MBARIKIWA AENDA KULIPOTI CENTRAL LEO KWA KESI YA CHRISTINA SHUSHO HII NI AJABU

  Рет қаралды 1,461

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@DeodatusPhabian
@DeodatusPhabian 2 ай бұрын
Ukimshiba Yesu mzimamzima. Lazima ukubali kufa ili uwe hai. Usipolia hautafutwa machozi. Yesu awashindie, Mathayo 10:39
@PastorEsngorowil
@PastorEsngorowil 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa walimsema watu wengi isipokuwa aina ya maneno waliyokuwa wanayatumia kidogo walipunguzwa ukali wa neno Hakuna mtumishi alimwita christina malaya tukiachana na hao wengine ambao sio watumishii kama nyie, Hivyo neno alilotumia mbarikiwa MALAYA/ KAHABA nafikiri ndo sababu.. Na kwaupande wa christana kwa sasa sizani kama ni mtumishi hata kama anajihita hivyo... Ukali wa maneno kama KUSEMA KAHABA TENA MALAYA duuu..! Mama mbarikiwa wewe ni mpole sana na una hekima kubwa hata unavyokemea ni rahisi mtu kukuelewa hivyo mshauri mzee asitumie matusi kinjwani mwake..
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 2 ай бұрын
@user-ts6fh4si3m. Hiyo clip waliunganisha vipande wewe kaangalie ya kwake ambayo alirusha yeye,hekima ya wanadamu kwa Mungu ni upuuzi hivyo angerudi kwa mume kuliko point alizoongea
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n 2 ай бұрын
HIVI MTU AKIKUAMBIA UMEVAA SHATI JEUPE NA WAKATI HUO WEWE UMEVAA LA NJANO, KITAKACHOKUUMA HAPO NI NINI?, KUAMBIWA UNATABIA FULANI NA HAUNA HIYO TABIA, KUUMIA KWATOKA WAPI?.
@frenkfarm1139
@frenkfarm1139 2 ай бұрын
mtu maraya akiwa maraya nikunyoka nae asiaribu wengine baba mbalikiwa mi upande wangu sina shaka na wewe hakika unae mungu wakwery
@elishadodi8787
@elishadodi8787 2 ай бұрын
Jamani hata kiswahili tuwe tunaelewa Maana za maneno hivi Malaya ni tusi au ni neno Kali? Kwani Christina shusho alipokuwa analitamka kuwa ukiachana na Mume wako ni umalaya tu, tuseme hapo naye alitukana? Kama ni tusi au neno Kali mbona yeye hakujishtaki au hakushtakiwa kwa kutukana? Hivi ni neno gani mbadala lisilo na makali mbadala wa neno Malaya? Uzuri Mbarikiwa alinukuu kile Christina alisema kwenye hekima za bi Tina kuwa kuachana ni umalaya, Sasa tujiulize Christina hajaachana na Mume wake? Jibu ameachana ok tumuiteje yeye akiachana na mumewe? Wengine wakiachana ni Malaya Ila yeye aitwe mke wa mtu bado? Wakati mwingine unaweza ukawa unaenda shule lakini hujajifunza chochote au ukabaki huna Elimu. Watanzania wengi Elimu mliyosoma siyo elimu na haiwasaidii kwa sababu huwezi ukaita neno Malaya eti ni tusi. Kwa hiyo kumbe mtu akijiita mbwa haina shida Ila wakimuita wengine mbwa kama anavyojiita ni tusi au neno kali. Halafu ninyi ambao huwa mnasema hajatumia hekima huwa nawauliza hekima ipi na lugha ipi isiyo Kali alipaswa aitumie, mbona huwa hamsemi? Ok ninyi wenye hekima kuliko Mbarikiwa kama wewe unayesema alitukana clip yako iko wapi uliyotumia hekima kuongea na Christina? Tuoneshe maneno yasiyo makali uliyotumia wewe tujifunze Basi. Ujue ninyi watu mna matatizo siyo kidogo mtu mkosaji hamumuandami kumsahihisha Ila ikitokea mtu anamuweka sawa aliyekosea mnasema amemdhalilisha au amemtukana. Ninyi watu wa hovyo sana kama mnajiita wenye hekima mmenyamaza huku mkiita hekima ni kunyamaza au ukiona mtu anakosea muombee. Huo ni upumbavu, imeandikwa wapi ukiona mtu anakosea muombee au unyamaze? Kasome hapa Isaya 58:1. Ok kama hekima ni kunyamaza mbona ninyi hamtunyamazii tunaopiga kelele kwa waovu ili mtuombee? Mbona na ninyi hamna hekima kwa kutokutuombea tunaongea na badala yake mnarusha maneno tu. Wanaotakiwa wanyamaze ni ninyi watu wa taipu yako na siyo kama Mbarikiwa au wa taipu yake. Kama mnadhani kukaa kimya ndiyo kuonekana ni mtu wa MUNGU ok kaeni hivyo ninyi nasi tukae kama tulivyo, siku Ile ili tutoe hesabu ya kile kila mtu alifanya Duniani. Nimalizie kwa kukuuliza, Christina shusho kwa alichofanya alitakiwavaitweje kwa mjibu wa hekima za bi Tina? Ni maneno gani yasiyo makali au yenye hekima yalipaswa yatumike kumuita anavyostahili sawa na alichofanya Cha kuachana na mumewe? Tuambie wewe Mwenye hekima Basi.
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 2 ай бұрын
Baba Mungu yuko upande wako,hawa najua wazi wanatumwa shetani kwa sababu ni mateka wa shetani.
@DicksonPaul-nf2el
@DicksonPaul-nf2el 2 ай бұрын
MUNGU yupo MUNGU BABA
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n 2 ай бұрын
Waliposikia injili wakachomwa mioyo, wengine wakasema tufanyaje?,na wengine wakatiwa nguvu na shetani kuwakabiri mitume, kama shetani alivyomtia nguvu christina shusho, laana na iwe juu yake mwana wa ibilisi huyu.
@petermwenda6470
@petermwenda6470 2 ай бұрын
😢😭😭
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 ай бұрын
MUNGU tusaidie sisi wanao kwa mapito yote haya.
@theogeorge3773
@theogeorge3773 2 ай бұрын
Mbombo ngafu
Mbarikiwa apinga uwepo wa uchaguzi. Asema hautabadili chochote
30:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1,9 М.
Mbarikiwa amrukia vibaya IPM. Umetoka kwenye Uislamu kuja kuchafua Ukristo?
38:26
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 33 М.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 9 МЛН
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 12 М.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
MATOLE TV
Рет қаралды 7 М.
Wahubiri wote ni mbwa kweli?
24:50
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 6 М.
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15