Maa Shaa Allah, Allah awabariki masheikh ma daa'i wa kiislamu kwa kazi ngumu wanayofanya ya kuwaelimisha ngudu zetu katika ubinadam(wakristo). Katika maisha yangu nimemuomba sana Mungu amkutanishe mchungaji ndacha na Sheikh Al Habib Othman Mazinge katika mdahalo kwa maana huyu pastor huku kenya anawapotosha sana watu. Shk. Mazinge Allah akuhifadhi na akupambe kwa afya.. In shaa Allah mungu atawaongoza wakristo wote waione njia ya hakki na kuifata. Wabillah tawfiq.
@abuuaisha47383 жыл бұрын
Aaamin aamin aaamin
@marcbanyankirubusa1353 жыл бұрын
Mnapongeza , apo mazinge anasema kinyume na kinaco sababisha yesu aseme petro ni shetani , kwasababu mazinge anafahamu waislamu wanakalilishwa siwasomi, ndiomaana akawapotosha kwa maandiko, akasema yesu kusema petro nishetani nikwakusema yesu ni mwana wa Mungu akadanganya, ebu jisomee uwone kama walimu wenu niwaongo soma matyo 16:21-23 petro wakati aliposikia yesu atakufa musalabani na kufufuka Siku yatatu petro akakataa akasema asimpate Ayo mateso, yesu akamwambia toka nyuma yangu shetani wukikwazo kwangu yamungu huuataki bali ya wanadamu , wanao sema yesu hakufa niwale waliokuwa ndungu yashetani nao ni waislamu kwasababu mhamadi alimslimisha shetani akawa mwislamu, maneno ni yale yale shetani alipo nena ndani ya petro wakati petro bado haja okoka poleni sana waislamu ,lakini cungeni sana walimu wenu mujisomee vitabu wasiwasomee jisomee nyie wenyewe, yesu alisema mutapata ukweli ukweli nae utawakomboa.
@adamfundikira16203 жыл бұрын
@@abuuaisha4738 mazinge ni muongo mpaka anamzidi shetani kwa uongo duh yaani ni wakala wa ibilisi
@adamfundikira16203 жыл бұрын
@@marcbanyankirubusa135 ni muongo mbwa huyo
@abuuaisha47383 жыл бұрын
@@marcbanyankirubusa135 اللهم هدناالصراط المستقيم
@zainulabideen69553 жыл бұрын
Barakaallahu laka ya SHEIKH MAZINGUE.....we love you, from Mozambique.
@rhiophiri68573 жыл бұрын
Professor Mazinge is indeed fantastic, highly equipped with religious knowledge, congratulations Mazinge
@mohamedsimba55753 жыл бұрын
You're absolutely right Mr Rhio Phiri, congratulations 🎊 sir
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
Mazinge ni muongo Yesu alikubaliana na Petro Ni vizuri kusema ukweli
@azizirubelwa29923 жыл бұрын
@@noahwamalwa4385 tupe andiko
@issakawaya83153 жыл бұрын
Mashaallah
@Rea254Pbg3 жыл бұрын
@@noahwamalwa4385 mazinge ajui kitu, Soma Luka 1:35 St. Luke 1:35. The angel answered, "The Holy Spirit will come on you, and the power of the Most High will overshadow you. So the holy one to be born will be called the Son of God.
@mahamuduhassan85113 жыл бұрын
Maa shaa Allah professor hua hamalizi muda Ustaadhi mazinge Allah akulipe jazaa njema hapa duniani na kesho akhera!!!!!
@pilimusa77703 жыл бұрын
Amiin
@bintmohamedmalevi37713 жыл бұрын
Maa Shaa Allah professor mazinge. Mola akupe umri mrefu wenye twaha
@pilimusa77703 жыл бұрын
Amiin
@kawtharalbarwani13373 жыл бұрын
Allah awabariki masheikhe wetu azidi kuwazidishieni nguvu na afya njema na umri mrefu inshaAllah amiin
WEWE SIO MAZINGE WEWE NI MZINGA UNGURUMAPO WATU LAZIMA WAIPATEPATE HABARI YAKO.
@sophiasophia46683 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mzinga kweri
@jumakhamis2263 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh mazinge
@rizikibashiru46803 жыл бұрын
Nakupenda ost wangu mazinge kwa ajili ya Allah, uwe na umri mrefu wenye manufaa na mwisho mwema
@njerithiongo79013 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuzidishie shifaa na maarifa Professor, mapenzi ya dhati toka Nairobi, Kenya.
@mshengeli24493 жыл бұрын
Maashallah fantastic replying
@cabylake23202 жыл бұрын
Mashaallah vizur mazing mungu akuzidishie umuri
@rbagha52802 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
@iddydaruwesh86502 жыл бұрын
Allahhumma Amiiini yaraabi. Call him professor mazinge
@fatimafa34343 жыл бұрын
Professor mazinge maisha malefu kwako 💙💙💙💙
@deulemwangolo Жыл бұрын
Mashekh wetu endeleeni kufunza umma,,,,, Pastor Ndacha Mwenyezi Mungu pia akuongoze uwe MUISLAMU
@Raya-em8wz3 жыл бұрын
Nakipenda shekh kwa ajili ya Allah munguakuhifadhi
@mtokaboys21753 жыл бұрын
Amiin
@pilimusa77703 жыл бұрын
Amiin
@saramss72623 жыл бұрын
Yaani kiukweli Huyu Baba umepotokaaa UISLAM SIO DINI HATA MSEMEJEEEEE YESU NI BWANA NA MWOKOZI WETU UJIELEWIII UMEJAAA MAJINI MPKA MIGUUNI
@masala80993 жыл бұрын
asante mtume Muhammad Kwa Elimu uliyotuachia
@mtokaboys21753 жыл бұрын
Sahihi
@fatimambaruku18333 жыл бұрын
Allah azid kuwapa nguvu mashekh wetu Allah akulinde na Shar za waja Mazinge. na wao Mungu awabadilishe awaongoe
@crisbrown51235 ай бұрын
Massha Allah shekh Allah akupe maisha marefu
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
Maashaa ALLAH Tabaaraka Allah.
@ismailibrahim93653 жыл бұрын
Duu MashAllah Allah ibarik shekh mazinge
@husseinsalum6773 жыл бұрын
Pppopppoppppppppppppppppppp
@omarshee75013 жыл бұрын
Allah awaongoze na a2fishe waislamu
@mmangammanga-dw2qn4 ай бұрын
TAKbir uislamu rahaaa sana Allah akuwek shekhe mpka rahaaa
@johnmathew27693 жыл бұрын
mazinge mungu akusamee kwa kubadilisha maandiko
@SAITOTILENATIRI6 ай бұрын
Mungu akusamehe kwa kubadilisha neno lake.
@previneyoung82903 жыл бұрын
Mazinge Haujafunguliwa na Mungu wa Mbinguni , siku utafunguliwa . Utamkubali Yesu . amina
@petersulle19373 жыл бұрын
Mazinge anachanganya mada, Hakuna uhusiano kati ya jibu la Petro la kuwa Yesu ni Kristo mwana wa Mungu, na kauli ya Yesu ondoka nyuma yangu u shetani wewe.
@htvtanzania34833 жыл бұрын
Akili Kama haiwez kufanya Kaz vizuri huwez kuelewa una takiwa uwe na roho mtakatifu ndio uelewe maandio
@abdullatifyahya6462 жыл бұрын
Subiri ufe ndo utajua hujui
@consolatamedard65932 жыл бұрын
Yani anajibu kitoto sasa sana wakati Yesu anamwambia petro Toka nyuma yangu nipale Petro alipo mwambia Yesu hakika Bwana wangu haya hayatakupata kwaiyo Yesu aliona kilichondani ya Petro Nishetani anaemtumia Petro na sio kwamba Yesu kamwambia Petro kuwa ni Shetani apo anajibu kufiraisha uma tu
Ndacha kama petro vishetani hivi Shukran sheikh mazinge kwa elimu.
@KibokoNyamamayi5 ай бұрын
Mazinge mungu aku zidishiye elimu ❤❤❤
@tumadhrahtwarik9932 жыл бұрын
Sheikh uthman mazinge ALLAH azidii kukupa moyo na ujasiri uzidi kuwaingiza katika njia iliyo ya haki nakupenda kwa ajili ya allah
@fuminozanzibar.64022 жыл бұрын
Allah give more power Alhabiib Mazinge
@aishahmd25592 жыл бұрын
Mazinge mashaallah hongera kwako Allah akupe umri mrefu akuepushie na hasadi uzdi kuitangaza dini ya haki
@pmekenye5050 Жыл бұрын
Matthew 16:13-20 Matthew 16:13-20 NIV When Jesus came to the region of Caesarea Philippi, he asked his disciples, “Who do people say the Son of Man is?” They replied, “Some say John the Baptist; others say Elijah; and still others, Jeremiah or one of the prophets.” “But what about you?” he asked. “Who do you say I am?” Simon Peter answered, “You are the Messiah, the Son of the living God.” Jesus replied, “Blessed are you, Simon son of Jonah, for this was not revealed to you by flesh and blood, but by my Father in heaven. And I tell you that you are Peter, and on this rock I will build my church, and the gates of Hades will not overcome it. I will give you the keys of the kingdom of heaven; whatever you bind on earth will be bound in heaven, and whatever you loose on earth will be loosed in heaven.” Then he ordered his disciples not to tell anyone that he was the Messiah. Pro. Mazinge that's what is in the scripture Mambo mengine ni yako. Junga rahana ya mwenyezi Mungu isikwangukie kwa kuwapotosha watu wanao itaji ukweli. Barikiwa Nyote.
@godfreycosta8483 Жыл бұрын
Sure kabisa , Yan ameunganisha script mbili tofauti , wakati the story iliishia verse ya 20 ye kachukua verse ya 23 which is different scenario
@allyshomari7417 Жыл бұрын
Ustaadh. Mazinge mwenyezi mungu muumba. Akupe nuur. Na mwisho mwema. Nakuombea duwaa!! Kwa ku ufikisha!! Ukweli kwa hojja zilizo hai!! Takbiir Allah Akbar!!
@sadahramadhani60463 жыл бұрын
Huyu ndiyo PROFESSOR MAZINGE bana
@MakameSilima-g7k10 ай бұрын
Allah akuongezee umri sheikh"Mazinge"
@majutomlaganile15813 жыл бұрын
Hongera Sana shekhe kwa neno!!!
@islamic_tv_tanzania Жыл бұрын
Takbiir, Allahuakbar
@khalidkhamis91953 жыл бұрын
Kweli Clip amewekwa Mazinge Peke Yake...ila maelezo aliyotoa amejaribu kunukuu aya ambazo amezitumia Ndacha na akazitolea ufafanuzi mzuri na kuzichapa kwa muendelezo wa aya nyengine... Hii imefanya Sote tuelewe kwa Umakini zaidi na ikampa Credit 100% Mazinge.
Wakristo wa Tanzania wataingia Moroni Kwa uzembe , Mazinge Allaah akurehemu Kwa kazi unayoifanya ngumu ,
@victorianyange92813 жыл бұрын
Pole kwa kufuata uongo wa mazinge na kuacha ukweli wa Mungu
@allyjumaallyjuma6923 жыл бұрын
@@victorianyange9281 Wewe mwendawazimu kweli hebu tupe huo ukweli wako maana hata wachungaji wenu wamechemka hapo wewe bdo2 unakua kiburi kuamini ukweli
@flova70223 жыл бұрын
@@allyjumaallyjuma692 hivi mchungaji ndio Mungu..hapo wate mnaoshadidiaa ukristu na uislamu wapumbavu ..Mungu Hana dini...hivi Kuna sehemu quran Una sema Allah ni muislamu au Kuna sehemu biblia inasema Mungu ni mkristu ..pendaneni wanadamu wote katuumba Mungu haya madini yameletwa na wazungu..fungukeni waafrika...Mimi mroman mke wangu muislam..tunaishi..vizuri na wale waliku WANASEMA OOH UMEOLEWA NA KAFIRI SASA TUMEONA WOTE WAMESHAAACHANA..SISI TWADUNDA TU SIJUI SASA NANI KAFIRI HAPO...kueni kifikra waafrika haya madini yameletwa na wazungu tu
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Allahum Amiin
@EmmanuelFils-r8u10 ай бұрын
Mungu akuremu sana mazinge macho ya watu yatakuingiza motoni' maana ukweli unaujuwa
@shuwenaghandi92533 жыл бұрын
LONG LIVE PROFESSOR MAZINGE
@qoslayekicheko49343 жыл бұрын
Masha allah bro waislamu mkuu
@qoslayekicheko49343 жыл бұрын
Madugu mosilamo mdugu mojo wislamu
@qoslayekicheko49343 жыл бұрын
Jisas cissa ni moslamu
@abubakardarema70503 жыл бұрын
Allah Akulipe kheri
@mjungatv81722 жыл бұрын
Mazinge Allah akupe maisha marefu sana
@Mpogozi3 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu wasamee waislam maana hawajui walitendaro Ameen🙏🏻🙏🏻
@swalahuomar53143 жыл бұрын
Mngu akuongoze SSI hatuwakashifu tunataka kuwafundisha na kuwaonesha dini ya kweli
@ramajuma11732 жыл бұрын
Yani nyie ndo mmepoteya dhahirii,
@t7zkc5tpxgim283 жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@RashidMadua-lp1vu4 ай бұрын
Mtoto akiliki wembe mpe umtengeneze Allah azidi kukulinda profesa mazinge ❤
@victorianyange92813 жыл бұрын
SHETANI ANAJUA YESU NI MWANA WA MUNGU: Mathayo 8:29 [29]Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu? BINADAMU WOOTE TUNAJUA YESU NI MWANA WA MUNGU:Mathayo 14:33 [33]Nao waliokuwamo ndani ya chombo wakamsujudia, wakisema, Hakika wewe u Mwana wa Mungu. Marko 1:1 [1]Mwanzo wa Injili ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu. YESU KRISTO ALIKIRI YEYE NI MWANA WA MUNGU: Mathayo 27:43 [43]Amemtegemea Mungu; na amwokoe sasa, kama anamtaka; kwa maana alisema, Mimi ni Mwana wa Mungu.
@igasiradji16763 жыл бұрын
Ni yohana alisema ,ebu niambie pahari mungu alisema yeye mwenyewe
@victorianyange92813 жыл бұрын
@@igasiradji1676 Mungu mwenyewe alisemaje?
@victorianyange92813 жыл бұрын
@@igasiradji1676 Yohana alisema Yesu ni Mwana wa Mungu katika ufunuo wa Roho Mtakatifu. Yohana alifunuliwa hilo ndipo akasema Yesu ni mwana wa Mungu. Sio Yohana tu aliyesema bali hata Yesu na Shetani walisema
@mohabro95213 жыл бұрын
Nyamazaa wewe
@mohabro95213 жыл бұрын
Yohana alisema si Mungu alisema
@najashkesi28923 жыл бұрын
Mungu Umpemwishomwema
@sandalalutubija2353 жыл бұрын
Mm namjua mungu nawahubili amana
@shabanadam91503 жыл бұрын
Shekhe mazinge mungu akupe umri mrefu
@rahmah.k.aminah3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi Sheikh wetu
@zahrathassan51993 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye mwisho mwema ust mazinge
@pilimusa77703 жыл бұрын
Amiin
@benjaminlijongwa37153 жыл бұрын
Yesu mwenyewe alimuita Mungu Baba
@salwamohammed92182 жыл бұрын
Ushahidi tunaomba
@ommynako55873 жыл бұрын
Baba mazinge mungu akuweke sana sana akubarik sana
@innocentshilla86773 жыл бұрын
kaka mnazingua nyie
@akimanayusra48533 жыл бұрын
MashaAlllaah
@biramsakh92123 жыл бұрын
Mazinge 👍👍👍🇹🇿😍
@hawaamkubwa20203 жыл бұрын
Allah akbar Allah akuzdshie elimu shekh mazinge Allah akuzdshie afia na umri mrefu 🤲
Furahisha wengi chomekeni pamoja. Mazinge anafurahisha tu waislamu ila anajua ukweli
@allyjumaallyjuma6923 жыл бұрын
Hahahaa!!Imekulakwako ikiwa hukuelewa hapooo!!!.Pole ndugu ktk Adamu
@martinbarua9962 Жыл бұрын
Wewe Bado umelala
@hassanounAbdul9 ай бұрын
Utakuja kufurahi vizuri siku ya hukumu wakati unachochewa kuni hujielewi ww😅😅😅
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Mashallah Allah
@FranciscoAtanasioGabriel-eq4fj Жыл бұрын
Amen,Ndacha nguvu,mazinge ana kitu uyo.
@zainulabideen69553 жыл бұрын
Allah bless you with long life, only defendind islamic RELIGIAN
@rehemahassan43393 жыл бұрын
Mashallah mazinge Allah akuweke inshallah 🙏🙏🥰
@ramadhanihamidu567019 күн бұрын
MashaAllaah mazinge
@mwahijahassani80222 жыл бұрын
Shekhe Allah akupe uhai mrefu
@madogoentertainment2578 Жыл бұрын
Sheikh Mazinge ubarikiwe sana
@ramadhanimzonge8217 Жыл бұрын
Allah akibar
@GermaineBulenda2 ай бұрын
Mazinge .mashallah
@jonahmburu97383 жыл бұрын
Mazinge jibu swari unakwepa
@mikyfosikama87522 жыл бұрын
Mashallah mazinge
@jaaffarabuu67503 жыл бұрын
Mazingeeeeeeeeee
@fatimambaruku18333 жыл бұрын
Professor,🙋🙋
@wemahamadi78473 жыл бұрын
Aminna
@kelvinmakala53383 жыл бұрын
Mazinge kasoma Mathayo 16:13-17, then karukia mstari wa 23, akasema anayesema Yesu Mwana wa Mungu ni Shetani, halafu Waislamu wakashangilia. Yani kama hawana vichwa. Hapo Kati Kuna mstari wa 19-22 umemezwa,ambao unaonesha kwann Petro ameambiwa nenda nyuma yangu Shetani. Hawa watu kwa hii tabia ya kusoma maandiko nusu watawapa wengi mno wasiosoma maandiko, maana wapo tayari kudanganya.
@alluabdallah68933 жыл бұрын
Mashallahh Allah Akbar
@Mrbariye3 жыл бұрын
Mathayo 3 17 na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
@maimunafzaka8803 жыл бұрын
Alisikia sauti ya shetani... yesu alisema hujawai ata siku moja kusikia sauti ya mungu
@allykeita7043 жыл бұрын
Nani alisema kuwa tazama sauti kutoka mbinguni?
@georgemheluka31223 жыл бұрын
Maandiko ya Biblia ukitaka kuyatafsiri kama unavyopenda wewe ama akili yako inakopenda lazima upotoke, Mungu mwenyewe lazima akufunulie kuelewa ndo utapata maana sahihi ya kilichoandikwa. Mungu mwenyewe ameweka wazi sehemu nyingi tu kuwa Yesu ndie mwana wake na ndio njia ya kweli na uzima.mtu haendi Kwa Baba Ila kupitia kwake
@allykeita7043 жыл бұрын
@@georgemheluka3122 Kaka hahahaha nimecheka sana ebu tulia kuniletea Hadith za uongoo ilo Chaka ambali huwa mnapenda kujificha eti oooo bibilia sio Kama gazeti inatafasiri yake ebu nambie mapumbu Nini maanake imeendakwa
@georgemheluka31223 жыл бұрын
@@allykeita704 itoshe kusema tu Yesu yu hai na anatenda kazi hata sasa,,na uzuri wa Yesu yeye watu wote anawapenda wakimtafuta tu wanampata,ndio maana hata wengi walio waislam wanakuja kwetu mambo yaliyoshindikana kwenu lakini Kwa kupitia jina la Yesu kristo mwana wa Mungu alie hai wanapokea suluhisho la mateso yao,,Ameeen
@samirasadasalum59742 жыл бұрын
Allllahu Aqbaru
@muhammadkipangatv26743 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali
@ismailmnyachi36653 жыл бұрын
Rahaaaaaaa sana
@nahimanawanjani9865 Жыл бұрын
Mazinge mola akupe maisha marefu
@jacksonmusyoka88373 жыл бұрын
Ndacha uko vizuri
@saraabdulatif61713 жыл бұрын
Kwakweli mjadala Yesu alitukuzwa sana mtabaki tu kuchaguwa vipande nakwavile dini yenu niyaushindani hakuna jina jengine zaidi ya Yesu pia nimegunduwa kitu muhamad kwao sawa na Mungu tafuta msahafu wa tafsir ya farsi usome majina ya Mungu wao halaf namajina ya Muhamad hayana tofaut
@masoudshaban66093 жыл бұрын
Kafie mbele hujui chochote...Allah ana majina mangapi...na mtume ana majina mangapi
@aishaiddy21923 жыл бұрын
🤣😂😂kafie mbele umepotea wew
@whitetigerprincy58829 ай бұрын
Mtazidi kuwa watumwa wa waarabu kisa Muhammad muaji 😅
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Mazinge makafiri hawamuwezi.. Makafiri hata muwe Mia hapo hamchomoki