MBUNGE KISHIMBA AZUNGUMZA TUSIYOYAJUA KUHUSU SAFARI YAKE YA KIBIASHARA "NILIANZA NA MTAJI WA SH 200"

  Рет қаралды 73,123

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Пікірлер: 81
@bahatidanken5662
@bahatidanken5662 3 жыл бұрын
Kama umemuelewa mzee kishimba weka like kubwaa tuende sawa
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 3 жыл бұрын
Mbunge wetu uko sahihi hasa kwenye dhahabu umekomboa watu wengi kwa kuchenjua mchanga tulikuwa tunatupa dhahabu nyingi MUNGU akuzidishie maisha marefu
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 жыл бұрын
Mzee Kishimba anajitahidi sana kumridhisha anayemhoji safi sana
@godfreymwambwalo5282
@godfreymwambwalo5282 3 жыл бұрын
Mzee Kishimba nakukubali sana inafaa ungepewa uwaziri
@benardethamhela4898
@benardethamhela4898 3 жыл бұрын
Uko vizuri kumbe ndiyo maana walio kufanyia kazi walifanikiwa.
@catherinejohn678
@catherinejohn678 3 жыл бұрын
Kitambo sana nilikua nakuja natumwa dukan kwako kununua sukar nusu kila sh 30 mwanza kitambo sana
@ananiamwigavile5874
@ananiamwigavile5874 Жыл бұрын
Mungu akupe umli mlefu baba kishimba
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Mzee wangu Wewe hunaga makuu, ni mtu unayejitambua Sanaa
@beatriceleonard533
@beatriceleonard533 2 жыл бұрын
Nafikiri Millard, unahitaj muda umuhoji mheshimiwa Kishimba we mwenyewe, umchimbe kiundani, nafikiri ana madini mengi sana
@augustinob.toke1012
@augustinob.toke1012 4 ай бұрын
Hongera sana mhe
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 3 жыл бұрын
Nilishangaa nilipoambiwa Lamada Hotel na Dar Free Market ni miongoni mwa mijengo yake
@erickamsele89
@erickamsele89 2 жыл бұрын
Sana mbunge wetu tunakupongeza
@ayubumoha6313
@ayubumoha6313 2 жыл бұрын
Huyu mzee anabusara sana pia anajua shida sana
@mangangafaida6462
@mangangafaida6462 3 жыл бұрын
Huyu mzee anabusara sana yaan nimejifunza kitu
@christelle9690
@christelle9690 3 жыл бұрын
Wa kwanza ni mimi leo weka like yako apa 👇
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Mzee alipata pesa kitambo Sana kwa wale Wenyeji wa mkoa wa mwanza watakuwa wanalijua gorofa la kishimba kitambo Sana miaka hiyo ya 90 mzee alijenga gorofa mjini
@mhojamsafiri2273
@mhojamsafiri2273 3 жыл бұрын
Yaap ni kweli hilo golofa ni maarufu sana mwanza
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 Жыл бұрын
True,Mimi mmojawapo namfahamu,pesa kapata siku nyingi sana
@genosumaye140
@genosumaye140 3 жыл бұрын
Tuliyo Fanya kazi kwa Kishimba tujuane imalaseco supamacket
@yusufumajinge59
@yusufumajinge59 3 жыл бұрын
Anayehangaika ndiyo Mungu huwa anamfungulia mlango wa mafanikio.
@ngwanashija2667
@ngwanashija2667 3 жыл бұрын
Safi sana matajili wengne wajifunze kuishi maisha ya kawaida kwanza cyo zambi ndo maisha waliyo yaishi mitume wetu
@qasammawa5310
@qasammawa5310 2 жыл бұрын
Kishimba,bro andika kitabu chamaisha yako,juuyamafanikio, vitabu hivyo viwe wakufu kwa watoto was shule za msingi,fezahiyo itafungua baraka zigie kwa mungu
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 3 жыл бұрын
Mzee wa Kutoa wazo la kunawia Gongo ili kuepukana na corona, Kishimba we Jembe kweli
@mwlpaulnghumbujanila6264
@mwlpaulnghumbujanila6264 3 жыл бұрын
Nampenda sana MP Kishimba👏👏👏
@mariachombo7316
@mariachombo7316 3 жыл бұрын
Namkubali sana
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 3 жыл бұрын
Hahahaaa lami ya Foot Moja, asee we mzee kituko, Nilikua nafurai sana ulipokua bungeni
@benjambesseltdltdt.v.shiny9457
@benjambesseltdltdt.v.shiny9457 3 жыл бұрын
Wewe kijana
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Kwani sio mbunge tena?
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 3 жыл бұрын
Huyu mzee ni genius. Tairi la gari ni jembamba. Kitu inapigwa futi moja tu hasa maeneo ya vijijini
@tibocherichard1182
@tibocherichard1182 3 жыл бұрын
Very fantastic story
@r14kgroup68
@r14kgroup68 Жыл бұрын
Huyu jamaa alikua na meli mwanza alikua mkarimu
@jelladkabasa3292
@jelladkabasa3292 3 жыл бұрын
Hongera mzee
@kmotivation1130
@kmotivation1130 3 жыл бұрын
Watu wengi walio fanikiwa wako cool sana jaman ,yan nataka siku moja ni mwone ana wenge
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
huyu mzee namkubali sana.mama japo kazeeka mpe uwazili tu.
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 3 жыл бұрын
Huyu ni genius, kwenye uwaziri mawaziri wenzake hawatamwelewa.
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Huyu mwana ana kijiji chake buza bonge la boss huyu
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Imalaseko na super na dar mall za kwake
@jacksonpetro9558
@jacksonpetro9558 2 жыл бұрын
Anastahili kuwa Kiongozi Hakika nimejifunza na tujifunze na kuiga kutoka kwake Ndugu huyo.
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 2 жыл бұрын
Huyuu mzeee aliutumiaaa mda wakee vzr
@rsoo0099
@rsoo0099 28 күн бұрын
Madini ya kutosha sana
@mashaurimasolwa2601
@mashaurimasolwa2601 4 ай бұрын
huyu jamaa nafuatilia sana
@deohank5995
@deohank5995 3 жыл бұрын
LAITI KAMA WANGEKUTAZAMA WOTE NAAMINI KUMI KATI YAO WANGE JIFUNZA KITU NA KUBADILI KABISAA TABIA ZA KUTAWALA WANGE JIFUNZA KUONGOZA KAMA MITUME WALIVYO FANYA!
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 3 жыл бұрын
Mia mbili ilikuwa hela nyingi Sana nilikuwa natumia noti yake
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 жыл бұрын
Ni kweli ilikuwa nyingi lakini na waliokuwa nazo pia walikuwa wengi ila kuitunza wengi amewazidi .Mia mbili wengine waliipeleka disco CHISHIMBA OYEEEEEEE UNATUFUNDISHA KITU
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 жыл бұрын
Kwa huyo usimuone MTU tajiri ukadhan ameanza Leo INA maana hadi kufika. Hapo MTU anakuwa amehussle hasa. Amejaribu mambo mengi
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
ASANTE SANA KISHIMBA.
@mzeeboko5447
@mzeeboko5447 3 жыл бұрын
Unastahìlì kùwa wamfano kwani Maelezo yako mafundisho nakumbuka kauĺi yakomatajili mwanza hùfilisika nataka mimi nisifilisika
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 3 жыл бұрын
Huyu mzee anaongea kibusara kabisa aseee...
@joviangeofrey866
@joviangeofrey866 3 жыл бұрын
Nimekusoma
@motingijh2101
@motingijh2101 Жыл бұрын
Kilimo sio rahisi
@jacksonmkuyu4263
@jacksonmkuyu4263 3 жыл бұрын
Mm naomba no yake tu..nimpokeze
@adrianmanjala1357
@adrianmanjala1357 3 жыл бұрын
✊✊✊🔨
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 жыл бұрын
Namjua sana huyu mzee,halafu hizo mambo za 200,ni porojo tuuu
@Ruchanwa
@Ruchanwa 3 жыл бұрын
😁😁
@emmanuelzao
@emmanuelzao 3 жыл бұрын
Hivi 200 ya mwaka 1970 unaijua wewe?
@elimwemazacharia714
@elimwemazacharia714 3 жыл бұрын
200 miaka ya 70 nadhani n pesa nzuri tu
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
Kwa hoja yako wewe inaonekana jinsi ulivo mdogo ki-umri. Kumbuka wakati huo anaoutaja yeye hata senti ishirini, senti hamsini (sumni), shilingi moja zilikuwa zinafanya kazi. Yaani kama leo ukitajiwa dola moja kwa Marekani ndivo ilivokuwa Tanzania kwa wakati huo. Imagine mtu leo anakupa dola 200 unaweza kuiona ni ndogo ila ukiibadili kwa mf. kwa fedha yetu ya Kitanzania kwa sasa ni kama laki nne na sehemu hivi, si pesa ndogo hii. Mfano mwaka 1985 - 1989 bado shilingi moja ilikuwa inafanya kazi. Kwa hiyo ulikuwa unaweza ukanunua muwa mzima kwa shilingi hata tano ama kumi tu. Hivyo ukiwa na tsh. 200 tu ilikuwa ni pesa kubwa kabisa. Siku nyingine jitahidi kujielimisha kwanza kabla ya argue.
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
@@emmanuelzao unajua madogo wa siku hizi wakimaliza vyuo vikuu wanaona watu wasio na elimu kama zao basi ni mbumbumbu tu 😂😂
@novatuspaul9177
@novatuspaul9177 2 жыл бұрын
Mtu na nusu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 3 жыл бұрын
Kuendesha baiskeli kilometer 200 sasa hapo umechapia mbaba!😳
@dismasdonald745
@dismasdonald745 3 жыл бұрын
Hata sisi tumeendesha sana zaidi ya kilometa 200
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Mbona ni chache....ni sawa na kutoka dar hadi chalinze na kurudi dar.
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 3 жыл бұрын
Unashangaa we wa mjini eee
@flavy_kipps4025
@flavy_kipps4025 2 жыл бұрын
hujakaa usukumani ww uone wasukuma wanavyopiga bike kuna hadi daladala za baiskeli🤣🤣
@genosumaye140
@genosumaye140 3 жыл бұрын
Lamada
@pascalsamson4721
@pascalsamson4721 2 жыл бұрын
duuuu
@liambeyusuphu2195
@liambeyusuphu2195 2 жыл бұрын
Mtaji wa sh 200 ni porojo?? hivi unajua thaman ya sh 200 ya miaka ya sabini? yupo sawa mie binafsi naamini
@nyamarwamwikwabe4886
@nyamarwamwikwabe4886 3 жыл бұрын
Uyu jamaa anatakiwa awe kiongozi mkubwa tz
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 жыл бұрын
Fanya mazoezi punguza mafuta
@mangangafaida6462
@mangangafaida6462 3 жыл бұрын
Huyu mzee anabusara sana yaan nimejifunza kitu
@deohank5995
@deohank5995 3 жыл бұрын
LAITI KAMA WANGEKUTAZAMA WOTE NAAMINI KUMI KATI YAO WANGE JIFUNZA KITU NA KUBADILI KABISAA TABIA ZA KUTAWALA WANGE JIFUNZA KUONGOZA KAMA MITUME WALIVYO FANYA!
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 197 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 11 МЛН
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН