WATENDAJI DAWASA WAINGIA KWENYE 18 ZA AWESO/AWESO AWAFUKUZA KAZI/HUYU MTOENI/TUNAONDOKA WOTE

  Рет қаралды 5,144

JAMBO TV

JAMBO TV

6 күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 25
@josephminja7953
@josephminja7953 4 күн бұрын
Huyu jamaa najuaga nimpole kumbe akichokozwa hafai ee😮
@BekaKashamba-wi5sm
@BekaKashamba-wi5sm Күн бұрын
Njoo kigoma kasulu
@sebastianmwakulya8146
@sebastianmwakulya8146 4 күн бұрын
Muheshimiwa pole na kazi
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s 4 күн бұрын
Mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani awandio mawazili jembe ajawai kutuangusha Kwenye utendaji wake Alha akuongoze salama mueshimiwa wazili awesu
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 3 күн бұрын
Mimi ninavyo ona huyo dada Hana hatia tatizo lipo kwa boss wake
@ericmoramagige3407
@ericmoramagige3407 4 күн бұрын
Njoo Mbezi Msumi, Maji Shidaa,
@BedaKunguluche
@BedaKunguluche 3 күн бұрын
Huyu ndio Aweso niliyemjuaga,lakini sasa hivi amepunguza makali
@georgevalilanga7412
@georgevalilanga7412 4 күн бұрын
Uko vizuri
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Күн бұрын
Pia ao wanabambika bill
@christinakomba689
@christinakomba689 4 күн бұрын
Mama samia hawa majembe ndio tunayataka
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 3 күн бұрын
Hilo sio swala la kuuliza ,fukuza wote tangaza ajira maana hao wanafanya kaz kimazooea na kichafua serikali na CHAMA CHETU . piga chini wote hao
@rahmasabuni3425
@rahmasabuni3425 3 күн бұрын
Mieningezimianakufwakabisaa
@oss6689
@oss6689 3 күн бұрын
Kwanini humuonekani mpaka wapizani wafike au wapite ..? Hivi ni vichekesho au maigizo
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 күн бұрын
Nawasikitikia Dawasa, hawajabadilika kiutendaji.
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 4 күн бұрын
Mh Aweso , hapa Luguruni Dawasa wanaomna rushwa sana kama ukitaka kuingiza maji na bila kutoa hupati na wakati ,wingine hata ukitoa hupewi kwa wakati
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 4 күн бұрын
Makonda kiboko yaoooooooo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 күн бұрын
Waondoke tu hao ndiyo wanaofanya watu waichukue Ccm
@adelaidekalongora5417
@adelaidekalongora5417 4 күн бұрын
Na wanatuwekea malipo ya maji taka wakati hiyo huduma hatuipati nao watu wa malipo watumbuliwe
@msafiriomary893
@msafiriomary893 4 күн бұрын
Kra kona ni diri
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 күн бұрын
Wafukuzwe tu wako vijana wanasota midigrii kibao waobdoke ajiri wengineo
@adelaidekalongora5417
@adelaidekalongora5417 4 күн бұрын
Na maji wanatuwekea bila vipimo maana tumeambiwa sm Fulani watatuwekea wenyewe ila Kwa Sasa hata ukiwa karibu na konekseninwanakutoza sh 300000 ambazo hawakupi lisiti na wanaokula nao ni wasoma mita
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 4 күн бұрын
Kwanini? Msikague kabura yakazi wnapenda sifaa nawewe baado
@florianhenry7198
@florianhenry7198 4 күн бұрын
Mm nilisoma sikupata ajir kwahyo ukiwafukuza hao sawa tu tufanane
@MasawilaGoa
@MasawilaGoa 3 күн бұрын
Hahaha we mh wanyooshe mkuu uwe kama makonda kiongozi
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 45 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 94 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 45 МЛН