Hawa ndio wabunge haswa. This is very much appreciated Mhe. Kishimba
@marcondokeji89823 жыл бұрын
Hapa ndipo ninapoaminigi kuwa uongozi si mpaka uwe na elimu kubwa bali ni kipawa kutoka kwa MUNGU mwenyewe. Congratulations Hon. Kishimba, Gwajima, Msukuma.
@mercypeter1623 жыл бұрын
Yaani ww mbunge natamani nikununulie JAWIZA au JAMKAYA ya 500 yabaridiii unyweee. Yaani ww ndio unazungumza kwa uhalisia wa maisha yetu. Nakupenda sanaaa
@amaninyekele50023 жыл бұрын
Well said Mhe Kishimba, wewe ni sababu tosha ya kuendelea kuwapa kura darasa la Saba kwa nafasi ya ubunge
@benitosanga96553 жыл бұрын
Positive thinker huyu mbunge hongera wananchi waliomchagua, hawakukosea kwa kweli
@brightontibenda23463 жыл бұрын
MH.Kishimba nakupenda Sana !mawazo yake yanaendana na mazingira ya kawaida ya kila siku
@keijoodehustla32593 жыл бұрын
Mbunge wangu huyu.... Mh. yuko vizuri sana aisee mawaziri wakijaga wakamwelewa nchi hii itafika mbali sana
@mohamedally13423 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa Kishimba, wewe ndio mbunge pekee unayeongeaga mambo yanayohusu maisha halisi ya watanzania, mungu akubariki sana!
@aminamsalilwa95213 жыл бұрын
Ndio mheshimiwa kuna watu maisha yao ni ya shida Sana hasa vijjijini huko mawazo yako ni sahihi kabisa unaona mbali sana
@ismailmaulid16163 жыл бұрын
Kutatua kero za wananchi hapahitaji literature review ni mambo yanayoendana na maisha ya kawaida na tunayaona mbunge huyu✅
@jumaigoti86383 жыл бұрын
Kishimba uko sawa.hao wanaojiita wasomi baba zao wamewasomesha kwa kuchoma mikaa.hongera sana kishimba
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Kwa mkaa hiyo mtashindwa sisi maskini hatutaweza maisha yetu ni ya shida kaeni huko bungeni mtafakari sana
@missmrs8293 жыл бұрын
Magufuli oyeeeeeh, kishimba oyeeeh tim magufuli nakupenda sana natumain magufuli bado yupo dunian wanyonge Kwanza mengine badae
@fadhilikawambwa15863 жыл бұрын
kabla ya magufuli yupo huyo acha muhemko
@missmrs8293 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa1586 muhemko ni lazima kwani wakati wa magufuli nilifatilia bunge hatua kwa hatua nilifatilia vyonbo vyote vya habari nikijua yazungumzwao ni faida ya watanzania ususani uongozi wa magufuli lakin wakati wa kikwete sikusubutu ata kutizama taharifa ya habari Kwan nilijua nchi ilishauzwa yaan tuko jehanam ivo niache nizidishe mihemko kwa magufuli😅😅😅pole yako ulieumizwa na furaha yangu
@Ndu-wa.uroony23 жыл бұрын
@@missmrs829 kwenda zako fala wewe ,mnyonge ni we mwenyewe
@ismailmaulid16163 жыл бұрын
Safi 💥
@Ndu-wa.uroony23 жыл бұрын
@@missmrs829wakati wa dikteta maku msuKUMA ulifwatilia bunge papuchini mwako? Na wakati allikataa bunge kuoneshwa?
@mohamedally13423 жыл бұрын
Awamu ijayo Mheshimiwa kishimba awe Raisi wetu, huyu ni mtu muhimu sana katika nchi hii. Watu wengi wakiwemo wabunye huwa wanacheka sana wakati Mh. Kishimba anapozungumza, na inaonekana wengi hawamwelewi, wanaona kama mchekeshaji tu. Mimi namwelewa sana na nampenda sana Mh. Kishimba, akisimama bungeni mimi nafurahi kwasababu najua atakayoyaongea yote ni ya msingi sana.
@sadockalfred17103 жыл бұрын
Katiba haimruhusu kuwa rais wa nchi ya Tanzania
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
Asante muheshimiwa mitano tena
@tonyspencer19283 жыл бұрын
Kishimba, pole pole , ngwajima, msukuma nawaelewaga Sana hawa watu
🤝🤝🇹🇿 Mh. Kishimba umenena ipo haja ya kuangalia hali halisi ya maisha yetu Watanzania kabla ya kupitisha Mambo yanayoleta majonzi na simanzi ktk jamii.
@pendojoseph87133 жыл бұрын
Nimekupenda bure 💕💕💕 baba yangu hakka una upeo umetetea wanyonge
@lintadian68223 жыл бұрын
Yani mzee una upeo wa kipekee Mungu akuzidishie upeo
@manrasiel80543 жыл бұрын
Hahahaaa!!! Mh Kishimba unaakili nyingi sana kiongozi wangu, Nakupenda sana. ❤️
@deusmgema86123 жыл бұрын
Hongereni kahama kwa kumchagua mbuge mwenye akili sana amekuwa mwalimu bungeni na anatumia lugha nyepesi kutoa darasa kwa wabunge na wananchi .Mh kishimba barikiwa sana
@nyakikayepersion40283 жыл бұрын
This is really great thinker ,I appreciate your in deep for real
@sophiemsuya65073 жыл бұрын
Point sir. Unajielewa sana. Maisha ya mtanzania kwanza. Mengine ndo yafuate.
@leverimlaki56673 жыл бұрын
Aina hii ya wabunge ndiyo tunao wataka. Sio wale wanaofanya bunge sehemu ya kula kiyoyozi.
@alikarisa3 жыл бұрын
100%/100%kwa Kishimba. Nakupendaga bure
@prosperjustine87703 жыл бұрын
Mh.kishimba kwakweli umeongea vizuri kuhusu uhalisia Wa maisha yetu ya Kitanzania Mkaa na kuni ndio tunatumia vijijini kwa asilimia kubwa Na wote tumekulia huko.wewe ni Professor Wa kweli nakukubali sana unatoaga mchango mzuri sana Wa kujenga.
@prophetemanuelpaul61513 жыл бұрын
Nikweli kabisa mzee wetu Tunakushukuru Sana kwa kuwatetea ndugu zetu.
@rukiajumaa5743 жыл бұрын
Nampenda sana huyu kiongozi
@magufurifofo31303 жыл бұрын
😅😅😅😅🤝💪💪
@gamc7733 жыл бұрын
Kabisa
@kawiche49113 жыл бұрын
Kishimba you are genius Mawazo ni mchango mkubwa kwa nchi yetu. Mawazo yako yafanyiwe kazi
@kajugaa45373 жыл бұрын
Najisikiaga lava kuangalia video za mbunge kishimba
@nzokanzoka26983 жыл бұрын
Najivunia kuwa na mbunge genius
@jacksonmwakasege62103 жыл бұрын
Mzee sio mvivu wa kufikiri.
@msheheibrahim6213 жыл бұрын
Jamaa namkubali sana
@elisantemrita98943 жыл бұрын
Nakupenda Sana mbunge Kishimba Sio wale wanaamka nakuanza kulaumu serikali huku wakijua fka kuwa serikali inafanta Mambo kwa Awamu
@issadini78243 жыл бұрын
Nakuelewa Sana mheshimiwa
@jacksondc13593 жыл бұрын
Upo juu kishimba
@sadockalfred17103 жыл бұрын
Tungekuwa na wabunge wa hivi 100 nchi ingekuwa saafiiii
@mussathomasdossa46873 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa kishimba
@abumuhammadmbwana39643 жыл бұрын
Mzee unanikosha sana😀😀😀
@samuelsoswa14373 жыл бұрын
Hiki kichwa ni kizima kweli kweli
@elisantemrita98943 жыл бұрын
Mbunge pekee anae jielewa Ni kishimba Kama hamuamini fanyeni utafiti mtaona wengine .............
@mashakampembela25523 жыл бұрын
Kishimba uko vizur kwa kweli.
@kawiche49113 жыл бұрын
Muheshimiwa Kishimba Wewe ni utajiri wa nchi ya Tanzani Tukiwa na wewe tuna utajiri na nchi itasonga mbele maono yako ni sahihi mno. Matatizo ya jamii ya waTanzania yafanyiwe ufumbuzi wa kitanzania . Na sio kuwaumiza wananchi . Viongozi watatue matatizo ya WANANCHI . tunamshukuru mh.shimba kwa mchango wako. Shimba ni Mwana mwema wa Afrika
@paschaljoh57293 жыл бұрын
We mzee si wakawaida asee Daah...
@denismvile64023 жыл бұрын
Ukweli ulio wazi Hadi Raha kumsikiliza mh kishimba
@jeffkibonge81933 жыл бұрын
Nakupenda sana baba
@jacksonmenas64883 жыл бұрын
Ukitaka kujua mkaa ni kwaajili ya wanyonge, muuzaji mkaa anaweza kupima mkaa kopo sh 1000 je! Kunamahali apambapo gesi inapimwa kwa sh 1000 ili kuwasaidia watanzani maskini, kwa hili serikali
@atimanamanga62893 жыл бұрын
Safi sana Mh. Kishimba
@mapuliclavery98833 жыл бұрын
Nikweli kwamba tukiwa na wabunge wanamna hii maendeleo yakweli tunayapata sio kusahau shida za wazazi wetu tulizozipitia mungu bariki taifa letu tuzidi kuwa na wabunge wamawazo ya aina hii
@amosmuhere87493 жыл бұрын
Maneno usemayo ni kweli na hakika..
@jemastmusiq96543 жыл бұрын
point sana Mkuu 💪💪💪
@chiefmahucha68473 жыл бұрын
Huyu jamaa huwa ana Idea za miaka 50 hadi 100 mbele, Sema huwa tunachelewa sana kumuelewa..!
@ndamarevocatus49183 жыл бұрын
Upo vzr sana, noted.
@geraldleger57933 жыл бұрын
Bado najiuliza Jambo ... Mbona wabunge wa la 7 huwa wanayoosha sa maelezo kuliko wasomi.
@ousmanjuma33963 жыл бұрын
My president 🙌
@fadhilikawambwa15863 жыл бұрын
dah hivi kwanini mama hajamuonakwenye uwazili mtu huyu.uwa anapoint zaidi ya profesa 100 wa tanzania.namkubali sana kishimba
@mwinyikadhi28703 жыл бұрын
Akipewa uwaziri fikra hizi zitapotea
@saidimpako51863 жыл бұрын
Anawakilisha maisha halisi ya mtanzania wakawaida tena ni maisha ya walio wengi
@faisalyahya71863 жыл бұрын
huyu Mzee huwa anaongeaga points tupu namkubali sana aseh
@jackhans77083 жыл бұрын
Yani kishimba Is top👏👏👏🤣🤣
@cypriankikoti91603 жыл бұрын
Kishimba the great thinker
@plumbingtanzaniaplumber75703 жыл бұрын
Safi
@MaimunaNdobe Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@hamismabula58133 жыл бұрын
Ni Watz wangapi wenye uwezo wa kutumia gesi na umeme sasa hivi!? Hao hao wanaokamata mkaa wanaenda kutumia wao, c tunawaona huku!
@miriamsaidi10473 жыл бұрын
Safi sana
@rehemamsuya22633 жыл бұрын
Mzee yn we mi nakuombea tu pumzi Mana unajua kututete wanyonge
@prosperjuma9053 жыл бұрын
Huyu mbunge nimemkubali
@thieryniyonkuru50233 жыл бұрын
Jamani mpaka leo Kishimba hamjamuelewa? genuin man.
@kuduraanacleti63943 жыл бұрын
Nikweri waeshiwa na kukumbusha miti aina ya musambya umekua kero jimbo ra Kyerwa kupanda unatakiwa kibari na kuvuna unatakiwa kibari jee mti huu mukurima ataufaidi rini na misitu ya serikari imewekewa mipaka na inaonekana vizuri na wario ajiriwa pare wamesomeshwa miti hiyo na mkaa iweje mukurima asivune aricho panda
Tena utafiti huo mfanye kwanjia ya mitangao alafu mtaona Huyu jamaa anastahili Tuzo ya pekee ili wabunge wengine wajifunze
@danieltenson41753 жыл бұрын
Taifa letu linahitaji watu kama hawa kwa 100%
@deonatusmotoka21613 жыл бұрын
Logic sanaaàa....
@gasparlubaga58663 жыл бұрын
Mzee wewe unaelimu dunia iliyoshiba sana
@bakarikayugwa32953 жыл бұрын
Na hio gesi bei ipo juu mh pasua kichwa tunakua nawasomi wanao tunga shelia kandamizi sio kuweka usawa unamchakua mtoto mwenye makuzi ya mboga saba anakua wazili wa kilimo hajui hata jembe linashikwaje
@williammbuzimai57443 жыл бұрын
Hujawahi niangusha,
@alfredlimu38733 жыл бұрын
La saba bungeni wana point kuliko hao wanaojiita wasomi
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Watanzania tusambaze gesi asilia haraka tuachane na mkaa na kuni. Angalisho gesi isiwe ghali sana! Huwezi kurudisha gharama ndani ya mwaka ama miaka 5 . Tuache kujifanya tunabiasharisha hata maitaji muhimu ya binadamu hasa Maji, umeme na nishati majumbani. Mamlaka za maji zijitafakari zifanane na anakoelekea Waziri Kalimani ktk umeme. Maji bado ghali sio hitaji muhimu la binadamu Mtanzania wa kawaida.
@kilamegroup29683 жыл бұрын
Akili kubwa
@heridadia96343 жыл бұрын
Pin point
@gladsonkitua1453 жыл бұрын
Sijutii kutumia bando kumsikiliza huyu mzee anaongea mambo ambayo hutumii nguvu kumuelewa
@jovinanthoni78513 жыл бұрын
serikali inabidi kuwa makini sana na suala la miti hauwezi kulazimisha watu watumie gesi wakati gesi ni bei kuliko mkaa na mkaa unakaa sana kuliko gesi
@godsangi48393 жыл бұрын
Huyu jamaa mbunge hasa hasa
@meshacklukumai11653 жыл бұрын
Mliongelee kwa uzito jaman izo point
@iddiupepo84493 жыл бұрын
Kiongozi wa wanyonge
@rapperdx13313 жыл бұрын
Shida wanafunzi wetu wanafanya research kupigia Google, "Faida za mkaa London na faida za mkaa Tanzania "wasomi msilinganishe. Unapinga mkaa kwenu na kwako wote mnapikia mkaa
@henrychacha55923 жыл бұрын
Wasomi wengi wana elimu tu lakini hawana AKILI. Wana mawazo ya kushikiwa na wazungu.
@petrojulias9303 жыл бұрын
Kishimba mmi nakuombea usongembele ikamate nchi kunawapumbavu wanafukuzia adikiroba chakilo50
@hamisiharuna30993 жыл бұрын
Ukisikiliza hoja za darasa la saba na hoja za wale wenye madigrii unagundua darasa la saba wana hoja zenye akili sana kuliko za wasomi maana wasomi wanasema waliyokaririr shuleni basi
@charlesbibombe23013 жыл бұрын
Kishimba apewe degree ya kwanza ya heshima!
@shekasalaganda42942 жыл бұрын
Ukenyenge wilaya kishapu leo gari lapolisi limekusanya mikaa mpaka kwenye familia ndani
@elisantemrita98943 жыл бұрын
Nipelekeni kokote Ila sibadili kauli kishimba mm imbunge mwenye Akili kuliko wabunge wote tanzania
@yes_yes13103 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@yahyamassawe80113 жыл бұрын
Mwambie hao watu wa maliasili kuna viwanda vinatumia kuni adi misitu inaomba msamaa lakn mtu wa mkaa wa gunia 2 anaambiwa akalipe ela zisizo na haja
@carlosn_tz3 жыл бұрын
Watoto wasome waende kuwa mgambo wa kushika wazazi wao.Hiki kichwa kina IQ ya hatari.Research zetu ni google tu...hata wanachuo wengi ikifika kipindi cha research wana copy na paste hawafanyi research ila wanachukua za waliochukua na ndio hao hao wanaotufanyia research sasa hivi hapo unategemea nini?
@alanusrespicius17963 жыл бұрын
Huyu atukukiwe degree ya heshima
@ndamarevocatus49183 жыл бұрын
Kashatunukiwa PhD na speaker mda mrefu
@prophetemanuelpaul61513 жыл бұрын
😂😂😂😂
@martinkisha63073 жыл бұрын
Yani kishimba nakufatilia sana ila sijajua Yale unayosema yanafanyiwa kazi ? Kwasababu unamawazo ya mabadiliko Kama yakifanyiwa kazi
@petrojulias9303 жыл бұрын
Huyo akili kaacha randan
@gamc7733 жыл бұрын
Huyu mzee kanifanya niagalie mara 3 napenda sana watu Kama hawa akili za magufuli na uzalendo kabisa. Hata ulaya wanatumia miti kuchoma nyama na mkaa