Mazungumzo Juu ya Hali ya Vyombo vya Habari na Siasa |Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo S15

  Рет қаралды 9,912

The Chanzo

The Chanzo

8 ай бұрын

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 28
@vickytorry100
@vickytorry100 8 ай бұрын
Jenerali wewe umejaa hekima, huna makuu na msema ukweli. Mungu akulinde🙏🏾
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 8 ай бұрын
Nikweli kabisa chama cha mapinduzi sio chama cha siasa na hii nchi inaendeshwa na chama kimoja ,,hongera mh jenerali ulimwengu
@jacobkeli1325
@jacobkeli1325 8 ай бұрын
Great program, very articulating and informative. Please, keep up the good work.
@user-sy9rp1mg2r
@user-sy9rp1mg2r 8 ай бұрын
Nice
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 8 ай бұрын
Huyu mama kama ana nia ya dhati anaweza kubadilisha for better tomorrow
@user-mp7zk7dk7f
@user-mp7zk7dk7f 8 ай бұрын
Hongreni Kwa kutushirikisha hekima zenu Asante kwa chakula kizuri Cha akili
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 8 ай бұрын
Eti unaamka asubuhi unakuta vyombo vyote vya Habari vichwa vya habari katika kurasa za mbele vinasomeka MAKONDA kapanda juu ya Chura😂😂😂🎉🎉🎉
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 8 ай бұрын
Ahsante nakufaham general
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 8 ай бұрын
Elimu nzuri sana
@anosiata8242
@anosiata8242 8 ай бұрын
Nimependa maongezi yenu yanaelimisha jamii.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 ай бұрын
Kwanza kabisa mimi naogopa kusema kuwa hapa tuna vyombo vya habari. Kwa sababu unadhania kwamba wameajiliwa na Samia na utawala wake.
@frankminga9307
@frankminga9307 8 ай бұрын
Generali haujawahi kubadilisha rangi
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 8 ай бұрын
Hatuna vyomba vya habari katika nchi hii. Vyombo vingi vilivyopo ni vya kuwasifu watawala na wapambe wao. Havina uhuru wa kutoa habari halisi kwa jinsi zilivyo. Havihoji ni kwa nini jambo Fulani limetokea. Hivi vyombo havipo kwa ajili ya mustakabali wa maendeleo ya nchi na wananchi. Havina uhuru wa kuonesha utaala wao wa kuhoji mambo kwa undani Wala havipo tayari kuyasikiliza mawazo tofauti na ya wale walioko madarakani.
@albertvalentino130
@albertvalentino130 8 ай бұрын
" Tumenasa kweli kweli "
@sharifakalokola5696
@sharifakalokola5696 8 ай бұрын
👍
@robertbutahe2835
@robertbutahe2835 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jamesbaisy8068
@jamesbaisy8068 8 ай бұрын
Rekebisha nanmna ya ku interven while ur guest is talking, kuna wakatati unamkatiza mtu kwa kuuliza vitu tofauti na kile alitaka kusema.hoji mtu kwa mtiririko na kumpa freedom ili akupe unachotaka.
@piuskatunzi7112
@piuskatunzi7112 8 ай бұрын
Ningependa siku moja nialikwe kwenye vipindi vyenyu nilaambie kwanini vyombo vya habari nchini Uganda vinaaonekana kama huru. Ukweli ni kamba hali ya uandashi wa habari ni mbaya sana.
@kijani4
@kijani4 8 ай бұрын
This journalism
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 8 ай бұрын
Wanao haribu ichi wanajulikana
@amourmtungo623
@amourmtungo623 8 ай бұрын
Uandishi wa habari barani Afrika sio Tanzania tu upo chini ya kiwango kinachohitajika kijamii. Kama ni kwa pasenteji tupo nafkiri 49% hata 50% hatujafikia kwanini? Sababu zipo nyingi lakini chache kati ya hizo ni vitisho, woga na aidha uongo au ukweli. Ukweli ni ngao na ahadi za kila mwanajamii iwe mtu wa kawaida au kiongozi kuwa watatumia fursa zao kusema ukweli ambao mara nyingine umesababisha watu kufukuzwa kazi au kutishiwa fursa ya ajira au kufungwa kabsa. Vitisho vipo na vinaleta sio hofu tu na woga baina ya watu na viongozi, bali pia huzorotesha maendeleo ya nchi kwasa ukweli hufichwa kuwa uongo. Tujitahidi tu kuelimishana ndio msingi lakini pia tupendane bila ya kujali itikadi za kidini au siasa.
@ernestsamson2761
@ernestsamson2761 8 ай бұрын
weka na njaaaaa pia
@matiredms917
@matiredms917 8 ай бұрын
Vyombo vya habari vya Tanzania vimejisalimisha kwa Watawala dhalimu na Serikali ambayo imeamua kowapoka wananchi uhuru wao wa kjieleza. Ni aibu kwa chombo kama ITV ambayo ni ovyo kuliko hata TBC1. Watangazaji wake wote wamekuwa wasaka vyeo kwa Samia. Hivyo kila kuki cha wanaimba utukufu kwa Mama!
@recenttechnologiestanzania2703
@recenttechnologiestanzania2703 8 ай бұрын
Nimefurahi kusikia hekima za huyu mzee ,vijana tuna wajibu kwa nchi yetu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 8 ай бұрын
HASAN ALIRUHUSU PIA WATU WAFANYE BIASHARA MADUKA YA SERIKALI RTC YALIPOKUFA
@oliveritluway9352
@oliveritluway9352 8 ай бұрын
Kila Rais wa CCM anayeingia anaogopa CCM kumfia mikononi, Wananchi waamke waipambanie nchi yao
@alenkitunga6032
@alenkitunga6032 7 ай бұрын
Najaribu kusikiliza mgeni. Nilijua mgeni ndie anaýehojiwa. Naona mgeni amegeuka kuwa mwenyeji. Sio shida mimi sio mwandishi. Shiadacyangu ni swali kuhusu kipindi cha Magufuli. Kwa nini mgeni anajua msimamo wa mwenyeji kabla hajamuuliza? Naomba mahojiano yasipangiliwe yawe ya papo kwa papo. Hii ni ili tupate mawazo ya pande zote mbili
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 62 М.
Optogenetics: Illuminating the Path toward Causal Neuroscience
3:54:38
Harvard Medical School
Рет қаралды 1,7 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН