Mazinge amvaa Mchungaji Munisi juu ya RAIS SAMIA KUVAA HIJABU

  Рет қаралды 115,499

AlbayaanTv

AlbayaanTv

Күн бұрын

Пікірлер: 132
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 3 жыл бұрын
Allah ukupe umli mlefu shekh wangu mazinge na a2pe mwisho mwema inshaallah
@athumanimussa2875
@athumanimussa2875 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuhifadhi sheh Mazinge tunakupenda sana kutoka njombe mjini siku moja uje ututembelee kuna wakristo wengi sana
@tembointertaiment7512
@tembointertaiment7512 2 жыл бұрын
Yapendeza sana shekhe Mazinge Allah akulinde
@bulshokoriye2702
@bulshokoriye2702 3 жыл бұрын
Such a positive energy. Maansha Allah Sheikh
@mohafishaal4190
@mohafishaal4190 3 жыл бұрын
Masha allah ustad wetu mazinge Allah akuhifadhi
@asilasalim4268
@asilasalim4268 3 жыл бұрын
Asante sana sheikh nimefurahui sana niliposikia habari ya zaere sasa je unajua kuna wakristo warabu lebanon misry syria palestine wataka washughulikiwe haraka
@zahraabdillah2902
@zahraabdillah2902 3 жыл бұрын
We enoke mbona bikira Maria hamjavua mpaka leo na tena mnatutangazia kivazi chake mpaka leo, sasa sisi Waislamu ndiyo tubamuiga mama wa yesu
@salimrajab3984
@salimrajab3984 3 жыл бұрын
MASHALLAH
@furahadaudi9516
@furahadaudi9516 3 жыл бұрын
Mnaishi kwa neema ya Yesu Kristo mwana wa Mungu alie hai mtukuzeni yeye
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Pole sana tatizo hujasoma unaendeshwa tu km ng'ombe bora kaa kimya
@frankchausa1330
@frankchausa1330 3 жыл бұрын
Shukran sana sh mazinge tuko pamoja
@gilbertvicent4229
@gilbertvicent4229 3 жыл бұрын
Ni kweli waisilamu mnavaa vizuri na na yesu alivaa kama nyie. Msimchanganye huyo mchungaji na wengine kwani ni maoni yake mwenyewe na ni mjinga tu huyo
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 3 жыл бұрын
Gilbert. Nakuombea dua Mungu akuonyeshe njia salama. Kabla ya Martin yetu. Amiin
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 3 жыл бұрын
Kabla ya mauti yetu.
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 жыл бұрын
ameijua dini ya haki, nawe Allah akuonyeshe njia ya haki
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 3 жыл бұрын
@@anwarambar6141 hahahaha at dini ya haki ndo dini gani hiii?, hizi nguo mnazofaa ni kukopi kwa waisrael? yesu alivaa vile kwakuwa alizliwa kule na ndo mavazi aliyoyakuta . at dini ya haki duuuuuuuu pole toka huko wewe
@alphoncekomba2129
@alphoncekomba2129 3 жыл бұрын
Yesu ulishamuona hakuna anaemjua yule nimuigizaji tu
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Mashallah Allah
@ummyahammad3431
@ummyahammad3431 2 жыл бұрын
Mashallah
@masudirashidi7183
@masudirashidi7183 3 жыл бұрын
Mkapa alikua anavaa msalaba hawakusema
@muradiseifhumoud7880
@muradiseifhumoud7880 3 жыл бұрын
Munishi kwanini ukinya hutawazi kwa maji unajipangusia makaratasi siku za jua kali joto inakuwaje si unanuka mavi
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Masha"Allah
@hassaniabdilahi2415
@hassaniabdilahi2415 2 жыл бұрын
Sh nakusalimu sana huyo pasta bado hujampa vidonge ameze ateme alisema huko Dubai walinishanga unatumia toilet peper huko kuna joto ulikuwa unatupa watakushanga
@issmuking3987
@issmuking3987 3 жыл бұрын
mashaaAllah
@missrukia9661
@missrukia9661 3 жыл бұрын
Mashallhaaa
@asilasalim4268
@asilasalim4268 3 жыл бұрын
Matajiri wakiarabu wapo wengi watoe pesa waka hubiriwe warabu wakristo
@rinompemba5926
@rinompemba5926 3 жыл бұрын
Masha Allah
@amirisaguti3680
@amirisaguti3680 2 жыл бұрын
Download
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س 3 жыл бұрын
Mashaallah
@magomakabanja4861
@magomakabanja4861 3 жыл бұрын
We kafiri Enock Unatetea Kafiri mwenzio kiama chenu kina kuja cha makafiri kama nyinyi mliokosa adabu ???
@magesamasoya8439
@magesamasoya8439 3 жыл бұрын
tuwaombee dua haowanaonapinga hijabu ili waujue ukweli wamavzi mema
@Grace.67
@Grace.67 2 жыл бұрын
Lord Jesus Christ is The King Of Glory🕊 God's son🕊
@momapessa
@momapessa 2 жыл бұрын
Hamna kitu Kama hicho huyo Ni mjumbe wa Allah co mwana wa munguu Unapotea tafuta elimuuu co unafunika bibilia halafu ujui kilichomo ndani AL ISLAM DINII
@salehkippy5339
@salehkippy5339 3 жыл бұрын
Lakini we pesa unayo.banki?
@cityhunter6858
@cityhunter6858 3 жыл бұрын
Hawa umbwa wanataka kutuletea utani tz makafir mtaelewa tu safari hii
@adamuabubakari7735
@adamuabubakari7735 3 жыл бұрын
Siyo kichwa tu mzee
@dianaradislauc6649
@dianaradislauc6649 3 жыл бұрын
Huyo mchungaji huko kafata uganga na uchawi mfundisheni na yeye afuge majini
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 3 жыл бұрын
Kweli kule mafuta majini na tamaa za kingono kwakuwa kule hakuna mashaliti unaoa wanawake wengi kama vile wanyama ni hilo tu ukiona mkristo kaingia uislam ni kwajir yatamaa za kimwili zakuvuta masigara, kunywa mapombe, na kuoa wanawake wengi kwajili ya ngono na kufuga majini
@mamyomar1241
@mamyomar1241 2 жыл бұрын
Usiseme maneno ya kijinga kwa utashi wako, Bora kuoa wake wengi au kuishi bila ya kuoana na vimada wengi . Usitukane watu . Hatupendi kutukana lakini matusi tunajua Tena yakufuma wewe mwenyewe utashangaa ACHA hizo.
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
@@ramadhanmahongole5663 kajifundishe adabu kwanza km kwenu haujalelewa!! na usianze kutukana watu jiheshimu kbl sijakuvua nguo
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
@@fhyubhhh2881mpumbavu nini? umvue nguo nani
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
@@ramadhanmahongole5663pole hapo ulipo Mungu kishavua nguo uchi ndio hauna haya unatukana watu ovyo km haujui kuongea nyamaza
@msalabanireko1518
@msalabanireko1518 2 жыл бұрын
Lishaota ktmbi senge ili
@miltonjohn1402
@miltonjohn1402 3 жыл бұрын
Ni wachache Sana hapa tz lkn mnafujo kama magaidi.
@hishamali5056
@hishamali5056 3 жыл бұрын
hhhhhhhh. Wengi sana tena wanazidi kuongezeka na kubarikiwa.
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Nyie vibaraka wa wazungu kaeni ivovoo mkitutukana tu sie tunasonga mbele!!!
@amurisabiti7037
@amurisabiti7037 3 жыл бұрын
Amiin
@kadakimosa3505
@kadakimosa3505 Жыл бұрын
Mazige nyuku
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 3 жыл бұрын
mazinge upo juu 🤣🤣🤣
@rebecasamweli6654
@rebecasamweli6654 3 жыл бұрын
Yesu Yupo
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Mpe salaam
@cabdiali1853
@cabdiali1853 3 жыл бұрын
Asc
@sr.helenarhobi8886
@sr.helenarhobi8886 3 жыл бұрын
Sasa Kama alikuwa mkristu unatwambia ili itusaidie nini?
@rajabuabbaskibuna4722
@rajabuabbaskibuna4722 3 жыл бұрын
Urudi kwa Allah
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Ndio mujue nyie watu wabaya kushambulia waislamu kwa imani yao
@martinmramba1582
@martinmramba1582 3 жыл бұрын
Hivi Waafrika lini tutachanuka tunang'ang'a nia madini ya kigeni ambayo hatuna chimbuko nayo uislamu ni utamaduni wa waarabu ukiristo ni utamaduni wa wazungu ambao pia wameiga kutoka kwa mayahudi ndiposa Leo Yesu ni mzungu Waafrika turudie mila na itikadi zetu kama kweli tunataka ukombozi wa mtu mweusi
@islammabrouk7876
@islammabrouk7876 3 жыл бұрын
Kwa nini wewe usibadili jina lako kwanza maana na wewe ujakomboka 😂
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Mbona Jima lako la kizungu? nguo za wazungu? basi anza kuvaa nguo za majani urudi upagani uoneshe asili yko!!
@samuelndosi9577
@samuelndosi9577 3 жыл бұрын
Tatizo la waislam hawanaga hoja ya nguvu ni kusutuna tu na kuombeana mabaya.
@enockabumba7513
@enockabumba7513 3 жыл бұрын
Acheni unifiq nyie waisiramu
@salehabri6957
@salehabri6957 3 жыл бұрын
Uyoo imekula kwako
@firdaushamid9842
@firdaushamid9842 3 жыл бұрын
Mnafiki ni ww
@firdaushamid9842
@firdaushamid9842 3 жыл бұрын
Ukweli unauma
@enockabumba7513
@enockabumba7513 3 жыл бұрын
@@firdaushamid9842 kwenda uko
@nuruali9608
@nuruali9608 3 жыл бұрын
HATA UKICHUKIA DINI YA HAQI NI Y A ISLAM DINI YA MANABII WOTE...DINI ISIONA UBAGUZI WALA MATUSI KAMA YAKO WALA KEJELI KAMA ZAKO WALA UHARIBIFU WA KUONGEA KAMA WAKO WALA UPOTOFU KAMA WAKO
@enockabumba7513
@enockabumba7513 3 жыл бұрын
Mnanunua watu eti arikuwa mchungaji, wapuuzi nyie waisiramu matako yenu
@abdullahiiddi4109
@abdullahiiddi4109 3 жыл бұрын
Allah akuongoze
@samadumohamed508
@samadumohamed508 3 жыл бұрын
Kwa hiyo koment yako tu wewe mwenyewe unajiona uko upande wa Mungu au wa shetani?
@peterdaiman5813
@peterdaiman5813 3 жыл бұрын
Sema alikuwa mpagani
@basharal-asud7227
@basharal-asud7227 3 жыл бұрын
Hiyo michezo niya wacristo, wewe unaye tukana waislam, Allah ata kuchapa.
@ibrahdullah2329
@ibrahdullah2329 3 жыл бұрын
Raana tullhahi Aley laana ya mwenyezi mungu ikufikie wewe kafili mkubwa
@nurubakari8914
@nurubakari8914 3 жыл бұрын
Mashallah
@zaharasaidy1495
@zaharasaidy1495 3 жыл бұрын
Mashalah
@zahraabdillah2902
@zahraabdillah2902 3 жыл бұрын
We enoke mbona bikira Maria hamjavua mpaka leo na tena mnatutangazia kivazi chake mpaka leo, sasa sisi Waislamu ndiyo tubamuiga mama wa yesu
Siri ya Vilema feki makanisani zafichuka
9:02
AlbayaanTv
Рет қаралды 95 М.
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 18 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН
Mama anayedai ametumwa na Yesu apambana na sheikh Hassan kariuki
39:12
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 681 М.
DEBATE. Prof. Mazinge azima mbwembwe za Mch. Ndacha kutoka Kenya.
28:25
Tokea niumbwe sijawahi ulizwa swali kama hili | Mazinge
7:46
MAKIR ONLINE
Рет қаралды 554 М.
WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Prof MAZINGE
29:23
arkas online tv
Рет қаралды 367 М.
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 18 МЛН