MAMBO MUHIMU UNAPOANZISHA BIASHARA UKIWA KWENYE AJIRA

  Рет қаралды 16,756

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Kutengeneza kipato cha pili ukiwa ndani ajira linaweza kuwa wazo la watu wengi sana lakini huenda wengi wakafanya makosa kutokana na kukosa maarifa kidogo juu ya jambo hili.
Katika somo la leo naomba tusome pamoja sehemu ya kitabu cha Dr. Makirita Amani "BIASHARA NDANI YA AJIRA" ili tufahamu mambo gani ya msingi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara yenye mafanikio ukiwa mwajiriwa.
.
Usiache ku-SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT na ku-SHARE lin ya somo hili ili wengine wajifunze zaidi.
.
MITANDAONI
/ ezdenjumanne
/ ezdenjumanne
/ ezdenjumanne
/ ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Biashara #Ajira #EachOneTeachOne

Пікірлер: 31
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Ili kupata kitabu hiki tafadhali tuma ujumbe katika namba hii : (+255)759191076 Utapewa taarifa za jinsi ya kukufikia popote ulipo (Whatsapp pekee tafadhali)
@mvitaali5959
@mvitaali5959 4 жыл бұрын
Kaka mm nakitaka
@amirifundi3401
@amirifundi3401 4 жыл бұрын
Mtuwakwanza jamani like zangu jamani
@mwasitiathumani4626
@mwasitiathumani4626 4 жыл бұрын
Nakupata vzr ezden Bro j4 mashaallah
@deusjohn1107
@deusjohn1107 4 жыл бұрын
Habari kakak Nimejifunza mengi asante sana nitakuwa makini sana juu ya mda wangu pale ninapofanya jambo lolote
@chrismassawe326
@chrismassawe326 4 жыл бұрын
Naomba kukipata hiki kitabu Mwalimu Ezden Jumanne
@ashurahamisi9745
@ashurahamisi9745 Жыл бұрын
Mashaallahh shukurani inshaallahh kher napenda mafunzo yako
@leonardmisalaba7946
@leonardmisalaba7946 Жыл бұрын
Hongera Mungu akusaidie kaka
@ngendakumanasalumdiki4885
@ngendakumanasalumdiki4885 4 жыл бұрын
Nimefurahia kwenye kutumia vizuri muda waziada kwakufanya biashara unapokuwa kwenye ajira.
@josephmaunde7796
@josephmaunde7796 4 жыл бұрын
Its true brother, nimechukua content za ajabu thanks ninaanza kuziishi sasa
@neematesha5947
@neematesha5947 4 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri kaka .nahtaji kitabu
@leilamohamed7445
@leilamohamed7445 4 жыл бұрын
Asalam aleykum nikweli kabisa mm nime ajiriwa na kunauza vitu kwenye mtandao basi nikonama rafiki wegine wananifisha moyo kamabiyashara aziendi wana nishoyoya mm nawambiya bora subra akiww una moyo napenda mafunzoyako ubarikiwe
@fridaprosper5999
@fridaprosper5999 2 жыл бұрын
Habari yako kaka Mimi ni kijana wa miaka 25 nanimeajiriwa na mtu binafsi lakin huwa napenda kufanya biashara zangu binafsi nje ya kazi ninayofanya Lakin huwa nashindwa kufanya kwa sababu Sina hata mapumziko .Hivyo kaka nilikua naomba ushauri wako katika hili 🙏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Njoo WhatsApp tafadhali niandikie USHAURI tuma kwenda namba 0759191076
@fridaprosper5999
@fridaprosper5999 2 жыл бұрын
Tayari kaka
@bazorooscar2949
@bazorooscar2949 Жыл бұрын
Nipigie
@fridaprosper5999
@fridaprosper5999 2 жыл бұрын
Kuna muda nilijaribu kufanya biashara ya nguo nje ya ajira yangu lakin ilishindikana kwa sababu ya muda kukosa😢
@zakiahaeuna1849
@zakiahaeuna1849 3 жыл бұрын
Mung akubarik ezd
@allymfaume8707
@allymfaume8707 4 жыл бұрын
Each one teach one
@revocatusbulla9198
@revocatusbulla9198 4 жыл бұрын
Naomba kujua jina la hicho kitabu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
BIASHARA NDANI YA AJIRA
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 жыл бұрын
👍✍️
@khalidhamis5811
@khalidhamis5811 4 жыл бұрын
Safi kaka naomb kujuwa jina la hicho kitabu na naweza kukipata wap? Asanteee
@zakiahaeuna1849
@zakiahaeuna1849 3 жыл бұрын
Asant san nimekupend kitabu icho nitaporejea nitalifata mlipo
@mwitijustus8594
@mwitijustus8594 4 жыл бұрын
Mm naitwa Justus Niko Kenya iki kitabu naweza kipata aje???
@adenhamadi931
@adenhamadi931 4 жыл бұрын
Big up broo
@abdulkisoma6305
@abdulkisoma6305 4 жыл бұрын
Kaka mimi naitaji kitabu nitakipataje na shilingi ngap?
@komboarts7110
@komboarts7110 4 жыл бұрын
You Gud brother thank you for Gud advice for us! Utisha sana
@zaitunmtinange3453
@zaitunmtinange3453 4 жыл бұрын
Yote Ni ya kweli kaka...Kama umeniona vile, kuhusu marafik!! Mungu azid kukupa hekma na kutujuza mengi!!! Mungu akulinde !
@barakavedasto2082
@barakavedasto2082 3 жыл бұрын
@Martin Esembe v
@NataliaKweka-qo6gy
@NataliaKweka-qo6gy 4 ай бұрын
Uko vizuri kaka nimegunduwa muda ni Mali sana
MAMBO YA KUZINGATIA ILI BIASHARA YAKO IFANIKIWE - JOEL NANAUKA
7:37
MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE
29:50
Success Path Network
Рет қаралды 52 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 35 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 18 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Maamuzi manne (4) muhimu sana kwenye maisha yako.
7:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 109 М.
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
6:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 33 М.
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 180 М.
Mambo 7 Ya Kuacha Ili Ufanikiwe
22:00
Success Path Network
Рет қаралды 2,2 МЛН
MBINU ZA KUKUTOA KWENYE MADENI HARAKA
17:34
Success Path Network
Рет қаралды 18 М.
MAMBO 6 YA KUFANYA WATU WAKUPENDE ZAIDI
16:44
Success Path Network
Рет қаралды 27 М.
Namna Gani Unaweza Kupanua Biashara Yako
8:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 35 МЛН