MCHUNGAJI HANANJA AMCHANA MFALME ZUMARIDI KUSEMA ALIENDA MBINGUNI ZAIDI YA MARA MOJA,,,TAZAMA HAPA..

  Рет қаралды 232,174

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

#diamondplatnumz #harmonize #costatitch

Пікірлер: 460
@godwinchristian5252
@godwinchristian5252 Жыл бұрын
Huyu ndio mtu amekuwa kiroho ubarikiwe mzee Wetu
@stevensimbeya2212
@stevensimbeya2212 Жыл бұрын
Mungu akubaliki Mzee wangu upo kwenye misuli ya Imani kweli kweli🙏🙏
@catherinekisasila2196
@catherinekisasila2196 8 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukutunza Rev Hananja hakika wewe umewazidi wote 🙏
@kennethjunior6071
@kennethjunior6071 Жыл бұрын
I like you very much pastor, you always say the truth
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Жыл бұрын
Kajiangusha Tu yaishe 😭🙏🏿😂
@dingasagg5876
@dingasagg5876 Жыл бұрын
Huyu mchungaji ndiye anaehitajika kuhubiri injili kwa nyakati hizi mkweli sana
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
​@@nicolenabintu2509 🤣🤣🤣
@roseeuphrase3853
@roseeuphrase3853 Жыл бұрын
​@@dingasagg5876 Ni kweli kabisa ndugu yangu. Lakini kitu kibaya sana, Mchungaji kama huyu hapati support kutoka kwenye institution iliyo muajiri. Mtumishi huyu huwa anatoa mafundisho mazuri yanayo endana na nyakati hizi.
@fredanunda7719
@fredanunda7719 8 ай бұрын
This servant of God is amazing. Great soildier in the Kingdom of God.true servant,saying everything peacefully,with lots of wisdom😂😂😂and understanding,God bless you Pastor
@estermshana8081
@estermshana8081 Жыл бұрын
Mchungaji Mungu azid kukuinua,,hajapinga kasema anamfwatilia kama mtumish lkn ana mapungufu yake,,ujumbe umefika be blessed much pastor
@joycewilliam2498
@joycewilliam2498 2 ай бұрын
Hakika Mch. Umenikuza imani yangu na naijua kweli ile iliyokweli ubarikiwe sana mtumishi
@MubarakaSaid-w7w
@MubarakaSaid-w7w 9 ай бұрын
huyu mwamasishaji ila katika hali ya kufirik anaishi kama mchungaji miongon meal waklistu woteeeee❤❤❤❤❤❤
@martinomwayi6123
@martinomwayi6123 7 ай бұрын
Rev. Hananja, you are a teacher and you teach the word practically according to the world we live in, you are honest and loyal to the teachings may God bless you as your counsel, and wisdom continue teaching
@Chamlilah
@Chamlilah Жыл бұрын
Mungu akubariki sana. Tuwe na tabia ya kusoma biblia. Tutapunguza kudanganywa na hizi dini za maturubai
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 10 ай бұрын
Nimekuelewa sana mchungaji nimekupenda Mungu akutie nguvu Kwa mahubiri yako
@edwardouma1630
@edwardouma1630 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubari kwa ukweli iliyoko ndani yako mpenda ukweli from Nairobi Kenya east Afraca 🇰🇪🙏
@ramadhanimasudi6904
@ramadhanimasudi6904 Жыл бұрын
Mimi ni mwislaam ila ukweli ni kwamba huyu mchungaji ni hazina kubwa sana katika imani. Anaongea kweli tupu. Mungu na azidi kumpa afya njema ili azidi kuelimisha watu wengi wanaoangamia kwa kukosa maarifa!
@dominalucian7965
@dominalucian7965 Жыл бұрын
Umesema kweli rama
@rosemaryjohn956
@rosemaryjohn956 Жыл бұрын
Mungu akurinde mtumishi 🙏🙏🙏
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 Жыл бұрын
Sana hata mm napenda kumsikiliza huwa anaongea ukweli
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 Жыл бұрын
Tathmini maneno yko ayo, hawezi kuwa yeye ndio kiongozi wa kuwaita watu katika dini isiyokuwa ya Allah halafu akawa yeye ndo hazina , tumuombe tuu Allah atuongoze sisi na yeye ,
@lupidavid4269
@lupidavid4269 Жыл бұрын
Pplll0
@ciatembachannel
@ciatembachannel Жыл бұрын
Nakupenda sana Mchungaji hananja jirani yangu tegeta kontena Karibu na kwa diamond simba
@bakariadamu6068
@bakariadamu6068 Жыл бұрын
Baadhi ya Wenzetu upande wa pili wanapotoshwa sana huyu mzee ni mkweli sana ❤
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Жыл бұрын
Upande wa pili upi? Unajua ZUMARIDI ni dini gani? Hatumii biblia je! Wajua idadi kubwa ya wanaofuata wametoka kwenye dini yako? Je! Wajua hata aliyesababisha kukamatwa kwake, ni mfuasi wake aliyetoroka kwa mume wake na mtoto ambao wote walikuwa waamini wa dini ya mwarabu?
@officialeddokhan904
@officialeddokhan904 Жыл бұрын
Usiseme upande wa pili wanapotoshwa sema watu wanaoamini maneno ya zumaridi ndo wanapotoshwa ata ww ukiamini utapotoshwa sawa,
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Ishi uoasavyo sio watakavyo ndio anachokisema hananja shida tunapendwa kuburuzwa mtu km huyo zumaridi akili tuu yakawaida nimwehu lkn wapo wanamfata kkk
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Sanaaaa😊😊😊
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 Жыл бұрын
Upande upi? Unadhani wakristo wote wako na huyo Zumaridi? Sema wafuasi wake yeye
@venancemashimba9511
@venancemashimba9511 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi mahubiri yako ni tiba kwa wanadamu😊
@SILASMAVOA-uq7gy
@SILASMAVOA-uq7gy Жыл бұрын
Asante mchungaji hananja wewe kweli mwanazuoni mungu akupe maisha marefu
@godfreymhando3248
@godfreymhando3248 8 ай бұрын
Mchungaji nakukubali sana kwaukweli busara na hekima zako
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Жыл бұрын
Hhhhhhhhh mchungaji na kukubali sana mimi ni muwisilamu lakini sikuchoki kukuangalia maubili yako
@elizag.edmond7637
@elizag.edmond7637 Жыл бұрын
Kama unajua kiarabu soma Quran 43aya 61,na Quran 53aya 55 kama huelewi mwambie shehe akusaidie akwambie ukweli
@amirmussa6735
@amirmussa6735 Жыл бұрын
Anaongea sana point huyu bro
@christdeliverancetvkenya
@christdeliverancetvkenya Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/o3WrfWqMhNR1a9U
@safinkeyemba2174
@safinkeyemba2174 Жыл бұрын
Mungu akuinue mtumishi hananja hufanyi kazi ya kupotosha WATU
@annamulungu2876
@annamulungu2876 Жыл бұрын
🤣🤣nimecheka hadi machozi. huyu mchungaji jamani nampendaga! Eti mbingu zipo nyingi! Nimeipenda hiyo!!!🤣🤣🤣🤣🤣
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Well said pastor Hananja. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Tusikubali kuangamia jaman.
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
SISI SOTE AU WOTE NI WA MUNGU,NA KWAKE TUTARUDI,HAKUNA WATU WA MTU..KAMA ASEMAVUYO.MMILIKI NI MUNGU WA HAKI,SIO ANAYEWALAZA VIJANA AKAPITA JUU YAO AKIWA ANAJIONA NI MBORA,AMEJIREMBA NA WSO DI CHO CHOTE,IKIWA WAMEFUGWA BILA UHURU
@asternjulius890
@asternjulius890 Жыл бұрын
Huyu mchungaji ana kitu sana aina ya mafundisho haya ndo nayapendaga
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
I really Love this Man,anaongea fact kabisaa,alisema waliongea kisukuma hahaha nafkiri alienda kuzimu not mbinguni.
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
Hongera Kaka hapo umesema,wanadhalilisha VIJANA na SERIKALI IMEONA INEJUA NA KUMUACHIA..AULIZWE KISERIKALI AYASEMAYO NA KIDINI PIA UKWELI WOTE
@JohnKimaro-ge3rp
@JohnKimaro-ge3rp 9 ай бұрын
God bless you pastor Hananja
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Nabii mussa aliona nuru tu ya mwenyezi mungu akazimia zumaridi anakwenda kuzungumza na babaake
@edespantaleo7020
@edespantaleo7020 Жыл бұрын
Pd
@valentinamankaa2332
@valentinamankaa2332 Жыл бұрын
)
@saumusulaiman4742
@saumusulaiman4742 9 ай бұрын
God bless you pastor ❤🎉🙏
@abouchaume8756
@abouchaume8756 Жыл бұрын
Wazee huyu mzee mungu amembariki
@kumbukaobeth7103
@kumbukaobeth7103 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi, hakika umenena ukweli
@SimonPeter-j3r
@SimonPeter-j3r Ай бұрын
Mchungaji huyu mungu ambariki sana,anasema ukweli n'a yesu alisema watkuwa watakae sema mm ni yesu kwahiyo iyo kusema nimetokea mbinguni siyo ajabu kwetu,
@AshaDaudi-kc3fv
@AshaDaudi-kc3fv 4 ай бұрын
Mungu akubariki baba kwa mahubiri yako....
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 Жыл бұрын
Kusema kweli hayupo aliye muona Mungu na hatakuja kutokea. Ukibahatika unaona kisogo, mkono.🙏
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
MUNGU SI WAKUMUONA,ILA VITENDO VYAKE WAZI KUJUA MUNGU YUPO...SOMA UTAJUA ...
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 Жыл бұрын
@@fatmaahmed8637 Najua Sasa yeye c amesema alienda Hadi mbingun au
@anjelamdelwa7642
@anjelamdelwa7642 2 ай бұрын
Jamani mchungaj hananja uko vizur unashindana kwa neno hongera san wachungaj weng hawana neno wanabandikiza maneno ya uong tuu
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
We ni mtu kweli aisee!! Ubarikiwe sana boss
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi🙏
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 Жыл бұрын
I like that "Tunaongea na Mungu kupitia Neno"
@agnesnzala885
@agnesnzala885 Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 God bless you, Pst
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Mtangazaji anakufa mbavu kwa ucheshi Wa Mchj.Hananja ila kiukweli huyu mtumishi ni hazina ya wenye hekima tena hababaishi ni mchungaji mahiri mwenye kipaji. Mungu ambariki na kizazi chake
@rosemarenga832
@rosemarenga832 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu ❤
@KamiliusPius
@KamiliusPius Ай бұрын
Hapo sawa Neno baba, Waambie pasta
@yusuphmwambete2777
@yusuphmwambete2777 9 ай бұрын
Hakuna binadamu mkamilifu.Asante sana.
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 Жыл бұрын
Wewe Mimi nakupendaa sanaaa pastor ananjq
@GeraldNgereza-tk2sy
@GeraldNgereza-tk2sy Жыл бұрын
Well said Rev.
@imaculatadominic7005
@imaculatadominic7005 Жыл бұрын
nimecheka mpk co poa kweli pastor uko vizuri
@peterngalawa3511
@peterngalawa3511 Жыл бұрын
Mch. Hananja nakukubali sana mzee we mkweli sana bhana, enheeeee,
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Жыл бұрын
Big up mchungaji nakukubali
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
mimi ni muislam ila huyu mzee namkubali sana
@bethelionlinejpm1827
@bethelionlinejpm1827 Жыл бұрын
Wwe una mubili Mungu usijua unatalisana balozi anajua aliyotuma kuwabarozi WWE niwajabu
@petromachanga5538
@petromachanga5538 Жыл бұрын
Ukiwa mwislam unafaida gan???
@godfreykarata3710
@godfreykarata3710 Жыл бұрын
Nakubali mchungaji
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge Жыл бұрын
Father uko sahihi sana,Mungu akubariki sana
@geofreybukwali9611
@geofreybukwali9611 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji
@naghemsuya5218
@naghemsuya5218 Жыл бұрын
Kwakwel anataka send off uyu dada. Mungu atusaidie Sana tunaangamia kwakukosa maarifa.
@kalfanabasi4703
@kalfanabasi4703 Жыл бұрын
Upo vzr sana mzee uendeleaze ukweli
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny 9 ай бұрын
Shukrani kwa mjumbwe mazuli ubalikiwe pia
@athumanisudi891
@athumanisudi891 Жыл бұрын
Hizi dini cku hiz zimekua mtihani sana mtu anazusha anachojisikia kwa kwel mungu atunusuru.
@alexmbatta3796
@alexmbatta3796 Жыл бұрын
Utukufu kwa MUNGU mtumishi wa Mungu
@jairosdaka7328
@jairosdaka7328 Жыл бұрын
Ukweli inauma wambie ukweli pastor 🙌 🙏 uyu mama anabidi afugwe tena
@gallantswatano1810
@gallantswatano1810 Жыл бұрын
Ninampenda sana huyu mchungaji nampenda mnoo
@judicateshuma3688
@judicateshuma3688 Жыл бұрын
Akwenda mbinguni alikwenda kwa baba yake lusifa mkuu wa mapepo
@joely58
@joely58 Жыл бұрын
Tatizo mnashindwa kujua munguyupi anae mzungumzia
@jonasibraysoni1859
@jonasibraysoni1859 Жыл бұрын
yupi unae mjua yy au wa buza nn
@mickeysunday4174
@mickeysunday4174 Жыл бұрын
Mmmmh!!!!
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 Жыл бұрын
Labda kabla kutuambia hatujui Muungu yupi ww tuambie Mbinguni kuna Miungu wangapi? Maneno yanajieleza kama alisema kaongea na Muungu tu ulipaswa kutuambia hatujui lkn kasema kaenda Mbinguni Sasa tuambie ww ni Muungu gani mwengine huko.
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 Жыл бұрын
Limama liongo jamani eti jua lilitokea usiku ukutani Daaaah 🤣🤣🤣
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 Жыл бұрын
.zumaridi. kapotea njia. .yesu.hazihakiwi. najua.mungu hatamwacha no kunakitu.kitatokea kwa zumaridi aionebrazili. Bado.zam. Yake
@halimacharles3495
@halimacharles3495 Жыл бұрын
Kikkkkkkkkk nakukubari baba Katika jina ra yesu
@mathiasmhilu9436
@mathiasmhilu9436 10 ай бұрын
Amina nakuelewa saaana mkuu
@sakinamsangi3077
@sakinamsangi3077 Жыл бұрын
Yani huyu mchungaji ana point sana
@boniphacesimkonda2293
@boniphacesimkonda2293 Жыл бұрын
Mungu Akubariki Mchungaji Hanania
@agathamkangira7332
@agathamkangira7332 Жыл бұрын
Na huo mkorogo na mawigi yake🤣. mungu yupi alimuona, wa Mazombi au
@1961nungwi
@1961nungwi Жыл бұрын
Labda aliota akiwa usingizini. Alipoamka hakujua ni ndoto!🤗🤗
@dorothystone1848
@dorothystone1848 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@jordanedward822
@jordanedward822 Жыл бұрын
Zumaridi ni mpigaji Kwa kutumia dini, but kuhusu waafrika kutokuaminiana hiii imekuwa desturi yetu mzungu wa kale akisema alimuona sisi tunaamini. Anyway ndoto zakina yusuph, Musa, tunaziamini ila ndoto za zumaridi kuhusu kumuona Mungu hatuziamini. Africa tufurahie vyakwetu na tuviamini sisemi vya zumaridi but tufurahie vyakwetu.
@christerkilamlilo7013
@christerkilamlilo7013 Жыл бұрын
Namkubali sana huyu Baba
@meenalaza2839
@meenalaza2839 Жыл бұрын
HAHA 😂 HUYO MAMA AMUOGOPE MWENYEZI MUNGU JAMANI
@eunicewiza-gw8kx
@eunicewiza-gw8kx Жыл бұрын
Huyu mchungaji mungu aendeleee kumtunza
@sundayyohana8527
@sundayyohana8527 Жыл бұрын
honera sana mtumish mungu akubarika sana unamafundisho yaliyo yakweli.
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 6 ай бұрын
nakupenda sana mtumishi wa Mungu ukweli ndio kanuni yako
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Zumaridi ana mwishoo Mbaya sanaaa
@janekalondu6177
@janekalondu6177 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 pastor God blessed you
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Жыл бұрын
Huyo mama amechanganyikiwa msimpe interview anapotosha umma!
@mwanaomary3034
@mwanaomary3034 Жыл бұрын
Napenda unavyotumia Neno la Mungu
@mirajikilasa-cy5ln
@mirajikilasa-cy5ln 9 ай бұрын
Nakupongeza sana, wewe ni mwisho wa maarifa, Kwa kujua yalio kweli
@mtangag774
@mtangag774 Жыл бұрын
Namkubaligi sana huyu mwamba
@maryjohn2580
@maryjohn2580 Жыл бұрын
Barikiwa mchungaji
@halimacharles3495
@halimacharles3495 Жыл бұрын
Amen ziribwino Papaa ndizoona
@davidmikango4822
@davidmikango4822 Жыл бұрын
Ndithudi zoona di
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
Huyu Zumaridi ni malaika atokaye kuzimu na hiyo mbingu anayoisema kenda ni huko kuzimu.Sisi tunaoshiriki mijadala katika mitandao yetu ya kijamii tujiepushe sana kumwita huyu mama kuwa mfalme tutajikuta kunamwinua bila sisi kujua huku tukishiriki kikombe cha mvinyo ya ghadhabu ya Mungu. Impasayo yeye peke yake.
@craraaizack9072
@craraaizack9072 Жыл бұрын
Hta kuzim inamktaaa kwa mkologo ule
@mossesisaack5066
@mossesisaack5066 Жыл бұрын
Safi sana Mchungaji Mungu akulinde
@marcellinebahati1637
@marcellinebahati1637 Жыл бұрын
Kabisa pastor ubarikiwe 👏👏
@nissanbenson8895
@nissanbenson8895 Жыл бұрын
Pastor Hananja ww noma
@deeruta9894
@deeruta9894 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 huyu mchungaji kiboko kabsa naongea ukweli 🙏🏽
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
Zumaridi unatulisha matango poli musa mwenyew hakumuon aMungu ukimuona Mungu utakufa
@rahma6189
@rahma6189 Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@MichaelSanga-g3x
@MichaelSanga-g3x 20 күн бұрын
Nimekua najifunza mengi sana kwa huyu Mzee Yuko Waz
@StellaPaul-z9y
@StellaPaul-z9y 9 ай бұрын
Sijutii kumaliza bando juu ya huyu mzee
@roselambert6700
@roselambert6700 Жыл бұрын
Nakupendeaga hapo tu mchungaji mkweli
@mwanaomarymadenge
@mwanaomarymadenge Жыл бұрын
Yaani wee baba mi nacheka Sana kukusikia. Eti nikalala chini polepole mwenyewe.
@Officialkeeler
@Officialkeeler Жыл бұрын
Amen Pastor Hananja Ubarikiwe 😂
@deokagombola
@deokagombola Жыл бұрын
Wambie wambie Mchungaji,. Barikiwa kwa ukweli wako
@emmanullairankunda8684
@emmanullairankunda8684 Жыл бұрын
Iko Siku Mungu atawapiga fimbo aendeleye kucheza Atamuumbua tena vibaya
@elizabethjeremiah8323
@elizabethjeremiah8323 Жыл бұрын
Bado hajaona blasil kinachoendelea mungu hadhihakiwi
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw 27 күн бұрын
Kwa mujibu wa Yesu Kristo ataenda kwa Baba kisha atarudi kutuchukua ili alipo yeye nasi tuwepo.
@gracealbin8247
@gracealbin8247 Жыл бұрын
😀😀Mtumishi anasema kweli Sana 🙌
@josephinemitamba3399
@josephinemitamba3399 Жыл бұрын
Hasiye kubaliana na Mtumushi wa Mungu ni mfuasi wa upande wapili
@bisejulius4100
@bisejulius4100 Жыл бұрын
Butimba ndio mbinguni, bw jela ndio mungu😁 kwa kweli huyu dishi halisomi.
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Жыл бұрын
Mtangazazi nakuona unacheka sana😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Mbavu hana
@emmilianamwakatwila
@emmilianamwakatwila Жыл бұрын
Umeongea fact sana pastor
@AbdurahmanMahfoudh
@AbdurahmanMahfoudh 7 ай бұрын
Hii ni dalili nzuri sana muda mchache tu unaokuja kuthibitisha ukweli wa dini ya haki kama alivyosema nabii llah issa bin Mariam liyudhihira ala dini kulihi walauqaria lqafirun all au akbar
@shayobeatusbeatus7357
@shayobeatusbeatus7357 Жыл бұрын
Mchungaji nakukubali, hekima na busara yako inanigusa saaanaa tuu
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 141 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 33 МЛН
Synyptas 4 | Жігіттер сынып қалды| 3 Bolim
19:27
kak budto
Рет қаралды 1,1 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 27 МЛН
MCHUNGAJI HANANJA: HAKUNA MTU ALIYEANZA NA MWANAMKE MMOJA HUYO MUONGO LAZIMA UNAPAPASAPAPASA KWANZA
59:37
Mchezakwao “mchezakwaoshow” Startv
Рет қаралды 134 М.
MCH HANANJA ATOBOA SIRI ZA MITUME NA MANABII, LEO NAONGEA UKWELI
31:52
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 141 МЛН