MBARONI KWA KUCHOMA PICHA YA RAIS SAMIA, KAMANDA WA POLISI AELEZEA TUKIO ZIMA

  Рет қаралды 6,065

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

27 күн бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Aliyechoma picha ya Rais Samia mikononi mwa polisi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Shadrack Chaula (24), msanii wa sanaa ya uchoraji kwa tuhuma za kuchoma moto picha ya Rais Samia Suluhu Hassan na kujirekodi video fupi akimkashifu Rais na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Hayo yameelezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga leo Jumanne Julai 2,2024 na kuongeza mtuhumiwa alitenda kosa hilo Juni 30, 2024 katika Kijiji cha Ntokela, Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya.
Awali, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera alilaani tukio hilo na kuagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumchukulia hatua kijana huyo, huku viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kupitia Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa NEC Ndele Mwaselela, wakilaani tukio hilo na kulitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua.
Imeandikwa na Hawa Mathia

Пікірлер: 23
@ipepeetube449
@ipepeetube449 26 күн бұрын
Picha tu kama kanunua kaamua kuchoma si ni yeye kwani kaibia mtu huyo ni nyoka asieng'ata msingeharibu hata nauli kumfuata
@MariyamuMussa
@MariyamuMussa 23 күн бұрын
True tujitahid kufanya kazi za maendereo nasilufuatilia ujinga kama kachoma kachoma picha nikupotezea nnaujinga wake manaraisi wetunbdoyupo tuuh
@YusuphramadhaniYusuph
@YusuphramadhaniYusuph 21 күн бұрын
Kuanzia police na :::::::::::wao wote wasengee tuuu
@MariyamuMussa
@MariyamuMussa 23 күн бұрын
Mungu mkubwa jamani Anaebisha na abishe ili aishimilele
@elishampoki8751
@elishampoki8751 25 күн бұрын
Asamehewe Hajui Alitendalo,,kachanganyikiwa na maisha huyo kijana mdogo mno, bado maisha ajajua hata sheria hazijui Hata miiko haijui , Mimi mwenyewe kanikosea kuchoma picha ya mkuu wa nchi ila kulingna na umri wake , nikumwacha,na kutandikwa viboko,,ili asilude tena,
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 25 күн бұрын
sasa ye am takiii kwa nñ musiwakamate akina mwigulu wana iba ela kila siku muna mkamata uyo picha am takii njaa kaliii mitaaniiii
@rasnchimbi
@rasnchimbi 26 күн бұрын
Hii inalenga kuchepusha na kufifisha hoja za makubwa yalotokea😂😂
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 25 күн бұрын
Na juz tuliia kumfukuzaa mpina mbona mja mkamata au kumkataza si ana toka mbea tulia au mpina anongea ukweliii kafukuzwa bunge nyinyi mme kaa kimya tatizoo nn picha mna kamata yan tz yaovyooo sana mna ona kenya ipo siku na sisi tuta choka
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 25 күн бұрын
Mtakaza mageleza jmn watu wengine mjalibu kuangalia tu tu
@jisrainomwa4015
@jisrainomwa4015 25 күн бұрын
Picha kwani kaiba au yake her jaman
@athumanhusen6008
@athumanhusen6008 24 күн бұрын
Badala mumkamate jizi la Mali ya uma mwigulu mnapoteza mda na vijana waliochoshwa na maisha tu ,,huyu jamaa hajui hata analofanya
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 25 күн бұрын
Kamateni mafisadi
@Jumamakanta
@Jumamakanta 25 күн бұрын
Huyu kijana hafai hata kidogo
@MariyamuMussa
@MariyamuMussa 23 күн бұрын
Hafai kauwaa au sio hafai maisha tuuh yamemchanganya
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 24 күн бұрын
Najaribu kufikiri kesi na hukumu yake itakuwaje
@lil-masougee7388
@lil-masougee7388 24 күн бұрын
Hukumu yake ni miaka miwili jela au faini ya milioni tano 5
@MariyamuMussa
@MariyamuMussa 23 күн бұрын
Nikweri Mzee sijui watampa kifngi Gani nibola asamehewe mana anawatoto wazazi kile anachokipata agawane nae maishatuu yamemchanganya huwenda
@nathanlusulo-po2lj
@nathanlusulo-po2lj 25 күн бұрын
Mnaficha waovu
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 26 күн бұрын
Huyo mwehu tu kama viongozi wa Chadema waliowengi niwajinga na wehu ty
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 25 күн бұрын
Tuendeleh kupaka rangi upepepo
@SalimAthuman-xh7ci
@SalimAthuman-xh7ci 25 күн бұрын
Jeshi lapoliso nawapongeza kwakwzi nzuri nimefulai sana mpelekeni makamani akafungwe 30
@Ana-di6qg
@Ana-di6qg 25 күн бұрын
rudi shule kwanza jifunze kuandika
@lil-masougee7388
@lil-masougee7388 24 күн бұрын
Hapana kwa mujibu ya sheria hukumu yake ni kifungo kisichozid miaka 2 au faini isiozo milioni 5
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4 МЛН