HAPA NI NASAHA ZA MCHUNGAJI RICHARD HANANJA KUHUSU MAANDAMANO YANAYOENDELEA NCHINI KENYA AMBAYO GEN Z WAMEYAANZISHA
Пікірлер: 11
@abdulkheri732229 күн бұрын
Moja ya tatizo kenya hata hao wachungaji baadhi yao wanatumiwa na wanasiasa, so vijana hawana imani na wachunaji
@MichaelMwasese5 күн бұрын
Balikiwa much Hananja mtu kazi sema ameniiiiiiiiiiii
@rastakataka28 күн бұрын
Soma Bibilia vizuri kizazi HATARI
@user-bp4wv4jo2i29 күн бұрын
asante kwa kutetea wanyoge kenya,kweli gap ya umasikini na tajiri nikubwa sana
@andrewnyamwaro517429 күн бұрын
Maoni yake huyo. Haelewi kitu huyo. Swala hapo ni siasa na uongozi. Vijana wanahoji maamuzi ya wakuu. Wanafacts. Hata rais hana jibu. Huyu mwepesi na cheap solutions. Hapo naye ajifunze . ...
@henryosoro769629 күн бұрын
Huyu mzee haelewi Chenye kinaendelea hapa Kenya ..
@nicolousmwakalengela225827 күн бұрын
A- Z Umeeleweka mchungaji umeongea ukweli mtupu
@user-ot1ff7yq2l29 күн бұрын
Hapana hao watu sio wajinga ukiona hivo jua kuna mambo yanawakeraa wananchi na sasa wakaamia kuyatoa kwa njia yote ile
@hockingsshangali174729 күн бұрын
Mchungaji jichunge sana na ushabiki wako. Fanya uchunguzi vijana wa kenya sio waasi kwa ruto hajui anamnufaisheje mkenya na sio yeye ataka nn. Huo ni udicteyar.