Hongera xanaaaaa Mheshimiwa kwa kuwatetea wananchi wako wa ngorongo Mungu wa mbinnguni na aendelee kukulinda xana.
@FahmiAbdalla-oi8ed Жыл бұрын
HONGERA MH EMANUEL SHANGAI(BIG UP
@ShekutuKillel Жыл бұрын
Asanteee sana mbunge wetu Kwa kuwa tetea wananchi wako mungu akulinde
@MelauKoitumet10 ай бұрын
Mungu akubariki ndugu shangai kwa kazi mzuri unayofanya❤
@Eliaelibarik Жыл бұрын
Tunakuelewaaaa sanaaaa mh mbunge wetu mungu azidi kukulinda ili uzidi kuwatetea wanchi wako na tunakuombea
@JEMISOLEMORUAISiria Жыл бұрын
Asante sana kwa kua unatetea wananchi wako,,Mungu akisaidiwa?.
@williamkeko9244 Жыл бұрын
Mh. Mbunge wangu nachukua nafasi yangu kumuomba mwenyenzi Mungu akulinde,akupe afya ,akuinue ufike hatua nyingine ,kama sii huyu mwarabu na Manongi 😢😢😢,tungekuwa na uhakika wa mambo unayoyasemea juu ya wanangorongoro 🙏🙏
@LebahatiLaizer-b4q11 ай бұрын
Hongera sana mhe uko vizuri kabisa 💯
@LazaroMoringe-f3i3 ай бұрын
Mambo ngeza moshimiwa Shangai Mungu akulite ngorongoro atuami mimi musaliwa wa ngorongro nitama kwenda wap sanare satinda
@KondeeeCharles Жыл бұрын
Asante mbunge wetu unatupigania
@MossesMakeku-k9gАй бұрын
Mungu akubariki sana baba
@DaudiNasari-o9r3 ай бұрын
Mzee mungu akulinde san
@ngakenyatinayai10 ай бұрын
mheshimiwa mungu akubariki sana
@KosyandoKadege Жыл бұрын
Ongea brother
@lazaromoko1227 Жыл бұрын
Shangai nakukubali sana
@ErickBenson-ld6mh8 ай бұрын
Mungu akuongeza vema mbuge wetu
@Danielmatanda-di2jc7 ай бұрын
Asante sana shangai hayo nikweli
@njironairabamollel710 Жыл бұрын
ongera sana mbunge
@YohanaTapwaa Жыл бұрын
mbunge ubarikiwe san mungu yupo pamoja na ww
@SurprisedCamel-ow6md93 ай бұрын
Ongela
@OlesabetiMamasita Жыл бұрын
Sawa
@francismadoshi8529 Жыл бұрын
Royal Tour imefail, inaonyesha Zanzibar na mkoa wa Arusha tu. Sijuwi ni kwa nini? Tanzania ni kubwa sana. Kwanini mikoa mingine hayionyeshwi? Unaogopa nini?
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Usijali tunaandaa part2😁😁
@LoataMollel3 ай бұрын
Njoo kimayani olashee lemaaa
@benedictmrisho18003 ай бұрын
Kuepukana na machozi ya wananchi. Mbunge anaongea kwa unyenyekevu mkubwa. Tujifunze kwake.
@jastinmollel55028 ай бұрын
Hawa ndio wabunge wa mfano wa kuigwa wanajua kutetea wanainchi wake sio unaenda bungeni kugonga meza masaa ziishe urudi nyumbani zambi kubwa sana