Mbunge Musukuma Azitaja Ngoma Tatu Anazozipenda Rais Magufuli

  Рет қаралды 206,720

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Mbunge wa Geita Mhe. Joseph Musukuma ameelezea namna alivyoupata utajiri wake, anachukizwa na wachezaji wanaocheza hovyo na amezitaja ngoma tatu anazozipenda rais Dkt. John Magufuli....tazama hapa.

Пікірлер: 102
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 жыл бұрын
Nakukubali sana katika wabunge ninao wakubali ni wew.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 6 жыл бұрын
nakukubali sana msukuma ulikua umeajiliwa korogwe kwa mcharo lakini huku kata tamaa nakupongeza mungu akuinue
@ramadhaniadamu5993
@ramadhaniadamu5993 6 жыл бұрын
mtangazaji una kipaji kaka...big up.. msukuma unamaono positive ...may God bless u
@mbagaumeolewambaga4006
@mbagaumeolewambaga4006 5 жыл бұрын
mbeya matukio
@24habari
@24habari 6 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri. Hongera brother. Nimependa mtiririko wa Interview yako
@juliassembeo2904
@juliassembeo2904 6 жыл бұрын
katika.wabunge.wote.nakuaminia.ww.mh.msukuma.ata.juzi.ulivokuja kata.ya.sambasha.ukiandamana.na.Dc.wa hai mh.lengai.sabaya.uliongea.maneno.yaliyotujenga.ss.vijana.godbless.u
@denismakweba3870
@denismakweba3870 6 жыл бұрын
"Kazi ya ofisin aiwezi kukufanya ukaendelea ila itaku-keep busy......" Ahsant kaka
@mikematangira5546
@mikematangira5546 6 жыл бұрын
denis makweba ,m
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Musukuma napenda akiwa bungeni yaani acha tu , na anajiamini baba wala haogopagi bg up sana
@polesananampala8318
@polesananampala8318 4 жыл бұрын
Namkubali sana msuma
@nkwabitz233
@nkwabitz233 6 жыл бұрын
Msukuma.. Nicee
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 6 жыл бұрын
Safi nakushukuru kwakukumbuka fadhira za watu
@lightnesscharles5031
@lightnesscharles5031 3 жыл бұрын
Nakupenda xn ww
@jeremiahmwegamo5954
@jeremiahmwegamo5954 5 жыл бұрын
Nakukubali sana musukuma piga kazi baba
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 6 жыл бұрын
Yaan katika wabunge ninao wakubal wa kwanza ni huyu mheshimiwa msukuma kiboko kabisaa👏👏👏👏👏mungu aendelee kukuweka
@hasionshekiondo6680
@hasionshekiondo6680 4 жыл бұрын
Kaka nakukubar sana
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 жыл бұрын
Msukuma ana mabasi bukoba zaidi ya 40 yameandikwa king msukuma yanatoka mwanza yanaenda bukoba na kila siku ya ijumaa nauli sh 12000 . jumapili nauli bule mpaka bihalamulo . .alafu yote yana picha ya magufuli. Shikamoo pesa
@edmundedward4365
@edmundedward4365 6 жыл бұрын
Askof Wa dar umejitahidi kupsmba uwongo Mabasi 40 Bo to Mz 😁😁
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 жыл бұрын
edmund edward we boya nn kama nadanganya ana mangapi? Wahaya mlivo na misifa ulitaka amiliki muhaya mwenzio .pita kushoto bana
@rostamkamazima1012
@rostamkamazima1012 6 жыл бұрын
Askof Wa dar yote mabovu tu
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 жыл бұрын
Rostam Kamazima apana mbona mapya
@injili90
@injili90 5 жыл бұрын
Wewe unazo ngapi
@emmanueljuliusmanyakenda391
@emmanueljuliusmanyakenda391 4 жыл бұрын
Wasukuma tupo juuuuu saana
@josephmlela9757
@josephmlela9757 6 жыл бұрын
upo vzuri mh. msukuma
@mangwesimringi6761
@mangwesimringi6761 4 жыл бұрын
Nc
@queenkhalimaqueenkhalima3174
@queenkhalimaqueenkhalima3174 6 жыл бұрын
Namkubali sana huyo mzee baba msukuma
@augustinopius2802
@augustinopius2802 6 жыл бұрын
Ww si ulisema bangi Ni mzuri inaleta mzuka
@dismasstanslaus5985
@dismasstanslaus5985 2 жыл бұрын
Jamaa anaakili mno
@consesamallya4327
@consesamallya4327 6 жыл бұрын
nakupenda bure
@josephumwekela8617
@josephumwekela8617 6 жыл бұрын
msukuma anajitahidi Sana katika utendaji kaz nmkubali sana
@josephmwile8594
@josephmwile8594 5 жыл бұрын
pamoja mh. msukuma hakika bro
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 жыл бұрын
Msukuma mpaka raha jamani
@sehemunzuri
@sehemunzuri 6 жыл бұрын
Mgenius ni Sukuma 😊
@michaeljova1397
@michaeljova1397 6 жыл бұрын
Mwanaume mashine 😂😂😂😂 Tisha mwanakwetu ole hasawa gete nkoi
@gbconline2006
@gbconline2006 6 жыл бұрын
Team Ronaldo 🔥🔥💪
@pundetv6144
@pundetv6144 6 жыл бұрын
Uyu tei jamaa anajua sana clouds mpeni nafasi bhana pale choice apati nafasi
@lovefisima8010
@lovefisima8010 4 жыл бұрын
Yuko vzr kwa kweli
@viniaskadunda5768
@viniaskadunda5768 6 жыл бұрын
Safi
@bhtbundala3419
@bhtbundala3419 6 жыл бұрын
haha mwanaume machine ama kweli imeuza
@aduramaduram8788
@aduramaduram8788 4 жыл бұрын
yakweli
@piarasendeu2335
@piarasendeu2335 6 жыл бұрын
anakukubali cn msukuma
@jainahshabani4001
@jainahshabani4001 6 жыл бұрын
Natamani uwe Rais jmn daaah
@boazmtileghe378
@boazmtileghe378 6 жыл бұрын
Kwaiyo huyo hana Nina lake official mpka mnamuita msukuma
@shinjegeorge7621
@shinjegeorge7621 4 жыл бұрын
Ndo jina lake halisi kaka,Joseph Kasheku Msukuma
@barackramadhan1419
@barackramadhan1419 4 жыл бұрын
hahahaha eti kaglasi kamoja ka waini
@gosaizaka1495
@gosaizaka1495 6 жыл бұрын
kazi ya kuajiriwa inakukipu bizeeee dawaaa kwa hali hiii acha nipambane nimechoa kuajiriwaa
@josephmateru8892
@josephmateru8892 6 жыл бұрын
Umetisha Cna Cr7
@rosemarybenjamin4333
@rosemarybenjamin4333 6 жыл бұрын
😂😂😂wasukum bn
@lucaschicongoye5638
@lucaschicongoye5638 6 жыл бұрын
Kwa mpira wa bongo ni kweli
@Saniamunguatujaliyemwishomwema
@Saniamunguatujaliyemwishomwema 6 жыл бұрын
Umeongea ukweri kabisa musukuma kujiajiri nibola zaidi
@shaxmtanashati4546
@shaxmtanashati4546 6 жыл бұрын
Fresh
@aduramaduram8788
@aduramaduram8788 4 жыл бұрын
uko vizuli sana
@andreafransisi1702
@andreafransisi1702 4 жыл бұрын
Kiukweli kunamajimbo yanapata wabunge nahazi yajimbo inaonekana ata kibaka hawezi kutamani kugombea kwenye hilojimbo
@dtherockguy9003
@dtherockguy9003 6 жыл бұрын
Big gup msukumah
@kelvinshaban5721
@kelvinshaban5721 5 жыл бұрын
aminiaaa saana msukumaaa!!
@stevenmaligo4702
@stevenmaligo4702 6 жыл бұрын
mh msukuma safi sana
@christophamusa6684
@christophamusa6684 6 жыл бұрын
noma xana ss wasukuma tuachen nchi tuiweke pazuli uchumi kama kawaida vyuma vimeachia.
@neltone
@neltone Жыл бұрын
Miak 64,ila km 35 huyu n alien
@mnyamachui9771
@mnyamachui9771 6 жыл бұрын
pow pow Rs7
@lusungugatemile1046
@lusungugatemile1046 5 жыл бұрын
nakukubalisana
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 6 жыл бұрын
Kazi yako naifahamu mh, Mimi ni mpiga kura wako, ww ni mtetezi wa wanyonge, Ambulance tunaisubiri kwa hamu kwaajili ya nzera, nyamboge, na Jimbo kwa ujumla
@josephmpemba8951
@josephmpemba8951 6 жыл бұрын
Msjkuma jembe kbsa
@richmondzakaria8423
@richmondzakaria8423 6 жыл бұрын
Msukuma mbunge mwadhili mawazo yake huwa yanajenga
@Knowledge_and_Understanding.
@Knowledge_and_Understanding. 6 жыл бұрын
NAFASI ZA MAOMBI, FURSA ZA KIBIASHARA DAR ES SALAAM *ONLINE BUSINESS OPPORTUNITY* Kampuni inatafuta watu walio makini na utayari watakaojiunga na online social network business platform, watakaofanya kazi full time ama part time na kulipwa Tsh 50,000-100,000 kwa siku, kutumia simu yako ya mkononi ama laptop kwa kuweka tu system ya kampuni. *MAHITAJI* 1.Uwe na smart phone, ama laptop iliyounganishwa Internet. 2. Uwe tayari kufanya kazi bila usimamizi wowote na ujitume. 3. Uwe na maono yaliyo chanya ( positive). 4. Uwe na umri wa miaka 18 na kuendelea. 5.Uwe mkazi wa DAR ES SALAAM na VIUNGA VYAKE. 6.Uwe tayari kufika ofisini siku na muda utakao hitajika. ✔kama unahitaji kuwa miogoni mwa fursa hii Tuma neno *NAHITAJI* ukiambatanisha -majina yako kamili -mahali unapokaa -na nambari ya simu. Kwenda namba:- +255 755 753 662 , kwajili ya kujumuishwa ndani ya list ya kampuni na kupewa mafunzo na Siku,tarehe, na mahali utakapoitwa ofisini kwa ajili ya usaili. IMETOLEWA NA:- Mardion Vedasto +255 755 753 662 OSD DIRECTOR. Dar Es Salaam.
@kyungualbetina2452
@kyungualbetina2452 6 жыл бұрын
Shikamoo msukuma nakupenda bure tu
@lizysamson3722
@lizysamson3722 6 жыл бұрын
uchaguzi.was.udiwani.arusha
@samueljemus6444
@samueljemus6444 6 жыл бұрын
Xawa ngoxha yanga daima
@boazimbwaga8771
@boazimbwaga8771 6 жыл бұрын
rais 2030 msukuma nakukubar miaka mia
@muhsinhafidh5490
@muhsinhafidh5490 6 жыл бұрын
nice
@emmanuelzephania7266
@emmanuelzephania7266 5 жыл бұрын
Aise wew ni mmoja Kati ya wabunge ninao wakubalia, kiasi kwamba nimekuwa mfuatiliaj wa mambo yako mengi ikiwemo hotuba n.k nakukubalia kinoma
@jamilahmuolage8663
@jamilahmuolage8663 6 жыл бұрын
Daaa nampenda huyu msukuma
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 6 жыл бұрын
Pala hilo ni sheeegda
@allymkamba1115
@allymkamba1115 6 жыл бұрын
Msukuma mkataba wakoukisha njogombe rufiji kwasababu unangea Sana Bingen pwet
@franksonmzunya6965
@franksonmzunya6965 6 жыл бұрын
Sipend mizik ila napend kuskiliza mizik!! 😨😨😷 wasukuma tabu ya kiswahili bado iko palepale
@samwelrobert6319
@samwelrobert6319 5 жыл бұрын
Frankson mzunya acha ujinga
@hkmeme5437
@hkmeme5437 6 жыл бұрын
Ronaldo alvyo tolewa ata mimi pia morali tena
@rasijoackim3839
@rasijoackim3839 6 жыл бұрын
Hilary Kinyua
@rasijoackim3839
@rasijoackim3839 6 жыл бұрын
kwakwe. msukuma. namkubali. sana
@sebastianngassa2050
@sebastianngassa2050 5 жыл бұрын
Mtangazaji ukovizuli
@husnajohn7466
@husnajohn7466 6 жыл бұрын
Msukuma huwa ananikosha balaaa anajielewa
@s.adrianoone626
@s.adrianoone626 6 жыл бұрын
Husna John ndo jina lake hill...Joseph msukuma....
@mbwanamtessa8607
@mbwanamtessa8607 6 жыл бұрын
Gudi
@hellenmassawe8356
@hellenmassawe8356 6 жыл бұрын
Mbwana Mtessa msukuma katika ubora wake
@yanayojirimitaaniTV
@yanayojirimitaaniTV 5 жыл бұрын
ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV DUDU BAYA YUPO PABAYA ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI
@shabanisambala6893
@shabanisambala6893 5 жыл бұрын
Sawa msukuma tumekusoma
@iammusic3404
@iammusic3404 6 жыл бұрын
Why don't u settle your disputes with WCB if your goal is to raise Tanzanian talents and economy altogether #mnayumba asee I feel pity for ya
@josephmpemba8951
@josephmpemba8951 6 жыл бұрын
Mwanaume mashine
@lobalobaanase438
@lobalobaanase438 6 жыл бұрын
Km alivyosema sio mpnz wa MPR na Mimi msukuma yupo vzr japo sio wa chama changu napenda makeke yake,
@mlingastephen1888
@mlingastephen1888 6 жыл бұрын
kweli baba msukuma
@mlyahiluedward6793
@mlyahiluedward6793 6 жыл бұрын
mxukuma dont make me laugh
@williamenos7641
@williamenos7641 6 жыл бұрын
Mwaname mashine
@mwanamutemi
@mwanamutemi 5 жыл бұрын
nyimbo nyuma ya interview ni Ushamba mkubwa !!!
@josephmpemba8951
@josephmpemba8951 6 жыл бұрын
Mtungi kdgo
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 жыл бұрын
umeanza kufanya bishara sijazaliwa unahaki yakua tajili alafu ww mtangazaji mchokoz
@isaackfereza5387
@isaackfereza5387 6 жыл бұрын
Mm nataka interview nitakupata vipi
@nyambukulyama1357
@nyambukulyama1357 6 жыл бұрын
Duu yani kwa Joseph hatari kuongea namkubali sana kwa maana anajiamini.
@liberatusjackson2497
@liberatusjackson2497 3 жыл бұрын
Sasa mbona unapiganazo misere
@nyakisn6512
@nyakisn6512 5 жыл бұрын
Hahahaha
@emmanueljuliusmanyakenda391
@emmanueljuliusmanyakenda391 4 жыл бұрын
Wasukuma tupo juuuuu saana
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 4,2 М.
SAKATA LA MUSUKUMA Vs MKURUGENZI KUHUSU V8 YA MIL. 400
4:43
Millard Ayo
Рет қаралды 216 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA
10:05
"MIMI NI MBWA WENU, WAZIRI NAMUAMBIAGA HUNA AKILI" MUSUKUMA
4:51
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН