Jenerali Ulimwengu: Sakata la Bandari Limeonesha Tumepoteza Uwezo Kujadiliana kwa Hoja

  Рет қаралды 98,996

The Chanzo

The Chanzo

11 ай бұрын

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 291
@dominickrukokelwa1284
@dominickrukokelwa1284 11 ай бұрын
Unapokosa adabu ukaharibu mali za umma halafu unatarajia umma ukuite majina mazuri. Blessed fool.
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 11 ай бұрын
Wewe mwenyewe huwezi kujenga hoja na wala huna hoja, unachokifanya ni kueleza chuki zako na roho mbaya juu ya awamu iliyopita y JPM. Wewe ni mzee wa hovyo sana
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 11 ай бұрын
Mungu akuweke pema JPM, bila ww.hakuna mazungumzo, yani haupo hado wanagombana na.kivuli chako RIP Mr Magu daima.❤
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 11 ай бұрын
Angekuea anatufaa Allah angetuekea kwa muda mrefu ila hakuwa anatufaa ndio maana Allah katuepusha
@harunmanura7900
@harunmanura7900 10 ай бұрын
Hata hitra anatajwa kila leo iddi amin hajasahaulika,,,,madicteta hawaachwi kukumbukwa kwa uovu wao
@florencemeza6540
@florencemeza6540 10 ай бұрын
​@@abuumuhammad7133hujui wema hufa haraka wabaya hukaa kusudi watubu ??
@florencemeza6540
@florencemeza6540 10 ай бұрын
​@@harunmanura7900anayemuona dikiteta jpm ana chuki tena mjinga alisema anayekubali mashart ya kuuzwa bandari ni mjinga pekee search utaona
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 10 ай бұрын
@@harunmanura7900 halafu dikteta aliyezikwa kwa heshima.kubwa duniani haijai tokea ss sijui jyie manguruwe mtatupwa bila kumbukumbu zaidi kusiwa wizi na udhalimu
@chachamwita4687
@chachamwita4687 11 ай бұрын
Kama kutumbua ni tusi vp kuhusu inchi zinazowanyonga au kuwapiga risasi wale wanaohujumu uchumi wa nchi zao, kama kutumbua ni tusi kuiba na kuhujumu uchumi sio tusi kwa walipa kodi etiee, hongera sana generali jitafakari. mhujumu uchumi ni mtu mshezi sana ukimwambia yeye ni jipu umemstahi sana kwa sababu alitakiwa kuuwawa kwa nchi za wengine .
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 11 ай бұрын
❤❤❤
@albertmallya4192
@albertmallya4192 10 ай бұрын
Ndugu bora umeiliona. Na nimefarijika kuona wapo watz wenzangu wanajua ni akina nani ndumi la kuwili
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 11 ай бұрын
Kumsikiliza Huyu Mzee Lazima Uwe na Akili kubwa...Sana ndo utaelewa!.
@chachamwita4687
@chachamwita4687 11 ай бұрын
Nothing to listen from him
@calabash4221
@calabash4221 11 ай бұрын
​@@chachamwita4687I totally agree with you...
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 11 ай бұрын
@karimkassam571
@karimkassam571 11 ай бұрын
Hana lolote huyo...huwa haungaji Jambo lolote la maendeleo
@annabubelwa4543
@annabubelwa4543 11 ай бұрын
@@chachamwita4687yaani limejaa chuki sana
@2FlevaJin
@2FlevaJin 11 ай бұрын
Mzee ulimwengu nakukubali Sana Una uwezomkubwa wa kutafakari mambo Ila nikuombe kitu mzee Wangu kwauwezo wako waushawishi ishawishi serikali ifute huu mkataba wa Iga maana unakwenda thamani ya utuwetu
@pallangyoemmanuel1633
@pallangyoemmanuel1633 11 ай бұрын
Siungi mkono maneno ya bwana TWAHA, UOVU siku zote hauna jina jema, TWAHA anataka kutuaminisha kuwa tuwape sifa njema MAFEDHULI na MAFISI ya nchi yetu.... HAPANA...... HATA KIDOGO!
@estabauna3604
@estabauna3604 11 ай бұрын
Mungu anawaona, unamsema vibaya marehemu kisa hawezi inuka na kujibu. Umri wako na unachokiongea Wala havifanani.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 11 ай бұрын
jinga hilo zee
@nyerere1259
@nyerere1259 11 ай бұрын
MAGUFULI MBAYA ILA WAUZAJI NDIO BORA😂😂😂
@salcle9702
@salcle9702 11 ай бұрын
Ata Syria ilijegwa vizuri ila saivi ipo wapi.nyie piteni na v8 na vingora vingi ila siku moja wajukuu wenu watapata tabu sana
@festohaule9716
@festohaule9716 11 ай бұрын
Wajifunze Yanayotojea Afrika Magharibi.. Afrika yote inapaswa kutawaliwa kijeshi..
@adkajisi4536
@adkajisi4536 10 ай бұрын
@@festohaule9716 kauli moja vitu vifanyike.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 11 ай бұрын
Watanzania wanaumia.
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 7 ай бұрын
Mbona mnaongelea MAJUNGU tu! Magufuli hakuwa mwizi! Huyu mzee anayembeza Magu Mungu anamuona tena Watanzania hawadanganyiki.
@salimothmanhoza
@salimothmanhoza 11 ай бұрын
Haukuwa hivi, umepoteza dira,Bora ukalee TU wajukuu zako,haya mambo waachie akina Mwabukusi,hujui kusoma alama za nyakati
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 11 ай бұрын
DUH MZEE HUYU..KWAHIYO JIZI LENYEWE KUIBA INAKUWAJE SASA???
@ichronicpro3081
@ichronicpro3081 10 ай бұрын
Mzee hongera sana Kwa SoMo adhimu
@geofreydamas1697
@geofreydamas1697 11 ай бұрын
Nimemwaunder rate is nothing now is not real J ulimwengu huyo.asali inamuhusu JPM atabaki kupendwa cku zote kwa kile alichofanya
@user-fb6dh6sz2g
@user-fb6dh6sz2g 11 ай бұрын
Muovu aitwe jina linaloendana na maovu yake.
@Gideme-wi5vc
@Gideme-wi5vc 11 ай бұрын
Bwana J. Ulimwengu Kwa Nini akili za wa TZ zimefubaa. 1. Zimesababishwa na laana ya kutoka Kwa Mungu kutoka a tabia za mda mrefu kuongea uwongo au ulaghai kiasi kwamba maarifa ya Wengi yamejengwa katika aina ya maisha yaliyojengwa na utawala wa nchi hii Kwa muda mrefu. Hii ni laana Kwa taifa. 2. Tatizo linguine ni mazoea ya muda mrefu ya wanadini au viongozi wa dini kuigeuza dini kuwa fursa na wanasiasa kutumia tabia zao kugandamiza wananchi. Mfano anasimama na kusema Kila utawala umewekwa na Mungu huu ni upuuzi mkubwa tawala zote duniani zimewekwa na watu na siyo Mungu ila Kwa sababu ya uhuru wa kuchagua ambao Mungu katupa mara nyingi tunaangukia katika tawala za kiibilisi ambazo ukweli huitwa uwongo na uwongo kuitwa ukweli . Vivyo viyo Haki kupindishwa na kuzuiwa kutendeka inapobidi. Hivyo Kwa TZ. Tatizo kubwa ni utawala wa ccm. Penda tusipende. Kwa sababu ya kujimilikisha Kila wazo zuri linatoka kwao na wapinzani ni maadui wa taifa. TUMELAANIWAAAAAA. Tukatubu.
@karimkassam571
@karimkassam571 11 ай бұрын
Si kweli..hujafanya tafiti...unaposema wa Tz...kuna mashekhe na MAASKOFU....kuna waumini....
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 11 ай бұрын
Uko sahihi Sawa ni kutubu
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 10 ай бұрын
Kweli kabisa na Mungu atusaidie
@abuukarata9653
@abuukarata9653 10 ай бұрын
Na wewe ni wale wale ccm ya nini tena. Wakati matapishi yako kote.
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 11 ай бұрын
Huyu jamaa sijui alikua na jambo gani na magufuli..!..sijui ni mmoja ya walioishi kama shetani maana mwanzo aliishi kam mfalme..!
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 11 ай бұрын
WATAWALA TANGU MWANZO WALIWAJENGEA WATANZANIA UOGAA 😢WATANZANIA TUJIFUNZE KUONGEA UKWELI BILA WOOGA
@LumolaSteven
@LumolaSteven 10 ай бұрын
Dhambi za Nyerere
@silvanus1990blockchain
@silvanus1990blockchain 10 ай бұрын
Hasa Magufuli alitia fola Kwa kutia hofu wananchi Mungu amkazie huko aliko
@jackiegab9394
@jackiegab9394 11 ай бұрын
We salute you Mzee Ulimwengu 🤝🤝🤝🙏🙏Spot on kama kawaida yako!!
@djovitadiyami6085
@djovitadiyami6085 11 ай бұрын
TATIZO NI UONGOZI ULIOPOTEZA MWELEKEO.MALENGO YA WENYE MADARAKA IMEKUWA KUPORA RASLIMALI ZA UMMA NA KUJILIMBIKIZIA MALI BARAKA YA KUTUMIKIA NCHI NA WATU WAKE. HALI TULIYONAYO HAIVUMILIKI NDIYO MAANA LUGHA INAYOTUMIKA KUWASEMA VIONGOZI HAINA STAHA KAMA WAO WANAVYOPORA MALI ZA NCHI BILA STAHA. UMMA
@masungajp1
@masungajp1 11 ай бұрын
It isn't about Magufuli anymore, please. He was a good man.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 11 ай бұрын
I mind the name..."Masunga".
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 11 ай бұрын
Ulimwengu has personal beef with Magufuli, he is just one sucker
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
Magufuli was a beast. He created the culture of fear in our country
@patriciamaganga3891
@patriciamaganga3891 11 ай бұрын
🥲🥲🥲🥲
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 11 ай бұрын
@@abiabi9353 before him you had the heart of Samson in you?
@jastinmodest8073
@jastinmodest8073 11 ай бұрын
Hakuna kitu hapa masikini haelewi kabisa huyu speaker
@c75923
@c75923 11 ай бұрын
Ni mpumbavu tu (tena alietukuka) anaeweza kufikiria utawala wa JPM ulikuwa “nguvu za giza”
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 10 ай бұрын
Sasa ndiyo Nini kutumbua na kishenzi lipi tusi.Uwezo wakuwelewa tunatofautiana na ninamuelewa Kila mtu . mwenye kubwata na mwenye kuongea polepole kwa sababu Mimi daima naangali ujumbe si angalii mfikishaji Wala ufikishaji .Kwa sababu ata chizi Mungu anaweza kumtumia akatoa ujumbe kwa watu.Kama utamwangalia mtoa ujumbe hautojifunza.Usimati wajengo na watu tofauti na kunisaidia Mimi na watu Kama Mimi.Mzee mbinafsi Sana huyu.Nimekuwa nikikufatilia ktk mazungumzo Yako .Wewe Mzee ufai siyo tu ktk serikali kuu ata serikali ya mtaa.Alafu mshamba wa maisha na mazingira pia.
@benjaminsumuni3802
@benjaminsumuni3802 11 ай бұрын
Mbona hata wew unatukana bwana
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 11 ай бұрын
Lugha za Kishenzi za viongozi wa Leo, kutumbuliwa.
@profs.a5412
@profs.a5412 11 ай бұрын
Mtu pekee ambae unaweza kuongea nae kwa staha ni yule ambae akifanya kosa , na ukimuonesha Hilo kosa hukili na kujirekebishaa. Ila sio haya majambazi walio Saini mkataba wa kishenzi afu wazunguka kutudanganya wanatuona sisi watz kama hatuna akili, haya sio ya kuongea nayo kwa staha, ni majambazi hayaaa, pumbavu🚶
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 11 ай бұрын
Wewe unajiona una akili?mbona comment yako yenyewe tu inaonyesha kuwa ni huna uwezo wa kufikiri vizuri?
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤👏👏👏
@johngibson3089
@johngibson3089 11 ай бұрын
Asante sana Jenerali.
@mrossobartholomew9368
@mrossobartholomew9368 11 ай бұрын
Good general!
@malcomx4067
@malcomx4067 11 ай бұрын
Miaka 5 na Bandari vinaemdana wapi? Huyu mzee ni mnafiki
@annabubelwa4543
@annabubelwa4543 11 ай бұрын
Mno, amejaa chuki tu
@oswardmkalawa9666
@oswardmkalawa9666 11 ай бұрын
"Hoja kwa hoja na si hoja kwa vitisho"
@user-jg1vm5tq5w
@user-jg1vm5tq5w 10 ай бұрын
I am a Kenyan, but I'm not happy with the kind of thing that have happened in our brothers land, leaders must listen to their colleagues before doing anything, Tanzania is a state not a house governed by a father or mother, Africa will never enjoy its independency if our infrastructures are left to the whites to rule😢, Tanzanian leaders! wake up,we are moving forward not backwards.
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 11 ай бұрын
Mzee jenerali elewa kuwa Saivi hawafokewi matajiri na mafisadi wanafokewa maskini, fuatilia wakuu wa mikoa hususani dar
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 11 ай бұрын
acha uchawa we mzee
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 11 ай бұрын
Mzee acheni watu waonywe kiongozi ni nani ni binadam au mnawaendesha ng'ombe hivo mtu anakosoa lakini anatishwa na hizi sio zama za ndio Mzee nayaona mawazo yako lakini Kwa uelewa wangu ulivo mdogo kakuna lugha nzuri Kwa mwizi nawewe lugha ulotumia ni lugha Gani Kaa pembeni nimeuona ushauri wako kwahiyo unataka watu wapigwe Mimi sikuelewi
@lilotz-we7xq
@lilotz-we7xq 11 ай бұрын
Kukosoa hakukatazwi kinacho katazwa nikumtukana Raisi kumkejeli kukashifu waarabu kwa sababu niwaislamu pia kumkashifu Raisi kwakuwa nimzanzibari umeelewa ?
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
Hivi kuna waizi Tanzania zaidi ya viongozi wa kanisa katoliki.wao ndo wanaotakiwa waonywe
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 11 ай бұрын
Sijaielewa sms yako ndugu kama Kuna viongozi wa dini walio wezi na unathibitisha kua viongozi wa kanisa katoliki ni wez toa mfano na thibitisha wachukuliwe hatua za kisheria na viongozi nibinadam kama Mimi na wewe hivo mie sijataja kwamba et kiongozi flani ni mwizi ila unaposhindwa kutetea huja ya msingi na kuwapa watu uhaini ni nani mhaini kwanza ingekua ni Nchi za wenzetu kunawatu wasingekua na kazi zaidi ingekua ni ndani watu wanatetea mambo muhim ya Nchi mwaleta udini na kusema uzanzibar haiko hivo maisha hayaendi hivo wachache wajinufaishe noooo ooo bandarini kunawezi nanikawaweka hao wezii wangewekwa na upinzani wangesema wapinzani waliwaweka Sasa chama tawala hichohicho Tanzania hii sio Ile ya ndio Mzee ukiskiliza wazee wengine wanaongea mambo yasio eleweka tuwatoleee kauli nzuri wezi Kaa pembeni nawe naona tunapotezeana muda
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 11 ай бұрын
​@@lilotz-we7xqhivi wewe ulisha fika zanzibar? au kwa hao waarab wanaosema wafrica akili hawana kama vile hawana nwele na rangi ndivo hawana akili hao wazanzibar wanawaita watu wa daar na mikoa mingine wote maqaafir hata waislam wote maqaafir eti watu wabara maqaafir ama hamlioni hilo mnaona tu wanaorudisha kashfa kwenu acheni ujinga wote wanahitajika kuheshimiana msilazimishe heshima itoke upande 1
@emanuelkamangu6500
@emanuelkamangu6500 11 ай бұрын
Safi sana Mzee Ulimwengu
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 11 ай бұрын
Magufuli alitufaa Sana
@HenryAnatoly-jg3df
@HenryAnatoly-jg3df 11 ай бұрын
Naona huyu mzee katumwa mana anazunguka2 mara majibu ni tusi. Je ushenzi ni nini? Nyie ndo walewale mnaukula hii nchi ila sasa wtz wamechoka tena wemekua na uelewa mkubwa, haiwezekan mikopo kl kukicha wawekezaji kl pa hara lkn maisha ndo yanazid kua magumu zaid. Ungea ukwel msema kwel mpenz wa Mungu
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 11 ай бұрын
Wapiga Midomo, Hii ndo Kazi Yao Wananchi.. Ndo Wanapokulia hapo😬😬😬 Vikao vya Majipu....
@michaelgershon9077
@michaelgershon9077 11 ай бұрын
Hapo katika majibu ndugu ,hakuna staha ,kama jizi unatake,anatakiwa afungwe. Mzee umeongea vizuri lakini usiwe na huruma na wezi.
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 11 ай бұрын
Luga kama jipu nazingine zinatokana naselikali kuendelea kuwa naviongozi walalushwa au asiejituma naselikali haimchukulii hatua yakumwajibisha au inamhamishia seem ingine nakuendelea kufanyamadudu kwaiyo atakuwa jipu nadawa yajipu nikuondolewa nakiongozi mzalendo kama jpm ila kwasasa naviongozi huu mnaweza kulitoa jina jipu kwasababu wote waliokuwa juu ni ma😂
@user-ey6ip5lf4p
@user-ey6ip5lf4p 11 ай бұрын
Maisha yote yanapita tuu na huu ujinga utakoma siku moja, nani akifa anaweza kubeba hata senti 5? Au mke wake, au hawara yake au kujua kama amevalishwa? UJINGA SANA WAJINGA SANA VIONGOZI VIPOFU WA PESA
@karimkassam571
@karimkassam571 11 ай бұрын
Hivi hawa wazee hawachoki tu uzushi
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 21 күн бұрын
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ametueleza kuhusu sifa za wanafiki ili atutahadharishe nao, ili tujiepushe nao Ishara ya mnafiki ni tatu: Akisema uwongo, akiahidi anavunja, na akikabidhiwa anafanya khiyana, anatuonya dhidi ya kuvunja ahadi, dhidi ya kusema uwongo katika hadithi na hadithi, na dhidi ya khiyana katika uaminifu. , na kwamba wao ni miongoni mwa watu wanaafiki, tunajikinga kwa Mwenyezi Mungu, basi tahadhari nao. Sisi tunawajua vyema ni kina nani watoa pesa wanaotaka kuwapoteza waja wema wa Mwenyezi Mungu kwa hiyo ni lazima mrejee kwa Mola wenu kabla hatujakufanyeni ni mfano wa kuigwa mbele ya waja wa Mwenyezi Mungu na Umma wa Muhammad, Mwenyezi Mungu ambariki yeye na aali zake. na Maswahabah na uwape amani Ee Mola Mlezi wa walimwengu wote.☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻
@salehesamba1237
@salehesamba1237 11 ай бұрын
Ulimwengu hongera sana
@user-xi6ju3qo5m
@user-xi6ju3qo5m 11 ай бұрын
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 11 ай бұрын
Huyu ana chuki na mwenda zake, hana hoja.
@mashirimathias6006
@mashirimathias6006 11 ай бұрын
Mtu mjinga na mpumbavu atataka mwizi aitwe mtu aliyechukua bila kibari
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 11 ай бұрын
Hili ni funzo na darasa kubwa sana kwa wale wanaojiita Wazalendo wa Tanganyika
@theleo3899
@theleo3899 11 ай бұрын
Fala mkubwa wee
@charlesmgory3131
@charlesmgory3131 11 ай бұрын
Hoja yko ni ipo mzee mbona hoja na wwe Huna una chuki2 bnafsi
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 11 ай бұрын
Una bifu na magufuri wetu ndio maana wewe sio mtanzania achana na ujinga wa kishenzi wewe
@charlzlomo9219
@charlzlomo9219 11 ай бұрын
Kwanini wanadam wanajisahu sana wakati siku za kuishi hazizidi 43920=miaka 120
@adkajisi4536
@adkajisi4536 10 ай бұрын
Wasabato na hesabu zao sasa
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 10 ай бұрын
Ndiyo Jenerali Ulimwengu! Hakika utamaduni wa kufikiri, kujenga hoja na kuwasilisha hoja unakufa! Yaelekea zama hizi watu hawawapendi sana "critical thinkers!" Watu hawawapendi wanaoibua mambo katika kufikia ukweli! Na hawa ni wale ambao kwa muda mrefu wamekuwa katika nafasi nzuri katika kuila keki ya taifa na mara nyingi wakiipata keki hiyo kwa namna isyo ya haki! Ili mradi wanabakia na kudumu katika nafasi walizopo hawatawapenda kabisa wanaofikiri na kuibua maovu au wanaofikri na kujaribu kuleta au kubuni namna tofauti ya maisha iliyobora kwa maendeleo ya taifa. Waovu hao huridhika na "status quo!" Huwabeza wanaofikiri na hata kuwaita ni wachochezi au wanaoshirikiana na mabeberu! Taifa limedhoofishwa katika kufikiri kwa jinsi hii! Watu wazuri wa kufikiri huamua kukaa kimya kuogopa kupatilizwa, kubezwa na hata kutiwa adabu! Wanaoingia madarakani kwa njia zisizo haki au wakiwa na tamaa ya udikteta hawawezi kuwapenda wanaofikiri! Wanapenda watu wawe wajinga ili wawatawale kwa urahisi! Huamini katika mtazamo wa, "Usimuamshe aliyelala usije ukalala wewe!" Hata tunapokazana mashuleni kuwahimiza wanafunzi waweze kufikiri kwa kujitegemea na kujua kujenga hoja, kunakuwa hakuna maana tena; ni kazi bure kwa vile huko kufikiri hakuna matumizi katika maisha halisi ya Tanzania! Huku maishani kumejengwa utamaduni wa kusifianasifiana, kujikombakomba, uchawauchawa, uongouongo, unafikiunafiki....na watu wanaishi na kuneemeka kwa utamaduni huu! Ùsomi unabezwa; ukiwa mtu wa vijembevijembe ndo waonekana kada mzuri na uteuzi kwenye ngazi fulani ya juu unakunukia...na wala si uwezo! Taifa lisilokuwa na watu wanaofikiri laenda kuanguka na kufa! Hivi "models" kwa watoto na vijana wetu katika kufikiri vizuri na kujenga hoja ni akina nani?
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 10 ай бұрын
Bora uite pres yako na waandishi sio kutuandikia majarida
@williamm.hamuli1695
@williamm.hamuli1695 10 ай бұрын
Wachache hata hivyo watakuelewa
@stonyabdul404
@stonyabdul404 11 ай бұрын
wewe jenerali huna jipya wewe ni wale wale una wafundisha ujinga watanzania yaani tuwe na rugha za staha wakati ni nyinyi wachache ndio munao faidika na hii nchi pisha vijana waikomboe nchi staha kwenye familia yako babu hovyo
@HenryAnatoly-jg3df
@HenryAnatoly-jg3df 11 ай бұрын
Yaani wazee walaji hawa ndo wanaoirudisha nyuma nchi y2 mana hawatak kukemea uovu wa viongoz. Coz wao ni miongoni mwa mafisadi ukiitwa jipu makosa. Unamzungumzia JPM wkt yy hayupo wala hawez kukujibu, ila wtz wanamjibia hata km katangulia mbele za haki na tulimpenda sn
@nyotamy3678
@nyotamy3678 11 ай бұрын
👏🏽👏🏽
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 10 ай бұрын
Mzee kila kitu ni kumsingizia Magufuli😂😂😂😂 Magufulification kweli kiboko alikuwa jiwe kweli marehemu anapambana na waliohai
@ummahmed3354
@ummahmed3354 11 ай бұрын
Kuna jamaa anaitwa mwambukuzi...anasifa zote hizi...jamaa anajifanya bandari zake...ghafla tu anekuwa mzalendo wa uchungu
@theleo3899
@theleo3899 11 ай бұрын
Kaa kmya mbwa wew au mwabukusi baba yako nn
@davidwhite7834
@davidwhite7834 10 ай бұрын
Were mzeeeh jau sana
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 11 ай бұрын
Hasira inakua siku hata siku ndani ya nafsi za watu...
@blessjo1678
@blessjo1678 11 ай бұрын
HAWAJAUI KUWA MWAMBUKUSI ANAWATOTO WAKE AU MBEGU ZAKE ZIPO ZINAOTA MTAANI SIO MTU MMOJA AMEUMIZWA WATU WENGI WAMEUMIZWA SANA NA MPANGO WA DP NA WALIO NYUMA YAKE
@blessjo1678
@blessjo1678 11 ай бұрын
UTAKUTA MTU ANATETEA RASILIMALI ZA NCHI ANATISHIWA MAISHA
@festohaule9716
@festohaule9716 11 ай бұрын
@@blessjo1678 .. Afrika yote inapaswa kutawaliwa kijeshi..kama Afrika Magharibi, Viongozi wajifunze..
@KB-il8nd
@KB-il8nd 11 ай бұрын
Hivi Ulimwengu ni Mnyarwanda au Mtusi?
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 11 ай бұрын
Ni binaadamu kama wewe tu.
@KB-il8nd
@KB-il8nd 11 ай бұрын
Labda si Mtanzania kama hakuzaliwa TZ.
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 10 ай бұрын
@@KB-il8nd Mzee wako alishawahi kuitumikia hii nchi kwenye nafasi yeyote ya uongozi? Jenerali alishawahi kuwa mkuu wa wilaya kadhaa hadi miaka ya 90,mbali na vyeo vingine ndani ya CCM.
@user-vr2ne3lq5u
@user-vr2ne3lq5u 11 ай бұрын
Majina magumu hivyo, chanzo nn? Upuuzi wa mambo,ndio unaleta hayo!
@tellamaringeni6427
@tellamaringeni6427 11 ай бұрын
Watende kwanza kwa staha ndipo tutaongea kwa staha
@furahajeremiah6809
@furahajeremiah6809 11 ай бұрын
Unasemaje juu ya bandari
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 11 ай бұрын
BANDARI YETU SISI WAUNGWANA WA PWANI WENYE BAHARI KWA RIDHAA YETU TUTAMPA MUUNGWANA MWENZETU MUARABU,HAO WAPINGAO HAIWAHUSU,WENYEWE NI PWANI TANGA DAR LINDI MTWARA.LAKINI MBEYA KILIMANJARO KANDA YA ZIWA N.K.HAIWAHUSU WANAJIKOMBA TU ,WASUBIRI WAKIDAIWA MITO MABWAWA NA MAZIWA NA SIO BAHARI
@GoodluckKimaro-tw6tj
@GoodluckKimaro-tw6tj 11 ай бұрын
Sawa tunafundishiwa wapi
@amourmtungo623
@amourmtungo623 11 ай бұрын
🤔Tujifunze kuhukumu vitendo na sio maneno hapa ndipo tunapokosea mara nyingi. Nia ya kufanya kitu au jambo ni tafauti na kulifanya au kutimiza kwa mfano: nikisema nitakushtaki, nitaandamana kesho au nitamtukana mkuu wa polisi. Kwanini dhana inachukuliwa hatua hata bado haijatekelezwa? Tena hatua zinazochukuliwa ni raia kunyimwa uhuru wake kwa siku kadhaa ambapo sio haki.
@wakwetu2444
@wakwetu2444 10 ай бұрын
Ni kweli Genarali - tumeanza kupoteza ustaarabu wetu.
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 10 ай бұрын
Saf sn mzee
@abdulsintoro5797
@abdulsintoro5797 11 ай бұрын
Watu wana piga kelele saabu kwenye mgao hawapo
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 11 ай бұрын
Ni Sawa kabisaaa!🎉🎉🎉
@DENISGWAGWALA
@DENISGWAGWALA 11 ай бұрын
Mzee mjinga Sana huyu hafai yeye chuki tu na unafiki tu saiz anajifanya eti mjinga vihoja vya kijinga ameifanyia ni Tanzania mambo la maana Mzee wa hovyo huyu
@DENISGWAGWALA
@DENISGWAGWALA 11 ай бұрын
Eti hoja anajua hoja huyu Mzee jinga mpaka hapo na uzee wake ameifanyia in Taifa hili tofaut na unafiki wake yaan yeye!Kila anapozungumza lazima ataje awamu ya Tano kama sio ujinga
@DENISGWAGWALA
@DENISGWAGWALA 11 ай бұрын
Una akili timamu utawezaje kumse a marehemu Kila sku badala ya kujenga hoja
@njemamehuna9821
@njemamehuna9821 11 ай бұрын
Tatizo Twaha ni mdini sana
@edenusmrosso9225
@edenusmrosso9225 11 ай бұрын
miaka mitano yana mahusiano gani na bandari. hovyo kabisa
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 10 ай бұрын
Daima sikubari katika kuzungumza kwa sababu historical inaonesha matapeli asilimia kubwa ni faswaha wakuzungumza.Ata nyinyi mmefundishwa kuzungumza uongo Mara nyingi nyingi atimae uongo utazoeleka na watu wataamini.
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 11 ай бұрын
Mmh
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 11 ай бұрын
Huyu jamaa mjinga Sana, nchi hii baada Nyerere n JPM Tutawakumbka sn wameacha Alana kubwa sana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 ай бұрын
Hahahaha,,,JPM huyu muasisi wa kikokotoo kinachowaua wafanyakazi?
@giztony2009
@giztony2009 11 ай бұрын
Alama gani ya upendeleo wa chato
@petermbuja3783
@petermbuja3783 11 ай бұрын
mzee huna jipya
@mohamedsiaga7651
@mohamedsiaga7651 10 ай бұрын
Nimegundua watu wenye umri mkubwa báadhi yao wanaroho za kwa nini wanachuki Kuna wakati walikataa ndege zisinunuliwe,mradi wa umeme usijengwe,Barbara zisijengwe wanaotaka vijana wetu na wajukuu zetu waishi kama walivyoishi wao Leo serikali inataka kufanya marekebisho ya bandari hawataki Mungu tusaidie
@patrickKitambo
@patrickKitambo 10 ай бұрын
We mzee nilikua na kukhbali sana ila baada ya kugundua bado unachuki binafsi na Magufuli, siwez kukuheshimu tena
@solomonadams6337
@solomonadams6337 10 ай бұрын
what I can see katika nchi yenu to compare with the western countries muko mbali sana tuu na dunia kwanza ham'na human rights halafu ham'na democracy 😢 mwinyi ni ukatili na wizi tuu..hio imo kwenye damu yenu...!thanks
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 11 ай бұрын
Kila mmoja wenu humo kashikishwa bahasha nzuri, na chai nzuri, Lunch fresh😏😏😏☹️☹️☹️
@langotv5071
@langotv5071 10 ай бұрын
Mzee hapo kwenye majibu siko na wewe hao ni WASHENZI sana hakuna lugha. Staha hapo ni majipu tu watumbuliwe
@erickcleophas682
@erickcleophas682 11 ай бұрын
Mzee huyu ni mnafiki. Siwakusikiliza. Mbona wakati wa Jpm alikuwa mbogo??. Hovyo sana mzee huyu sijui anataka nn?? Mpaka muda huu na umri huu ueleweki. Aisee mungu anawaona.😊
@molenicharles9107
@molenicharles9107 11 ай бұрын
Hebu kafuge tunguli nyumbani kwao🏺🏺♟️🗿🗿🍗🍗
@JumaJems-gh9ih
@JumaJems-gh9ih 11 ай бұрын
Kwanini usitumie neno LUGHA MBAYA
@issakazi2758
@issakazi2758 11 ай бұрын
Jenerari acha unafiki we si mtanzania nikipi kinakusumbua?
@kudrachristopher4640
@kudrachristopher4640 11 ай бұрын
Moja ya wazee wenje alikiri walobaki❤
@gracejonh4022
@gracejonh4022 11 ай бұрын
Una lolote watu tushaamka
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 11 ай бұрын
Hana hoja huyo jenelari.
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel 11 ай бұрын
Utakufa lini
@samuelnoah3572
@samuelnoah3572 10 ай бұрын
Saw this all over the papers today, front page news. It made me wonder... specifically about the Pitfalls of National consciousness like Frantz Fanon. Anti-racism racism. Kupinga kutukana kwa kutukana vibaya zaidi.
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 11 ай бұрын
Tumepigwa sana nawananchi tunajua ila niwaoga tu,ila Sasa tunaona njia inaanza kionekana.hii yote ni kutfanyawananchi tulip wengi wajinga
@saidimpako5186
@saidimpako5186 11 ай бұрын
kauli za Lisu hamuzisemi
@adammalima3408
@adammalima3408 11 ай бұрын
Mzee una chuki na JPM ila hamtashinda! Badala ya kujikita kwenye maada mnapoteza muda! Watanzania tunaelewa
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 11 ай бұрын
Unachuki binafsi na mwendazake. Umeshazeeka hauna kitu.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 11 ай бұрын
Mwendazake ni shida sana bhanaaa!Hilo linataka tochiiii!
@Ahdall
@Ahdall 10 ай бұрын
Kanisa liwache kiburi Mambo yote yatakuwa sawa kwasababu wao wanafiki Tanzania ni ya kwao pekeyao
@user-nr3uw7bq1r
@user-nr3uw7bq1r 10 ай бұрын
Kwani we zumbukuku ulimwengu, unanzugumzia upuuzi gani, mpaka leo magu,hayuko Lakini ukifungua domo lako wakwanza kumsema vibaya nimagufuli we mzee vip kichwa kibovu wewe
@bagenihuduma1569
@bagenihuduma1569 11 ай бұрын
Tunasahau haraka sana sisi. Serikali iendelee na mipango yake tulizoea kuzibwa midomo sa hivi uhuru umetuzidi. Kazi iendelee
@imanihussein9457
@imanihussein9457 11 ай бұрын
unakali
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 11 ай бұрын
Halafu we Mzee usiongee mafumbi unachosema nikumsema Magu kipenzi Cha watu,nainakuuma sana,kwasababu mlitolewa kwenye sistim.
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 11 ай бұрын
Kipenz Cha we hawez kuwa kipenz Cha baba wa akwilini alimpoteza mtoto kwa ubabe wakae tundu lissu mpk leo mlemavu kisa yy Alphonse mawazo marehem azory gwanda aliwafukuza watumishi wakati waliwaajili wao wenyewe alikuwa mtu wa ovyo mno eti kipenz Chako sio huyu mzee anaakili kuliko ww
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 11 ай бұрын
Kipenzi chako wewe marehemu mwenzako
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 11 ай бұрын
Yuko wapi Beni SAA nane hakuna kitu DUNIANI kina thamani kuzidi uhai Bora anaeuza bandari lkn haui watu wacha watu waishi uhai wao wamepewa na MUNGU MWENYE KUICHUKUA MUNGU MAGU ALIMKOSEA SN MUNGU MAMLAKA HUTOKA KWA MUNGU ALIPOKOSEA MUNGU AKANYANG'ANYA MAMLAKA YAKE.
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 11 ай бұрын
Huyu mzee ni msomi na ana akili na anachokiongea ni ukweli mtupu lakin ushabiki wa watu wasiotakakuelewa wataishi kwa ushabiki hadi kufa hawatabadilika akiambiwa mavi ni chakula kwa kuwa anayesema alimpenda ataishia hata kubakia n maneno hayo kuyaamini na ushabiki ni mbaya hata n unagandisha akili inakuwa sio rahis kuibadili na mzee huyu ni msomi ila washabiki hawawez kuelewa ila mtu mwenye mawazo huru akili huru
@theleo3899
@theleo3899 11 ай бұрын
We mwenyew ujmwelew utumbo anaouongea fala wew
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 10 ай бұрын
@@theleo3899 ushabiki ndio unkufanya akili imeganda unaishia matusi tu huna hoja wala sikulaumi najua tatizo lako ni hilo matusi sio fani yangu tukana andika mengi sana lakin hoja hutakaa uwe nayo zaidi ya matusi na mzee kayasema hayo na ni ya kweli na ushahidi ndio hii comment huwezi toa hoja utatoa matusi maana umeingia kweny fani yako ya matusi kwenye watu wenye hoja za kielimu na kisaikolojia sasa unaishia hasira na matusi tu na jazba maana sio sehemu yako hapa. Sisi sio watu wa fani yako hiyo
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,8 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 46 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, ..Julai 18, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 196