What a man in this country. I love the way he thinks. This man is genius.
@Baron_Kigume2 жыл бұрын
Big Brains Kishimba! This Man is a National Treasure
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Kishimba ni Kweli, mawazo yake ni ya uhalisia kabisa, kabisa, Ila tatizo ni kwamba Dunia haitaki watu wanaofikiri, inataka wajinga, Watakao sapoti ujinga wao.
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Kashimba fact nakupenda sana tena bule mungu awe dereva wako
@kabhikachambala33922 жыл бұрын
This man is talking in natural base on common and reality sense in daily life...
@ahz69072 жыл бұрын
yup..tatizo mifumo yetu imekaa kiingereza zaidi badala ya uhalisia wa maisha yetu huyu jamaa anakita kihalisia. sio tu ili mradi tusome. tusome kwa maendeleo yetu ya kitanzania.
@stevenmabungi32452 жыл бұрын
I real love this guy he's so brilliant,always argue the natural reality Very good Mr.Mp Kishimba From Kahama State!
@cleophacephelician67392 жыл бұрын
Hilo ndo darasa la IV la zamani ni zaidi ya PhD ya sasa. Hongera sana mzee kwa mawazo mbadala!
Hongera sn Mheshimiwa Kishimba umezungumza Mambo Mazuri sn 👏👏👏👏👏👏👏👏
@damianoadam10412 жыл бұрын
Mheshimiwa spika naomba umpatie Prof.Kishimba muda wa kutosha atoe hoja na zifanyiwe tafiti na kutekelezwa.Haya anayosema yapo kiuhalisia kwenye maisha ya kila siku ya Mtanzania.
@paritsaruni50192 жыл бұрын
He speaks the language of the common man
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Kishimba ni Kweli, mawazo yake ni ya uhalisia kabisa, kabisa, Ila tatizo ni kwamba Dunia haitaki watu wanaofikiri, inataka wajinga, Watakao sapoti ujinga wao.
@sijasamweli68892 жыл бұрын
Fact sana MP Kishimba! Critical thought, endelea kutupatia madini.
@gabbymasota86932 жыл бұрын
Mzee anaongeaga facts sana ila Huwa wanadhani anafanya comedy. One day yes mawazo Yako yatafanyiwa kazi..✊✊
@mengiiblahim42152 жыл бұрын
Mheshimiwa kishimba mminakuerewa sana Tena nishabikiwako sana mungu akupe maisha marefu🙏
@jamesmasanja1963 Жыл бұрын
Hunizidi mimi Yani jamani lakini hawamsikilizi jamani
@godlivingkileo40312 жыл бұрын
Huyu mzeee anaonaga mbali sanaaa sema Tanzania siasa nyingi
@__B.O.B2 жыл бұрын
Big up sana Mh. Kishimba nakukubali sana.
@peterpallangyo57442 жыл бұрын
Asante sana mh kishimba unatoaga hoja zilizo makini💪
@faudhiatmasoud40252 жыл бұрын
This man is extra ordinary
@gibsonsilas63422 жыл бұрын
Safi sana prof....kwa ufafanuzi Mzuri na wenye Tija kwa Taifa.
@DM_152 жыл бұрын
Fact sana, nchi hii inawatu wenye upeowakuona fursa. Akili mingi ilatunaongozwa na wenyekuangalia nyakatizao that's why nchi kamanchi haina maono yamdamrefu kila anaetawala anakuja na jambolake kilakiongozi anakujana yake. Taifa halina dira . Ndoo maana tunakwama kila anaeongoza analinda chama chake na mudawake atakaokua madarakani akiondoka anasepa namipsngoyake anaekuja tunaanza upya. Tatuendelei pale slipokomea.mwenzie utasikia mimi ndookiongozi wenu kwasasa. Huyu wasasaiv kacheza muvi na mzunguwake anaupigamwingi anganituu kulitangaza taifa 😇😇 nasisitiza yaani
@lilgicky4842 жыл бұрын
Huyuu jamaa angepewa uwazirii wa elimu angebadilii vityuu vyingi sanaah elimu yetu ni ya hovyoo sanaah kwa kwelii
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Kishimba ni Kweli, mawazo yake ni ya uhalisia kabisa, kabisa, Ila tatizo ni kwamba Dunia haitaki watu wanaofikiri, inataka wajinga, Watakao sapoti ujinga wao.
@eddyempire97972 жыл бұрын
Mungu akulinde Kishimba ...daaa!
@mussakimaro55882 жыл бұрын
Asiemuelewa huyu mzee kishimba hawezi kuelewa tena
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Kishimba ni Kweli, mawazo yake ni ya uhalisia kabisa, kabisa, Ila tatizo ni kwamba Dunia haitaki watu wanaofikiri, inataka wajinga, Watakao sapoti ujinga wao.
@eliahsamwel62822 жыл бұрын
Waoooh mzee nakuelewa sana,hakika uko vizuri sana Mheshiwa
@leonardroya62992 жыл бұрын
Sijawai kmsikiriza kishimba na nisimuerewe kweri digrii ni yakuzariwa tu Asante kitco
@selemaniismail44062 жыл бұрын
Daah.. mbuge wa Jimbo langu ahsante sana kwa kukutetea elimu yetu ya Tanzania ila navyojua mimi hapo ulikuwa unapoteza mda tu hakuna anaethamini mchango wako jaman wengi wanachukulia kama utani na pia wanaona hauna maana, nakuelewa sana mbuge wangu Jumanne K. Kishimba
@malopemaliyamungu52432 жыл бұрын
Mbunge wako amesaidia Nini Jimbo na wapiga kura wake? zaidi ya kukimbizana kunyang'anya vi-plot vya watu
@selemaniismail44062 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 Weeee! Naomba utulie hivyohivyo we ulitaka akuletee maendeleo mpaka unapolala kama huoni pia huwezi kuelewa, Nyoo' huna hata haya 'ety amekalia kukimbizana kunyang'anya vi'plot vya watu hapo kwanza nicheke😄😄😄 unafikiri yule ni wewe kama umezoea hizo mambo ni wewe acha kuchafua watu pambana na maisha yako au unda serikali ya kwako pekee yako ili ujiletee maendeleo mpaka unapolala
@malopemaliyamungu52432 жыл бұрын
@@selemaniismail4406 Muulize mbunge wako alishiriki vikao vya Road Board mkoani lini au mara ngapi tangu aingie madarakani? Kahama barabara zipo 2 tu tena za Tanroad, za TARURA hazipo. Shukuruni Mkurugenzi wenu hayumbishwi na anachapa kazi. Mngekuwa Shamba la Bibi.. vidimbwi nyie. Mji hauna mitaro.. mvua ikinyesha mji unaoza.. mmebaki kusifia River Mark na Chillers.. wazinifu wakubwa. Siupendi huo mji wenu.
@malopemaliyamungu52432 жыл бұрын
@@selemaniismail4406 Watu wamefight muda mrefu Kahama iwe manispaa ili baadae pawe mkoa mbunge wako Leo anasema Watu waruhusiwe kuchungia ng'ombe mjini.. upuuzi gani? Watu wanawazia mkoa yeye analeta kupimisha Viwanja vya HD (15*25) na anagombania vistempu hivo, Ushamba tu. Yeye ndio angeongoza wabunge wenzie maana hapo ndio center. Hawazi hata kupeleka kwa Madiwani wenzie kuchkua maeneo makubwa huko Kinaga kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa kwa Kanda yenu kuhudumia Hospitali za Ushetu, Msalala na Manispaa ya Kahama na ingejengwa hapo itakuwa na chuo, itahudumia wananchi wa karibu ambao ni wa Jimbo lake, Hospitali ya Rufaa itashawishi na miradi mingine Kama barabara na maji.. Hana wazo kazi kula viazi na karanga tu. Hovyo sana. Mtakaa sana na mji wenu vinyumba viko karibu karibu Kama mabatini mwanza.. hamna mitaro maji ya chumvi yatakula nyumba zenu mpaka mkome na vibajaji vyenu.
@selemaniismail44062 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 Kheee' jaman mbona povu lakutoka,, We huoni kuwa hospital ya wilaya ya Kahama ndio itakuwa hospital ya Rufaa kwa sasa inaendelea na maboresho alf itakayokuw hospital ya wilaya ya Kahama ipo Nyasubi jaman na kuhusu Kahama kuwa mkoa hiyo haiwezekani kabisaa, Kahama ni sehemu ya wakulima na wafugaji kwaiyo waache wachunge ngo'mbe mpaka katikati ya mji sàwa, acha makasiriko huyo ni chaguo letu, tulimpenda wenyewe upooo kubanana kwa mji hiyo ndio sifa kuu ya mji unaoendelea hata hatuhitaji mitaro kwa taarifa yako huku hamna maji ya chumvi upooooo' bi kaka wewe naona povu lakutoka sana au uligombea ukapigwa kwa maan 🤣🤣 povu la kutoka kweli jaman jihurumie mwenyewe kwanza alf ndio utuhurumie na sisi, me nilijua wakati unakosoa labda utakuwa umeshaanza ujenzi wa mitaro jaman ....punguza makasiriko saaawa.
@matobholwamanonu59192 жыл бұрын
Huyu mzee angepelekwa shule za mkoloni angekuwa prof sasa hv..😂😂🙌
@lastkinglastking33262 жыл бұрын
Baba kishimba na kupenda kwa ajiri ya Mungu na Mungu akuinuwe mawazo yako yanafanya nimuone Magufuri kwa mbaaaaaaaarih
@samtechtanzania32522 жыл бұрын
Huyu mzee namkubali sna Akili nyingi sna
@lichenjeleally6430 Жыл бұрын
Your my role model Mr Kishimba
@cvanoedward30932 жыл бұрын
Huyu mzee ni kichwa sana ana mawazo mazuri sana
@kabhikachambala33922 жыл бұрын
Very Genius
@elizabethwilliam60872 жыл бұрын
Ukweli mtupu, mfano mzuri mtoto wa miaka 11 alietengeneza kemgele kwa ajili ya vipofu na viziwi, wanabaki tu kisifia badala ya kuwakuza watoto ktk ujuzi wa namna hiyo
@husseinbongo74472 жыл бұрын
Mzee wangu jumanne kishimba mawazo yako ni mazuri sana Ila shida ni yule anaeshauriwa(serikali). Labda ushauri wako utafanyiwa kazi ukitoka duniani maaana mawazo ya mtu huthaminiwa akifa, akiwa hai huonekana Hana maaana yoyote. Ndio mifumo yetu ya kiutawala ya kiafrika
@edimundrevelian12462 жыл бұрын
Huyu baba ana brain kali sana. Anajua anachokiongea.
@rusanzurubigo77912 жыл бұрын
Dah!,Mzee unaongea uhalisia zaidi na kwa fikra zangu sidhani kama bado uhalisia ni kipaumbele,😁😁😁
@saimonlucas67562 жыл бұрын
Miaka buku kwake kishimba🙌🙌
@barakanyamafu5937 Жыл бұрын
Kishimba hongera Sana
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Angekuwepo magu ungekuwa mbali sana
@barakaswillah635 Жыл бұрын
Big up Mzee wangu
@samtechtanzania32522 жыл бұрын
Mfanyabiashara yoyote n kiongozi wachunguze n watu wa Hesabu
@ediusgabriely6152 жыл бұрын
Mbunge mwenye akili kuliko wote...mpaka raisi na mawazili wake..
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Kishimba ni Kweli, mawazo yake ni ya uhalisia kabisa, kabisa, Ila tatizo ni kwamba Dunia haitaki watu wanaofikiri, inataka wajinga, Watakao sapoti ujinga wao.
@ojcreationtz9838 Жыл бұрын
Kweli mh kishimba yupo vizuri kwa mawazo yako
@geeva992 жыл бұрын
Huyu mzee anadensity ya juu sana 😀😀
@TinyKideo2 жыл бұрын
kabisaa
@athumanimssi2972 жыл бұрын
Nakubali sana Kishimba wailimishe
@mshigilakarume44252 жыл бұрын
Uko sahih pro
@cascanicolnicol20082 жыл бұрын
Huyu mzee ajengewe sanamu lake ,harafu kwanini asipewe hata unaibu waziri anamawazo current sana huyu mzee
@saidmgoso30762 жыл бұрын
Baba nakukubali sana unahoja zamsingi sana kilichobaki kupigania kiti cha uraisi
@johnfabianmahenge.56612 жыл бұрын
Kishimba safiiiiii sanaaa
@jackobgalish57422 жыл бұрын
Prof. Kishimba ana hoja za kawaida lakini za msingi na zenye mashiko🤣
@kamanda0072 жыл бұрын
safi sana, aliyoongea mfundishe watoto zenu msisubiri serikali iwafanyie maana haitafanya
@ramadhanirashidi4175 Жыл бұрын
Nakuelewa sana
@mauthamani2 жыл бұрын
Great thinker
@manyerereomary92662 жыл бұрын
Bright sir.
@amenaameeena33172 жыл бұрын
Mzee kishimba Rais alitakiwa akupe wizala ya Elimu maana Una mawazo mazuri sana yakichukuliwa wakafanyia kazi itasadia
@julianandoweka71652 жыл бұрын
Yaani nimekupenda sana
@stevenkataluka10032 жыл бұрын
hongera Sana mh.kishimba umezungumza nondo Sana sema wizara ya elimu wayafanyie kazi hayo mawazo.
@mfalmekeffah50492 жыл бұрын
Huyu mzee angekuwa Rais na akayaweza anayoyafikiria ingekuwa ni Zaid ya ukombozi
@janealoyce38662 жыл бұрын
Uko sawa boss wangu
@octaviantega56002 жыл бұрын
Inauma sana hoja anazozitoa hazifanyiwi kazi kilichobakii ni sisi kujikwamua wenyewe
@mohamedhamad23742 жыл бұрын
Kichwa hatar sana lakini maoni yanakwenda kwenye uongozi dhaifu.
@yateramadavaathumanmmbaga77762 жыл бұрын
Jamani si kila kitu kulaumu uongozi. Haya wewe na mimi tunamsifia sana Mhe. Kishimba lakini tujiulize darsa tukuka analotoa mhe. Sisi tumelifanyia nini? Kuandika na kulaumu serikali na hata kuidhalilisha aaah tu mahodari sana lakini tungekuwa tunaenda mbali zaidi kujiandalia maisha yetu wenyewe kwa asilimia 70 na 30 ni sapoti ya serikali na wadau wengine. Hata shuleni mwl anakupa asilimia kadhaa na mwanafunzi na mzazi/mlezi wanatafuta asilimia zingine, ukitegemea serikali kila kitu utakosa kila kitu.
@yateramadavaathumanmmbaga77762 жыл бұрын
Sina full history ya maisha ya mhe.kishimba lakini nasikia hata la 7 hakufika lakini kajiendeleza mwenyewe na kufika huku tunako muona ki elimu na utajiri
@mohamedhamad23742 жыл бұрын
Hakika yuko vzur sana Ila tatzo bado lipo kwa hao viongozi wa juu wanaopewa mawazo mazur kama hayo.
@malopemaliyamungu52432 жыл бұрын
Wewe Mh. Kishimba una Mchango mzuri ila sio Kila Elimu iwe ya Darasani na iwe na mitaala. Elimu nyingine ni kutokana na maisha ya Kila siku ya familia na jamiii.. Ndiyo maana inaitwa msingi.. Hayo ya kutengeneza samli, minyoo, vyungu, kuhifadhi milenda, kukaanga senene, kumbikumbi ni ya maisha ya Kila siku au msimu. Mbona watoto wa waganga wa kienyeji wanajua tiba za wazee wao?
@prosperjuma9052 жыл бұрын
Una akili sana wewe
@mawazoaliselemani2 жыл бұрын
Huyu ndio mbunge wangu,,😁naburudika saana..
@saidimkombe98422 жыл бұрын
Huyu Mzee anaakili sana
@jerrymfinanga37732 жыл бұрын
Big brain
@pascaldomel15512 жыл бұрын
Huyu Baba anakitu cha kuwa saidia watanzania hasa kwenye sekta ya elimu.
@apostlefrankemarema82462 жыл бұрын
Big Up Kishimba
@brunohenry58972 жыл бұрын
Wanataka mpaka ukasome UK au US ndo wakupe kazi Mzee Wang
@chrispinrafael3831 Жыл бұрын
Wape mondo mzee mishimba
@georgemalahyageorgemalahya53472 жыл бұрын
Hi ndyo maana halis ya kuwa professor unakuwa na kitu tofauti na wengne.
@simoninmwangatwa51272 жыл бұрын
safi sana
@albetoemmanuel932 жыл бұрын
Mzee kishimba, jmni agombee uraisi miaka 10 nchi itakuwa imebadilika snaaa maana anaangalia wananchi wa chini. Kma magufuli,
@emanuelkaroli28172 жыл бұрын
Very facts.
@MilioneaTv2 жыл бұрын
Umenipa idea kubwa mheshimiwa ujengewe sanamu ya kumbukumbu. Nimepata business idea kutoka kwenye maneno ya mheshimiwa na ndani ya mwaka mmoja nitakuwa milionea guess what!
@lamlanyava61532 жыл бұрын
Huku kitaa kuna wasomi hawajui kufunga kamba za viatu, wanapiga miayo bila kufunika mdomo
@brightluvanda27952 жыл бұрын
Tena unakuta lingine linakucheulia wala haligeukii pembeni wala kufunga kinywa!,,,chefuuu!
@superangeltv46152 жыл бұрын
nakukubali sana pekee yako unayefikilia
@agusmileofficial28452 жыл бұрын
Uyu kweli anasomesha guys
@didacianapeyton57982 жыл бұрын
Nakupongeza mbunge wetu ni kweli kabisa hata mbolea ingetengenezwa kwa samadi ya ng'ombe kitaalamu kabisa na Sido ingepata nafasi ya kufundisha utalaamu wao wakishirikiana na watalaamu wetu wa kilimo wangeshauri wakatengeneza kiwanda cha mbolea tena iliyo bora siyo tutegemee watu wa nje kututengenezea mbolea duh Bunge hoye tunaomba wasikilizwe na kupokea ushauri
@adrianosimalimoto64852 жыл бұрын
Hvi haya mawazo yanachukuliwaga kweli?, maana huyu mzee anaongeaga facts sanaaa Ila basi hii nchi bna hta sielewi
@nebatjailos83622 жыл бұрын
Kishimba una nafasi Yako peponi kwa kweli natamani siku Moja Mungu akipenda nikutane na wewe ana kwa ana!
@karasuyazidi85472 жыл бұрын
Unagawa pepo
@loveofficial742 жыл бұрын
Huyu mzee kichwa chake ni madini matupu
@fahimunyawi53182 жыл бұрын
Uyu mbunge uwabanaongeaga point sana uwaga napendaga kila siku aongee yeye anasema vitu sijui uwaga anafikiriaga wap yan zaid ya phd
@jeremialyati60922 жыл бұрын
Big minds
@mcgabby Жыл бұрын
Huyu jamaaaa Kwanini hicho Chama chake Kisi muweke kama mgombea wa uraisi au hata uwaziri mkuu maana ana kituuuuu huyu mzeeee😂
@vedastokeya33442 жыл бұрын
Ndio maana ni tajiri ana akili kupita hadi wasomi anaongeaga critical sana
@warakawayohana28962 жыл бұрын
Akili kubwa sana
@fanuellingson2 жыл бұрын
Wasomi inabidi mjipange upya coz tunapata mawazo mazuri kutoka kwa watu wa kawaida sana.wasio na elimu kubwa tutakua tunawapitisha kwa kishindo
@stellamwasenga6205 Жыл бұрын
Yes
@fidelismichaelmichaelmpond33872 жыл бұрын
Mawazo yako yatakuja siku moja kufanyiwa kazi.
@pascarmwatosya68152 жыл бұрын
Hawa ndio wabunge wanaojitambua hata uliempigia kula huumii kwa kupoteA muda wa kupiga kula
@stanleyevanda7972 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏
@mdmachungu74242 жыл бұрын
Kishimba nakuelewa Sana
@rashidkihunga29382 жыл бұрын
Kishimba sina neno zaid ya kusema askante
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Na kingine Tanzania siasa nyingi maendeleo ni machache mnoo
@jamessanga71202 жыл бұрын
Nimekupenda bure akili nyingi!
@blackwarrior-animations5932 жыл бұрын
Ingenius
@anwarihassan2 жыл бұрын
🤝🤝
@blandinamwarabu50252 жыл бұрын
Mh Kishimba ana akili nyingi sana mtumieni huyu jamaa. Nchi zilizoendelea walifika huko kisha wakarudi nyuma. Basi walirudi nyuma kwa kuwa waligundua huko nyuma ndiko wameacha manufaa makubwa. Tusiige ya kwao tujali ya kwetu. Huku kila mtu ni Dakitari si lazima asome kwa kuwa Daktari anaokoa maisha ya mtu kwa nini mtu mwenyewe asielekezwe namna ya kujiokoa. Huo ni mfano mmoja. Wenzetu huko wametoka sisi ndio tunapotea tunaelekea huko.
@lincnobel72992 жыл бұрын
💯💯💯
@lichstudio20242 жыл бұрын
Ni bora angepewa urais2
@tashone78842 жыл бұрын
Serikali ilisikia mawazo na mitizamo yake ndiyo maana wanabadili muswada wa elimu nakumbuka Raisi samia alimuagiza waziri wa elimu kubadili sylubus na kuzingatia mawazo ya Kishimba akasema "akichangia mawazo yako wabunge hucheka lakini anaongea mambo ya maana sana"