyr mwenyewe anajua cha kupik lkn najiuliza kw nn x nyingi anANIULIZA HAACHI N ANAJUA KUA SIPENDI
@aishafeysal9630
@aishafeysal9630 3 жыл бұрын
Anauliza ivyo ili askie unapenda kulanini ili akupikie sio kwa ubaya
@kharithcandrellah2979
@kharithcandrellah2979 3 жыл бұрын
Najua kua sio kw ubaya ananiuliza ivo ila anajua kua sipendi nikitaka ck chakula ambacho najiskia namuambia mapem san
@rahimahaji4813
@rahimahaji4813 3 жыл бұрын
@@kharithcandrellah2979 jaman wanaume mnamatatizo nyny, ukiulizwa na hawara unajibu kwa bashasha km zote. UKIJA LEO NIKUANDALIE NN, ila ulizwa na mkeo hebu tupen upendo tuwape mahaba vile, akaa MMEZID WANAUME LOOO
@denissanga454
@denissanga454 3 жыл бұрын
ni kwel kabsa
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Ай бұрын
Somo zuri Sana coach
@tricewilly5021
@tricewilly5021 3 жыл бұрын
Au suala la nini apikiwe mbona ni zuri tu,cz waweza jitutumua kupika chochote halafu asile au aseme hiki ckipendagi so huwa tunataka tu kufanya kitu kwa uhakika ili kukwepa kukwazana..so Mungu awasaidie wanaume jmn jitahidini basi kutuelewa japo kdogo,cz kabla ya ndoa sote tulikuwa bachelors so changamoto ni zile zile tu
@bestcakes7098
@bestcakes7098 3 жыл бұрын
Naona mambo mengine yapo na upande wetu wanawake
@japhetgabriel5138
@japhetgabriel5138 3 жыл бұрын
Habar shida unakuja unapomjibu apike nin anaemia kubishi na kutoa maelekezo ya chakula kingine sasa inakuwa kwa nn uliniuliza uku unajua kuna chakula unataka inakuwa usumbufu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 жыл бұрын
tatizo wanaume ni wababe,maswali muhimu yanayo ulizwa yanamsingi na huyakwepa ndo maana hawataki kuulizwa,lakini mbona wao wanamaswali ya kipuuzi kwa wanawake zao na yanakera tu,kama swali mtu anaukuuliza unanipenda ukiona kero basi humpendi mwenzio,vivyo hivyo mwanaume akimuuliza mwenzi wake asipojibu huona hapendwi
@Dullah257
@Dullah257 3 жыл бұрын
Asante sana kaka joel,mimi swali sipendi kuulizwa na mwanaume katika mahusiono yetu ni "je unanipenda?"
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
😄😄 bonyeza hii link kaangalie hii video then nambie umejifunza nini pia kzbin.info/www/bejne/laeqpmeiZrKig9k
@reyb2006
@reyb2006 2 жыл бұрын
Hapo kwa unanipenda kuna wanaume hawajui kupenzika Yaan hawako romantic toka wanazaliwa familia zinachangia
@shakiraally6380
@shakiraally6380 3 жыл бұрын
Hapo kwenye kupika wengne wanachagua chakula vingine hawapend jaman
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
Hilo swali la kwanza lazima mwanaume akasirike lakini hayo maswali mengone nimoja ya kumjali mtu ndio maana unahitaji kujua kinachoendelea sasa itabidi nimuulize kama na yy nimiongoni mwa wasio penda hayo maswali
@samuellacecille717
@samuellacecille717 3 жыл бұрын
Maswali yate ni mazuri lakn siwezi kumuuliza Mme wangu et mbona ww Huna pesa cjui gari wenzio wamepata ulikuwa wapi kwakweli siwezi kumuuliza hicho kitu
@huldakitururu3985
@huldakitururu3985 3 жыл бұрын
Kama unaona mtu linamkera upendo umepowa
@matawamediatv5802
@matawamediatv5802 3 жыл бұрын
mbn hay maswar hayana shda xema kaur ty labda
@alshakizmwongesh8624
@alshakizmwongesh8624 3 жыл бұрын
@@matawamediatv5802 yategemea na vle umeuliza, wajua kuna ile njia unaweza uliza mume/mke akashangaa,
@ayubukhamis8673
@ayubukhamis8673 3 жыл бұрын
Anh mi naon katika maswal yote hayo kwangu mim maswali ma3 yamwisho hayanashida tena ningependa aniulize sana2.
@deogratiasassey6872
@deogratiasassey6872 3 жыл бұрын
Mm swali linalo nikera ni kuulizwa uko wapi unafanya nini uko nanani alafu lingine unanipenda kweli kingine nipike nini leo ase haya mambo yananikera hatari
@eliudjoachm6041
@eliudjoachm6041 3 жыл бұрын
In general kuulizwa ulizwa maswali inaboa knoma, n vzr kujiongeza na kujua mda sahihi wa kuuliza maswali.
@DarDigital_5
@DarDigital_5 Жыл бұрын
🎉 300
@tricewilly5021
@tricewilly5021 3 жыл бұрын
Sioni shida kwenye hayo ila tu baadhi yake,kama mtu kuuliza kama mwenzi anampenda ni kwasababu amelack kuambiwa anapendwa jitahidini kuwa romantic jmn
@hendrypeter1925
@hendrypeter1925 3 жыл бұрын
Nipike nn leo pika mbwaaa
@dreamerboy4956
@dreamerboy4956 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 4,7 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 49 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 87 МЛН
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,6 МЛН
Aina 9 Za Wanawake Watata
13:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
Wanaume Wanaokimbiwa na Wanawake - Joel Nanauka
10:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 70 М.
KILA SIKU JIAMBIE MANENO HAYA - JOEL NANAUKA
7:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 110 М.
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 155 М.
MAMBO YA KUEPUKA ASUBUHI - JOEL NANAUKA
6:35
Joel Nanauka
Рет қаралды 114 М.
Siri ya kuwa mtu wa tofauti
5:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 189 М.
Wajue Maadui 4 Kwenye Maisha Yako
7:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 143 М.
Dr. Chachu: Kwanini wanawake wanapenda wanaume warefu!
13:15
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 12 М.
Why is anti-immigration sentiment on the rise in Canada?
13:00
The Guardian
Рет қаралды 1,8 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН