Learning to say No....here is where my challenge is... and I need to work on it.... you know what Brother? Sometimes I fail to say no for avoiding what people will talk about me behind..... that I don't care... That I have no sympathy ... that I am not social oriented person... But for the purpose of 2019... today I have learned something... Learning to say no and value my time.... I think this will increase my potentiality... Thanks so much brother Joel... and May God bless you #See you at the top
@kulwaloketa64135 жыл бұрын
Thankyou so much Nanauka,,Focus,, determination!!..
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@joelnanauka5 жыл бұрын
@@kulwaloketa6413 #SeeYouAtTheTop
@SunsetHunter45265 жыл бұрын
Tatizo kubwa sana hili mkuuu
@ruthmoses6565 Жыл бұрын
Kwakwel nimejifunza kitu kikubwa sana namwomba Mungu anipe wepes WA kuweza kuyafanyia kazi haya be blessed kakaangu uishi sana
@judithmbwilo74705 жыл бұрын
Brother mbinu zote ni nzuri sana, nitazifanyia kazi moja baada ya nyingine, asante sana na MUNGU akubariki sana!
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@MarcoPeter-y5n3 ай бұрын
Asante sana MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki Sana
@komboomar82755 жыл бұрын
Mwanafunzi wa kwanza leo nimetua darasani na kujifunza thanks mwalimu. Hapo kwenye muda ndio tunapoteza kweli kweli
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@edwardgodfrey62835 жыл бұрын
Mbinu yakwanza kwangu nikufanya vitu ndani yampangilio wa muda sahihi nasio kufanya kilakitu kinachopita mbele ya macho yangu.Pia nimejifunza uthamani wa mtu ukondani ya mudawake sahihi.Asante kwa Somo zuri na Mungu akibariki
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@bonzo30475 жыл бұрын
batching
@PascalHermas-gg5dx2 ай бұрын
@@joelnanauka kaka naomba namba zako
@mwachumkhamis63605 жыл бұрын
Shukran kaka Joel Nanauka. Mm niko pamoja na ww kaka haujawahi kukosea kila siku nazidi kujivunia vitu vipya kutoka kwako.. Kanuni zote 7 nitazifanyia kazi ipaswavyo kama ulivo tuelekeza. Allah akupe umri mrefu wenye neema tele. 😘😘
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@MosesFikiriIbrahimu4 ай бұрын
Ameni sana Hongera kwa Masomo Manzuri Sana Nashukuru Sana Maana leo nimepata Jambo la TOFAUTI sana
@mwambauliohai50435 жыл бұрын
akili yangu kusema hapana kwenye kitu ambacho Niko nje ya malengo,hiyo naanza Kupoteza muda kwenye simu badala kutumia kwenye malengo ya muhimu hiyo naanza.kama vyote vimenigusa kwenye Gari kujibweteka tu hiyo ninayo najirekebisha thanks My teacher Joel
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@joycedamares90855 жыл бұрын
Asante I'm the kind of person sijui kutumia mda wangu ila kuanzia ss nimebadilika.Nitapataje kitabu chako cha timaza malengo yako.
@danielkwilemba47155 жыл бұрын
Asante zote ni nzuri ! Ninakuangalia toka Zanzibar.... napenda mafundisho yako...maranyingi kila asubuhi Baada ya kusoma biblia na maombi huwa naangalia vipindi vyako na vimenikuwa vya baraka sana Ninaomba uniunganishe kwenye whatsapp group yako.
@anitucciamuvurwaneza85794 жыл бұрын
Samaani jamani niitaji Num ya watsap ajili nikuwe napata mafundisho ya Nplz
@emmyfurenho16635 жыл бұрын
Aiseeee kuanzia nw ntasema No.. Ctak kupoteza muda Wang Teeeeeenaa... Ubarikiwe brooo
@frankonesmo2805 жыл бұрын
Hi
@boniphacemgolozi94175 жыл бұрын
nimekuerewa!!!
@emmyfurenho16635 жыл бұрын
Frank Onesmo hiii
@emmyfurenho16635 жыл бұрын
Boniphace Mgolozi Ubarikiwe
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia #SeeYouAtTheTop
@justinmmbando53865 жыл бұрын
Jifunze kusema hapana imenisaidia sana mwaka 2018 Asante Mwalimu ambaye tunasoma bila kulipa ada
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@nusrashaaban7407 Жыл бұрын
Asante Mwalimu kwa somo zuri. Mimi hii mbinu ya kuorganize day task nitaanza nayo kuifanyia kazi
@danielmerere99 Жыл бұрын
Mbinu nayojipanga kuanza nayo ni ya 7.., ya kupanga ratiba ya siku nzima , asante.
@chrizantkibogoyo67725 жыл бұрын
Baada ya kutambua umuhimu wa sub conscious mind nimetafuta masomo hayo kwa lugha ya kiswahili ili niwasaidie vijana wangu hadi nilipokutana na mafunzo yako. Kwa hakika nimeanza kuyatumia. Ni masomo ya muhimu sana. Mungu akuongezee nguvu
@saluwayne95355 жыл бұрын
Nakukubali sn Joel una2fundsha v2 muhim xn ktk maisha ye2 thank u so much bro
@ndayizeyedesire87675 жыл бұрын
Kitu ca muhim sna time is very important mu maisha kabisa
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@andreamlwafu38445 жыл бұрын
Nataka nianze sasa kujifunza kutumia vzr mda wangu na kuwekeza mda wangu...barikiwa sana broangu.
@isackpius2502 жыл бұрын
Mbinu ninayojipanga kuanza nayo ni kufanya Batching. Asante sana. Ubarikiwe
@salumabdulla Жыл бұрын
Excellent Presentation Thank you in advance Salum Abdalla
@christinarobert85355 жыл бұрын
Nina miaka 21 namshukuru Mungu nipo salama nimekuwa nikikutana na scenario ya kuongea na watu hasa wazima lakini wakabarikiwa na mm nazidi kujifunza naamini u will se me at the top b'coz l may , l Will , l can and l am happy new year bro Joel
@tungaraza77945 жыл бұрын
Totally huwa nafeli kwenye time management i need ushauri wa kisaikolojia
@hasanijumannemlande27925 жыл бұрын
mwalim joel nakuelewa sana kaka
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@sakinalamadhani81175 жыл бұрын
Asante sana brother tumekua tukipoteza mda sana hasa kwenye kutenda mambo zaid ya moja kwa wakati mmoja aisee nimejifinza sana asante mungu akujaalie
@dadawakwetu69535 жыл бұрын
Aiseeh Mimi ni mwenzio huwa nafeli sana kwenye muda Japo sina majukumu wengi
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@mwanaidimohamed69725 жыл бұрын
Kupangilia nifanyacho kwa siku ndio kitu nitakachoanza nacho leo..asante bro
@joseefaidabutu64675 жыл бұрын
Asante nimesha amua nitaendelea kujifunza hadi mwisho wa maisha yangu
@luciewajesus7315 жыл бұрын
Specific time limit, Hili niki rekebisha nianze kuizingatia najuwa nina ufanisi,thanks for great video 🙏💕
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@petrosabore2694 Жыл бұрын
Shukran sana Broo nilichojifunza na kimenigusa sana kama Mwanafunzi ni point ya kwanza isemayo FOCUS on the task
@sadraibra79585 жыл бұрын
Mbinu kama zote hizo ulizozieleza zimenigusa kwa kweli ila sasa nmejifunza jinsi ya kupangilia mda wangu asante sana kaka Joel
@talibrashid88175 жыл бұрын
Kaka umeongea true muda nikila kitu ktk maisha na ukiutumia vibaya utaujutia badae na haurud tena
@nehemiamminza466310 ай бұрын
Mim hapo nitaanza na specific time limit on my duties, be blessed for your good lesson
@markbenedict17775 жыл бұрын
learn to say no nashukuru sana kwa kujua hilo kwa maan m ni m2 ninayeshindwa kukataa kila ki2 kwa hili nitalitendea kazi
@samwelmwaijumba60185 жыл бұрын
Muda kweli kwangu ni tatzo Mungu anisaidie 2019 nibadilike... Asante
@joelnanauka5 жыл бұрын
Kweli Inawezekana #SeeYouAtTheeTop
@irakozemaissarah43255 жыл бұрын
jambo la sita linanihusu sana kaka na nimeligundua leo kama vile umeniona.asante sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@samweldaniel3774 Жыл бұрын
Mungu akubarik Sana umezungumza ukwel brother napenda mafundisho yako
@czakilumanga70605 жыл бұрын
Leo naanza na batching/ grouping Asante kaka joe
@hamzalibingai32275 жыл бұрын
Nitaanza na kutofanya vitu viwili tofauti kwa wakati mmoja
@mercywanjiku37405 жыл бұрын
Asante Sana kwa mafunzo mazuri. Nitaweka mpangilio katika Kila shugli ninayoifanya
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@giftsam84585 жыл бұрын
Mi Kwangu kupangaratibanzima yasikuu ndyoo lakuanzanaloo mungu akubariki Sana'a broo
@festorymlekwas40505 жыл бұрын
Organize time,ni mbinu nzuri sana ambayo niweza kujifunza asnte sana na ubarikiwe
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia #SeeYouAtTheTop
@jemomandua61414 жыл бұрын
Nakufatilia san pia nafanyia kaz zaid kwakila utach kisema
@daniellepari45254 жыл бұрын
Ahsante sana brother kwa elimu yako mungu akuongoze akuonyeshe njia pasipo kua na njia kama unapo nionyesha mimi ubarikiwe sana
@alihassanhaiba69375 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Joel kwa somo zuri,mm nipo katika point ya mwisho organize mpaka sasa ivi nashukuru naenda vizur na muda na kazi zangu hata jamii inafurahia huduma kutoka kwangu
@joelnanauka5 жыл бұрын
Vizuri Sana Endelea Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@abelmwilapwa11115 жыл бұрын
Thnx najiona km nimechele maana kuna miez kum toka watu wakoment bt naona kama na mm ninazaidi ya miez hyo kumk i thnx i cn mr thn others ....abt time tatzo sana japo kidogo nalimeji ila siyo kihivyo i need 2 do mr thnx my blood wa faida God bless ur mr
@jomeejooo37175 жыл бұрын
Nimejifunza kusema no Asnte sana kwa mafundisho mazuri i
@ibrahimhassan51414 жыл бұрын
Focus to the one thing,untill you finish it. That's my new study,maliza jambo moja ndipo tufanye lengine.asante.mr.nanauka kwa muongozo
@oseahmbembela-gi4du Жыл бұрын
Kaka upo vizuri Sana nashukuru mungu tangia nmeanza kukufuatlia nimeanza kujiamini Sana sana
@joseefaidabutu64675 жыл бұрын
Umeniongezea tena ujuzi Mungu akubariki
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@clemencehaule3857 Жыл бұрын
Asante Sana kwa ujumbe Mzuri Kufanya Kazi moja kwa wakati mmoja
@deogratiasndeonio6375 жыл бұрын
Asante sana kwa mbinu zote muhimu.Naamini kila MTU kuna inayomgusa sana.Mimi naanza na kusema hapana. Uzidi kutuelimisha brother..
@papakefa22014 жыл бұрын
Ubalikiwe mwalim wetu
@JanvierVenas-ro9us11 ай бұрын
asante kk Joel kwasomo hili uzidi kubarikiwa
@marykisima13 жыл бұрын
Kufanya kazi kwa spirit ile ya deadline.Nahitaji msaada hapa
@ednaedward35125 жыл бұрын
Asante kaka joel hakika Mungu alikuleta duniani kwa kusudi kubwa sana Ubarikiwe kwa elimu unayotuptia.kupnga ratiba ya siku nzima ni nzurii sana😇
@careenwasonga3 жыл бұрын
1. Focus on the task - I’m that person who tries to multi task but end up not doing anything productive for HOURS... I will FOCUS ON THE TASK I SET TO DO!
@anordtz5 жыл бұрын
kuipanga siku yako, nimeipenda zaidi japo pia ziko nyingi nilizo jifunza kupitia vdeo hii nashukuru kaka kwa kunikumbusha mungu akusaidie ili kurudisha thaman iliyo potea kwa mtu ali kata tamaa
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@lugikoenterpriseslugiko30505 жыл бұрын
umenifunza sana Leo nitaanza na organization
@rchrismbarikiwa5 жыл бұрын
Asante sana Sir Joel najifunz mengi sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@saidseif74695 жыл бұрын
Asante sana kwa mafunzo yako.Kaka Joel natak kile kitabu cha wanafunzi nitakipataje npo Tanga.
@dandebossxakara99393 жыл бұрын
Blessed bro Mungu akupe miaka mingi uendelee kutufundisha na kuwafundisha wengine
@maryvineakondowe12494 жыл бұрын
Uncle... Asanteh sana... Umenisaidia ... Kunishaur na mm nitaanza na time
@michaelramadhan94663 жыл бұрын
najipanga kupanga muda wangu. kuanzia asubui mpaka jioni
@aderiderkihupi72403 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akubarik daima uendelee kutuelimisha
@magrethkimweri54545 жыл бұрын
Thank you, kupanga majukumu ya siku ni tatizo kwa sisi wamama wa nyumbani na uku bado tunamajukumu ya chuo,shule inakua ngumu
@kingnews91325 жыл бұрын
nmejifunza kusema hapana and to focus on the task. asante sana na MUNGU akubariki sana
@zakiakayanda14445 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho yako imenifunza sana na nitaanza kutumia muda ili kufanikisha malengo,hakika mungu akubariki sana
@biubwaahmadi405 жыл бұрын
Ahsante sana kaka. Kwa upande wangu naona nianze na mbinu ya Batching.
@telesiamkumbwa88885 жыл бұрын
asante hiii naanza nayo mwaka mpya
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@eliasayasini14665 жыл бұрын
upo mkn sana kk
@joelnanauka5 жыл бұрын
Asante Kwa Kujifunza
@giftkelvin75 жыл бұрын
Thank you Brother, Leo pia umenifundisha na kuniongezea kitu cha mhimu sana ambacho nilikuwa sikijui, God bless you
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@Manimajura5 жыл бұрын
Nafikiri ni kupangilia siku yangu na kazi zangu
@mekujose85323 жыл бұрын
Nashukuru boss naisi mbinu ya 2 na 7 kwangu natakiwa kuanza nazo.
@neemaonesmo76425 жыл бұрын
Thanks ,hiyo ya mwisho ni nzuri kuanza nayo
@godlistenkweka1495 жыл бұрын
Kwa kweli kaka Mungu akubariki najifunza mengi kutoka kwako
@naomishayo36285 жыл бұрын
learn to say NO - this is the first to me.THANKS MUCH.
@mariajustuce89183 жыл бұрын
Thanks bro kwa elimu ulioyo toa
@obedntiruhoka99053 жыл бұрын
Umeniongezea tena ujuzi mungu akubariki.🙏
@Moteswa5 жыл бұрын
Kaka uko vizuri sana. Nakufuatilia sana. You are changing lives. Welldone
@talibrashid88175 жыл бұрын
Bila ya muda hakuna maisha na bila ya maisha hakuna uhai na bila ya uhai hakuna kiumbe hai na bila ya kiumbe hai hakuna maisha yani yote yanatokana na muda ndo kila kitu ........
@mickdaduhuru91913 жыл бұрын
Passive time this is one of my favourite
@thuwaibawadi96722 жыл бұрын
Thank u kaka....unatuelimisha kwa kweli
@eugenfredrick23285 жыл бұрын
NAAMUNI hii organize time itanisaidia sana!! thanks sana bro! God bless?
@mlyamkushi3535 жыл бұрын
Matumizi ya mda nipo nyuma sana
@gradypeter80535 жыл бұрын
Mda ni ishu
@rebecaalbertmillanzi58825 жыл бұрын
tuko wengi apo
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@cheddykipingu80875 жыл бұрын
Daah! Am proud to win u as my doct in my life thk u more mr Joh... 2018 successfully I hope 2019 it'll be dobble..
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@PatrickButamo7 ай бұрын
Zote naona nzuri san
@alimambabazi36665 жыл бұрын
thank you so much for your teaching l have learned something new thank you.😁
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@hakimuzelamula47195 жыл бұрын
Time management sante brother nimepata Kitu muhimu Sana kutokana na somo lako la leo
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@emotionalvoice9725 жыл бұрын
Nakupata sana kk, nimebadilika sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kubadilika #SeeYouAtTheTop
@finiasfidelis14755 жыл бұрын
mbinu ya kwanza kuanza nayo naona ni FOCUS. Ukishaweza focus basi zingine zitakuja automatically
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@Moteswa5 жыл бұрын
Teach also on investment na mbinu ZA kuwekeza. Wish you all the beat
@Shabani-hc6xz4 ай бұрын
Thanks sana your blessed
@victorymfungo4165 жыл бұрын
naendelea kujifunza na mafundisho
@yoshuasaiba46523 жыл бұрын
Asante Sana🙏
@valentinamruma6803 жыл бұрын
Learn to say no ....... Thanks
@meshackngadango68555 жыл бұрын
Ahsante Sana kwa somo Safi. See u at the top!
@aleckngoshani88983 жыл бұрын
Very insightful brother
@philbertchaula36383 жыл бұрын
Nilikuwa naenda kwa brother
@dandebossxakara99393 жыл бұрын
Tatizo langu nashindwa kusemaa no thus my challenge is the big one
@frankdaniel98154 жыл бұрын
Somo zuri sanaaaa kiongozi
@fridayndimbwa57195 жыл бұрын
Batching Ntaanza na hii strategy maana I usually mix things... Be blessed brother Joel